Miili 12 imeopolewa kutoka mto Tana kaunti ya Garissa

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 10. 09. 2021
  • Miili 12 imeopolewa kutoka mto Tana kaunti ya Garissa
    Mkafani ya hospitali ya Garissa ina nafasi ya miili 12 pekee
    Serikali yawataka waliopoteza watu wao wakatambue miili
    Wakazi wa Madogo kaunti ya Garissa waishi kwa hofu

Komentáře • 11

  • @asusasimba9877
    @asusasimba9877 Před 2 lety

    Hawa walizebea kitambo mwingine aliua Bibi na kumtupa mle mto tana river alishishwa na kutolewa bila thamani na kuachiliwa

  • @marionmemoi1956
    @marionmemoi1956 Před 2 lety +1

    🥲🥲🥲hawa ni askari wanafanya hiyo kazi .

  • @mahbubdawood2909
    @mahbubdawood2909 Před 2 lety

    Saa zile Citizen Channel ilikuwa iki upload habari za uongo/kibandia ndipo sasa inakosea kuandika maandishi(wrong spelling)

  • @nivancewali8192
    @nivancewali8192 Před 2 lety

    Mungu wangu si ajabu wengine ni wale waliotoweka na hawajulikani walipo hadi leo mungu wangu

  • @benardkioko6257
    @benardkioko6257 Před 2 lety

    Poleni sana aky

  • @mahbubdawood2909
    @mahbubdawood2909 Před 2 lety

    Hehehe description:Imeopolewa

  • @gracegrace2545
    @gracegrace2545 Před 2 lety

    Hata ni ajabu hawajakuliwa na mamba

  • @safinakentan7552
    @safinakentan7552 Před 2 lety

    sorry 😔 for the families

  • @mahbubdawood2909
    @mahbubdawood2909 Před 2 lety

    An illiterate people are running channels these days 😂

  • @mikebett2269
    @mikebett2269 Před 2 lety

    Pole kwa familiar 😭