Mpendwa wangu na Rafiki yangu. Huu wimbo ni kwa ajili yako . Mungu anakuwazia mema kila siku. Amini tu kwamba wewe ni tajiri tena zaidi ya tajiri. Mazingira yasikudanganye. Amen 🙏
Nimekuelewa ila unatakiwa kujua kila mtumishi kaitwa kwa kusudi. mimi nimeitwa kuwatia watu moyo. ndio maana wapo waimbaji wanaimba nyimbo za manunguniko kama mimi lakini azifanyi vizuri kama mimi 😃😃 . Kikubwa sikiliza ujumbe usipokubariki wewe basi jua kabisa huu sio kwa ajili yako unamlenga jerani yako 🙏🙏
Mpendwa wangu na Rafiki yangu. Huu wimbo ni kwa ajili yako . Mungu anakuwazia mema kila siku. Amini tu kwamba wewe ni tajiri tena zaidi ya tajiri. Mazingira yasikudanganye. Amen 🙏
Amina
Amen
Ameee
AMEN AMEN AMEN
🙏 🙏 🙏 🙏
Na huu wimbo naomba ukawe baraka kwa wengi. Ni ukweli tumebadilishwa na Yesu
Amen 🙏
God of another chance,our only game changer,the one who knew us even before we were born ,,,i believe and trust in His timing ❤️🙏
Amen
Jamani na ikawe hivo kwangu,maana nalimtegemea mungu wangu siku zote Jehovah sikia maombi haya sawasaw na huu wimbo
Amen imekuwa ivyo🙏
Hongera sana mtumishi wa MUNGU wimbo mzuri sana mimi franskalitusi
From Bagamoyo
Barikiwa sana 🙏
Wimbo mzuri sana ❤❤
Ndio mimi🎉❤ wa kwanza leo.... Sitabaki nilivyo
Amen 🙏
Wimbo Naomba uwe baraka kwangu
Uwiiii jmn huu wimbo!!!!!!!! ❤
🎉🎉🎉🎉👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Maana nimejiona msaidie mara gafla nilivyo skiliza wimbo huu🇹🇿
Barikiwa sana 🙏
Nimejiona mshindi mara gafla nilivyo skiliza wimbo huu
Huyu mwamba ni fundi tz nzima kwa voko ngoma imemixwa fresh sana
@@fredykephacy5166 iyo nikweli kabisa❤
Amina
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu ili uendelee kutuinjilisha
Amen 🙏
Ndio Mimi Yuleeee!🙏
Umenibariki na huu wimbo ndugu...Mungu azidi kuinua huduma yako
Amen Amen Amen Amen Amen Amen 👏👏👏👏👏👏
Don't understand the lyrics but the song is good ❤
🙏🙏🙏🙏
MUNGU akatujalia na iwe hyo katika .maisha yangu mimi ni tajiri Siku zote wimbo nzuri sna nabarikiwa na nyimbo zake sana
Barikiwa
Kweli maisha hubadilika kwa uwezo wa Mungu. Wapi likes za Komando wa Yesu🎉🎉🎉🎉🎉❤
Barikiwa sana 🙏🙏🙏
Hongera Sana kaka,,zidi kutumia moyo na mungu akuuinue zaidi
Amen 🙏
MUNGU na ngoja keso yangu, be blessed bro utafika mbali.
Amen 🙏🙏🙏
Nyimbo nzuri kaka nasikiliza apa
Amen
OMG. I love it... Enyewe ndio mimi yule, Amen
Amen 🙏
Wimbo mzur Mungu akuinue Zaid na Zaid nimebarikiwa 🙏🙏
Mungu kweli anatowazia mema.please like this comment so it reminds me to return and listen "ndio mimi yule eee nio mimi yule"
Wimbo mzuri. Hongera
Ahsante 🙏🙏🙏
Amen 🎉🎉🎉🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷 💪
Amen🙏🙏🙏
Barikiwa sana
254🇰🇪🇰🇪well represented ❤
Nyimbo hii zuri Sana ❤❤❤❤
Sasa tumepata ngoma ya event big up sana boss wangu
🤣🤣🤣🤣🤣
Blessed brother 🙏
🙏🙏🙏🙏
Umepakwa mafuta ya faraja. Jina la Bwana Yesu lisifiwe kwa kazi aliye fanya ndani yako, na jinsi anavyo kutumia.
Amen 🙏
Umenibaiki sana mtumishi,Mungu akuongezee Atlanta hii ubariki wengi
Ameen ameen barikiwa kazi yako ninjema sana mkuu
Amen 🙏
I see you in apostle arome osayi's message,, But thans i love this, From kenya
🙏🙏🙏
@@komandowayesu3642 I hope iam right, you were in arome osayi's meeting, I feel like i was in the right place
Hakika Mimi ni tajiri❤
Amen mtumishi, mungu azidi kukupa hekima nyingi katika nyimbo kwani tunabarikiwa kila unapoachia kitu kipya 🙏🏿
Amen 🙏🙏🙏
Kazi nzuri hongera
Ahsante Mungu ni mwema 🙏
Amen 🙏😭😭🤦nasikia kuliya aki
Ndo Mimi Yule ,,be blessed 🙏🙏 nice song❤
Amen 🙏
God bless you 💝
Amen
Awesome music
Hallelujah
Amen
Amen....
AMEN🙏🙏🎉🎊🎊
Be blessed Man of GOD
Amen 🙏
More grace 🇰🇪🇰🇪❤❤❤
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏
Amen
Amen 🙏
Nice song
🙏🙏🙏🙏
ndio mimi
Kumbe pacha sikujua kama niwewe 😃😃🤣🤣🤣 . sawa boss wangu
Ndio mimi yule. Kazi safi kaka.
Mungu ni mwema 🙏
Ndio mimi yule nimeinuliwa
Amen
Wimbo mtamu
😃😃🙏🙏🙏
So touching ❤ be blessed
Amen
Hakika umenibariki 🙏
zidi kubarikiwa
Amen❤
Ameen
Ndio mm hapa tajiri mkubwa. AMEN, I receive this blessings in Jesus mighty name Amen Amen
Amen 🙏
Naomba huu wimbo unitumie whsap
Amen kaka 🎉🎉
Amen
❤❤❤❤❤
Good worlk 🔥🔥🔥🔥
❤❤
Amina kaka nabarikiwa na huu wimbo na unanifanya nijikubali haijarishi ila ndiyo mimi
Amen
❤🎉
Amen 🙏🙏🙏
shukrani sana mtumishi kwa kazi nzuri mungu akubariki sana🎉
Mungu ni mwema 🙏
Amen kwa wimbo ❤️❤️❤️
🙏🙏🙏
Aminaa
Amen 🙏
❤
Jaman ninavo pata shida kudanlod hii nyimbo naomba msaana pls jins ya kuipata
Hoooo pole sana. njoo Whatsapp +255679772248
❤❤❤
Ubarikiwe
Amen 🙏
Nyimbo nzuri .lakin mbona nyimbo zako niza manunguniko tuuuu😭😭😭😭 jifunze kwa kaka ambwene mwasongwe
Nimekuelewa ila unatakiwa kujua kila mtumishi kaitwa kwa kusudi. mimi nimeitwa kuwatia watu moyo. ndio maana wapo waimbaji wanaimba nyimbo za manunguniko kama mimi lakini azifanyi vizuri kama mimi 😃😃 . Kikubwa sikiliza ujumbe usipokubariki wewe basi jua kabisa huu sio kwa ajili yako unamlenga jerani yako 🙏🙏
@@komandowayesu3642
Jibu zuri na lasawa kabisa....
Tumeitwa katika Neema tofauti na hakuna aliye Bora kuliko mwingine
@@febroniamukandi8150 Ahsante kwakunielewa mtumishi 😃🙏
Kaka naomba ushushe hii nyimbo umechukua idea yangu la si hivyo nitakuchukilia hatua
Komando wa Yesu nakupenda sana,napenda nyimbo zako,karibu Kigali Rwanda,Naitaji number yako ya Whatsapp kama binawezekana?
+255679772248
@@komandowayesu3642 Nashukulu sana kaka
❤❤❤❤❤