Hofu ya Mabadiliko | Fear of Change | Rev. Dr. Eliona Kimaro

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 7. 07. 2024
  • IBADA YA MORNING GLORY (THE SCHOOL OF HEALING)* 08/ 07/ 2024
    SEMINA YA NENO LA MUNGU
    UJUMBE WA LEO:"HOFU YA MABADILIKO"
    (FEAR OF CHANGE)
    NENO KUU:
    "UTABARIKIWA UINGIAPO, UTABARIKIWA NA UTOKAPO"
    Kumbukumbu la
    Torati 28 : 6
    Yohana 12 : 24
    24 Amin, amin, nawaambia, Chembe ya ngano isipoanguka katika nchi, ikafa, hukaa hali iyo hiyo peke yake; bali ikifa, hutoa mazao mengi.
    WHAT IS METATHESIOPHOBIA
    METATHESIOPHOBIA is the Fear of Change, which may be rooted in a human desire to keep life in a comfortable and consistent place.
    METATHESIOPHOBIA:
    Ni HOFU YA MABADILIKO, ambayo inaweza kuwa na Mizizi ktk KIU & HITAJI kubwa la binadamu la kuweka maisha mahali pa utulivu na kupumzika kwa uthabiti wa Daima.
    "MAHALI PEMA PEPONI"

    Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro
    Kwa maombi na ushauri :
    Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

Komentáře • 29