ACT KUMFUKUZA UANACHAMA ZITTO?/KUMPIGIA KAMPENI SAMIA 2025/SUK ZANZIBAR BADO CHANGAMOTO/DOROTHY SEMU

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 6. 05. 2024
  • --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #Dar24 #Dar24Media

Komentáře • 33

  • @suleimanmussa7782
    @suleimanmussa7782 Před měsícem +3

    Hongera kiongozi, wanaokusikiliza wote wanakupenda,hata wakichangia pumba labda roho mbaya zinawasumbua

  • @saniapembe1001
    @saniapembe1001 Před 29 dny +1

    Mama Samia anatosha. Ila ikimpendeza anaweza kumpa Zitto nafasi, ni kijanashupavu asiyetetereka.

  • @user-bc2wd1sq3k
    @user-bc2wd1sq3k Před 29 dny

    Umekomaaa, kisiasa unajibu vizuri kiongozi wangu

  • @ommarallyhamad7435
    @ommarallyhamad7435 Před měsícem +1

    Shaka yangu mm isiwe kama Yale ya lipumba
    Shaka iliyopo ni ukweli wenu wa moyoni juu ya kuwa wapinzani wa dhati wa kusimamia haki na matakwa ya waznz

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 Před 19 dny

    Zito kabwe is the feliyer politician to be chess him on CT wazalendo if is true l can't saprys to zito kabwe because opposition need responsibility leader stand on different lmotion wether sun or shadow responsibility as the opposition you have to stand still creat lmotion into CT wazalendo maindset and lncareg ather leasener outside of CT wazalendo and join but she has got no capacity

  • @jonathanmanyaga4357
    @jonathanmanyaga4357 Před měsícem +1

    Safiiii

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 Před 19 dny

    Number 2 she is not politician has got no capacity creat lmotion to pablic understand her on high level into peoples maindset

  • @user-et9vf2ro2k
    @user-et9vf2ro2k Před měsícem

    Una kipomo ganii ulicho tumia mpaka ukaona ACT ibafana na jinamizi tafadhali kijana tena tafadhwali saanaa

  • @IjumaaIjumaa
    @IjumaaIjumaa Před měsícem

    Zito anafaa kama si mlevi maana wapo viongozi walianguka tukaambiwa ni walevi nafikiri act impime afya ya akili maana tusije tukaongozwa na vichaa tunaitaji kiongozi mwenye hekma na busara mwenye maamuzi sahihi kwa ajili ya taifa kwa sasa tuanze kuomba kwa mungu amani pia uchaguzi wa huru na haku itawale ktk mioyo ya wtz

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 Před měsícem

    Inasikitisha sana wakati wa uchaguzi hapo Zanzibar na haina haja kweli uchaguzi ufanywe kwa siku mbili kwa nini!!!???

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Před měsícem

    Loh! Hapo umesema sio kwamba unapinga tume huru! Inaendelea kuwa perfect wakati miswada tayari imesainiwa! Nyie mpo ndani hamna lolote mnajijua wenyewe, hamna nia ya kutusaidia kitu wananchi...

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq Před 29 dny

    Chama kimeisha

  • @user-et9vf2ro2k
    @user-et9vf2ro2k Před měsícem

    Hapana sisi ni chama ambacho tumeonesha ukomavu wa demokrasia kuanzia ndani kwetu ambayo pia tunahitaji njee ya ACT yafanyikee

  • @user-bf9xj3nf1o
    @user-bf9xj3nf1o Před měsícem

    Zitto kabwe bado sana tena zaidi ya sana kunamuchuano wa ccm na chadema

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 Před měsícem

    Mlitegemea ccm itafanya marekebisho! Hayati Maalim Seif hakuwahi kupewa haki mara zote,lakini kwa kuwa hayupo,mkajiunga tena,sasa mwaka wa nne mapendekezo yenu bado,mnategemea nini sasa? Kugombea muendelee kula,au mtajitoa?!

  • @bagumandongwe8566
    @bagumandongwe8566 Před měsícem

    Unapenda unavyo jibu maswali ,unaupeo mkubwa sana achana na wanao kudharau sababu ya jinsia

  • @SuleimanChief
    @SuleimanChief Před 29 dny

    Kiongozi Tanzania ni mama samia

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 Před 29 dny

    Hakuna kitu kama hicho kumtoa zitto kabwe act wa zalendo

  • @user-et9vf2ro2k
    @user-et9vf2ro2k Před měsícem

    Vp ACT Wazalendo itakua CCM B Wewe unajua sera za kila chama hivi ushawahi kuonaa ccm kupigania haki za wananchii ushawahi kumuona mwana ccm kada mgombea akicharazwa viboko hadharani akitetea haki yake wwww uko makini lakini

  • @MoinaminaAmina-qh1jb
    @MoinaminaAmina-qh1jb Před 23 dny

    CCM ; CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM alale Salama baba wa taifa

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq Před 29 dny

    Yeye na lipumba wanafanana

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 Před měsícem +1

    Lambart uyu apa dar24 again

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 Před měsícem

    Samia kuwa kiongozi wa chama si kuwa amegombea hicho bali inakuja automatic kwa kuwa umekuwa rais, na kupigiwa kura na mkutano mkuu akiwa mgombea pekee, lkn Mh. Dorothy yeye amepata cheo chake kwa kushinda washindani wake kwa kura wala hakuwa mgombea pekee

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 Před měsícem

      Una dhana isiyo sahihi Rais Samia kuwa Mwenyekiti wa CCM sio automatic amegombea na kuchaguliwa. Marehemu Rais Mwinyi, Mwenyekiti wa CCM alikuwa Hayati Nyerere. Ni busara ya kawaida kwa nguvu za Rais Kikatiba ni bora apewe na Uenyekiti.
      Kwa maoni yangu mfumo bora kabisa wa Uongozi wa chama cha siasa ni wa ACT Wazalendo ambapo, Kiongozi Mkuu ni taasisi inayowasimamia viongozi wa chama wataokuwepo Serikalini. Kitu ambacho kwenye CCM hakuna ndio maana kila anaepata Urais anaendesha kwa mtazamo wake na hakuna chombo cha kumonitor.

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 Před měsícem

    KATIBA IFANYIWE MARA MOJA PAMOJA NA DIRA YA TAIFA

  • @mikidadmhando2504
    @mikidadmhando2504 Před měsícem

    RAIS MWINYI MPE UWAZIRI KIONGOZI HUYO MWANAMKE WA ACT WAZALENDO, YUKO VIZURI SANA USIMTUPE LKN CCM JUU

  • @ommarallyhamad7435
    @ommarallyhamad7435 Před měsícem

    Uzoefu unaonesha kwamba viongozi wakuu wa upinzani wanaotokea Tanganyika huwa wanaafiki pale wanapoona madai ya waznz, wote wamefeli

  • @SuleimanChief
    @SuleimanChief Před 29 dny

    Hawana mpango

  • @johansonmonyo3898
    @johansonmonyo3898 Před měsícem

    Kisafisheni chama Kwa kuondoa Mapandikizi ktk chama,kama mnataka kuwa chama kweli , makini cha upinzani,mpaka Sasa Ninyi ni Tawi la ccm

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 Před měsícem

      Sikiliza pima maneno ya huyo mwenyekiti,wacha kuchafua kauli za watu

  • @ramiahassani5603
    @ramiahassani5603 Před měsícem

    Anataka ahamie CCM akagonbee urais hakuna la ziada hapo, na ndio maana alijitoa uenyekiti wa ACT

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 Před měsícem

      Kuwa muelewa kwanza kwenye CCM kuna machinery za kutosha haiwezekani mwanachama mpya apewe nafasi ya kugombea Urais. Pili Mhe. Zito kamaliza muda wake wa Kiuongozi kwa nafasi hiyo Kikatiba ya ACT na sio kwamba kajitoa. Kwa maoni yangu Mhe. Zito ni Mwanasiasa bora kabisa Tanzania na Africa.

    • @edgarmbegu1974
      @edgarmbegu1974 Před měsícem

      Zutto alitumika na ccm ili kuonyesha kuwa et chama cha upinzani kinaweza kubadilisha kiongozi. Lengo lao act na ccm, ni kutaka watu wamzodoe Mbowe ili chadema nao waingie kingi kwa kufuata mkumbo kwa kumpata kiongozi kikaragosi wa ccm kama huyo dada.