Waziri wa Elimu Prof. Adolf Mkenda Atolea Ufafanuzi 10 Bora Kutotangazwa I Wazazi Sikilizeni Ujumbe

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 31. 01. 2023
  • Mbunge wa Bunda Mhe. Mwita Getere, ameomba mwongozo leo Bungeni juu ya kwa nini Serikali haishughulikii malalamiko ya wadau wa Elimu ya Shule Bora katika mitihani ya Sekondari na Msingi kutotangazwa.
    Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda, amesema haitatangaza tena Shule Bora kama ilivyokuwa ikifanya awali, kwani utaratibu huo hautoi haki kuendana na viwango vya uelewa kwa Wanafunzi wanaosajiliwa, mazingira ya kusomea vina tofautiana.
    Pia Waziri wa Elimu Prof. Mkenda, ameainisha sababu za Baraza la Mtihani kujivua jukumu hilo la kutotangaza matokeo ya Shule Kumi Bora.
    Tembelea akaunti ya CZcams “Clouds media” tumekuwekea ufafanuzi wote kuhusu majibu ya mwongozo na kauli ya Serikali.
    #CloudsDigitalUpdates
    #7bisha

Komentáře • 19

  • @harunmeshack2000
    @harunmeshack2000 Před rokem +2

    Professor mkenda utengenezewe kasanam kawekwe makumbusho huwa unaongea point sana.

  • @farajalongo4528
    @farajalongo4528 Před rokem +2

    Row Scores Vs Value Addition Vs Contextial Value Addition 🙌🙏

  • @mactanzania9833
    @mactanzania9833 Před rokem

    Hongera sana kiongozi iyo ipo sawa sana

  • @leonardchoma3765
    @leonardchoma3765 Před rokem +1

    Prof, umeongea kweledi Sana.

  • @NoshadyMawilo
    @NoshadyMawilo Před 3 měsíci

    professor adolf nkenda unawafanyaje hawa wanafunzi waliopata daraja la tatu na wamebalance comb hasa boys je wataenda a level is

  • @issarashidiferuziferuzi9201

    Iko sawaaah professor

  • @lgffumbuka183
    @lgffumbuka183 Před rokem

    Hapa duniani kuna maprofessor na maprofessor. Huyu ni Professor wa kikwelikweli. ZFZMWCCM.

  • @edwardkapange3358
    @edwardkapange3358 Před rokem

    Well

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 Před rokem +1

    Swali, huyo mazigira magum si ni serekali inatakiwa iboreshe?

  • @ahmetmwandu8499
    @ahmetmwandu8499 Před rokem

    AKILI KUBWA

  • @shabanially8022
    @shabanially8022 Před rokem

    Akili kubwa

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 Před rokem

    Mi naona baraza litangaze tu shule bora kwani vigezo vipo vingi vitunike vyote na shule ilokizi itangazwe sioni km kuna shida

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 Před rokem

    Ana propose kitu ambacho hata yeye mwenyewe kashindwa kufanyia kazi. Baraza la mitihani limeshidwa vip kupanga matokeo kwa ku group shule kwa idadi ya wanafunz? Mfano shule zenye watahiniwa wasio zid 20 zikawa na group lao zenye wanafunz zaid ya 100 zikawa na group yao nk? Anasema wapime tu shule kwa kutumia juhudi ya ku improve wanafunzi that is impracticle. Kuna maana gani sasa ya kuweka Divisions? Au vyuon kuweka first class 2nd class nk? Anasema mfumo wa sasa unawapima wenye A ndio walio faulu yeye anataka wenye F ndo wawe walio faulu?
    Serikali ikubali tu shule zake nyingi zimekufa na zina matokeo mabovu wapambane kuboresha elimu na kuinua shule za serikali waache SIASA.

  • @leonardramiye8207
    @leonardramiye8207 Před rokem +1

    Mimi naona maelezo yake hayana mashiko ata kidogo

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 Před rokem

    Analeta siasa nyepesi kwenye mambo ya msingi. Boresheni shule za serikali zimekufa acheni siasa za maji taka kwenye elimu. Unaongea na watu ambao tuna uelewa na tumesoma sio hao wapiga makofinwalio kuzunguka hapo. Facts don't lie Matokeo ya SHULE ZA SERIKALI NI AIBU. ACHENI SIASA ZA MATOPE FANYENI KAZI KUZIBORESHA.

    • @shabanially8022
      @shabanially8022 Před rokem +1

      Wewe ndo hauna fact

    • @shabanially8022
      @shabanially8022 Před rokem +1

      Mzumbe 1 zipo 120 afu green worries 1 zpo 50 kat ya watt 50 afu apo she bola n green worries kwel ipo sawa iyo???

  • @mactanzania9833
    @mactanzania9833 Před rokem

    Hongera sana kiongozi iyo ipo sawa sana