Majina Yote Mazuri lyrics by Dedo Dieumerci ft. Naomi Mugiraneza ( nikupee jina gani)🙏🏼

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 31. 01. 2023
  • Live A Life Of Contentment- www.digistore24.com/redir/445...
    High Converting Meditation/Spirituality Offer -www.digistore24.com/redir/367...
    365 Manifestation Power- www.digistore24.com/redir/378...
    Swahiliwoshipmusic
    majinayotemazuriniyako
    majina Yote
    lyrics
    Bwana Mungu wa Wokovu wangu
    Umenipigania Yesu!!!
    Umenipigania nakuita Jehova
    Nisi Bendera ya Ushindi wangu
    Umenipigania!!!!!
    Umenipigania nakuita Jehova
    Nisi Bendera ya Ushindi wangu
    Usifiiiiweee!!!
    Usifiwe ewe bwana MUUMBA
    Wangu na Nuru yangu
    Wema wako wanijaza Moyoni…
    Wewe ndiwe Mchungaji wangu
    Tena Kiongozi wa Maisha yangu
    Wanitazama kama mboni ya jicho lako
    Usifiwe ewe bwana MUUMBA
    Wangu na Nuru yangu
    Wema wako wanijaza Moyoni…
    Wewe ndiwe Mchungaji wangu
    Tena Kiongozi wa Maisha yangu
    Wanitazama kama mboni ya jicho lako
    Usifiwe ewe bwana MUUMBA
    Wangu na Nuru yangu
    Wema wako wanijaza Moyoni…
    Wewe ndiwe Mchungaji wangu
    Tena Kiongozi wa Maisha yangu
    Wanitazama kama mboni ya jicho lako
    Umenifanyaaaa!!
    Umenifanya kuwa kielelezo cha walio barikiwa
    Zaidi ya yote ukanifanya kuwa Baraka
    ili nami nibariki
    Nimekupata wewe nami nikaridhika
    Wewe ni yote ndani ya yote
    Usifiwe ewe bwana MUUMBA
    Wangu na Nuru yangu
    Wema wako wanijaza Moyoni…
    Wewe ndiwe Mchungaji wangu
    Tena Kiongozi wa Maisha yangu
    Wanitazama kama mboni ya jicho lako

Komentáře • 1K

  • @QUEENJoseph-kh6cb
    @QUEENJoseph-kh6cb Před 12 dny +3

    Amin usifiwe Jehova shalome good song mbarikiwe sana naisikiliza nikiwa IRAQ 🇮🇶 kurdistan alipo zaliwa nabii Ibrahim

  • @user-yp9wi4wr6y
    @user-yp9wi4wr6y Před rokem +11

    Nahisi uwepo wa mungu kupitia kwa uhu wimbo

  • @selivianasimiyu6386
    @selivianasimiyu6386 Před rokem +19

    Nafurahi kuona,kuna watu wanamuabudu Mungu kwa roho na kweli,mbarikiwe Sana,pia kututia Moyo.

  • @cheronohfaith179
    @cheronohfaith179 Před 9 měsíci +34

    To everyone going through hard time trust God will make way even if it seems impossible

  • @stratonaloyce5682
    @stratonaloyce5682 Před rokem +22

    Wimbo ni Mzuri Sana wanivutia Sana, na unanibariki saaaaana. Mungu azidi kuwalinda na kuwabariki saaaaana mliouandaa Wimbo huu.

  • @raelmudavadi9371
    @raelmudavadi9371 Před 11 měsíci +14

    Amen may God bless you huu wimbo hunitoa machozi na kunitia nguvu😊

  • @StellaMwarome-cb9vj
    @StellaMwarome-cb9vj Před rokem +17

    Jina ambalo ukiliita ....miungu yote inatetemeka duniani🙏Mungu utabaki kuwa Mungu

  • @AziziMapunda-vt4nv
    @AziziMapunda-vt4nv Před rokem +3

    Mimi binafusi nimeguswa na mungu kupitia wimbo huuuu😭😭😭😭🙏🙏🙏

  • @cecilebitundu3163
    @cecilebitundu3163 Před 2 měsíci +2

    Ki ongozi ya maisha yangu ni wewe mungu ,wewe ni yote ndani ya yote🙌🙌🙌🙌🙌

  • @deviceEdwine
    @deviceEdwine Před měsícem +2

    Wimbo huh unipa nguvu ya kumtukuza mwenyezi mungu wa mbinguni

  • @glorykitwala928
    @glorykitwala928 Před 6 měsíci +3

    Najisikia fraha na aman katika moyo wangu ninaposikiliza wimbo huu

  • @user-uj8yh2gt2w
    @user-uj8yh2gt2w Před 6 měsíci +6

    Mungu ni mwema kwa wote ambao wamekuwa wakifanya kazi ya Mungu

  • @AnithaLutumo
    @AnithaLutumo Před 6 měsíci +3

    Atukunzwe Mungu aliye kupa huduma nabarikiwa na nyimbo zako

  • @RajabuKimaro-do7ue
    @RajabuKimaro-do7ue Před rokem +6

    Hakika wimbo huu unafundisha na kutukumbusha nguvu tunazopata Toka kwa Mungu muumba wetu Mbarikiwe sana waimbaji

  • @user-rx9pr6ei7z
    @user-rx9pr6ei7z Před 5 měsíci +3

    For sure majina yote mazuri ni yake Mwenyezi Rabana

  • @user-dy8rc8fr2o
    @user-dy8rc8fr2o Před 3 měsíci +2

    Mbarikiwe sana Waimbaji,Mungu wetu anastahili sifaa

  • @JuliusKimaro-or8kw
    @JuliusKimaro-or8kw Před rokem +3

    Hakika majina yote mazuri ni yako jehova barikiweni sana waimbaji

  • @protuswabombawanyamawanyam411

    enyewe hakuna jina lingine zaidi ya jina lako mungu,uinuliwe milele

  • @user-ql4ek4bl4g
    @user-ql4ek4bl4g Před 6 měsíci +1

    ❤❤❤ when am down uwa inanibariki sana

  • @suzanmndasha8315
    @suzanmndasha8315 Před 7 měsíci +5

    Hakika majina yote ni yako Bwana Yesu mbarikiwe wote mlioimba wimbo huu

  • @jacquelineassey2438
    @jacquelineassey2438 Před rokem +5

    Wimbo unagusa maisha yangu, unanibariki sana, mbarikiwe mlioimba, Mungu aziidi kuwainua viwango vingine.

  • @elibarikipaul1384
    @elibarikipaul1384 Před rokem +20

    Hakika Majina yote Mazuri ni yako Jehova...this song always moves me away for sure. Mbarikiwe waimbaji

  • @MaryGathoni-tz1so
    @MaryGathoni-tz1so Před měsícem +2

    Umenipigania Bwana na kunipa ushindi pokea sifa na utukufu❤

  • @user-oe2ku7gl6c
    @user-oe2ku7gl6c Před 7 měsíci +2

    Ni kweli mungu pekee anaestahili sifaa na utukufuu

  • @user-zh4wh2vk4b
    @user-zh4wh2vk4b Před 4 měsíci +28

    Majina yote mazuri ni yakwako eeeeeh Bwana ❤🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @agneswayua3945
    @agneswayua3945 Před rokem +5

    Huu ni wimbo mzuri sana Kila neno lanipa nguvu ndani ya maisha yangu,

  • @JackieKinyua-qh8es
    @JackieKinyua-qh8es Před 2 měsíci +2

    Hiyo wimbo uko sawa napenda praise the lord every day❤❤❤❤

  • @AsifiweMwangomile
    @AsifiweMwangomile Před měsícem +2

    Nimebarikiwa na wimbo huu

  • @frankernest1986
    @frankernest1986 Před rokem +3

    Hakika Majina yote mzuri yako nakupena Bwana wang Yesu uliye nifia mimi Frank ♥️ u Yesu wang. Nakupenda xana

  • @rosekwasi3824
    @rosekwasi3824 Před 9 měsíci +35

    I have been listening to this song daily and was sobbing by the rememberance of the battles God has fought for me and my family.Kweli umenipigania na kuita Jehova Nissi bendera ya ushindi wangu.God has ,is and will be my all in all.

  • @princejeeh752
    @princejeeh752 Před měsícem +2

    umenipigania bwana Yesu 🙏. Majina yote mazuri ni yako🙏.

  • @ElizabethKiria
    @ElizabethKiria Před 5 dny

    Wimbo mzuri sna Mungu awatangulie kwa kila jambo

  • @user-bb8ys9eb6z
    @user-bb8ys9eb6z Před 8 měsíci +3

    Umenipigania nakuita jehova nissi bendera ya ushindi wangu

  • @user-zi5sg1cb1s
    @user-zi5sg1cb1s Před 4 měsíci +3

    Hakika majina yote maziri niyako Yesu zaidi ya yote ukanifanya baraka ili nami nibariki

  • @user-ec3fj1ss1y
    @user-ec3fj1ss1y Před 4 měsíci +2

    Hakuna aliye kama bwana,muumba vyote❤❤❤

  • @barakakatindasa9899
    @barakakatindasa9899 Před měsícem +1

    Ahsante kwa uinjilishaji wako kwa kipaji chako....haki atukuzwe mungu....

  • @devothaisaya5833
    @devothaisaya5833 Před rokem +3

    NAHISI UWEPO WAK BWAN WANGU .YEHOVA UMENITETEA BILA WEW SIWEZ BWAN.

  • @mariakatibu7366
    @mariakatibu7366 Před 7 měsíci +3

    ubalikiwe sana mtushi mungu azidi kukupa nguvu na kuwa imara katika kuzitenda kazi zake 🎉🎉

  • @PaulinaGeorge-zw4on
    @PaulinaGeorge-zw4on Před rokem +2

    Ndiyo Bwana majina yote mazuri ni yako ,niguse nami

  • @MargaretBarasa-pn8md
    @MargaretBarasa-pn8md Před 4 měsíci +1

    "Wewe ndiwe mchungaji wangu tena kiongozi wangu,wanitazama kama mboni..."❤❤❤.

  • @Ritchellemawia
    @Ritchellemawia Před měsícem +2

    Majina yote mazuri ni yako. Amen 🙏🙏🙏🙏 🙏🤲🤲

  • @jekoniaodhiambo5937
    @jekoniaodhiambo5937 Před rokem +4

    Uinuliwe juu mungu wangu ulie binguni. Be blessed for blessing me singer

  • @baenimuhimafabrice
    @baenimuhimafabrice Před měsícem +1

    Asante Yesu Kristo kwakuendela kuni pigania kila iitwao leo

  • @user-pr4bt6uo5w
    @user-pr4bt6uo5w Před 7 měsíci +22

    When i listen this song i become more powerful spiritually

  • @albertuspatroba8117
    @albertuspatroba8117 Před rokem +12

    Kwa Jina la Yesu kila Goti litapigwa na kila ulimi litakiri Jina lake POWERFUL AND MYSTERIOUS NAME JESUS CHRIST

  • @Mwangi490
    @Mwangi490 Před 10 měsíci +54

    Mungu amenipigania.Yeye ndiye bendera ya ushindi wangu.Amenifanya kuwa kielelezo Cha waliobarikiwa.🎉🎉

  • @gilbertbahulugo1890
    @gilbertbahulugo1890 Před rokem +55

    This amazing song brings energy to heartbroken people. Very congratulations 👏👏👏

  • @noellanzala8782
    @noellanzala8782 Před 12 dny

    Amina. Nikwali Mungu ni yote ndani ya yote

  • @IsabelaMahenge-gu4iy
    @IsabelaMahenge-gu4iy Před rokem +3

    Aisee uwa nabalikiwa Sana na hui wimbo

  • @naomiogega3591
    @naomiogega3591 Před rokem +7

    Amen huu wimbo unanipa nguvu 💪🙏 much love from 🇰🇪👌💕👌💕

  • @judithmakuba6917
    @judithmakuba6917 Před 11 měsíci +5

    Wimbo huu hunibariki sana, Heko kwa mtunzi! ❤️🙏

  • @kerrykomba9460
    @kerrykomba9460 Před rokem +4

    Hakika wimbo ni mzuri sana Mungu awabariki Wapendwa

  • @omondijackline6307
    @omondijackline6307 Před 9 měsíci +8

    JESUS!!! this song is so powerful Nimekupata nimeridhika Ww ni Yote katika Yote 🙏❤️

  • @user-dq6vj9yi4f
    @user-dq6vj9yi4f Před 11 měsíci +17

    Beautiful song, There's power in the name of the Lord.Majina yote mazuri ni yako Jehovah

  • @MarryMagellanga-lh9fz
    @MarryMagellanga-lh9fz Před 11 měsíci +1

    Naupenda sana nasikia amanita ndani ya moyo wangu.

  • @bahatimlunza8499
    @bahatimlunza8499 Před rokem +3

    Hakika majina yote mazuri ni yako Asante Mungu🙏

  • @reginacommaina5718
    @reginacommaina5718 Před 10 měsíci +21

    I love this song🙏🙏 may jesus intercede for everyone listening to this song🙏🙏❤🌄🌌

  • @rosemarru3903
    @rosemarru3903 Před 11 měsíci +3

    Nyimbo ina nifanya nilie mno jaman MUNGU akubaliki wewe uliye tunga nyimbo hii eeh MUNGU pokea manukato haya

  • @user-jp7xw8ly4b
    @user-jp7xw8ly4b Před 4 měsíci +2

    Hahika MUNGU wetu majina yote mazuri ni yake kuinuluwa kunatupasa

  • @Espoirmuyaya
    @Espoirmuyaya Před 2 měsíci +1

    Hii muimbo imenipe hamu kabisa ya kuisikilize mara wingi kwa baraka yake mungu

  • @user-dt5hv5gk8m
    @user-dt5hv5gk8m Před rokem +3

    Kweli sifa na utukufu ni kwako yesu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @JescaNdakize
    @JescaNdakize Před měsícem +2

    Majina yote mazur niyako baba🙏

  • @user-mw6ko3lb8n
    @user-mw6ko3lb8n Před 4 měsíci +1

    Kweli majina yote n yako may he guide me🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @user-qi5uv9gi2t
    @user-qi5uv9gi2t Před 2 měsíci

    Daaaaaa kweli mungu niyote zaidi yayot❤❤❤❤

  • @piusmutsya1214
    @piusmutsya1214 Před 10 měsíci +4

    Wimbo huu ni maombi tu kamili

  • @FlorenceNjeri-cc3fr
    @FlorenceNjeri-cc3fr Před 6 měsíci +4

    WImbo ni tamu

  • @SalomeMwasongwe
    @SalomeMwasongwe Před 10 měsíci

    Amina, Mungu amenioioaw a namwluita bwana mungu wa wokovu. wangu

  • @user-sj7ux6uw7t
    @user-sj7ux6uw7t Před 9 měsíci

    Daah mwenyezi mungu tujarie tuwe na nwisho mwema

  • @user-oi3fi2hq7q
    @user-oi3fi2hq7q Před rokem +3

    Hakuna jina lingine ila Jehovah

  • @catherinemuthoni-ok9yt
    @catherinemuthoni-ok9yt Před rokem +6

    Kweli majina yote mazuri niyako mungu

  • @Mishyyy_szn
    @Mishyyy_szn Před 2 měsíci +2

    Aki I really love this song🙏🏽🙏🏽

  • @daisynjeru6254
    @daisynjeru6254 Před rokem +22

    Wimbo unanipa nguvu ❤🇰🇪

  • @brendagatwiri4252
    @brendagatwiri4252 Před rokem +4

    Hakika majina yote mazuri ni Yako Jehovah

  • @karastajames-ld9qm
    @karastajames-ld9qm Před rokem +3

    Sina jina lingine ilah JEHOVAH

  • @user-vo5xw7vd9s
    @user-vo5xw7vd9s Před 5 měsíci +1

    Ni song mzuri kwa my mwenye baptaiziwa

  • @SaidaAlly-uw5ck
    @SaidaAlly-uw5ck Před rokem +4

    Niisikiapo nyimbo hii moyo wangu unajawa na furaha

  • @JaelDebrah-hv4nq
    @JaelDebrah-hv4nq Před 9 měsíci +10

    Am blessed with this song and I He going to make me a victor in the situation am passing through

  • @dichuke1940
    @dichuke1940 Před rokem +53

    This song is just a blessing to me whenever am feeling low it lifts me up 💥 may This song be of blessings to many of the human races

  • @pendosway
    @pendosway Před 9 měsíci

    Mungu naomba Neema juu ya familiar yang🙏🙏🙏

  • @RachelNdanu
    @RachelNdanu Před 2 měsíci +2

    Akika wewe ni Baba yangu wastahili sifa

  • @a-stepfoundation4909
    @a-stepfoundation4909 Před 3 měsíci +4

    ilove this song very much keep up

  • @user-kt9vd2cq7x
    @user-kt9vd2cq7x Před 11 měsíci +33

    I shed tears when I listen to this song and think about the goodness of God.

  • @user-pl6et5uu6w
    @user-pl6et5uu6w Před 6 měsíci +2

    Nabarikiwa sana,,ameen

  • @lightnessswai
    @lightnessswai Před 11 měsíci +2

    Ni wimbo ambao unanipa ujasiri sana🙏🙏

  • @DamianPetro-fi2tm
    @DamianPetro-fi2tm Před rokem +3

    Wimbo mzuri sana mbarikiwe mno na muendelea kuwa watumishi wa MUNGU

  • @mosessirma2330
    @mosessirma2330 Před 7 měsíci +15

    Our God deserves praise for what he has done in our lives

  • @johnnakholi5006
    @johnnakholi5006 Před 8 měsíci +1

    Very inspiring',yeye ni bandera ya ushindi wangu'am blessed.

  • @luciasamweli9697
    @luciasamweli9697 Před rokem +2

    Mungu awabariki kwa kazi hii kweli unanibariki sana wimbo huu🙏🙏🙏🙏🙏

  • @EmanuelMbwilo
    @EmanuelMbwilo Před 6 měsíci +4

    Nikikumbuka alivyo teswa naumia

  • @user-vn9ys6sw5i
    @user-vn9ys6sw5i Před 8 měsíci +6

    U are realy blessing my heart ❤

  • @jeandedieubizimana2418
    @jeandedieubizimana2418 Před měsícem

    Amen ❤❤ Asante mpenzi wangu Yesu ❤️‍🔥❤️‍🔥

  • @user-vb2uy3zn2s
    @user-vb2uy3zn2s Před 5 měsíci

    Hakika ww n Mungu zaidi akuna kama ww❤❤

  • @winfridahelela2352
    @winfridahelela2352 Před rokem +4

    Hakika unastahili MUNGU mwenye nguvu

  • @annenyaga4523
    @annenyaga4523 Před 11 měsíci +24

    Amen,this song plays on my working computer every morning,it amazingly lifts my soul to👏👏 my creator, you are a great blessing to us.

  • @LizzVicky-hw9up
    @LizzVicky-hw9up Před 5 měsíci

    Indeed majina yote mazuri ni yako🙌🙌🙏🙏

  • @reginamusya6986
    @reginamusya6986 Před 7 měsíci +1

    Amen. Majina yote mazuri ni yake mungu wetu

  • @benardombinya7708
    @benardombinya7708 Před 8 měsíci +8

    In every situation God must be involved because he is the creator and protector of our life it is touching song put him in everything you do to guide you the right way and keep burning

  • @VincentPaulBolingo-ho5oc

    Amen, mungu anipe mwisho muzuri

  • @user-ht1qm4gc8r
    @user-ht1qm4gc8r Před rokem +1

    Wimbo mzuri unanipea advice asante

  • @AnnahMutinda-kv1us
    @AnnahMutinda-kv1us Před 17 dny

    Wimbo huu hunanibariki sana hunasabicha roho yangu