HOTUBA YA RAIS DKT MAGUFULI BAADA YA KUPOKEA RIPOTI YA KAMATI YA PILI YA MADINI JUNE 12, 2017
Vložit
- čas přidán 11. 06. 2017
- HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT JOHN POMBE MAGUFULI BAADA YA KUPOKEA RIPOTI YA KAMATI YA PILI YA UCHUNGUZI WA MADINI JUNE 12, 2017
Kwa Neema na baraka za mungu nampongeza Rais wangu wa Tanzania kwa kazi kubwa tena ya Ziada ya kulinyenyua taifa hili ambalo kwa ujumla lilikuwa linadidimia mungu akulinde akujalie maisha marefu yenye baraka na mafaninio makubwa nasi tupo pamoja nawe kwa vitendo na kwa sala.
Rais Mangufuli is God send to Tanzania and a shinning son of Africa who means well and is genuinely disturbed by the poverty that is visible in our society despite all the wealth generated by Countries in Africa.......God Bless
hallelujah....
Mungu akubariki sana mheshimiwa Nyerere mkombozi wetu wa uhuru Magufuli utatukomboa na umaskini
naitabiria TZ kuongelea MAJORS za uchumi ,,,sasa tukitengeneza mapato mengi ktk madini tz ya viwanda hiyoooo
Magufuli MUNGU alikuleta Tanzania, you are the living president una uchungu na maisha
chapa kazi Magufuri , Tundu lisu hana tofauti na judder msaliti wa Yesu na tundu lisu anaweza kuisaliti nchi ajili ya njaa yake .
Great work done.... Tz up now....
Uko sawa mheshimiwa , kwa kweli inauma Sana! mheshimiwa simamia Mali za watanzania
Hi hivi jaman ile pesa yetu ilobaki italipwa lini, watuambie hatutaki ujinga
Dah inauma sana kwa watanzania kuishi maisha balaaa!!!!
mh raisi tupo pamoja na wewe bega kwa bega katu hatuukuangushi sisi wananchi
asante rais wetu mtukufu
eeh ndo maan ya kuwa na 4% wenye uwezo n ndomaan twakosa ajira nchi za nje kwan twaonekana wajinga na wapuuzi.,wanatucheka kwa ndani!?
Huyu mzee hizi namba-namba anavyozikumbuka…anatisha!!
The man who loved his country deep 💕.INNAA LILLAAHI WAINNAA ILAIHI RAJIUUN
Mungu ibariki
RIP 😢😢😢😢Dr JPM 🙏🙏🙏🙏
sitaacha kukusikiliza president wetu wa kweli,, your living hata km lkn unaishi na sisi siku zote,, sina mashaka na huko ulipo Imani yangu uko salama# tunakupenda
Mungu wajuwa machungu aliyonayo huyu baba mzalendo wa aina gani jamani mpe afya njema Jpm hongera sana