jinsi ya kupika biriani ya nyama
Vložit
- čas přidán 24. 09. 2020
- nimetumia nyama ya mbuzi nusu na robo nyanya ya kikopo kijiko kimoja ba nyanya maji kama tano maziwa mtinsi nusu kikombe na kitunguu saumu na tangawizi mbichi vijiko viwili rangi nyekundu na manjano na viazi 3 halafu na mchele vikombe 2 halafu
Very cute
Izo rangi zina patikana wap,na ukiuliza madukan za Brian zinapatikana
Salam alekum mapishi mazuri sana mashaallah
Ni kizuri sana👍
Mashaallah
Masha Allah
Nzur sana❤
i like it looks delicious have subscribe
❤❤❤❤❤
Super👏👏hadi nimehisi njaa😂😂
mashallah😋
Mashalla
Nimependa japo sijawahi kupika ila kwa kuangalia hivi
Maashaallah mimi ni mpenzi sana wa biriani ln Shaa Allah nitajaribu kupika, shukran nimekuelewa.
MashaaAllah tabarakah Allah
Ntka n mm kufundishw odo😂😂
Mashallah salo nimelielewa mashallah
Look so yummy 😋🥰 mashallah
Mashaallah habibty yummy nzuri nimeipenda
Salàm alekum mashallaah napenda sàna biriani