IJUE SHERIA : MAHUSIANO YA MPANGAJI NA MWENYE NYUMBA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 2. 08. 2024
  • Katika kipindi hiki cha Ijue Sheria Wakili Riston Malingumu anazungumzia Mahusiano ya Mpangaji na Mwenye Nyumba

Komentáře • 7

  • @abdallahlungo3816
    @abdallahlungo3816 Před 6 lety +2

    Somo ni zuri sana.

  • @glorygreyson2809
    @glorygreyson2809 Před 7 lety +2

    somo limeeleweka !

  • @tatujelemia6853
    @tatujelemia6853 Před 2 lety

    Je kwa mfano tumeelewana na mwenye nyumba kuwa niwe na mlipa kodi ya miezi mitatu ikaja ikafikia sehemu kodi yangu imeisha na nikawa sijaipata pesa lakini nikawa nina nia ya kumlipa je anahaki ya kunifukuza kwa mda huo

  • @petereliyamagola6061
    @petereliyamagola6061 Před 6 lety

    Hivi mtu anayekaa kwenye nyumba ya mwajiri, je naye ni mpangaji au aitweje?

    • @ristonzela7893
      @ristonzela7893 Před 6 lety

      Inategemeana na mkataba kati ya mwajiri na mfanyakazi, kuna wajiri wanapangisha nyumba kwa mpangaji na analipa kodi kama wapangaji wa kawaida na kuna waajiri wengine wanatoa nyumba kama sehemu ya motisha kwa mfanyakazi na mfanyakazi halipi kodi, hapo hakuna uhusiano wa mpangishaji na mpangaji ila taratibu za kiofisi na sheria za ofisi husika hufuatwa.

    • @beatricekimaro1095
      @beatricekimaro1095 Před 2 lety

      Ninapo maliza mkataba siku hiyohiyo na Sina pesa nitapata ndani ya siku kumi au kumi natano wenye nyumba ananifungia ninlaflanyaje ? Na mwezi haujaisha

    • @maxmillianjoseph8332
      @maxmillianjoseph8332 Před 2 lety

      Je mfano mwenye nyumba akikupa notice kinyume na mkataba mfano mkataba unasema anatakiwa kukupa notice mwezi mmoja kabla sasa yeye anakupa zimebaki siku 13 naanadai atakiongeza mwezi Ila uomwezi nao niulipie je ikosawa