African Union anthem Swahili & English lyrics

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 5. 08. 2020
  • Wimbo wa Umoja wa Afrika
    Here an english translation of this beautiful anthem
    The African Union (AU) is a continental union consisting of 55 member states located on the continent of Africa. The AU was announced in the Sirte Declaration in Sirte, Libya, on 9 September 1999, calling for the establishment of the African Union
    . The bloc was founded on 26 May 2001 in Addis Ababa, Ethiopia, and launched on 9 July 2002 in Durban, South Africa
    Umoja wa Afrika (UA) (kwa Kiingereza: African Union (AU); Kifaransa: Union Africaine (UA); Kihispania: Unión Africana (UA) ; Kireno: União Africana (UA) ) [1] ni muungano wa nchi 55 za Afrika ulioanzishwa mnamo Julai 2002.Umoja huu unaendeleza kazi za Umoja wa Muungano wa Afrika (kwa Kiingereza: Organisation of African Union - OAU) uliokuwepo 1963 hadi 2002.
    Nia ya umoja huu ni kujenga muundo na mfumo wa kisiasa, wa kiuchumi, na wa kijamii ili kufikia wakati ambapo bara la Afrika litakuwa na bunge moja, benki moja, jeshi moja, rais mmoja, sarafu moja, n.k.
    #Africananthem
    #Africa
    #Panafricanism
  • Hudba

Komentáře • 16