Annoint Amani = Fainal ni Kesho (Shilembe Official music Video) Skiza tone 9048660 to 811

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 28. 04. 2020
  • #fainalnikesho#annointamani#
    Hizi ni siku za mwisho unyakuo umekaribia Yesu anakuja kuchua kanisa,
    Kila mtu amtafute Mungu sana ili asiende motoni,
    Pia tukeshe tukiomba ,
    kila wakati tujitakase ili tusingie majaribuni maana Shetani Anajua siku zimeisha ana wadanganya watu ili waende motoni.
    Kama umeamua kumfwata Yesu usimuache na kama umeamua kutenda dhambi tena dhambi sana hukumu inakuja maana final ni kesho.)
    (These are the last days of the rapture, and Jesus is coming to take away the church.
    Let every soul be in subjection to the higher powers: for there is no power but of God;
    Let us also keep on praying,
    every time we purify ourselves so that we do not fall into temptation because Satan knows the days are over and he deceives people into going to hell.
    If you have decided to follow Jesus do not leave Him and if you have decided to sin again very sinful the judgment comes because the final is tomorrow.)
    Artist Annoint Amani .
    song Fainali ni Kesho .
    Album Fainali ni Kesho.
    (language Swahili)
    VIDEO A.E.A DIR.MEDICK
    AUDIO A.E.A TONES
    PRO .JORAM TANSEHA
    +255620 507 140
    (for booking
    Instagram. Annoint amani
    email.amananoint@gmail.com
    +255767240181=+255755099942
    Dar es salam tanzania )

Komentáře • 689

  • @annointamani3285
    @annointamani3285  Před 4 lety +261

    NAAMINI KILA MTU ATACHUKUA PALE PANAPO MFAA KATIKA WIMBO HUU,
    KAMA NAWEWE HUTAKI KUWA SHILEMBE GONGA LIKE HAPA NA MUNGU ATAKUSAIDIA MAANA BILA MUNGU HATUWEZ KUUSHINDA USHILEMBE.

    • @sarahlyanga3766
      @sarahlyanga3766 Před 4 lety +4

      Annoint Amani I wish siku niimbe na wewe nakupenda

    • @debrahalibalishow1415
      @debrahalibalishow1415 Před 4 lety

      Mdogo wangu Mungu akutunze sana wimbo mzuri sana tumepoteana tena mawasiriano yako nilienda Canada nikabadirisha simu tuwasiriane ni Dada Celline kutoka London Mungu akubariki sana

    • @mlokolekaokoka8962
      @mlokolekaokoka8962 Před 4 lety +4

      @@debrahalibalishow1415 Unaweza kuwasiliana nae kwa namna izo hapo juu amekuwekea +255767240181

    • @nuruanaqoqona8284
      @nuruanaqoqona8284 Před 4 lety +2

      @@sarahlyanga3766 Utaimba nae tu Omba Mungu wakat wa Mungu ndo mzuri ,Mimi niliomba kwa mda mrefu sana na Mungu akajibu maombi yangu ,
      tayar nimefanya collabo na Annoint Kwakweli nabarikiwa sana kuwa mmoja wa walio shiriki kipawa cha kipekee cha huyu kijana .

    • @e.j.starelia5672
      @e.j.starelia5672 Před 4 lety

      Nakuombea mtumishi Wa Mungu

  • @vallaryayumah5901
    @vallaryayumah5901 Před 3 lety +5

    Wapi like angu huu wimbo umeniguza saana

  • @valleryzinda4756
    @valleryzinda4756 Před 5 měsíci +4

    I love this song wa kenya mupo wapi ??????😂😂

  • @wene32
    @wene32 Před 9 měsíci +2

    Wacha nibandilike nisiwe kama shilembe🎉

  • @raphaelsaitoti3663
    @raphaelsaitoti3663 Před 3 lety +2

    Mungu akubariki Sana Sana kaka nasikub as li Kaz sako mm pia no muimbaji nataka nipige kolabo na wewe

  • @ritanamutos4558
    @ritanamutos4558 Před 8 měsíci +2

    Hallelujah hallelujah hallelujah thank u man of God wakenya wapiiiiiii🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @kiswaswaduolgii-gv6yb
    @kiswaswaduolgii-gv6yb Před 6 měsíci +2

    Nakupenda sana tangu ulivokuja Kwa mwaka benga

  • @metalight.
    @metalight. Před 11 měsíci +3

    I really like your songs annoint amani let the hands of God be upon you

  • @vdjpeter254kasarani2
    @vdjpeter254kasarani2 Před 3 lety +30

    Hii ni kali sana...wenye masikio na wasikie hii...Annoint Amani thank you...much love from 254 Kenya.

  • @scolasimiyu171
    @scolasimiyu171 Před 2 lety +2

    Sitaacha kucomment kila niwatch hicho ni kipawa kikubwa ambacho umebarikiwa mtumishi wa MUNGU, so amazing

  • @marcombena6207
    @marcombena6207 Před měsícem +1

    Kazi nzr kaka tunabarikiwa na nyimbo zako

  • @VINCENTMUTEMI-do2bd
    @VINCENTMUTEMI-do2bd Před 2 měsíci +1

    Hongera sana kwa wimbo mzuri sana.Ina upako wa kipekee.

  • @RubaR-nr5wz
    @RubaR-nr5wz Před 7 měsíci +2

    😭😭😭😭😭ak kwakweli huu wimbo umenigusa siwezi zuia machozi kutoka

  • @evaline887
    @evaline887 Před rokem +3

    Ooh goodness I wish all to hear this message very powerful Mungu fungu masikio yangu coz ya huu ujumbe amen.may God increase you more sir

  • @janetmasinde9691
    @janetmasinde9691 Před 2 lety +2

    Napenda sana nyimbo zako be blessed

  • @sheilanekesa2130
    @sheilanekesa2130 Před 3 lety +2

    Huu wimbo unanijenga Sana kimaisha

  • @febronianyangwala7524
    @febronianyangwala7524 Před 3 lety +3

    Mungu akubariki kwa nyimbo na jumbe nzuri

  • @nyashnyash3182
    @nyashnyash3182 Před 3 lety +4

    Team saudia gonga like tusije tukawa wakina shilembe

  • @lediciacheilax4831
    @lediciacheilax4831 Před 5 měsíci +5

    Every time this song is new. Its making me stronger every day

  • @stellasulle1396
    @stellasulle1396 Před 10 měsíci +3

    Tusibishane Sana mana muda umekwisha na hako ka bass Sasa!!

  • @JudithLivingston-gk2jg
    @JudithLivingston-gk2jg Před 10 měsíci +2

    Kiukweli kupitia nyimbo Hii lazma kama umeanza kurudi nyuma lazma ujirudi tena❤👍🏼💙💗

  • @khebbetydikson4195
    @khebbetydikson4195 Před 2 lety +4

    Daaaaaa niwimbo uliozungumza kiatu Cha kweli kabisa 👏💕 tu wasafi nje lkn ndani hatutendendi yanayompendeza mungu 😳

  • @washantiekerry945
    @washantiekerry945 Před 3 lety +24

    Nice song wakenya mko wapi gonga like tukisonga

  • @faithkamanthe3448
    @faithkamanthe3448 Před 2 lety +1

    Juu wimboooo ....uko poa🙏

  • @jethrovkasereka5333
    @jethrovkasereka5333 Před rokem +8

    Wimbo umenibariki sana. Haswa kwenye historia ya Shilembe

  • @janetojwangmusic221
    @janetojwangmusic221 Před rokem +2

    God bless you man of God 🙏.

  • @catherinemurugi3718
    @catherinemurugi3718 Před 4 lety +15

    Team Kenya gather here pls 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @judykalekye7808
    @judykalekye7808 Před rokem +2

    This is great I love it. God bless you brother

  • @mr.magembe8242
    @mr.magembe8242 Před 2 lety +5

    Jamani ivi Kuna wasanii kumbe wazuri hivi daah wimbo mzuri na wenye ujumbe Sana. Hongera Sana Mungu akukumbuke Sana mwimbaji katika maisha yako

  • @rosebor5316
    @rosebor5316 Před 3 lety +2

    Sauti pekee takes me to heaven

  • @marrialee1621
    @marrialee1621 Před 2 lety +2

    May God forgive us ad have mercy on us,our hearts are full of envey, bitterness and anger towards others, father God 🙏🙏 help us to be cleaned outside and inside

  • @faithkatumbi3104
    @faithkatumbi3104 Před 9 měsíci +2

    Amani your songs are soo powerful...l love them so much...may God bless you and give you strength

  • @paulynenanjala319
    @paulynenanjala319 Před 8 měsíci +2

    A nice one . Having friends that are hypocritical pretending to love but they bite is likened to Mr shirembe "clean on the outlook but inward a devil reincarnate

  • @samuelmbuvi3320
    @samuelmbuvi3320 Před rokem +2

    Walevi ndio kafiri,tufanyeje jameni

  • @enockndale8472
    @enockndale8472 Před 4 lety +2

    AMEN AMEN ANNOINT MUNGU AKUBARIKI SISI SIO KAFIRI KWANI TUNAMUABUDU MUNGU ANAEISHI WAAMBIE WAJUE KWANI HAO NDO MAKAFIRI AMENI ,UJUMBE UMEFIKA NA UMEGONGA NDIPO

  • @augustuskateeofficial6945

    #amina ukwel mtupu huo#siku ya hukumu laja#mwanadamu tukiri dhambi zetu kwa pamoja#mwimbo mzuri huo mungu abariki ww sana.

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 Před 2 lety +1

    🇹🇿 Tanzanian we love you

  • @charlesjacksontz267
    @charlesjacksontz267 Před 4 lety +14

    Mungu mtukuze mwanao kama alivyokutukuza wewe jina lako ni kibwa sana, Ufalme wako uje kwake daima na milele, hili neno nimetoa kutoka ndani anoint nimimi Charles jacksont tz Muimbaji hii pale Mwisho ndiyo nimeguswa zaidi ya maelezo

    • @mitumekwaya8223
      @mitumekwaya8223 Před 4 lety +1

      Hakika namimi nimeomba ivyoo Mungu ainue huduma yakeeeee

  • @judithondari5065
    @judithondari5065 Před 2 měsíci

    Shilembe ni wengi kwa kanisa letu, nawaombea wamrudie mungu🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mercyjeptoo5443
    @mercyjeptoo5443 Před 2 lety

    Most of our churches clean outside wanaacha inside heart
    Hii song siwezi kaa siku moja Bila kuiskiza
    Juu ya hiyo story natafuta mwanamume
    I'm born 1998

  • @jeffersonmwandima9374
    @jeffersonmwandima9374 Před 3 lety +25

    This is the kind of gospel need to be emphasized.

  • @JonestaPonsian
    @JonestaPonsian Před 11 měsíci +1

    Waoooooo amaizing

  • @RubensaroSaro-ip6by
    @RubensaroSaro-ip6by Před 13 dny

    Sitaki kuwa kama shilembe kabisaa

  • @dennisokioga6026
    @dennisokioga6026 Před měsícem

    Wimbo wenye mafunzo sana lkn kila mtu tujitahidi ili tusiwe kama shilembe

  • @dorcaslor2166
    @dorcaslor2166 Před 3 lety

    Ndio mutoto Wetu Anoint Esau Bao Njo Kafilri Kua Sababu ba na kosa Roho Mutakatifu y’a Mungu Roho Wa Mbinguni Ni Hatari Sana Amen

  • @ritanamutos4558
    @ritanamutos4558 Před 8 měsíci +2

    I really really love ur songs mtumishi continue giving us the right messeges sir

  • @gracedeejcsev5211
    @gracedeejcsev5211 Před 2 lety

    Mungu pekee ndiye anajua umeumbwa na nini. Anakujua zaidi kuliko nafsi yako na anajua ni nini kizuri kwako. Utiifu wako utakuepusha na maumivu mengi. hongera ndugu yangu ✋

  • @jolemerci2155
    @jolemerci2155 Před 2 lety

    Asante mtoto wangu barikiwa kwa kiwango kuokowa mwanadamu kwa nyimbo za ku tafuta mungu kwa ujasili🙏🙏

  • @NeemaAizaki
    @NeemaAizaki Před 7 měsíci +1

    Wow nice sana

  • @elizabethlukale4474
    @elizabethlukale4474 Před 3 lety +2

    Woow tuwe wasafi ndani .si nje .be blessed

  • @BenardOdiwuor-yr6dt
    @BenardOdiwuor-yr6dt Před měsícem

    Very powerful song,Mungu apewe sifa zote aki

  • @NeemaMateleka
    @NeemaMateleka Před měsícem

    Ujumbe mzito kaka kuubeba siwezi ila siku ilifika nitaubeba amina

  • @yasintaraphael8334
    @yasintaraphael8334 Před 3 lety +1

    Ubalikiwa sana mtumishi wa MUNGU kwa wimbo huu

  • @collinsmugunah2320
    @collinsmugunah2320 Před 3 lety +13

    i love you you and your songs brother....wapi likes za Annoint??

  • @pollygaceri4027
    @pollygaceri4027 Před 2 lety +2

    I keep on listening to this Song every time... Mungu abariki Kipaji chako +254🇰🇪 tunakupenda sana

    • @naomimusic3248
      @naomimusic3248 Před rokem +1

      Such, ablessed vessel, you re ablessing to me, your songs are, very powerful

  • @getrudasalende8873
    @getrudasalende8873 Před 3 měsíci

    hongera kwa nyimbo nzuri

  • @user-rv7nm5ep4p
    @user-rv7nm5ep4p Před 2 měsíci

    Hizi ndo nyimbo ninazozipenda Mungu akubariki, maana zinatutoa sehemu Moja kwenda sehemu nyingine.

  • @emmahmoraa1773
    @emmahmoraa1773 Před 7 měsíci +2

    His is a good song

  • @elinahkerubo6360
    @elinahkerubo6360 Před 9 měsíci +1

    Shilembe jamani really like that part..... much love

  • @mirriamkioko8559
    @mirriamkioko8559 Před 10 měsíci +2

    The song is such a blessing❤

  • @janetadolf3793
    @janetadolf3793 Před 2 lety +1

    Hongera Kwa nyimbo mzuri kaka'.kweli mungu alikuchagua Kwa kazi yake.

  • @julitamwadime5073
    @julitamwadime5073 Před rokem +3

    Good song.God bless you,from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @evanswasio7750
    @evanswasio7750 Před 3 lety +1

    Hi,mungu azidi kukongeza kipaji bro AMani......pia mm naomba mungu anifungulie njia siku moja tukutane ili uniongoze kwa kuimba....mungu ako na wewe.....soma yeremiah 17:5 amebarikiwa ule amtegemeaye bwana maana ufalme wa mbiguni n wake n amelaaniwa ule amuaminiaye mwanadamu mwenzie cz amelaaniwa Amina usiku wa haraka na matunda mema na walilie wakina shirembee

  • @winniferkerubo9956
    @winniferkerubo9956 Před rokem +5

    I do listen this song now and then it has a deep meaning,christians are neaty outside but the heart is devil,thanks bro

  • @dianaoyengo8440
    @dianaoyengo8440 Před rokem +3

    Nyimbo zako zinanibariki blessings from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @naomychepchumba6253
    @naomychepchumba6253 Před 2 lety +1

    True song 🎵 I like it

  • @ibrahimmaroa5767
    @ibrahimmaroa5767 Před rokem

    ni kali Kaka yangu mungu amulinde unyu musani wetu mimi ni ibrahim maroa kutoka Kenya kehacha 🙏💥👍🏽🚶🆗

  • @salomerita-sv2vg
    @salomerita-sv2vg Před rokem

    Napenda nyimbo zako sana zinanitia moyo

  • @neemasanga4536
    @neemasanga4536 Před 3 lety +1

    Woiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, piga keleeeeeee kwa anoit
    Fainal nikeshoooooooooo,
    Piga keleee ya pili kweke
    Weweeeeeeeeeeeeeeeeeee

  • @dorcaslor2166
    @dorcaslor2166 Před 3 lety

    Anoint Amani Mutoto wa Rose Muhando Muenye muziki Mungu wa Israëli Akunyayule Tena Amen Shalom Shalom Amen

  • @humblemercyy
    @humblemercyy Před 2 lety

    Watu wanajifanya wazuri kumbe ndani yake mbwamwitu....👈👈👈👂👂👂👂👂👂kujeni msikie hiii

  • @hillarycheruiyot1963
    @hillarycheruiyot1963 Před 2 lety +1

    Love your songs man

  • @hylenemarara5812
    @hylenemarara5812 Před rokem +2

    Such anice song it's a blessing song

  • @greenmedia002
    @greenmedia002 Před 2 lety

    Natamani tufanye kazi pamoja mtumishi annoint

  • @dankote2549
    @dankote2549 Před 2 lety

    I cant stop listening to this song...who elsea is in 2022 for this song

  • @sammynderu725
    @sammynderu725 Před 4 lety

    Finally ni kesho....ole wenyu mnao wafanyisha kazi watu siku za ibada...

  • @marybaitwa5994
    @marybaitwa5994 Před 3 lety +1

    Mwenyezi mungu akubariki baba

  • @judithoscar8445
    @judithoscar8445 Před 3 lety

    Barikiwa sanaaa

  • @user-br4qj5fs5v
    @user-br4qj5fs5v Před měsícem

    Umeweza.sana

  • @bahatijeremie1236
    @bahatijeremie1236 Před 3 lety

    Una tisha kijana ,karibu kwetu Congo DRC

  • @joycesinkala225
    @joycesinkala225 Před 2 lety

    Aiseee umeimba kwaisia kaka mungu abariki kazi yako Amina🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿♥️♥️♥️♥️💓💓❤️❤️❤️💓❤️❤️

  • @user-qs6cc8kf8p
    @user-qs6cc8kf8p Před 7 měsíci +1

    Yesu yuaja

  • @dorcaslor2166
    @dorcaslor2166 Před 3 lety

    Amen Amen Amen Ndio Île Nikueli Kabisa Usafi y’a Inje ni Hatari

  • @margarethkitalu3105
    @margarethkitalu3105 Před 2 lety +1

    Keep moving forward mtumishi wa Mungu 🙏🙏🙏🙏

  • @silverymanirakiza9670
    @silverymanirakiza9670 Před 4 lety +1

    Mimi niko Washington marekani lakini hiyo nyimbo inaogopesha sana kwamwenye zambi

  • @lydiaansah161
    @lydiaansah161 Před 4 lety +1

    Nakuombea mwisho muzuli

  • @liliyanzindu4474
    @liliyanzindu4474 Před 7 měsíci +1

    Good work amani
    👋🙏🦸God to bless you

  • @margaretokuku5990
    @margaretokuku5990 Před 3 lety

    Nape nda sana.nyimbo.zako zinanibariki.sana

  • @annamakongo995
    @annamakongo995 Před 3 lety

    Nyimbo inaujumbe mzr sana ukiskiliza lazma uokoke ais MUNGU aendlee kukutia nguvu kaka

  • @mtitagirloriginal6890
    @mtitagirloriginal6890 Před 3 lety

    Duuu Mim nikikusikiliza moyo yako ulijaa Iman nafarijiaka Sana nataman familia yangu iwe hivi

  • @bikemwatv.
    @bikemwatv. Před 3 lety +1

    Kazi njema sana mtumishi wamungu annoint esau Amani mungu akubariki sana kaka:

  • @user-pu7eb3wf3n
    @user-pu7eb3wf3n Před 8 měsíci +1

    Nice song kakaaa

  • @user-qv6hb4gw9b
    @user-qv6hb4gw9b Před 3 měsíci

    Nakukubali sanaa

  • @annekayi273
    @annekayi273 Před 4 lety +13

    Ei nyimbo zako jameni zina masegi, zina mafuzo kweli barikiwa dungu

  • @jenivaabas3367
    @jenivaabas3367 Před 2 lety

    Annoint mungu kakupa hiyo karama hakikisha usiache ukiacha na wewe utakuwa washilembe

  • @veronicaerasto7249
    @veronicaerasto7249 Před 4 lety +1

    Ujumbe mzuri sana, kweli umepewa kipawa cha uimbaji Mungu azidi kukufanikisha katika kazi yake,,,.

  • @eliasbonda9802
    @eliasbonda9802 Před 2 lety

    Wimbo huu jaman ni mzr sana, yaani mtumish ubarkiwe sana

  • @GMtvonline1147
    @GMtvonline1147 Před 4 lety +1

    Anoint mía mía hii ngomaaa umepiga mteule

  • @Gloria-eq6rg
    @Gloria-eq6rg Před rokem

    Nakupenda sana vile umejitolea kaka kufanya kazi ya mungu

  • @ceciliaNduku-vy4rl
    @ceciliaNduku-vy4rl Před rokem

    Nyimbo rako zanibariki kiroho sana,mungu akuongeze upako