Makovu ya ugaidi Garissa | Ni miaka 8 tangu chuo kikuu cha Garissa kushambuliwa

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 2. 04. 2023
  • Miaka minane tangu magaidi wanne kuvamia chuo kikuu cha Garissa na kusababisha vifo vya watu 148 wakiwemo wanafunzi 146, hatua kubwa zimepigwa kuweka mikakati ya kukabiliana na ugaidi nchini na haswa kuzima uhasama wa kidini. washukiwa wawili walipata kifungo cha miaka 25 jela baada ya mahakama kupunguza kifungo cha awali cha miaka 41

Komentáře • 7

  • @husna34562
    @husna34562 Před rokem +1

    😢😢😢😢😢mlioponea endeleeen kumpa mungu shukran 😢

  • @CelestineKinama-om3ne

    I thank God bro Mbithi alipona hayo mauaji

  • @sharonmtai5696
    @sharonmtai5696 Před rokem +3

    147 is not just a number as an alumni of Gau staki kukumbuka hio story.... personally I don't have a photo in this monument and I was there for 4 years

  • @Goch46
    @Goch46 Před rokem +1

    Kenyans forget very fast

  • @abdikadirshukri4555
    @abdikadirshukri4555 Před rokem

    147 is not just a number😥😥😥

  • @titusmichael7463
    @titusmichael7463 Před rokem

    This is not a place to be!!!