REV. DR. ELIONA KIMARO: MASHAKA YA MAISHA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 18. 09. 2023
  • IBADA YA JUMAPILI - 17 SEPTEMBA 2023
    UJUMBE WA LEO: "MASHAKA YA MAISHA"

    Mathayo 14 : 28 - 36
    28 Petro akamjibu, akasema, Bwana, ikiwa ni wewe, niamuru nije kwako juu ya maji.
    29 Akasema, Njoo. Petro akashuka chomboni, akaenda kwa miguu juu ya maji, ili kumwendea Yesu.
    30 Lakini alipouona upepo, akaogopa; akaanza kuzama, akapiga yowe, akisema, Bwana, niokoe.
    31 Mara Yesu akanyosha mkono wake, akamshika, akamwambia, Ewe mwenye imani haba, mbona uliona shaka?
    32 Nao walipopanda chomboni, upepo ulikoma.
    33 Nao waliokuwamo ndani ya chombo wakamsujudia, wakisema, Hakika wewe u Mwana wa Mungu.
    34 Na walipokwisha kuvuka, walifika nchi ya Genesareti.
    35 Na watu wa mahali pale walipomtambua, walituma watu kwenda nchi zile zilizo kandokando, wakamletea wote waliokuwa hawawezi;
    36 nao wakamsihi waguse hata pindo la vazi lake tu; na wote waliogusa wakaponywa kabisa.
    Mhubiri : Mch. Dkt. Eliona Kimaro.
    Kwa maombi na ushauri :
    Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

Komentáře • 45