🤣 KILA MTU HOI, VITUKO VYA KIREDIO - SHOW YA BABA YAKE GHETTO / MPAKA AKAZALIWA 🤣🤣

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 17. 12. 2021
  • 🤣 KILA MTU HOI, VITUKO VYA KIREDIO - SHOW YA BABA YAKE GHETTO / MPAKA AKAZALIWA 🤣🤣
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Zábava

Komentáře • 38

  • @mbakijonas6792
    @mbakijonas6792 Před 2 lety +15

    Nimefatilia sana hizi stand up comedy huko kenya kwa muda mrefu sana sasa ni zamu ya Tz, Big up comedians wote wabongo

  • @adamdemarch5565
    @adamdemarch5565 Před 2 lety +15

    Eti babaake anasikiliza kweli😂😂😂😂afu shida sio babaake kuckiliza
    Shida ni mamaake anajiuliza kuwa ivi Dunia nzima inasikiliza kichekesho chaleo chahuyu mtot wangu😂😂😂😂

    • @adamdemarch5565
      @adamdemarch5565 Před 2 lety

      Kama unaamini naongoza Kwa like kwenye hii vituko show ya mwamba dondosha comment ya UNYAMA

  • @davisonlema538
    @davisonlema538 Před 2 lety +5

    Nlibahatika kupanga karibu na mashine 😂😂😂😂😂

  • @siloomar7699
    @siloomar7699 Před 2 lety +7

    Huyu jamaa anajua

  • @mkadinali_ent.
    @mkadinali_ent. Před 2 lety +7

    I was waiting for this kiredio my g

  • @alphinemasirika6581
    @alphinemasirika6581 Před 2 lety +5

    Huyu mkali sana aise

  • @chybuwagwantaz8054
    @chybuwagwantaz8054 Před 2 lety +4

    Sijaelewa mpaka sasa nani mastet daaah mana kila mtu katisha

  • @bonifastarimo9636
    @bonifastarimo9636 Před 2 lety +3

    We jamaa ni mbwa kabisa 🤣🤣🤣dingi alitisha sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili

    🔥🔥🔥

  • @bouzocartoon3044
    @bouzocartoon3044 Před 2 lety +2

    kanichekesha sana huyu Dogo

  • @jevuofficial5266
    @jevuofficial5266 Před 2 lety +2

    🔥🔥🔥 umetisha sana mkali

  • @maligeltabatholomeo8128
    @maligeltabatholomeo8128 Před 2 lety +3

    We bwege kweli😂😂😂😂

  • @StimaOfficial
    @StimaOfficial Před 2 lety +4

    ,😂😂😂😂 kha nation,💥💥💥

  • @theblackandrew4119
    @theblackandrew4119 Před 2 lety +2

    Jamaa katisha sana

  • @faridaahmad3790
    @faridaahmad3790 Před 7 měsíci

    Umeweza bn❤

  • @aidanexson1634
    @aidanexson1634 Před 6 měsíci

    Nmekuja kuona tena baada ya support ya simba💥💥💥

  • @majigeelieza6222
    @majigeelieza6222 Před 2 lety +4

    ww jamaa jau

  • @saumuimeda5181
    @saumuimeda5181 Před 2 lety +5

    🔥🔥🔥🔥🙌🙌

  • @jamalmullerjordan
    @jamalmullerjordan Před 2 lety +2

    Sauti bana mnaboa tengenezeni

  • @nino_tz
    @nino_tz Před 2 lety +3

    genius

  • @newgeneration9524
    @newgeneration9524 Před 2 lety +1

    Hivi haiwezekani kuchekesha bila kuongelea kuhusu ngono?

  • @Taifatv1111
    @Taifatv1111 Před 2 lety +6

    😀🔥

  • @zawadimussa2514
    @zawadimussa2514 Před 2 lety +2

    Sauti jamaniiiiiiii

  • @enationmusic4323
    @enationmusic4323 Před 2 lety +7

    🤣🤣🤣😂

  • @chybuwagwantaz8054
    @chybuwagwantaz8054 Před 2 lety +6

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @user-wr6lc3jz6g
    @user-wr6lc3jz6g Před 2 lety +4

    😂😂😂👏

  • @user-ko2wv1su7s
    @user-ko2wv1su7s Před 7 měsíci

    Uko poah sana😊😊

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 Před 2 lety +2

    Yani mamako unamdhalilisha duh kiboko

  • @YousraYasser-ju4cd
    @YousraYasser-ju4cd Před 8 měsíci

    Aisee kiredio umeniacha hoi mbavu zangu aisee

  • @byaombemloko8470
    @byaombemloko8470 Před 2 lety +2

    😂🤩

  • @mkadinali_ent.
    @mkadinali_ent. Před 2 lety +11

    Conten kam yote, god bless

  • @kondoatown8765
    @kondoatown8765 Před 2 lety +3

    Aisee !! Napenda vya nyumbani afu mm sio shabiki wa muziki mm ni shabiki mkubwa Sana wa stand up comedy.
    Stand up comedy ya Kenya naipenda Sana. Sababu wana vipaji . Basi na nyie wabongo jitaidini basi ili tuipate ladha ya kwetu . Kiredio unajitahidi Sana broo . Madevu , Leonardo, dogo sele na yule mdada flan nyie mtaibeba Tzii international

  • @flavourjellmaxofficiel3822

    😂😂Diamond platnumz ka furahi sana baada yaku ona hii vidéo ebu jionee nawe u furahi 💝💝👀🎬
    👇👇👇👇👇👇👇👇👇
    czcams.com/video/6YyHZwCiAxQ/video.html