MANSA MUSSA: BINADAMU TAJIRI KULIKO WOTE DUNIANI, ALIWAHI KUGAWA DHAHABU KAMA PIPI, AKAZINUNUA TENA!

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 10. 07. 2022
  • MANSA MUSSA: BINADAMU TAJIRI KULIKO WOTE DUNIANI, ALIWAHI KUGAWA DHAHABU KAMA PIPI, AKAZINUNUA TENA!
    HII ni makala inayomuelezea, Mfalme Mansa Mussa, maarufu kama Mfalme wa mali, muafrika wa kwanza kumiliki mali na kuwa tajiri namba moja duniani.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Komentáře • 18

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 Před rokem +3

    Africa is a land of Promise, either you agree or not

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Před rokem +4

    Wazungu hasaa si wenzetu Kwa kweli kila uadui kwa waafrika ni wao

  • @bulukaymollel73
    @bulukaymollel73 Před rokem +4

    Historia naipenda sana.

  • @mimiraia2531
    @mimiraia2531 Před rokem +4

    Halafu Leo MALI ni nchi manikini sana

  • @mondladenikharam2724
    @mondladenikharam2724 Před rokem +7

    Najivunia kuwa mwafrika maana history yetu watu weusi ni kubwa Sana katika hii dunia japo hao wazungu walikuja wakapindua meza na proganda zao za uongo

    • @abdallavictory6723
      @abdallavictory6723 Před 11 měsíci

      Mugundiye muweza wayote waacheniwazunguwajifanyeya kwambawaondiowao ipock

  • @demitiliusylwena4476
    @demitiliusylwena4476 Před rokem +4

    Hv kwann mnavyosimulia mnaongea kama ndo mnajifunza kusoma,...?!

  • @facemyfeartanzania5570
    @facemyfeartanzania5570 Před rokem +3

    Fantastic

  • @franksimon2406
    @franksimon2406 Před rokem +3

    We nae unaiga san, kwanin unasubir mpak wasafi watoe kweny storbook ndo na ww ufat, jifunzen kuwa wakwanz bhan ndo maan unashindw kufikia marengo ya lik nying,

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 Před rokem +7

    Sasa utajiri wa namna hiyo, ina maana vizazi vyake bado vipo na vinanufaika na utajiri wa mansa musa.

  • @luttertv1656
    @luttertv1656 Před rokem +4

    Fulu unyama sana

  • @hamisiramadhani8661
    @hamisiramadhani8661 Před rokem +2

    Ndio Mana ninaamini utawala wakifalme

  • @khadijaally1851
    @khadijaally1851 Před rokem +2

    Kazinzuri huwa napenda kusikia smlizi zako Hajj

  • @dicksonkyando8989
    @dicksonkyando8989 Před rokem +3

    Utajiri wake ulienda wapi! Mbona Mali ni moja kati ya nchi masikini

  • @MalikiKilume
    @MalikiKilume Před 14 dny

    Ni kweli mana hata yesu alikuwa mtu mweusi