Rais Magufuli alivyompigia simu Makonda katikati ya mkutano

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 5. 09. 2024
  • Rais Magufuli amekua akitazama live ya CloudsTV na CloudsFM kutoka kwenye ziara ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ambayo ameanza kuifanya na kuzunguka kwenye maeneo mbalimbali ya jiji kujua kero za Wananchi.

Komentáře • 80