Biriyani ya kuku | Jinsi yakupika biriani ya kuku tamu na kwa njia rahisi | Biriani | Colloboration.
Vložit
- čas přidán 22. 07. 2020
- #biryani #birianiyakuku #swahilibiriani #biriani
Website:rukiaskitchen.com
Instagram: rukias _kitchen
Facebook: Rukias kitchen
Cookpad: Rukias kitchen
Suhayfoods (wali wa ouzi )➡️ • Jinsi ya kupika wali w...
English recipe follow the link➡️ • Biriyani | Chicken bir...
MAHITAJI:-
Kuku 1kg
biriani powder kijiko 1 chakula
Chicken masala kijiko 1 kidogo
manjano kijiko kidogo
magi ama jumbo
garamasala kijiko 1 cha kula
vitunguu vya maji 5
kotmiri / dania
mafuta kikombe nusu
maziwa mtindi kikombe 1
kitunguusaumu na tangawizi vijiko 3 vya kula
chumvi
foodcoloring tafuati
viazi 3
tomato 5 kubwa
tomato mkebe vijiko 4-5 vya kula
ndimu 2
For more swahili videos follow ➡️ / @mapishiyazanzibar
➡️ / @husna_laltia
➡️ / @eastafricanfoodsrecip... - Jak na to + styl
Mashaa Allah tabaraka Allah unaweza mmy tafatilia ili jue zaidi
Masha Allah pambe kabisa kipenzi chetu pishi zuri shukran
MashaAllah leo nitapika hii looks so yummy 😋
Mashaallah shukran habibty
Mashallah habibty Asante Leo nitapika inaonekana ni tamu Sana Allah akubarikie mkono wako
am a big fun of your recepies .i have cooked this for Eid and it was amazing🤗
The biryan looks yummyy mashaaAllah..shukran for sharing habbty❤❤🥰
Your number 1fan ..you just made me like cooking even more 🤩
...will definately try this ..yummy
Mash Allah mpendwa,,,,he mchuzi Wa biriani hautakiwi kuweka hoho na karoti
Looks yummy, good job dear, sending love from Tanzania!!
Ahsante mzuri sana 😘😘😘😘❤
Mashallah Allah barik nitapika inshallah
Mashaallah
MashaALLAH
Mashaallah very nice 😘😘
🤗🤗🤗🤗🤗😋😋😋😋ningeweza ningekutumia picha jamani🤗🤗🤗thanks thanks thanks for the tips I made it biriani bata Idd mubarak kwetu safiii kabisa bi Rukia,Jah bless you 🥰🥰
M.mungu aibariki kazi ya mikono yako Inshallah
Mashaallh
Asante sanaa dada rukia. Ntajarbu
Shukrani habbty
Kazi mzuri mi naitwa sheifu juma namfuatilia sana video zako
Excellent
Ahsante
Ahsante mom
ماشاءالله تبارك الرحمن
Mashaalla
Hongera sana mamy umefanya nimekuwa fundi wa kupika
Very nice 👍
Nimeipenda
Naic
Good explanation,you gain a follower
Shukran Allah akuzidishie elim
Ameen yarabi inshallah
Jamna thanks nimepika wame enjoy sana piah wajna wang weye ❤❤❤
This is so perfectly done Rukia👌
Thank you soo much
👍👍
Vizuri😊
MashaAllah
Asante sana nitatumia njia yako kupika ntakwambia
❤
❤❤❤❤
Nimeipendasaana birianikuku
Nice
😋😋😋😋😋😋 dats ol I can xay
Asante tunamba tumeelewe my
Jmn 🥰🥰🥰
Love you da rukia
🥰🥰🥰🥰
Madam Hz vtu unazieleza zakueleweka kabisa ndo mana naipenda upishi wko keep it up
Asante inaonekana
Asante nimeipika boss akaipenda
Hongera jamanii🥰🥰
U r the best dear💕💕💕
Thank you
Sister Rukia I love u
Asante Sana Dada mungu akupe maisha mlefu yenye amani
Ameeen ameen asante
Im hungry!
Hahaha welcome love 🥰
It's your cool voice for me
Awwww 😘😘😘
Hukoseagi kipenzi😋😋👌
Asante mpenzi 😘😘😘
Jamani nimeelewa star axant
Nakupenda sana my d napika sana kupitia wewe
Mbn haujaweka kitunguu kwenye wali nataka kupika ndo maana nimeuliza
Tumeelewa
Chei her voice is sweet
Nazi haitafaa nikikosa maziwa mtindi
Am from Kenya where can i get your spices or herbs i do love your ingredients
If ur in Nairobi you can get them koma rock / Nyama villa contact ➡️ +254 787 022663 and mombasa majengo contact ➡️ +254 791 784401
Hbbty mm nilitakka uniunge kwenye group lako la mapish mana hm mashaallah allah akubarik
Yummy!!! Naomba kuuliza Hivi mchele wa basmati kilo moja inatoa sahani ngapi dada?
Mchele hua unavimba hasa ukiuroweka
Leo nimejaribu kuja mapema😊
Hahahaha karibu sana dear
Je unaweza kutumia maziwa ?
je ninaweza kutumia njegere badala ya zabibu?
MashaAllah inavutia sana 👌
Asante sanaa
Mambo
@@RukiaLaltia mamb rukia
As nakuuliza unaweza kutia pilipili manga yaani ukimaliza kupika like more yummy maana nyumbani wanafanya hivyo sio kwa kuku but kwa wali
Sijawahi jaribu dear hapo sijuwi
If I don't have chicken masala
Can I use royco chicken
Yes u can
Habari nimeona pishi lako la kuku zuri Sana Sasa mm nataka kupika la familia Sasa itakuaje bila mchuzi watu watakulaje pilau au wali bila mchuzi wa kutosha Sasa nitapikaje na mm huo mchuzi wa birian?
Mimi nilikua sijui kupika biriani lakini sasa najua nimejifunza kupitia nyinyi
Madam Rukia uko sawa kabisa nipe No yako hki plz
Hii kitu itanikomaaa, nilitamani sana kujua hii biriani kati ya mapishi nilikua sijui ni biriani na pizza
M
Waezatumia turmeric
Vip wanapika bokoboko
Daa rukia hem nipe no zako
Youghurt ni plain ama flavored?
Plain
Kuku wakienyeji?
Yaan najiramb ata sijala yan we Kwanz unajin kam kam lang ilove you somo mmmmwah
Tamu sana
Nsombs kujus garan masala ndo ile simba mbili ya kopo?
No hapana ni vitu tofauti
Assalam Alaykum, hugo kuku wa kienyej au wa kisasa?
Wa sasa
Unaweza kupika biriani bila tungule nzima
Kama hutumii maziwa mtindi unafanyaje
Kuku ni kienyeji au grade?
Mm sijuwi tofauti ya kuku samahani
@@RukiaLaltia mh acha uongo basi mh basi hata kuku humjui ww
Rukia dear naweza kuwek aront nikimaliza kupika lost
Aront nn
Kongole
Naulizia kama kuku haujaichamsha haitakua mbichi?
Unaweza chemsha ni sawa pia
Shukran appreciate your dish😋
Ranging za ubuyu haziwez
Hmmmm I think waeza
Je naweza pata namba au unaweza nitumiakazi zako kwa whtasp
Habar dada eti kwanini rosti ya Biriani inakua tam kama imeekwa sukar
Nzuri hapana usiweke
Mubishimuzurautanifubish
Naweza pata no yako
Kama kuku umenunua washakaagwaa
No hapana wabichi
Mashaallah
Asante sanaa dada rukia. Ntajarbu
❤