wkt wa Cleopatra misri ilikuwa haina nguvu tena, ilikuwa tawaliwa na Greece na muda huo ilikuwa inatawaliwa na Rome. Cleopatra alitumia nguvu zake kujilinda na maadui zake. kwa sababu alihofia kuuwawa kama ndugu zake
Cleopatra hakuwahi kuwa mzuri , Bali alikua Ana akili nyingi sana na mjanja, alikua Ana ushawishi mkubwa sana, ndio maana aliweza kuwatongoza Caesar na mark Anthony coz alikua na akili kupita kiasi Ila sio kwa uzuri
Hawa akina Kleopatra wapo hata sasa wakitaka kutawala mahali wana mlainisha yule mwenye nguvu kwa Mapenzi. haya Mimi ilinitokea wakati nimepata cheo flani
sasa hii story mbona inachanganya wengine wanadai cleopatra kifo chake kilitokana na kuumwa na nyoka mwenye sumu kali cobra hii story inasema aliuawa na Anthony.
Nan kaangalia hii 2019 km upo hp gonga like
Mr and mrs karibuni tena wapenzi wnguuu tuliwamiss mnoo💙💙
very Good sometime sio kutuletea umbea wa town to. tunaitaji history za Ku refresh mind kama izi .Congratulate iwe ivi
Historia tamu jamani daaah nsitocoka kuwaambia kama niliwa miss saaana
mulijificha Wapi Nyie watu karibuni tena maana tuliwamis Sana kama ww uliwamisi kama gonga like hapa
Ok
Thanx mmerudi Coz nliwamic Sanaah.......!
.............I was missed ninyi watu....... #SkyTanzania #BabySky
Welcome back Sns
Kitambo sana Bro Sky ila welcome back again LOL #SnS 💃🏻🕺🏻🥂🍻🙏🏻 +1
Asanten sana kwa simulinz nzur juuu ya cleopatra malikia mwenye akiri nyng sana
Thanks 4 this educative story.
Yan nilikimisssssssssss hiiki kipindi mm mwaaaaa😍😍😍😍😍
my daughter Cleopatra 😍😍😍😍
Mungu awabarikie
Niliwamiss Jamni... 😘😍
Asante sana
Tuliwamiss sana sns welcome back 😍😍😍
Thank u
Big up kwa video nzuri. Misri ina visa na mikasa mingi sana.
No 1
Hasante sana kwa story nzuri 💝💝💝💝💝💟💗💕
sio hasante sema asante
We missed sns so much
Niliwamic sana SNS karb tena
What a nice history
good documentary 👌👌👍👍
Msimulizi uko vizuri.
hongera umeeleza vzr, kuna kitu nmekipata juu ya maswala ya utawala na uongozi.
Hii sasa ndo simalizi na sauti big up
Safi sana Mama Usingizi Wa Ndugu Yetu Kaka Yetu Kipnzi Cha Wengi Sauti Ya Dhahabu Fredrck
karibuni tena
Dunia ya zamani ilitawaliwa na vita sana na usaliti wa hali ya juu. No kuaminiana
nzuri sana
Story nzuri sana.02.02.19.
Asante sana shemeji yangu baby sky, ,mke wa sky walker, najifunza mengi kupitia sns
Jana niliangalia post ya mwisho sns ilikuwa 2 weeks back. Karibu tena
Mumerudi kwa bidii #sns 💖💖💖
niliwamiss 💛💛💜
Angel Benward nimewamiss poa 💖
Yani walioana Kaka na dada. Yote kwa ajilo ya madaraka daah kumbe uroho wa madaraka haujaanza Leo
We missed you guys
Pamoja
Duuh story zuri sana Sasa aya ndiwo maswali yakueka kwa mitihani
Wewe huna akili
Welcome back Sns 😍😍
Mm
Egypt inahistoria kubwa sana kwnye hii dunia.
inakuja kutawala dunia tena
@@semanasitv8303sahau kama ulivyo sahau kunyonya ziwa la mama yako
hi,wapendwa hamujambo,tukutane 2019topfriend what'sup kwa mambo mazuri zaidi
omg kumbe mrembo huyu mrembo alijiua, nimeumia sana jamani
jaman mlienda wapi sns maana si kwakuwamis huku nilikuwa naona hata uvivu kuingia huku mana machanel mengine hayaeleweki kabisa karibu sn
I like it
Nice jaman mlikua wapi
Hahaha waliamua kupotea sana
finally #Sns is back ,,,, thanks for coming again
safi sanaaa
Karibuni tena sns
Huyo sio Cleopatra,...
nice
Nice
simulizi nzuri aise, nimeipenda ,lakini ni kweli hizo historia mwezi na mwaka BC ni kweli au wanasema tu maana BC ni miaka mingi sana,
Ila wagiriki walikua wababe Sana zamani....
Bofya link hii
czcams.com/channels/0qI9ju78TVEAjz156RLTPQ.html
kutazama video nzuri za ndoa, Usisahau ku-Subscribe na Kuacha comment
mmlikua wapi nyie
Very nice
We are back
wkt wa Cleopatra misri ilikuwa haina nguvu tena, ilikuwa tawaliwa na Greece na muda huo ilikuwa inatawaliwa na Rome. Cleopatra alitumia nguvu zake kujilinda na maadui zake. kwa sababu alihofia kuuwawa kama ndugu zake
Anaeangalia 2020 gonga like
Tuliwamisi Sana wana SNS
Kaiser ndo Julius cezar
Thanks baby sky
Good Good
Kwaio walioana ndugu?
aiseee!!
Which book has documented this????
Mashallah, good story
Dada mutangazaji unasati zuuri daaaaaah 🤔 nakupenda
Hy nilaana mtu kuolewa n kakaake ...ndio imesababisha vita vilivyoowaandama
Hii history wameicheza movie yake nieiyona nzuri sanaa
inaitwaje
MIHAMBO KITAMBO porus
Cleopatra hakuwahi kuwa mzuri , Bali alikua Ana akili nyingi sana na mjanja, alikua Ana ushawishi mkubwa sana, ndio maana aliweza kuwatongoza Caesar na mark Anthony coz alikua na akili kupita kiasi Ila sio kwa uzuri
Alikuwa mgawa PAPA zaidi
The power of pussy not beauty
saaaaaafi elimu aina mwisho
sarkodie obidima yase
story nzur,unisimulimulia vzur sns
wanawake wa kimisri wajanja mnooo
Woiii hili jina dah,historia yake siipendi ingawa ndo sina la kufanya Mungu aniepushe na hayo maroho khaa
Cleopatra Robert 😂😂😂😂😂
Hhjh ndo mmbo
eeeh yani aliolewa na kakake du hiyo kali
Sio kaka yake mdogo wake akiwa na umri 14
ni hadith au kwer jmn uyu mdada naskiaga tu alikuwa mzr kuliko wanawake wote
Yeah, Cleopatra ndie mwanamke mzuri sana kuwahi kuwepo.
Angela Nyauringo hakuwa mzuri kuliko wanawake wote, ila alikuwa na uwezo mkubwa wa kuseduce wanaume. alitumia clothing psychology.
Nice story
Mwanamke mzuri kuliko wote anaitwa rabia tafuta vitabu ndugu
Leo ndio nimejua historia ya Cleopatra. nasikiaga tu
Jaman zaman walikuw wanavaa vilemba cjui vya chuma duh
Vililembwa kwa dhahabu na hariri
tamuùuuuuuu
black khemet GOD
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️
Inamaana wameona kaka na dada
Subscribe channeli yangu ili usipitwe na mpira
Cleopatra
cleoptra alikua mapepe naona
Cleopatra alikuwa mweusi
Kwer wanawake kugawa gawa papuchi yao haikuanza leo
siy kwer sema kwel
Zahil Ally Zolo alimuimba huyu mtu.inasemekana alivaa nguo za halili mikufu ya zahabu uzuri wake ilikua ajabu miongoni mwa wanaume.
😄
Hawa akina Kleopatra wapo hata sasa wakitaka kutawala mahali wana mlainisha yule mwenye nguvu kwa Mapenzi. haya Mimi ilinitokea wakati nimepata cheo flani
Hebu tupe story mkuu ilikuaje
😂😂😂
Hahaha
Kwasababu ulikuwa Bwege
mmelud
kwaiyo dola yarumi ninini? aundokama Euro yasasa ivi?
Roma sio dini ni dola inaotawala kwa nguvu na mabavu.
Ceopatra ni baadhi ya viongozi wapumbavu walioiua Misri na kuipa laana kuu
From South Africa kwann??
sasa hii story mbona inachanganya wengine wanadai cleopatra kifo chake kilitokana na kuumwa na nyoka mwenye sumu kali cobra hii story inasema aliuawa na Anthony.
kwhy kumbe mov ya porus ni histoly ya kwel!!
😂😂😂UNASEMA WAZEE WAKE CLEOPATRA WALIKUWA WAJINGA NA DHAIFU?!!!!MPUUZI SANA WEWE.
Abuu unajua maana ya ujinga???
Huyu msimuliaji anatumia kigezo gani kumuita mfalme mjinga?
hata ww mjinga tu
Haaa\haaaaaa
Mmepotea tuliwamis