Annoint Amani - Mama Sukuma mtoto atoke (Official music Video) sms SKIZA 9048515 to 811

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 8. 08. 2019
  • #mama#sukuma#mtotoatoke#annointamani#
    Huu wimbo ni zawadi kwaajiri ya kina Mama wote duniani,Lengo ni kuwatia nguvu wanawake,wajue bila wao misingi ya watu dunia isinge imarika,Mama ni msingi mkuu alio uweka MUNGU duniani kwaajili ya mwanadam,Tunaweza kuona mfano mdogo wa upendo wa Mungu kupitia malezi ya mama kwa mtoto,Hakika mama ni kipenzi cha MUNGU.)
    (This song is a gift to the deepest employers of all mothers in the world, the goal is to empower women, to know without them the foundations of men the world would not be strong, Mother is the great foundation that GOD has laid on the earth for man, We can see a small example of God's love through the formation of mother to child, Surely mother is beloved of GOD.)
    Artist Annoint Amani )
    Song Mama Sukuma mtoto atoke )
    Studio A.E.A TONES.Producer by tallent )
    language kiswahili from
    East afrika Tanzania
    (Instagram annoint Amani
    email amananoint@gmail.com. WhatsApp & call +255767240181_ +255755099942 )))))((
    sms SKIZA TONE 9048515 to 811)
    mtunzi na mwimbaji Annoint Amani )
    (Video Directed By Yotham Lyobha +255713 030 763 )

Komentáře • 2,2K

  • @user-ht4in7vg9o
    @user-ht4in7vg9o Před měsícem +37

    Any one in 2024,in love with this song from kingdom of Africa 🇰🇪

  • @silviamwende4131
    @silviamwende4131 Před 3 lety +315

    Mwanamke aheshimiwe ata kama ni mtoto mdogo kama unakubali gonga like

  • @winfrednafamba3041
    @winfrednafamba3041 Před 3 lety +41

    Kweli mama nikipenzi cha mungu,kama unampenda mama plz likes zenu

  • @user-ol7pe4rl4r
    @user-ol7pe4rl4r Před měsícem +11

    Nimerudi kuisikiliza hii nyimbo 2024 🙏🙏

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 Před 4 lety +400

    Mama ni mama tu. Jamani nyimbo nzuli San km. Umeikubari gonga like twende saw

  • @consolatemunyao5566
    @consolatemunyao5566 Před 3 lety +69

    Jamani mama ni waheshima hata kama kiwete,wagapi wananiunga mko,nionye na likes😚😚😚

  • @Future88746
    @Future88746 Před dnem +1

    In a time where there's is increased femicide especially in Kenya, this song is incredible 🙌🏾 Thank you for highlighting the value of a woman.❤

  • @user-kf9rl3of8i
    @user-kf9rl3of8i Před měsícem +7

    Mimi kama mkenya nyimbo zako zanibariki sanaaaaa mungu azidi kukutumia hivyo ukifahamu kuna taji mwishowe

  • @roseauma5709
    @roseauma5709 Před 3 lety +72

    Wangapi tuko hapa kukumbuka siku ya leo?. Happy women's day😍😍❤❤🔥🔥🔥

  • @Starlighttz538
    @Starlighttz538 Před 4 lety +349

    Mama mama mama mama ni kipenzi cha Mungu,hakika video nzur saana,yani hii itapigwa kila sehemu,kama hii haitavuma bas uhame nch Annoint,Kama una kubaliana na Mimi gonga like

  • @kipngenokelvin5691
    @kipngenokelvin5691 Před 22 dny +1

    This song reminds me of my late wife😢😢 I used to forward to her during Mother's day.

  • @ChancelierKasongo
    @ChancelierKasongo Před měsícem +1

    Hakuna ata siku tutamupata muzuri kama mama. Tunabudi sana kuheshimu wa mama wakati wangali wazima. Ninampenda kila mama japo maman alefariki Ila naona kama Nina wa mama wengi

  • @user-tz9jn2ce2w
    @user-tz9jn2ce2w Před 2 lety +11

    Ouuuuuuhhh 💃💃💃👩‍❤️‍💋‍👩🤰🤰🤰🌹 uuuuuwiiiii wololo mama 💃💃💃💃💃💃👏🏻👏🏻👏🏻 yayeeeee💃💃💃💃💃 i wish mugeelewa vile huwa nafeel nikisikiza huu wimbo yawa aliabiwa mama sukuma nikazaliwa 🤰🤰🤰🌹🌹🌹🌹💃💃💃💃💃🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 may God blles you bro for this song 💃💃💃💃💃💃👩‍❤️‍💋‍👩👩‍❤️‍💋‍👩👩‍❤️‍💋‍👩

  • @mlokolekaokoka8962
    @mlokolekaokoka8962 Před 4 lety +230

    Jamani jamani jamani nimechelewa saaana Leo ,,Hapa Annoint umejibu maombi ya mashabiki wako kutuletea video nzuri kabisa yenye viwango,kama nawewe umefurah kuona video kali na audio Kali gonga like

    • @aminasaleh7875
      @aminasaleh7875 Před 4 lety +5

      Kwa kweli imenifurahisha na kuniliza

    • @faithfaith4782
      @faithfaith4782 Před 4 lety +4

      Congratulations annoint
      God bless you 🙏💖👊👋👍💞👌 penzi nzuri lipo kwa mama mmmmmmmmcha 😘 mummy's 😂💖

    • @stanleykigomboa2260
      @stanleykigomboa2260 Před 4 lety +2

      Asante sana kwa video hii nzuri.

    • @dennismokua86
      @dennismokua86 Před 4 lety +2

      So so sweet

    • @atufigwegeislaeli8526
      @atufigwegeislaeli8526 Před 4 lety +2

      Jamani kaka mbon nyimbo nzulisan dah ubalikiwe popote ulipo

  • @UKENDESTEPHANOSHILLA
    @UKENDESTEPHANOSHILLA Před měsícem +1

    LALA SALAMA MAMA YANGU TOKA MWAKA 2002 UMETUTOKA AMINA MAMA YANGU KIPENDE UWIII

  • @user-xm4lb6vw6t
    @user-xm4lb6vw6t Před 3 měsíci +8

    I love to be a single mum😢😢😊but one day mungu atanionekania 😢

  • @fauziarashid1675
    @fauziarashid1675 Před 4 lety +18

    Wow aliambiwa mama sukuma akazaliwa kanumba,diamond ,Kenyatta ,Obama nd my mom alisukuma nikazaliwa 😘💖am so proud of u my mom .....am just in love wth tjoa song ......its so amazing wow 😍😍😍😍💜💕💚💚

  • @SmilingAutoRace-gf5nj
    @SmilingAutoRace-gf5nj Před 2 měsíci +7

    Mama ni mama Tu ni ukweli wimbo nzuri like

  • @yohanapedomusic1110
    @yohanapedomusic1110 Před 2 dny +1

    Mama nampenda sana

  • @MOSEMOGOI-qp1yd
    @MOSEMOGOI-qp1yd Před 9 měsíci +8

    Mama aheshimiwe ata hawe na kiungo namna Gani.💙💕💙💕 Be blessed all mothers wherever they all.Tunawapenda Mmwaaaaaaahhhh💟💟✅💟💟✅🙏🙏💟

  • @joycekasakisya7755
    @joycekasakisya7755 Před 4 lety +59

    Niliambiwa Joyce sukuma,nikamzaa Witness! Ahsante Mungu kwa kunipa heshima ya kuitwa Mama. Wimbo mzuri sn, ubarikiwe mtumishi wa Mungu 🙏🙏

  • @mlokolekaokoka8962
    @mlokolekaokoka8962 Před 4 lety +7

    Nasubiri kwa ham lak 5 hebu naomba kwa heshima ya mama jamani wimbo ufike levo Ambayo sio kawaida ili wajue mama ni no 1 duniani,,,

  • @user-zb1le5gy2f
    @user-zb1le5gy2f Před 3 měsíci

    Still listening this song in 2024

  • @jacklinefronia6652
    @jacklinefronia6652 Před 22 dny

    Mwanamke aheshimiwe hata Kama mtoto mdogo maana uchungu wa mwana mwanaume haujui kabisa❤❤❤❤❤

  • @karuhangastephen9950
    @karuhangastephen9950 Před 4 lety +5

    Huu wimbo mtamu jamani kama na wewe unawhatch mwaka huu drop ur like,

    • @erickoduor4354
      @erickoduor4354 Před 3 lety

      Walai hui wimbo ni mtamu unaleta mafillings kwa roho....

  • @Asilasworld
    @Asilasworld Před 4 lety +10

    Hii Nyimbo ni Kama ina upele inakuna Kuna kurudia kuangalia 😂😂😂

  • @dianabosibori8476
    @dianabosibori8476 Před rokem +4

    anyone in 2023 🥰🥰🥰

  • @franciskirwa700
    @franciskirwa700 Před rokem +3

    Hii wimbo itabaki kuwa nyimbo nzuri in generations to come. Those who will be watching in 2099 wajue mama atabaki kuwa mama

  • @nuruanaqoqona8284
    @nuruanaqoqona8284 Před 4 lety +30

    Mama sukuma ni wimbo wangu wa Mwaka 2019 & 20 na kuendelea maana huu wimbo umeniliza jamani yani umeimba kila kitu tunacho pitia wanawake,,Unaitaji zawadi taifa lifanye kitu kwako,

  • @abdulfatahjuma5355
    @abdulfatahjuma5355 Před 4 lety +53

    safi sana ,mimi mislamu lakin muungu akuongoze baba

  • @user-oj9fn3of2y
    @user-oj9fn3of2y Před 24 dny

    Woooow,wamama hoyeeeeee❤❤❤❤🫄🫄🫄🤱💃💃💃💃ubarikiwe sana kaka hii Wimbo n tamu muno

  • @morgansiwanzi1791
    @morgansiwanzi1791 Před 3 lety +8

    I will continue watching this song until the end of my life mama sukuma wimbo mzuri sana barikiwa namungu pa wimbo huu

  • @lucysamsonmoza3964
    @lucysamsonmoza3964 Před 4 lety +104

    Wimbo umenibariki mnoo mama nisamehe pale ninapokosea

  • @mordecaithecomedian8008
    @mordecaithecomedian8008 Před 4 lety +34

    HUU WIMBO WANITIA NGUVU MNO SABABU SINA MAMA KWA KWELI LAKINI BADO NAMHESHIMU

  • @babug4062
    @babug4062 Před 2 lety +26

    Aliyenizaaa mimi ni mama,♥️♥️♥️
    Nampenda sana mamangu ♥️

  • @carennanjal
    @carennanjal Před 5 měsíci +1

    Sometimes l quaral with my mum but I remember she's all that holds My hand and feels my pain then l say sorry

    • @carennanjal
      @carennanjal Před 5 měsíci

      Am really sorry mum for the pain that I have caused you

  • @annslifestyle
    @annslifestyle Před 4 lety +87

    What a beautiful song nimesikiriza huu wimbo since Yesterday mama no one like u ..and all mothers in the world 😍😍😍😍😍😍😍💋💋💋💋💋💋💋💋
    More love from Kenya 🇰🇪🌹

  • @lawrenciamsilu7930
    @lawrenciamsilu7930 Před 4 lety +45

    Ubarikiwe nami kama mama nimefurahi nilisukuma 6 ahsante Mungu wangu

  • @lizlizzie1141
    @lizlizzie1141 Před rokem +32

    Never knew about this song until I heard my 3year old son sing 'hakuna mrembo km mama😛' I am blessed 🙏

  • @BeatriceWaithaka-sy2vl

    Happy happy moms day to my mother @2024.❤❤❤Thank you Godvfor this special gift😍👏👏👏🙏🥳am doo happy for her,she is my smile,my hope,my strength💌😘i love you momma.

  • @emdjopngo8fcwhvoiveiliemaz617

    Ayiii my mom ameniacha mdogo sasa ivi na mim naitwa mama, nimejikuta naliya, RIP mom ntazidi kukuombeya kwa mungu

    • @mlokolekaokoka8962
      @mlokolekaokoka8962 Před 4 lety +2

      Mama jamani ni kila kitu tujipe moyo jamani Mungu yupo,,Na wanawake wote tunao waona hao ni mama zetu,,

  • @maman8401
    @maman8401 Před 4 lety +29

    Nimelia mimi jamani nasikia uchungu nimemzika Mama yangu kipenzi Trh 27 /3/2020 ntamkumbuka kwenye Maeneo mengi Mama yangu.

  • @user-jp3eo6ks4c
    @user-jp3eo6ks4c Před 3 měsíci +2

    R I P my Mom

  • @faustineatieno5826
    @faustineatieno5826 Před 7 měsíci +5

    From TikTok😳🤌kumbe ulitolewa kitambo jamani, I love this song🥰

  • @neemajapheth8086
    @neemajapheth8086 Před 4 lety +55

    Tutawakumbuka wa mama wa marafiki zetu, mashangazi zetu. Mungu awapumzishe kwaamani🙏🙏🙏

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 Před 4 lety +27

    HAKUNA UJUMBE MZURI ULIOWAHI KUIMBA KAMA HUU.MAMA YANGU NI KIPENZI CHANGU.

  • @goddamwakimi5889
    @goddamwakimi5889 Před rokem +2

    Apo Kwa Alikiba na Diamond umetisha Sana mtumishi Kwa kutambua vipawa vyao walivyojaaliwa,

  • @robietoo
    @robietoo Před 2 lety +1

    Whos here 21/03/2022 On a Mother's Day

  • @mildredwekesa3357
    @mildredwekesa3357 Před 3 lety +8

    Kwa ma mum,nakupa huu ujumbe uliobora kwangu.barikiwa bro

  • @friendsofjesuschrist
    @friendsofjesuschrist Před 4 lety +69

    From Nairobi. I just want to ask if am allowed to replay this song 20 times because I have done replays 19 times and am getting tempted to listen the whole day🤔🤔. #Happy mothers day to our cute and wonderful mothers# God bless Annoint Amani for this great song.# RIP my dearest and lovely sweet mama#

  • @shebbyodek6854
    @shebbyodek6854 Před rokem +1

    In 2023 but still watching..
    Like

  • @user-lc1jp1lj2w
    @user-lc1jp1lj2w Před 11 měsíci +4

    Napenda nyimbo zako sana

  • @brendanekesa571
    @brendanekesa571 Před rokem +12

    Annoit amani God bless you so much,ninapo sikia wimbo huu nakunbuka mbali sana

  • @kefaasukile7261
    @kefaasukile7261 Před 4 lety +3

    NDUGU IKIWA UNAIMBA KWA AJILI YA UTUKUFU WA MUNGU, HEBU JITAHIDI UBADILIKE NAMNA ZA MAVAZI NA MWONEKANO WA NJE, UACHE FASSION ZA WATU WA DUNIA, Wewe nyoa, vaa na mwonekano kwa ujumla uwe wa kawaida wa heshma. Ili kwa kuimba kwako umhubiri Yesu.

    • @mlokolekaokoka8962
      @mlokolekaokoka8962 Před 4 lety +1

      IMBA WEWE UVAE IVYO MPENDWA LAKINI SISI WENGINE HATUONI SHIDA HAPO,YUKO SAWA KABISAA,WANADAMU MWACHENI ANNOINT MAANA HAMNAGA ZURI NYIE ,,

    • @kefaasukile7261
      @kefaasukile7261 Před 4 lety

      WENGINE TUNAUMIA TUNAPOONA LEO WAIMBAJI WA INJILI NAO WANATAKA KUJILINGANISHA NA DUNIA, BASI WAIMBE NYIMBO ZA DUNIA HUKO HATUTAWAGUSA KUWAONYA LKN KUMTUMIA YESU VIBAYA HAPO ANATUGUSA WAFUASI NA MAWAKILI WA YESU DUNIANI. jaman njia ya mbinguni ni nyembamba wataenda waliojikana na kubeba msalaba, iachen dunia tumwelekee Mungu wapendwa, rudini kwenye misingi ya Mungu. waimbaji nawaonya kwa jina la Bwana, Imbeni kwa nia ya kuwafanya wanaosikia na kuona video wapate kumwelekea Mungu, na sio kwa lengo la biashara na kuwafurahisha wadunia.

    • @mlokolekaokoka8962
      @mlokolekaokoka8962 Před 4 lety

      @@kefaasukile7261 HUNA UKWELI WOWOTE ,ANNOINT KAVAA KAWAIDA TU ,WEWE ULITAKA AVAAE NINI ZAIDI YA IYO SUTI ,AU IYO NGUO NDEFU NA WAMAMA BADO UNAONA MBAYA AU UNASEMEA IYO PENZI NYEUSI MBONA NZURI TU HAINA SHIDA,KAMA KUNYOA HAJAANZA ANNOINT TENA KANYOA KAWAIDA TU, MAANA MWIMBAJI MKONGWE MWANSANSU ANA NYOA ZAIDI YA ANNOINT LAKINI HAMJAWAH KUSEMA,ILA TU MTOTO WAWATU HUYU AKIFANYA JAMBO LAZIMA MUAMUE KUMSEMA VIBAYA, NDUGU KAMA UMEOKOKA UMEKOSA HEKIMA YA KUSEMA KWANZA, ANNOINT HONGERA KWA KAZI NZURI ,ILA NINA HILI NA HILI AU UKA MTAFUTA UONGEE NAE MWENYEWE MAANA NAMBA ZIPO HAPO JUU UNAMPATA MDA WOWOTE, HAPA KILA MTU ATAKUONA MKOROFI KWA NYIMBO KAMA HII YA MAMA JAMANI UKAANZE KUINGIZA MAMBO YAKO HAPA SIO VIZUR TENA MUOMBE MUNGU UMEKOSA HEKIMA KATIKA HILI,MUNGU ATUSAIDIE WATUMISH JAMANI,MAANA HII NYIMBO WATU KILA AINA WATA IANGALIA SASA WANA KUTANA NA UJUMBE WAKO,MTUMISH WA MUNGU UMEMSEMA MWENZAKO HADHARANI,,SIO VYEMA JIFUNZE KULINDA MWILI WA KRISTO ,

    • @kefaasukile7261
      @kefaasukile7261 Před 4 lety

      NINA UHAKIKA NA NINACHOONGEA HATA WOTE MKANIPINGA, MI NAMTETEA KRISTO SIMTETEI MTU YEYOTE NA SIMCHUKII MTU YEYOTE. Unyoaji huo hata km waimbaji wakubwa wanafanya hivyo msiige kila kitu, kumbuka sisi tunatakiwa kufanana na kristo na watu watusome hata nje kwa tabia na mienendo yetu, kuna vazi hapo mwishoni halifai kwa mtu alieokoka, mpagani na alieokoka lazima kuwe na tofauti hata kimavazi, pia niongeze kusema waimbaji wakati tulionao km wapitaji ni mfupi, tafuteni jumbe zenye kuwahubiri watu waache dhambi, wamjue Mungu na kumwinua Mungu sana. Tumwinue na kumsifu zaidi yeye mwenye kuwawezesha wamama na wababa na wote (yaani YESU) Tusipende kusifiana km dunia inavyopenda kusifiana. Wewe mama kumbuka sio jitihada zako ila ni kwa uweza wa Mungu, watu wote ni wa thaman mbele za Mungu. Yapo mengi ya kukosoa mengine niyaache tu. Kukosoana ni kupangana ili km tulijisahau turudi kwenye mstari, ISAYA 58,1...

    • @mlokolekaokoka8962
      @mlokolekaokoka8962 Před 4 lety +1

      @@kefaasukile7261 OK UMESHINDA MPENDWA SIWEZ KUKUJIBU,NAMIMI NTAONEKANA MPUMBAVU MAANA NILICHO KWAMBIA KINA TOSHA ZAIDI YA HAPO NI KUJITUTUMUA TU ,NAHISI UNA TAFUTA KUJULIKANA HUMU KWA ANNOINT,ILA KAZI NI NZUR WIMBO NI MZURI KAMA WEWE HUJAUPENDA BAKI NA CHUKI YAKO USI COMMENT TENA ,MAANA HAJAVAA KITUMISH KAMA USEMAVYO BAS WATAFUTE WALIOVAA KITUMISH NDO UWA SIKIRIZE,,

  • @lazarodaudi1689
    @lazarodaudi1689 Před 2 lety +1

    Hivi huyu aliyeimba huu wimbo kumbe ni mtoto wa Rose Muhando

  • @ZaireMudeba-lx8pt
    @ZaireMudeba-lx8pt Před 2 měsíci

    Nikweli umeimba vizuri sana kaka unabidi usapotiwe sana,ila usije ukajichanganya kwakugusagusa ili uwe maarufu...

  • @tedyjuma1988
    @tedyjuma1988 Před 2 lety +4

    Nikweli hapo umetisha hakuna kama mama😋😋😍😍👸👸👸

  • @bahatibahaty6549
    @bahatibahaty6549 Před 4 lety +29

    Just landed here after kuiona Kwa status ya mtu

  • @janetmanyansa41
    @janetmanyansa41 Před 2 lety

    It reminds me of those who look down at women,they should ask for forgiveness

  • @essiemwende3608
    @essiemwende3608 Před rokem

    Video nzuri Sana Ila apo Kwa kusukuma hujasukuma vizuri😄😃😄

  • @gloryasak8277
    @gloryasak8277 Před 4 lety +47

    Hongera sana brother Mungu azidi kusimamia kipaji chako

  • @fatumadjumbe2551
    @fatumadjumbe2551 Před 4 lety +27

    Annoint una endelea kugusa moyo wangu yaani ume nibariki baraka isio kua na kifani. Barikiwa na bwana mtumishi

  • @moses25473
    @moses25473 Před 2 měsíci

    Nataka nyimbo hii niitoe remix

  • @ChikondiHasan-pg5pm
    @ChikondiHasan-pg5pm Před měsícem

    Mwanamke ahegimwe ATA kaka in mtoto mdogo kama unakima❤❤❤❤

  • @ElprinciLouisXIII
    @ElprinciLouisXIII Před 4 lety +5

    Mbona hii ngoma haina 1 million views? Annoint pata heshima na hongera zetu kutoka diaspora via Kenya. Salute keep up the good work!

    • @mlokolekaokoka8962
      @mlokolekaokoka8962 Před 4 lety +2

      Namimi nimesha kina mama wana niangusha wanaenda kwa kas ya 3G wakata hii nyimbo inafaa iende kwa kas ya 4G,Lakini hakuna atakae zuia hii nyimbo kufika million 1 view ni kama surprise tutashaa paa m1 hii apa alafu huko mbele raisi tu kupita ,

  • @gloriarobert6582
    @gloriarobert6582 Před 4 lety +9

    Wimbo mzuri sana, wa mama wote barikiweni na ujumbe huu.

  • @dorcaslor2166
    @dorcaslor2166 Před 2 lety

    Hasaaaa Ndio Mama Ni Mama Tu Ubarikiwe kamue Na Jama Yama Yako Yote Amen Ah Wuchungu za Kizazi Rose Muhando Results ya kazi yako Yako iyi Amen Amen Amen Maranatha

  • @JustinaMtoma-og4eo
    @JustinaMtoma-og4eo Před 5 dny

    Nakupenda sana mama angu Mungu awatingie nguvu wakina mama wote❤❤❤

  • @christineokunjo6243
    @christineokunjo6243 Před 4 lety +22

    Huu wimbo nimeusikiza mara kadhaa, unaleta raha kidogo huzuni yani kazi safi kwa kweli

  • @ismaelmastaki7769
    @ismaelmastaki7769 Před 4 lety +7

    From South Africa 🇿🇦🇿🇦🇿🇦 #MAMA SUKUMA# Annoint ubararikiwe namungu akuongezeye baraka na kipaji chako ,Amen amen amen

  • @marynasyieki3783
    @marynasyieki3783 Před 3 měsíci

    Na mm mjanitaja mbona😂😂Be blessed bro wimbo mzuri sana❤❤🙌🙏🏾🙏🏾

  • @johnsonmichael945
    @johnsonmichael945 Před měsícem

    Baba umefunika tunzo inakuhusu

  • @mathewandililemwandenuka4692

    Nimebarikiwa sana, Endelea Kubarikiwa Mtumishi wa Mungu🙏🏾🙏🏾

  • @GraceMachi-fn3ci
    @GraceMachi-fn3ci Před 2 měsíci +3

    Wow inspiration words ❤❤ happy international women's day to all women's

  • @vanessamagezi6986
    @vanessamagezi6986 Před 2 lety

    Wanaume wangekuwa wanajua mateso wanayopata wanawake wakati wa ujauzito na kujifungua,wasingethubutu kuwatelekeza watoto.

  • @michaelduwe4797
    @michaelduwe4797 Před rokem

    Tufanye yote lakini wee acha Mama ni Habari Nyingine kabisa, mbarikiwe sana ndgu waimbaji, kwa kumtukuza Mama.

  • @jefmax36
    @jefmax36 Před 3 lety +11

    Mama ni mtu wa maana katika maisha yangu. Nakuheshimu sana mama🙏

    • @MerryLoko
      @MerryLoko Před 7 měsíci

      Mama ni mtu muhimu sana katika maisha yangu I love my mumy💚💚💚💚💚💚🧡💛

  • @mercelinenasimiyu4700
    @mercelinenasimiyu4700 Před 2 lety +3

    Congratulations 🎊 bro hakuna mtu kama mama❤❤❤ mama ni mama to so annoint essau amani jikaze sana kumutumikia mumgu aliye kupa sauti nzuri ya kuimba.Tumeona mabadiliko kwa vijana waliyo potoshwa na dunia wamerejea kwa bwana sasa hiyo ni jambo kubwa sana annoint mutumishi wa mungu mm wako mercy from uae 🇦🇪

  • @user-ds3yb2ft9f
    @user-ds3yb2ft9f Před 9 měsíci

    Hata kama mama yangu ametangulia mbele ya Hali bado nampenda

  • @graceyohana1733
    @graceyohana1733 Před 2 lety

    Siku nyingine muimbie baba kwa kumshukuru kukuchagulia mama Bora ,,, daima kichwa kitabaki kichwa tu haitabadirika kuwa mkia.

  • @catherinenkwao2282
    @catherinenkwao2282 Před 3 lety +4

    What a beautiful song mama ni mrembo hakuna kama mama barikiwa sana mtumishi sauti imechujwa kutoka mbinguni nimebarikiwa sana

  • @noelyhango9118
    @noelyhango9118 Před rokem +5

    Aliambiewa Mama sukuma akazaliwa Noel good bless Mama wote mungu awabaliki wimbo Bora wa gospel 2022, huu

  • @TriphoniaKioko
    @TriphoniaKioko Před 25 dny

    Mama ni ufunguo wa maisha ya mtoto

  • @FlorahWanyonyi-uy6gf
    @FlorahWanyonyi-uy6gf Před 23 dny

    Mama n mtu wa maana katika maisha

  • @zaitunikassim6959
    @zaitunikassim6959 Před 3 lety +4

    Ii nyimbo ni nzuri jaman 😭😭😭ubarikiwe kaka 🙏🙏🙏

  • @zilpahcharlotte3856
    @zilpahcharlotte3856 Před 4 lety +36

    Aliambiwa Rose sukuma akazaliwa Annoint Essau. You made me Cry indeed. I salute my Mum. Blessings to all Mothers & female figures wherever you are.

  • @carolinenakirutimana1559

    Jamani Imani ni kutunga!!!!!!!!!!! Ehhhh. Nafurahiya huyu mwimbo kwani na mimi ni mama mwenye watoto. Mungu akubariki saaana

  • @daimondelfina5689
    @daimondelfina5689 Před 10 měsíci

    Who is here 2023? God bless all th mothers in the world🙏

  • @michaelmwarimo552
    @michaelmwarimo552 Před 2 lety +3

    Amani Hii uliweza, all the way from Kenya, Mwahali Mwarimo. Congratulations Broo.

  • @princes6045
    @princes6045 Před rokem +22

    The voice and words are very touching respect to mothers!

  • @Bertin-kalume24
    @Bertin-kalume24 Před 7 měsíci

    Nous autres ici affection maternelle ni mambo 😭😭💔 maman est parti tôt 😔

  • @user-ex2nu3oc9m
    @user-ex2nu3oc9m Před 7 měsíci

    Wimbo mzuri naupenda nausikiza mara kwa mara

  • @emanuelidanieli9536
    @emanuelidanieli9536 Před 4 lety +3

    Yan kuazia leo mke wangu nimemweshimu ni mama yangu kumbe barikiwa annoint

  • @xgenerationtrends5435
    @xgenerationtrends5435 Před 4 lety +95

    I dedicate this song to my dearest mama, be blessed mum.

  • @lovenalutta1789
    @lovenalutta1789 Před 6 měsíci +1

    2023 the message is still strong

  • @keramadancun6117
    @keramadancun6117 Před 2 lety +39

    I dedicate this song to my late mum and all mum's in the whole world,you people have got a hard job,the pain you go through is unbearable be blessed and let the love of God lead upon your lives for those who are alive

  • @mercycriss2284
    @mercycriss2284 Před 4 lety +15

    Mama apewe heshima yake 😘😘😘😘strong one hadi machozi inajitoa tu ukisikiza 😢😢😢

  • @judithnyantikanyaboke6363
    @judithnyantikanyaboke6363 Před 5 měsíci +2

    Kila mwanamke apewe heshima tuko na kazi ngumu kulea ndio kazi usimchome amen nice song.

  • @JayramOtim-ut5eb
    @JayramOtim-ut5eb Před 2 hodinami

    God bless 🙌 🙏 ❤️

  • @loisekarimi5103
    @loisekarimi5103 Před 9 měsíci +3

    I dedicate this touching song to my late mum💔💔 I've cried a river today.20 plus years but it seems like yesterday.All is not well without a mama💔.

    • @ednakutoh8608
      @ednakutoh8608 Před 7 měsíci

      Sending you hugs may God comfort us💔😣🙏