"Utaenda wapi, kuna mifugo, kuna watoto utaeenda wapi? - Mwananchi Ngorongoro

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 25. 08. 2024
  • Mgogoro wa Ngorongoro nchini Tanzania umetikisa vichwa vya Habari kwa miezi kadhaa nchini humo, mjadala mkubwa ukiwa ni suala la kuhamishwa kwa jamii ya wamasai eneo la hifadhi kutokana na idadi ya watu kuongeza kwa kiasi kikubwa.
    Serikali ya Tanzania tayari imeanza zoezi la kuwaondoa kwa hiari wale wote watakaomua kujiandika na kuondoka eneo la hifadhi na hadi sasa zaidi ya watu 400 wamejiandikisha.
    Lakini ilikuaje hadi suala hili likafikia hapa?
    Mwandishi wa BBC Alfred Lasteck alifika eneo hilo na kuandaa taarifa ifuatayo.
    🎥 Munira Hussein
    #bbcswahili #tanzania #ngorngoro

Komentáře • 18

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 Před 2 lety +2

    Ngorongoro imeuzwa na hao mafisadi.

  • @edwardoskayanda6193
    @edwardoskayanda6193 Před 2 lety

    Mnataka kuuza ngorongoro daaaah

  • @charleschoma4216
    @charleschoma4216 Před 2 lety

    Hamisheni Hawa hifadhi itakufa wapewe fidia wapewe maeneo mengine Tanzania kubwa maeneo mengi

  • @moreenneleach6518
    @moreenneleach6518 Před 2 lety

    Lo

  • @noahlarapho3411
    @noahlarapho3411 Před 2 lety

    Me mwenye ni WA ngorongoro

  • @moriscollins4494
    @moriscollins4494 Před 2 lety

    Kweli kuna haja ya kuheshimu tafiti Dr watu wanalalamika lakini ki ukweli tujadiri na umuhimu wa ecology....

  • @esuthoby7865
    @esuthoby7865 Před 2 lety

    Hampshire wanyama

  • @edwardoskayanda6193
    @edwardoskayanda6193 Před 2 lety

    Mbona msitoe mahotel zilizoko huk ?

  • @charlesphilipo6443
    @charlesphilipo6443 Před 2 lety

    Jamani angalieni maisha ya wenzetu,,maisha ni magumu hakuna Huduma za muhimu wakati wengine maisha mazuri wenzetu hali ni mbaya ,,,,,nendeni Handeni nafasi kubwa nyumba za bure hamtaki shauri yenu mtajilaumu baadaye

    • @davidtuya9586
      @davidtuya9586 Před 2 lety

      Wewe nawe vp? Mtu ataondokaje kwao?

    • @bethkatunx7677
      @bethkatunx7677 Před 2 lety

      Iwapo kwa miaka 50 ngolongolo imeingiza pesa nyingi za kigeni na bado hao wananchi wameishi kwenye umaskini mkubwa je ? leo wakihamishwa na kupelekwa tanga ndio watasahaulika kabisa na kuishia kulinda mageti ya matajili

  • @rukiasalum7628
    @rukiasalum7628 Před 2 lety +1

    Msiondoke bora mfie hapo acha wawauwe wote

    • @charlesphilipo6443
      @charlesphilipo6443 Před 2 lety

      Acheni nao waachane na kutumiwa na mafisadi kutoka nchini na nchi Jirani

    • @charlesphilipo6443
      @charlesphilipo6443 Před 2 lety

      Mjinga sana wewe ,,nenda ksishi wewe kama sikumbili zitafika ,,,,

    • @davidtuya9586
      @davidtuya9586 Před 2 lety

      Sawa kabisa ndugu una akili Sana