BIRYANI YA KUKU TAMU NA RAHISI KULIKO ZOTE YOUTUBE
Vložit
- čas přidán 23. 03. 2021
- video ya leo tutajifunza jinsi ya kupika biriani ya kuku tamu na rahisi kuliko zote youtube haswa kwa wasiojua kabisa na mabachela.
biryani hii ya kuku ni tamu sana na rahisi sana kupika naomba ujaribu recipe hii hasa msimu huu wa sikukuu na uniambie umeipenda kiasi gani na ilikuwa rahisi kiasi gani.
kwa recipe nyingine ya birian bonyeza link hii
BIRYANI YA NYAMA
• BIRIANI YA NYAMA
Na recipe za pilau bonyeza link hizi
PILAU YA NYAMA TAMU SANA
• JINSI YA KUPIKA PILAU ...
PILAU YA KUKU
• PILAU LA KUKU TAMU SAN...
WALI WA MAUA
• WALI MAUA |WALI MTAMU ...
kwa recipe zingine za wali bonyeza link hizi
WALI WA MAYAI
• WALI WA MAYAI|EGG PILA...
WALI WA NYANYA NA NYAMA ZAKE
• WALI MTAMU SANA WA NY...
Pia unaeza kutumia nyama ila upishi wake tofauti,pika nyama yako kwanza....halafu ufanye kama ivo,usiogope kuiacha nyama yako jikoni baada ya kutia maji kama tulivofanya kwenye kuku ili aive sababu nyama ya biriani inafaa kuwa laini sana. Kwaiyo pika kwa amani
Mashaallah birani linanukia mpaka huku
Yaani hili pishi nilikuwa nalitafuta kwasababu chakula Kama Hiki dada mmoja alikuwa akiwapikia maboss zangu wakati huo me nilikuwa office assistant hongera dada natamani nilike mara Mia 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mashaallah Mashaallah Mashaallah dearest..This is sooo good ntajaribu kupika hivi InShaaAllah..Allah (swt)akuzidishie kwa kila jambo la kheir,Aamin.Nakupenda kwa kutufunza
Napika leo hii🤤🤤❤️❤️
Wow haki nimejaribu nitamu kweli nimefata maelezo
Yaan Dada nmependa maelezo yako mashallah ♥️
Mtindi ni maziwa ya mgando au
Maziwa mtindi yoyote yanafaa au kunamengine
Very easy and tasty receipy❤️ Thanks for sharing!!
Wow mashalaah mashalaah
Ahsante sana
Mashallah kwakweli haya nimapish rahisi thanks my dada Allah akupe umri mrefu na afya njema
Mashaa ALLAH tamu sana nimeijaribu
Mashallah hngera kipenz nitapik inshallah hivi punde
Mashallah Nimenda sana sijaamin kilicho tokea mwisho sijakipika ila ntakipika inshallah nimekipenda vibaya mnoo
Maziwa mtindi nimaziwa gan hay
Mashaallah sn lahisi na nzur
Asante sana nimejifunza
Wow 👍👍👍👍 I like it