Wimbo huu ulikuwa ukiniamsha kila Alfajiri kupitia Redio Tumaini nikiwa kidato cha nne na tano 2003-2005 Pugu Sekondari. Tangu wakati nilipousikia sijawahi kuuchoka. Mungu atubariki.
Nice song, huu wimbo naupenda sana nakumbuka kipindi nikiwa primary my Aunt alikuwa mwimba kwaya, walikuwa wanashindana kuimba na huu wimbo ulikuwa kila kwaya lazima waimbe, basi alikuwa ananichukua tunaenda kwenye mashindano na tunarudi na ushindi, Get well soon my Aunt, umenikumbusha mbali sana, Tembea na Yesu upone Aunt yangu
Huu wimbo ni wa Kinabii, ni wa Kimbingu, namtukuza Mungu kwaajili ya hufuma yenu Watumishi. Mungu Awawezeshe Duniani mudumu katika furaha ya Bwana na milele katika Ufalme wake... Nawapenda, Nimependa sauti na Ujumbe tangu nilipokuwa mdogo miaka 5-7 hadi leo Miaka 27 huu wimbo bado ninaupenda. Leo nmeuona machozi ya furaha yamekuja. Hakika Injili ni uweza wa Bwana Uletao wokovu, Tuingie katika njia ya Injili na tukaze Mwendo.
Huu wimbo unanikumbusha mbali Sana baba yangu alicheza kwenye harusi ya dada yangu kwa furaha Sana Basi tukienda sehemu yoyote tukiusikia lzm tumkumbuke baba alivyokuwa anacheza kwa madaha na furaha kwa kushuhudia harusi ya binti yake lkn kwasasa wote hawapo duniani dah pumzika kwa amani baba yangu Sylvester Robert Mushi na dada yangu Evelyn Sylvester Mushi🙏🙏🙏
As we navigate towards the end of times foretold by the prophets, we shall Miss the purity of everything, including the purity of the Gospel songs, since everything is contaminated, everything.
Namkumbuka marehem mke wa mwalimu wangu JANI wa Tumbi primary, mama neema, hata siku alipokwenda kufanyiwa upasuaji alituaga akiimba wimbo huu, hakuamka tena baada ya operation, kila ukiimbwa kamwe siachi kumkumbuka, bado nakupenda sana kipenzi huko uliko, maana nawe ulitupenda sana ulipokuwa duniani, Rest in peace dear
This song reminds me of my mama, Tutaonana asubuhi iliyo njema mama angu..endelea kupumzika kwa amani
Apumzike Kwa Amani.
Can't get enough of this song. Very uplifting. God bless this choir.
Wimbo wangu pendwa 🙏🙏
Wimbo huu ulikuwa ukiniamsha kila Alfajiri kupitia Redio Tumaini nikiwa kidato cha nne na tano 2003-2005 Pugu Sekondari. Tangu wakati nilipousikia sijawahi kuuchoka. Mungu atubariki.
This song reminds me much about my good past life while I was at Yombo Lutheran church early in year 1997
Daaah machozi yanatoka kwa furaha kumbukumbu za zamani sanaaaaa mbarikiwe mnooooo
This song reminds me my experience as student at AGAPE LUTHERAN JUNIOR SEMINARY. Best school for our kids and tanzanian youth generation at large. 🔥
I was coming here to comment the same 😆. Long live the memories and the learnings we got from Agape🔥
Classic song 2021 naipenda
Nice song, huu wimbo naupenda sana nakumbuka kipindi nikiwa primary my Aunt alikuwa mwimba kwaya, walikuwa wanashindana kuimba na huu wimbo ulikuwa kila kwaya lazima waimbe, basi alikuwa ananichukua tunaenda kwenye mashindano na tunarudi na ushindi, Get well soon my Aunt, umenikumbusha mbali sana, Tembea na Yesu upone Aunt yangu
Amina
Ata mm mamaangu alikua ni muimbaji wa kwaya wakiimbaga hii nyimbo nakumbuka mbli cn
Mm nilikuwa katika Safu ya waimbaji chini ya mwalimu MSUYA.. cant imagine nilikuwa ndio nimemaliza std 7... Niliimba sauti ya 4
Yes! Ulikuwa ndo wa kuingia....hatari sana
naupenda mnooo
Huu wimbo ni wa Kinabii, ni wa Kimbingu, namtukuza Mungu kwaajili ya hufuma yenu Watumishi. Mungu Awawezeshe Duniani mudumu katika furaha ya Bwana na milele katika Ufalme wake...
Nawapenda, Nimependa sauti na Ujumbe tangu nilipokuwa mdogo miaka 5-7 hadi leo Miaka 27 huu wimbo bado ninaupenda.
Leo nmeuona machozi ya furaha yamekuja. Hakika Injili ni uweza wa Bwana Uletao wokovu, Tuingie katika njia ya Injili na tukaze Mwendo.
This song never fades up l have been listening to it for many many years it is always new:
Wow ! Just WOW !! Sweet memories !
Kitambo sana RTD huu wimbo kila jumapili sa nane /tisa ulikuwa unapigwa na John Kamoyo
Kwa kweli m'barikiwe MNO. Nyimbo zenu zinabariki sana. Album zinapatikanaje....DVD
Great memories. As I can see my Dad singing nice n happily. God bless you all.
I miss my dady tooooooo😢😢😢😢
Well nmeutafuta sana huu wimbo ghafla tu nimeupata, nostalgia.
😂❤Barikiwa
Barikiwa kwa nyimbo zenu nzuri zenye utukufu.
Nice song, nakumbuka miaka nikiwa kijana,hakika kutembea na Yesu Kuna faida,
May the Lord God bless you so much for the good work you are doing
Mungu nisamehe dhambi zangu
Nawapenda bure Wana wa Mungu mwema
Mmeimba vizuri sana
Always loved this song, classic one with good memories. Ninatembea imara 2022
Wameomba vizuri,na kuonyesha maisha ,mengine baada ya ulimwengu huu,unaochakaa kwa haraka I ❤it
Hongereni sana Kwaya ya KKKT - KIMARA.
Jina la bwana libalikiwe milele AMINA 🙏🙏🙏
My favourite song
Kweli kila jambo lina wakati wake... Mungu ni Mwema Wakati Wote.
Hongreeeen sana watumishi wa mungu
Ninaingia furahani mwake Bwana Haleluya Amina..
I never get enough of this peace. It was well articulated.
Tutafikia lini furaha yake bwana barikiwa wanakwaya
I really love this song❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Safi kabisa, Mungu awabariki Sana
Nabarikiwa mno na huu wimbo
Wow ❤❤❤
2022 still listening
2054 still a hit
Mungu awabaliki kwa ujumbe mzuri
Yani huwabarikiwa sana na huu wimbo. Mbarikiwe waimbaji.
Mlitisha sanaa hongeleni
Hakika naipenda hii nyimbo
In lovely memory of my late father who passed away 15 years ago.......he used to love this song
Nipo hapa 2023 still nikiuskia napata tabasamu haswa
Zamani sana nikiwa primary Kila siku upendo radio walikuwa wakiupiga
Nakumbka mbali sana hizi nyimbo ni hazina
Mbarikiwe sana Kwaya Kuu Sauti tamu
Those days at Mwika Sec❤
Mungu awabariki sana
Mbarikiwe sana
Mungu awabariki sana ,nimekumbuka kipindi kile
Kabisa ndugu🎉
Gene unakumbuka wimbo wetu huu tuliimba sana.
Be blessed always
Daaah moyo wangu umeruka ruka
Hakika Mungu ashukuriwe kwa wema wake
Kwa sana namuona Brian Decon sasa kipindi icho tuna amini huyo ndio Yesu weee hunitoi kwenye rel😅😅
I like this song😍😍
Good song
blessed are those who sing the song of praise like this
Huu wimbo unanikumbusha mbali Sana baba yangu alicheza kwenye harusi ya dada yangu kwa furaha Sana Basi tukienda sehemu yoyote tukiusikia lzm tumkumbuke baba alivyokuwa anacheza kwa madaha na furaha kwa kushuhudia harusi ya binti yake lkn kwasasa wote hawapo duniani dah pumzika kwa amani baba yangu Sylvester Robert Mushi na dada yangu Evelyn Sylvester Mushi🙏🙏🙏
Pole sana dear
2021 ❤
Nakumbuka St.Andrews Magomeni na Magomeni Lutheran (Mviringo)❤
As we navigate towards the end of times foretold by the prophets, we shall Miss the purity of everything, including the purity of the Gospel songs, since everything is contaminated, everything.
❤
2024 this song🤲🤲🤲
Lyrics please
Vijana wa ukwata walikua wakiimba hii nyimbo mpaka vinyweleo vinasimama
mwenye audio volume 11 anisaidie
Nyimbo yangu pendwa
❤❤2023
Good
Nakumbuka kurasini st Maurice
lyrics za huu wimbo napata wapi???
❤❤
Zuur
Ni wimbo uliotungwa na kuimbwa kwa akili!
Sana❤
Amen
Ziko wapi hizo sauti tamu Sasa? Warithi wapo?
wapo karibu siku uje ututembelee usharikani
Nabarikiwa sanaaaa
Manyama kwani Mungu aliumbia wasabato peke yao uimbaji mbona hiyo siyo ladha ya kisabato ulitakiwa umpe Mungu utukufu siyo kuipa sabato utukufu
Umeona ee kwa kweli MUNGU anasitahili atukuzwe
Amen
🙏
Namkumbuka marehem mke wa mwalimu wangu JANI wa Tumbi primary, mama neema, hata siku alipokwenda kufanyiwa upasuaji alituaga akiimba wimbo huu, hakuamka tena baada ya operation, kila ukiimbwa kamwe siachi kumkumbuka, bado nakupenda sana kipenzi huko uliko, maana nawe ulitupenda sana ulipokuwa duniani, Rest in peace dear
wameimba
Ninyi ni wasabato ila bas tu
Yaan sijuiagi mnashida gani Wasabato. Mpe Mungu utukufu
Huo ndio uimbaji halisi wa Kkkt na ndio maaana ya kwaya kuu
@@juliethkipeja4791 hakika dada Julie hio ndo maana halis ya Kwaya Kuu
P
HUU WIMBO KWA SIKU NAUSKILZA MARA 7 YAAN UNANIFNYA NAISHI KWA AMANI SNAA MLITISHA SNAA MUNGU AWABARKI SNAA AMEN KINANDA KIMETULIA KWNYE MOYO SNAA
asante nimeitafuta sanaaaa
czcams.com/video/d-3kQOSW-NIh/video.htmlttps://czcams.com/video/d-3kQOSW-NIh/video.htmlttps://czcams.com/video/d-3kQOSW-NI/video.html
Atari sana hii pini
Nakumbuka kurasini st Maurice
❤️