Deni hilo msituangushe wachezaji wetu tunawaombea ushindi wa mabao kuanzia mawili na Alama tatu tunaondoka nazo tukijazia pale inakuwa 65❤❤❤yangaaaaaaaaaaaaaaa
Mungu ni mwema sana tunashkuru kutupatia mfadhili mkubwa pia tunashkuru kutupatia viongozi wenye akili na kuongoza akili zao kutambua mashabiki wanataka nini yaan Eng.umecheza kama pele kumchukua Yao Yao na Pacome ili kuitengeneza furaha ya Azizi Ki nakupata muunganiko mzuri lkn angekuwa peke ake Azizi Yanga asingekuwa na mchezaji yoyote yule aliokuwa akicheza nae Asec Mimosa angetamani kuondoka itoshe hivyo tu basi🙏🙌
Kama una kubali yanga gonga like twende
Yanga bingwa
💚💛💚💛🖤💛💚🇹🇿
Naipenda yanga sanaaaa
Kama unamkubali Pacome na Azizi gonga likes za kutosha
Like yako ya 45 hii hapa 🎉🎉🎉
Namshukuru Mungu kwakunipa akili ya kushabikia hii team 🔰🔰🔰🔰
Sijui nimecheka nn 😂😂
Ambao wanauhakika na arama tatu kama mimi gonga like hapo chini
Alama 3 Comfirmed
Heshima kwenu wana Kigoma🔥🔥🔥💚💛💚💛
daima mbele nyuma mwiko🎉🎉
Hii ndo faida ya kula migebuka na mawese😂😂😂 wahaa wa kigoma ongereni Sana💛💚💛💚
May heavenly Father protect you all,may he give you strength and good health ,all the best my team 😍💚💛💛💛
Kingoma meonyesha ushirikiano sana mungu awazidishie upendo kwa yanga na ushindi juu
Kigoma nyinyi mmemaliza kazi aisee 🎉🎉🎉🎉🎉tunataka ushindi wana kigoma kesho ❤
Mbn watu wengi sana kuzidi adi mikutano ya rais
Rais atusamehe tu 😂😂😂
YANGA INALIWASA🤣🤣🤣🤣
Kigoma na Yanga 🙌🏿💚🔥
Hatareeh 🎉🎉🎉
Yangamotooo daima mbele nyuma mwikoo 🔥🔥 foll up t
Yanga ni mwoto sana 🎉🎉🎉🎉🎉
Namshukuru mwenyezi mungu kwa kunipa akili ya kuishabikia Yanga I love yanga
Yanga bingwa
Azizi k na pacome kiswahi safi 💚💚
Yanga tamu
HUYU BWANA NDOGO ALLY IS SOOOOO BRILLIANT
Yanga yangu i like you semaji la wasemaji wote 🥰😘
Ama kweli hii klabu ilihusika na ukombozi wa nchi yetu Tanganyika nimeamini sikupendwa kote huku ni mwenyezi Mungu
Kigoma wametisha kwakweli pongezi kwao 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Akiyanani simba wakiona hivi wanachanganyikiwa sana🤣🤣
😂😂😂😂
Wana kigoma wanawadai aiseee mungu awalindeee furaha hiyo iendelee
Wananchi wa Kigoma mmetisha sana heshima kwenu💚💛💪💪💪💪
Yanga Kweli Taifa Kubwa, Kila inapoenda Full Shangwe 😂🎉😅❤😢🎉😮😅❤😂
Hongera Sana kigoma yetu
Yanga bingwa 🎉🎉🎉
Naikubari yanga
Chozi limenitoka la fursha naipnda yangaaaaa😢💚💛
Yanga yetu🏆💚💛
Hongereni Waha wenzangu
Wa kwanza like zangu
Kama unaikubali yanga like hapa😊
Yanga raha daima mbele nyuma mwiko
Naipe sana yanga llove U yanga
Bila ya shaka Ahmed Ally anafuatilia team yake pendwa
😂😂😂😂
😂😂😂
Yanga on🔥🔥🔥🔥💚💛💚💛💚💛
Yanga ni familia kubwa sana
😂😂 yaani kama ni mapenzi yamepitiliza mpaka imefikia hatuwa ya mahaba sasa😅😅
Daima mbele nyuma mwiko 🙏🙏🙏
Duh wanangu wakigomaaaaa mmetisha sanaaaaaa😂😂😂😂
Deni hilo msituangushe wachezaji wetu tunawaombea ushindi wa mabao kuanzia mawili na Alama tatu tunaondoka nazo tukijazia pale inakuwa 65❤❤❤yangaaaaaaaaaaaaaaa
🔥🔥🔥
Nawapenda saaana saana
Yanga vibe 😅😅😅❤
Kigoma mmetisha mungu awabariki
WACHEZJAJI MJIONE MNADENI KUBWA KWA WANANCHI💚💚💚💚💚💛💛💛💛💛💛
Ma Shaa Allah nawatakia ushindi mnono zaidi point 3 muhimu wapambanaji wetu
Aise yanga kubwa jaman 🔥🔥🔥🔥
YANGA FANS ARE THE BEST NAISHI UK;THEY IDOLISE THEIR PLAYERS
Daaa, yanga ni tishio kwa burudani kila mchezaji anatamani akacheze yanga aseeeee😂😂😂 raha kuanzia viongozi ad mashabikiiii🌻
Nakubali
Wanakigoma mmetishaaaaa du watu ni wengi jmn
Raha sanaaaa 😁💚💚💚💚🥂👏
Kweli viongoziii muwape tunzo ,hawa watu au bango mkoani kwaoo wawekeeni jaman 😊😊😊 kubwa sana hiii
Tanzania ni nchi ya amani sana na upendo ukiacha ushabiki
Hizi klip akiziona mayele anaskitika sana
Kwakweli waha wametishaaaa sanaaa
Makolo saizi yapo vilingeni kuangaika waakikishe yanga anadondosha pwent makolo yanaroho mbaya sn
Hii yanga atry
Aya mambo ndo mayele anayakumbuka😂
Mayele akion hvy ndio roh inazidi kumuuma😂😂😂 ni utani 😅
Wow 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 yangaaaaa mnanipa Raha nyieeee! Hamjui tyuuuu
Viongoz nawapa saluti ya usajili Bora
This is yanga💛💛💚💚
Vibe la mashabiki wa Tanzania ndilo linalowafanya waendeleee kubaki kwenye timu zetu
Waooo yanga yanguu
Yaani sio tu kujitokeza wana vibe la ajabu na hapo ni nje ya uwanja
Nawapenda wachezaj wazuri
Allaah Akbar
Wana Nchi hao banaaa💚💛💚💛💚💛💚🔥🔥🔥🔥🔥
Hii ndo Yanga🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mungu ni mwema sana tunashkuru kutupatia mfadhili mkubwa pia tunashkuru kutupatia viongozi wenye akili na kuongoza akili zao kutambua mashabiki wanataka nini yaan Eng.umecheza kama pele kumchukua Yao Yao na Pacome ili kuitengeneza furaha ya Azizi Ki nakupata muunganiko mzuri lkn angekuwa peke ake Azizi Yanga asingekuwa na mchezaji yoyote yule aliokuwa akicheza nae Asec Mimosa angetamani kuondoka itoshe hivyo tu basi🙏🙌
Wakubali wakatae Yanga SC bingwa 2023/2024
@@amaniomar1755 Wataelewa tu😂😂🙌
Mungu wetu mkubwa.
Ila Tanzania tunapenda timu zetu mpka majamaa wanashangaa mashabiki wa kutosha
yanga weeeeeee
Yanga on 🔥 is fine
Ndo mapokezi ya kwanza Tanzania na Afrika kwa ujumla
Kigoma mmetisha asee
Yanga raha jaman mm nimesusha na mume kwa sabb ya yang
Watu wa maana sana 🎉🎉🎉
Wana kigoma wameitikaaa kwakweli tunajivunia Wana kigoma
safi cnaa wananch
Tasinda kesho🤣🤣🤣🤣 nakupenda wananchi🤣🤣🤣🤣
Siyo kwa mapokezi aya yanga tam
yanga raha sana
First 2day😂😂🙌🙌 my likes please
ipo good
🎉🎉
Yanga noma sana ilove yangaaaaaaaa
Ila waha bwana 😂😂😂😂😂Wana vibe balaaaa
Love yanga
Vitu anavyomisi Mayele 😂😂
KIGOMA NIMEWANYOOSHEA MIKONO🎉
Ndo maana Kuna mtuu anahic ametupiwa majoni😂😂😂
❤❤❤❤
Wanao wakubali Azizi ki na pacome tujuane kwa kugonga likes
Mwenye kipande cha video ya wachezaji wa simba wanashangiliwa ivy anitumie ap mi namtumia elfu 50 ap ap
Hii ni noma
Mashuja msipeleke timu, mwafwaaaa
Kigoma Raha na yanga