Hakuna kitu ninacho wakubali ksma wasukuma jaman ansabte dada mungu yu nawe uongeze nyingine iwe kama hii by essau toka segerea naomba namba ysko nikulushie sadaka
Kutoka maeneo ya Marekani kusini nampata huyu Dada Msukuma mabaka Kisii Kenya 🇰🇪 👌 Nyanza wimbo hata sielewi lakini naona anasema Elimu ni Mzuri kwa mtoto msichana Waacheeni wasome vijana na Wazee msiwaharibie masomo
Hapa nimsaidie kumjibia alikuwa anaelimisha jamii ya kisukuma kwan kuna wakati ilikuwa nyuma swara Zima la elimu hususani watoto wa kike walikuwa hawapewi kipaumbele kwenye kuoata Elim
Dah wasukuma mnaimba jamanii hongera Elizabeth huu wimbo naukubali Sana dada🔥🔥🔥🔥 ilifaa upewe tuzo💕
Kama umeuangalia huu wimbo zaid ya mala 3 Tonga like haa
Mi zinazidi hizo😂
Hakuna kitu ninacho wakubali ksma wasukuma jaman ansabte dada mungu yu nawe uongeze nyingine iwe kama hii by essau toka segerea naomba namba ysko nikulushie sadaka
Hii nyimbo nimekumbuka mbali Sana mzee alivyokataa kunilipia Ada yani 😭😭😭nimekumbuka mbali Sana Ila mungu mkubwa nimepata kazi kwa uwezo wake
Vijana wakisukuma wengi tumerudishwa nyuma sana
Polle can mdog wngu dah hata me nmelia 😭😭😭😭
Mwimbi nzur San ubarikiwe mama mung azid kukup afy njem na kipay kizut
Wasukuma oyeeeeeeeeee tusomeshen
Nimeipenda bure toka kwa wasukumu shemeji zangu
Poa
Dada kweli mungu amekupa neema ya kuiba unaimba vizuri sana wasukuma tunajidai jamani
Tusomeshe watoto wakike tunatakiwa tujitambue sisi wazaz
Natoka Kenya na imenifuraisha kwani ndugu zangu wako huko tz I am looking for them
Safii Shemela. Utupie kwa kiswahili japo radha na mahadhi yanaweza kubadirika. Nimeipenda. Tulekagi kulekanya
umejitahidi dada japo sijui kisukuma ila nimekubali sana
Hapo Elizabeth umeimba.big up sana Mungu akuongoze
Nyiiieeee huyo police sasa kumekuchaaa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Safi sana nimeupenda
Bariadi safii
Safi sana ww ni star mkubwa sana.
asante
@@ElizabethMaliganya yani we dada sijawahi juta kusikiliza nyimbo zako uko vizuri mpaka unanipa kisulisuli safi sana,🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️
@@ElizabethMaliganya Dada naomba mawasiliano yako Nina sherehe mwezi wa sita kasamwa geita
Dah wasukuma muko vizur kwa uimbaji
Kutoka maeneo ya Marekani kusini nampata huyu Dada Msukuma mabaka Kisii Kenya 🇰🇪 👌 Nyanza wimbo hata sielewi lakini naona anasema Elimu ni Mzuri kwa mtoto msichana Waacheeni wasome vijana na Wazee msiwaharibie masomo
Mayozi😅😅😅 dogo kilaza kweli mama kwa kingeleza ni mayozi😅
Mungu akubalk mama angu
Huu wimbo ni balaaaaaaaaaaaaaaa Aiseeee, Yaan dahhhhhhhhhhhhhh Mimi ni mluo lakini huu wimbo ni 🔥 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hakika wimbo umegusa uhalisia wa mambo yalivyo, ubarikiwe sana dada wa kisukuma.Ntuzu kamiligado
Farajaia
Havs
Hahaha mayo hatar!❤❤❤❤
Best wishes you life of sing
Asante sana dada unatuwakilisha wasukuma
Nice song, beat is insane love my tribe the largest ethnic group in Tanzania, wabheja mayu
This song make me cry...since I grow up on such a family.
Ok
😂❤
Elizabeth maliganya your song is very impressive and enjoyable, keep on moving. God bless
Honger dada kwa kutoa elim nzur ubarikiwe
Nyimbo nzuri San nimeipenda maan ni shidaaah
Good
😂😂😂 mayuzii chene...👏👏 Mwimbo mzuri ungeuwekea lugha ya kiswahili au ya kingerza ingependeza
❤❤❤❤ wabeja
Hongera Kalunde kwa ubunifu,nyimbo nzuri za kisukuma big up sana kwa mwimbaji
ngoma Kali nimeielewa sana
Simiyu moja dada angu piga Kaz i
Upo makini mama kwakuimba mama
Jamii inatakiwa kupewa fundisho kupitiwa nyimbo kama hizo hongera sana kwa wimbo
I feel so emotional
Dada naomba kama itawezekana huu wimbo uweke kiswahili ili jamii nzima ielewe....ahsanten sana
Hapa nimsaidie kumjibia alikuwa anaelimisha jamii ya kisukuma kwan kuna wakati ilikuwa nyuma swara Zima la elimu hususani watoto wa kike walikuwa hawapewi kipaumbele kwenye kuoata
Elim
@@josephtinginya3860 ahsante kwa faida yetu sote binafsi nimekuelewa
Mbona nyimbo za wazungu huwa tunasikiliza tu bila kuelewa kinachoibwa?
@@dollokasuka8131 ,🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mayo nisomishagi 🔥 🔥 🔥
Mambo moto
Nalumba sana Mayu longhuno udambhilija sana abhabhaji abhamo bhadelelagwa....
Sister minaitwa john malinganya bila sha ka tunaweza tukawa ndugu lakini hatujuani
safi san
Najivunia kuwa msukuma ❤❤
🎉🎉🎉❤ nice song Boniface from Tanzania singida
Safi sana et mama kwa kingereza anaitwaje jamaa anasema mamas na baba ,jamaa anasema babas🤣😁😃😁😁
Asante sana sster kwa kawimbo kazuri
Elizabeth Maliganya,hakika wimbo huu unatoa hisia na fundisho kubwa kwa jamii hasa zinazoamini binti hapelekwi shule. Hongera sana dada
Asante❤
We unajua sema kweri you make me happy
Hongera eliza nyimbo zako nszikubaliii saaan🥰🥰🥰
Asante sana ubarikiwe 🙏 🙏 🙏
Nime ipenda sana Dada yangu
Huyu ndo aliimb bejaga kaya
Kumbe huyu
@@christinantegwa7480 vNnz
Hongera sanaa kwa wimbo mzuri
❤❤❤
Obeja dad
Nyiiiee huu wimbo mzur ukuskliza yaliyomo
Nakukubali
Naipata vizur sana pande hiz za dsm
Waooo ujumbe mzur penda sana ❤❤
Yan Siga Sana 🌹🌹🌹 Kimba Nagwine ki jaman 🌺🌺
Nampenda Sana huyu mama pia napenda nyimbo zake,😍
Dada nimeelewa sana ujumbe wako.Be blessed
Huu wimbo noma sana
Ujumbe mzur san hongera dada 👏👏
VP sabana kwa majina na itwa juma
Umeolewa
hongera sana dada wimbo mnzuri......
sanaDada
Wasukuma wAmezid San bola wapate fundisho kwa wote
Wasukuma mnawezaaaaaa
Woooooow nimemis nyumban
Nimeipenda adi imenitoa machozi
Nyimbo nzuri Sana bigup mama
Tisha sana sister
Bonge la wimbo
Natogwa najigwa jaghukaya. Ila mwanafunzi mwenyewe anakata mauno.. 😂😂😂😂.
Hahahaahahahah umemuona na we kumbe
@@mariamgeofrey6390 nimemuona anakata kabisa. Sasa sijui ndo anahamasisha kuhusu umuhimu wa elimu.
Hatari sana Mungu atusaidie sio kwa mauno yale
Mzuka umempanda!!😁😁😁
Kisukuma 0:56 0:57
Wanawake oyeeeeeee
Eliza gokaya
Dah had raha kw wimbo huu
Dole Bose bamayo na ba baba
Hakika wimbo mzuri
Umependeza sana
Utafikambalisana Eliza
Naipenda sana kabila yangu
Ulisawa gete ntunzu moja 👌👌
Pouwa saana ,mom wa kisukuma
Predation life
Love it vibe kal sana
Dar safi sana dada wimbo wako unaujumbe munzuri sana
safii Xaan kwa wimbo mzuri
Ntuzu mmetisha aise 🤣🤣🤣🤣
Ulinashilaka mayu kifuku
pye ganhana duhu ayo uliyomba
Hii nyimbo tamu harar
Ongera sana
good societal messages
Kwakwel inafundisha wasukuma waelimike
Asante😂
Nyimbo nzuli
Simiyu moja hiyo uko vizur dada
😂😂mayuzi bhabhazi
U