GWAJIMA AFANYWA MAKAMU WA RAIS MAMA AANGUSHA GARI, MAKONDA ALLY HAPPY, MAKALA ENDELEENI KUTULIA

Sdílet
Vložit

Komentáře • 44

  • @user-ly4jw9qi9x
    @user-ly4jw9qi9x Před 2 měsíci +1

    Mungu akupe zaidi mtume

  • @CharlesMunge-di9em
    @CharlesMunge-di9em Před 2 měsíci +1

    Continue declaring the word of god in order to continue maintaining peace in Tanzania land

  • @AbediKaniki-vm1vn
    @AbediKaniki-vm1vn Před 2 měsíci +1

    Amina mtumishi wewe ninabii sio waziiri au mtumishi wa seikali upo sahihi kusema hayo hazarni

  • @alexmachare6495
    @alexmachare6495 Před 2 měsíci +1

    Continue

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 Před 2 měsíci +1

    Hii sababu ni nini kukosa makao maalum hasa kwa raia akiangalia ni mtumish wa MUNGU vizur tu.

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn Před měsícem

    Una leta uchochezi

  • @user-wi8og3sv4j
    @user-wi8og3sv4j Před 2 měsíci +1

    Hata kama ujumbe niwaaibu Mungu akisema niwahadhara lazima uwe wa hadara

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn Před měsícem

    Una abari Magufuli alipita wapi

  • @levissanga8867
    @levissanga8867 Před 2 měsíci +1

    Toa ujumbe bila hofu ya mtu kupokea au la.

  • @user-mn7zq7cd5t
    @user-mn7zq7cd5t Před 2 měsíci

    Hapo tu pa Mama anaenda kuanguka muda wowote, naona na yeye ameona akahisi akitumia njia ya kanisani atakuwa salama.

  • @yohanamwakanyelenge3786
    @yohanamwakanyelenge3786 Před 2 měsíci

    Pole pole japo kuna ukweli kidogo!

  • @Leeeeeeee-96
    @Leeeeeeee-96 Před 2 měsíci +1

    mungu akulinde mtumishi

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 Před 2 měsíci +1

    KWA HIYO WEWE UNAONGEA NA MUNGU MAMBO YA SIASA TUU. NDIYO KITENGO CHAKO ULICHOPEWA NA BWANA?😮

  • @HAAM670
    @HAAM670 Před 2 měsíci +1

    Amos 3:7. Yoeli 2:28.

  • @simboninsiandosi8135
    @simboninsiandosi8135 Před 2 měsíci +1

    Kama kaambiw aseme wa nini anyamaze?
    Mtumishi sema kama uliyogizwa usiche neno tupone

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 Před 2 měsíci

    Huwezi kuwafikia kwa upesi hao uliopewa jumbe zao, endelea kutoa ushuhuda badala kufanya siri

  • @user-wi8og3sv4j
    @user-wi8og3sv4j Před 2 měsíci

    Kama ni kwani kakwambia uende siri?

  • @tumainjoseph7189
    @tumainjoseph7189 Před 2 měsíci

    Nashindwa kukuelewa sasa gwajima badala ya kuwa rais atakuwa makamu wa rais
    sasa una simama wap

  • @augustabisetsa5007
    @augustabisetsa5007 Před měsícem

    J

  • @AnthonySilayo
    @AnthonySilayo Před měsícem

    Ooh

  • @severinkinunda5269
    @severinkinunda5269 Před 2 měsíci

    Samia ni raisi 2025 sio Gwajima

  • @isayatippe6409
    @isayatippe6409 Před měsícem

    Najua kitu kimoja! Rais hapangwi na kutangazwa na nabii ye yote hilo ni jambo la KIKATIBA.
    Jukumu letu ni
    Kumwomba Mungu awaongoze wapiga kura kumpata yule ambaye ni chaguo lake. Mungu ndiye awawekaye Viongozi, hata Askofu Gwajima anajua hilo.
    Ewe nabii, acha kuwachonganisha Watanzania, Watanzania waongozwe na Mungu kupitia katiba yao!
    Hata Madhehebu ya dini hatupangiwi Viongozi na nabii bali tuna katiba zetu na Mungu hutupatia Viongozi kupitia utaratibu huo wa katiba na si vinginevyo!!!

  • @1961nungwi
    @1961nungwi Před 2 měsíci

    Watu wanaingia na kutoka tangu Uhuru! Hakuna laana Wala Nini. Waziri Mkuu Uingereza anabadilika Kila wakati: wamelaaniwa??!

  • @allyomary2271
    @allyomary2271 Před 2 měsíci

    Fungua code basi tujue

  • @user-wi8og3sv4j
    @user-wi8og3sv4j Před 2 měsíci +2

    Mungu anahekima kuliko wote ingestaili siri Mungu angeagiza siri

  • @rweumbizalugaimukamu4905
    @rweumbizalugaimukamu4905 Před 2 měsíci +1

    Upo vizuri sana kutasfiri ndoto

  • @telesphorymajumbi
    @telesphorymajumbi Před měsícem

    Ni sawa kwako unaye yasema.. Nabii huyo atakaposema uongo apigwe mawe afe. Nisingependa owe hi yo kwako bali na iwe baraka. Mimi ninakushukuru ktk hayo yote. Usitamke neno baya kwa MKUU wako ni sawa kama umemtukana kwake yeye. Paulo lisema sikujuwa ndugu zangu imeandikwa, usimtukane MKUU wa wakuu wako... Matendo 23:1-5.na iwe kama ulivyo nena isipo kuwa hivyo..!! ni hatari kwako duniani na mbinguni.

    • @telesphorymajumbi
      @telesphorymajumbi Před měsícem

      Hayo yawezakana kabisa. Sasa kama sadaka inatolewa kwa Siri, ungefanya hivyo kwa raisi wako. Ungemuomba Mungu akupe nafasi ya kumuona yeye hashindwi. Yote ni mwema, Ubarikiwe.

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Před 2 měsíci

    Hivi kweli unaamuaje kutuma mjumbe apeleke sadaka na kuitangaza?! Kwani ni harambee au zaka! Kama ni yatima,wajane,ama makanisa machanga yanayosali kwenye vibanda pia mtu humtolea Mungu kimya kimya,na wenye uwezo pia humtolea Mungu kimya kimya, iweje basi mjumbe aseme nimetumwa nilete sadaka?! Harambee sawa...

  • @user-uq7kk4dw2o
    @user-uq7kk4dw2o Před 2 měsíci

    😂😂😂😂😂😂heeeeeh ulisema gwajima atajuwa
    Rais,sasa
    Mungu mmegeuka tena???

  • @1961nungwi
    @1961nungwi Před 2 měsíci

    Hakuna UDINI Tanzania. WanaNchi hatutaki!!

    • @KokoloLambinguni
      @KokoloLambinguni Před měsícem

      We usisemee watanzania jisemee mwenyewe acha upambe kaa na ujinga wako na uelewa wako mdogo

  • @melkizedekwiliam-hi7bz
    @melkizedekwiliam-hi7bz Před 2 měsíci

    Rafiki unatudanganya

    • @benignajosephwatendewao2065
      @benignajosephwatendewao2065 Před 2 měsíci

      Hakuna Mahali anadanganya,mimi namuelewa vizuri sana huyu Mtumishi wa Mungu.Na kama unaona anadanganya nawe uje na proof yako kwa kile alichokuambia Mungu kuhusiana na hayo.

    • @melkizedekwiliam-hi7bz
      @melkizedekwiliam-hi7bz Před měsícem

      @@benignajosephwatendewao2065 umesoma vema kichwa cha habar? Kwanin kichwa cha habar ipishane na maelezo?

  • @nyembobea7285
    @nyembobea7285 Před měsícem

    Hivi nyinyi kazi yenu ni hii au wewe ni mtu wa kundi la siri umetumwa kutuletea propaganda ili mje mfanye uharibifu na kwanini kila siku mtabiri ni wewe

    • @KokoloLambinguni
      @KokoloLambinguni Před měsícem

      Utoe ukipofu wako kama auko vizuri na MUNGU jua uo ujumbe autaupata kaa kimya

  • @CharlesMunge-di9em
    @CharlesMunge-di9em Před 2 měsíci

    Continue declaring the word of god in order to continue maintaining peace in Tanzania land

  • @user-qg1iy5ov3u
    @user-qg1iy5ov3u Před měsícem

    Kwanini mpaka Leo waliokuwa wafanyakazi wa iliyokuwa hotel 77 ya Arusha madai yao mpaka Leo yamechelewa kutoka?

    • @KokoloLambinguni
      @KokoloLambinguni Před měsícem +1

      Acha utoto kwani mambo ya hotel yanaingilianaje na unabii kama auna la kuchangia nyamaza