Fursa za utajiri kupitia kilimo cha zao la Vanilla

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 17. 11. 2021
  • Watanzania wanaofikiria kuwa mamilionea kupitia kilimo, wanaweza kujaribu bahati kwa kujihusisha na uzalishaji wa vanila.
    Zao la vanila ni sehemu ya mazao ya viungo kama iliki, mdalasini, vitunguu saumu na tangawizi; huuzwa kwa bei ya juu ndani na nje ya nchi.

Komentáře • 9

  • @gabrielzakaria2810
    @gabrielzakaria2810 Před 10 měsíci

    We bro ni mwongo! Mbna waziri amekataa acha uongo

  • @simonmwitory6627
    @simonmwitory6627 Před rokem +1

    Jinsi cha ya kuandaa shimo la kupanda vanilla na nimbolea ipi inatakiwa?

  • @shariasharia1203
    @shariasharia1203 Před 2 lety

    Hiyo vanilla inatumika kufanyia nini au inatumikaje, ( kwa mfano embe ni tunda, unaweza kula pia unaweza kutengenezea juisi, sasa hii vanilla inakuwaje?).

  • @mkamamachumu2296
    @mkamamachumu2296 Před 2 lety

    Kiwango Cha kuwekeza pesa ni T.sh ngapi ?

  • @joycemushi5102
    @joycemushi5102 Před 2 lety

    TUNAOMBA utaratibu Arusha

  • @WinnySlayqueen-vq5tg
    @WinnySlayqueen-vq5tg Před rokem

    Mtupe soko jamani liko wapi jmn

  • @esupateliya9439
    @esupateliya9439 Před 2 lety

    Tutapataje mbegu

  • @dennismnavu9991
    @dennismnavu9991 Před rokem +1

    Naweza kupata mkopo wa kulima vanilla? Shamba langu liko kijiji cha Nyingwa, Matombo Morogoro