ADAMU NA HAWA WALIKUWA NA RANGI GANI? Weusi, waarabu au Wazungu? asili ya mtu mweusi kibiblia part 2

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 24. 06. 2024
  • Huu ni mfululizo wa somo la Asili ya Mtu mweusi katika Biblia sehemu ya pili.
    Mwalimu Vincent Mwakisyala
    +255 753114222
    #nitajitianguvukwaBwana
    #hazinayakanisa

Komentáře • 15

  • @daudiazizi8495
    @daudiazizi8495 Před 6 dny

    Asante mwalimu

  • @espererancesudi7600
    @espererancesudi7600 Před 5 dny

    To be continued

  • @user-ei3iy5fu1i
    @user-ei3iy5fu1i Před 12 hodinami

    Munzingu arimufanya meafirika kuwa mutwamwa wake kiroho pasipo kujua anatedazabi

  • @adamkilimba
    @adamkilimba Před 5 dny

    MTU mweusi pekee duniani ndio anayeweza kuzaa rangi ingine. watoto wote wa nuhu walikuwa weusi na pia nuhu nae alikuwa mweusi

  • @fabianmainchanyangachika5017

    Je!! Walipata wapi wanawake?

  • @user-ch8zc3bg9b
    @user-ch8zc3bg9b Před 7 dny +1

    Wengi sana wamepigwa chenga ki history bustani ya Eden ilikuwa pale Bethelehemu alikozaliwa Yesu Kristo na pale goli gota ni pale ambapo Adamu na mkewe hawa walikula tunda la mti wa ujuzi wa mema na mabaya ndiyo maana watu wamejaribu kutaka kuhamisha historia kwamba Iraqi ya Leo ndiyo sehemu ilipokuwepo bustani ya Eden kumbe siyo ndiyo maana Yesu Kristo anaitwa Adamu wa pili yeye alikuja kutuzaa kiroho Kwa hiyo watu, wamekuwa na nadharia nyingi Sana kuhusu Iliko bustani ya Eden na wengine wakaenda mbali sana na kusema wenda iikuwepo Tanzania katika mkoa wa Arusha ngorongoro lakini, ukweli wa kihistoria ilikuwepo kule aliko zaliwa Mwokozi wa ulimwengu haya ni maoni Yangu mwalimu wa Neno la MUNGU

    • @hassanisaidi5422
      @hassanisaidi5422 Před 3 dny

      Acha utumwa wewe,una ushahidi gani n hyo concept,ivi hata hyo biblia yko unaisoma vzr lkn,mto flat,mto Tigris na ule mto mwingine upo BETHLEHEM,?

  • @adamkilimba
    @adamkilimba Před 5 dny

    Mungu hawezi kuumba mtu asie mkamilifu wa ngozi, hivyo mtu wa kwanza kuumbwa lazima angekuwa wa rangi iliyokamilika,mbayo ni mweusi rangi kamilifu.

    • @fedinandnjeleka4102
      @fedinandnjeleka4102 Před 5 dny

      Wewe mwenyewe unajikanyaga wakati unajua kuwa mwanadamu wa kwanza ni mweusi kwasababu ndie mwenye uwezo wa kuzaa rangi nyingine ujue kua wakalidayo na waajemi walikua weusi na ndio walioitwa watu hata Shemu alikua mweusi soma ayubu 30:30 na yeremis 5:10 anajielezea rangi yake

    • @fedinandnjeleka4102
      @fedinandnjeleka4102 Před 5 dny

      Hao wazungu na waarabu ni wana wa yafeti wanatokana na waturuki.wote unaoona ni weupe wamengawanyikana tu lakini ukweli ni kwamba Misiri mabaki ya ukweli yapo angalia ile sanamu pale.karibu na yale mapiramidi

  • @Nibizichristo
    @Nibizichristo Před 5 dny

    Kweli sisi tuko watu waliewumbwa na Mungu hata David naye pia alikua mweusi hata wa Israel nao ni weusi , lakini bustani ya Eden mchungajyi umekosea kidogo haikua Irani iliku east Africa, na utafiti unaonesha kama mutu wakwanza kuishi duniani alikua Tanzania ndipo kuligunduliwa mfupa wa mtu wa kwanza

  • @listerwami6825
    @listerwami6825 Před dnem

    Kwa hiyo hatuzaliani mbona wazungu ni wengi kuliko tuliotangulia kiumbwa?

    • @mwlvincentmwakisyala
      @mwlvincentmwakisyala  Před dnem

      Hakuna aliyesema tulianza kuumbwa hizo ni nadharia tu. Labda useme dunia ya sasa wazungu ni wengi kuliko weusi bado huna takwimu sahihi kuthibitisha ilo.
      Kikubwa ni kwamba Mungu tuliye naye ametuumba watu wa rangi zote kwa utukufu wake mwenyewe, hivyo hatuna budi kufurahia kwa jinsi tulivyoumbwa.