Jamani wa kwanza mimi leo hembu acheni like zenu kama zote kwangu kama tupo pamoja kumkubali nasma h kidogo enzi zake za uhai R, I, P nasma hamisi kidogo kitambo sana bado tunakula ngoma zako siyo za kipolepole ❤️❤️❤️
Nakumbuka mwaka 2000 Mtangazaji wa redio one wakati huo charles Hillary kwa kipindi chake wimbo huo lilikuwa chaguo lake mungu akuweke mahali pema peponi
2024....bado tunasikiliza R.I.P mama yetu 😢
Jamani wa kwanza mimi leo hembu acheni like zenu kama zote kwangu kama tupo pamoja kumkubali nasma h kidogo enzi zake za uhai R, I, P nasma hamisi kidogo kitambo sana bado tunakula ngoma zako siyo za kipolepole ❤️❤️❤️
2024... Tunasikiliza bado pumzika kwa Amani Mama
Nilikua nautafuta wimbohuu yani huyu mama mm nampenda mpaka B's mungu amsamehe makosa yake
2023... bado tunasikiliza r I p mama yetu
Mwenyezi mungu aiweke roho yake mahali pema peponi amina
Kijembe hicho alipigwa Hadija kopa
OLD IS GOLD 😍👌🏾
Nakumbuka mwaka 2000
Mtangazaji wa redio one wakati huo charles Hillary kwa kipindi chake wimbo huo lilikuwa chaguo lake mungu akuweke mahali pema peponi
Nani ana wimbo wake na khadija kopa wa sina haja na mumeo
Mungu akutangulie mama etu kipenzi
Mahala pema peponi inshaalah
Jamani nlikuwa nauliza Nasma Khamis Yupo Nipeni Jibu Jaman
Hapo sasa......
R.i.p mama
Allah amrehemu
Pumzika kwa amani
❤mambo yako huku
Kitambo
JAMANI KWENYE ALBUM HII KUNA NYIMBO INAITWA SI MZIZI SI HIRIZI JAMANI UTUMENI NA WENYEWE
Upo huo wimbo ninao
Unkumbuka wapo
Zamani sanaaaa
Pumzika kwa Amani
Akuna wakujibu ilo fumbu r.i.p mam
Namkubali sana
Taarabu ipo naona mambo yako huku 😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
Naomba tu nipate back ground
Yake nyota huyu
Daaa
2024 naisikilizia jamani
❤❤❤❤
Rip mama
We be
😂