Dada mwalimu hongera sana unamaelezo yaliyo nyooka vizuri hadi raha mpaka nimetamani namimi nim tanzania naniko namtoto mdogo bc ningemuomba mungu akanijalia kumleta hapo kwaiyo shule yenu ukovizuri sana dadangu upande wamtoto P mashaAllah nimrembo mungu amuhifadhi namacho yawabaya mlee malezi mazuri dadangu uyo mtoto atakujakusaidia inshaallah
Mungu akuwekee mwanao waloho mbaya wa ache wafrika sisi tunaoneana wivu chuki unafki mumwachieni mwenzenu mtoto kila manadamu alitumwa na muumba wake ili aonyeshe matunda aliopandikiza katika mwili wako ya yachanue nao duniani ulivyo zailwa acha na mwengine azae na alee kiumbe alichokipewa na muumba wake
Hakika Mungu hajawahi kukosea Katika kuumba kwake au kuhtaj msaada WA mawazo kutoka kwa viumbe juu ya viumbe. Ametukuka Allaah subhaanahuu Wataala mbora WA kila kitu.
Kwanini usiulize wazazi wa Tausi ni wafupi au warefu? Maana maswali yko ni yakipumbavu kiasi fulani, mtu mfupi cio kwamba vizazi vyake vitakuwa vifupi... Wapo warefu wamezaa mbilikimo na wapo mbilikimo wamezaa watoto warefu.
Kazi ya mungu Haina makosa mrefu anakufa mfupi anakufa kwa mwenyezi mungu hakuna tofauti mashallah hongera tausi
Mungu akutangulie kweli dada yangu ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Allah akujaalie Dada na akujaze majazo mema Tausi wetu
MASHALLAH mtoto Mzuri mungu Atukuzie mtoto wetu Amiiin 🤲
Happy birthday to you 🎂🎉🎈 mtoto mzuri mungu akukuze nyema Ameen 🙏
Hongera sana dada Tausi,mshkru mungu dada kakapa kabinti karembo hatari😍💕❣️❣️🌹🤩👏🙌👈
Dada mwalimu hongera sana unamaelezo yaliyo nyooka vizuri hadi raha mpaka nimetamani namimi nim tanzania naniko namtoto mdogo bc ningemuomba mungu akanijalia kumleta hapo kwaiyo shule yenu ukovizuri sana dadangu upande wamtoto P mashaAllah nimrembo mungu amuhifadhi namacho yawabaya mlee malezi mazuri dadangu uyo mtoto atakujakusaidia inshaallah
Hongera Tausi Happy birthday mtoto cute
Hongera dada tausi
Mtoto mzuri sana hongera dada tausi mungu akukuzie 🥰🥰🥰🥰🥰
Kwani tausi yy kaomba kuwa hivo jamani tukumbuke km yote haya ni mwenyewe muweza Allah anaweza kufanya atakalo tushukuruni alhamdulilah
Happy birthday for her💯💖💖💖 uishi miaka mim mingi mtoto mzuri
Ur the best mother Tausi... Hongera sana
Happy birthday to you mtoto mzuri usipende kumpa pesa ya kununua Maputo SI mazuri Yana hatari sana kwa watoto
MashaAllah
Mtoto mzur mashaallah Allah Akuekee Inshaallah.❤
Assalam aleikum Ruwaida ...vp hali yko...can i get your whatapp no?
@@faizabbas4620 Unataka Wajae kwenye sim yangu .niweke namba hapaههههه
Happy birthday mtoto mzuri🎉🎂 Allah akukuzie mtto wako mashallah 😍
Ongera sana Taus,mungu aendelee kuwa mkubwa.
Tumwacheni Mungu aitwe Mungu jamani
Happy birthday kipenzi mtoto mzuri Hongera pia kwako mama Kwa malezi Mungu amlinde sana na kibali Cha Mungu iwe juu yake🍼🥛🍼
Happy birthday beautiful 🌹🌹🌹🌷 bby gal
Mtoto mzuriiii mashalaah ♥️♥️♥️
mashallah
Mimi nampenda tausi mpaka kufa kwangu yaani hana maringo nahajigambi kama wengine much love from kenya
Sana mm pia
Pl
L
Pop
Mtoto mzuri mashallah
Sema mashaallah
MashaAhh na hongera bi tausi
Mashaa Allah hongera tausi
Mashallah anadeka mletee mwezake 🤣happy birthday beautiful girl more years to celebrate 🎉 🎂🍼
Mashaallah
Mzuriiiii
Penda saaana tausi wangu ❤💪🏽
Hongera tausi kipenzi kwa kukuza mwenyezi mungu akutunzie
Happy birthday beautiful gal 🎂🎉🎊🎈many yrs to come, Amin 🤲🤲
Happy birthday to you
Mrembo mungu akuwekeee
Happy birday to yuu
Mashallh 🥰🥰🥰🥰
Mama P anampenda mwanae mwenyewe hataki achafuke hata kidogo, anamtengeneza tengeneza, safi sana Tausi.
Maashallah
Hapybirthday mtoto wewetu mungu akulinde zaidi
Beautiful girl ❤❤❤. Happy birthday to the princess ❤
maa shaa Allah
Hongera tausi sana
Ma sha allah 💕 my sister
She’s so beautiful
And cutty
Me too am happy for you tausi mtoto mtamu jaman,
Mungu akuwekee mwanao waloho mbaya wa ache wafrika sisi tunaoneana wivu chuki unafki mumwachieni mwenzenu mtoto kila manadamu alitumwa na muumba wake ili aonyeshe matunda aliopandikiza katika mwili wako ya yachanue nao duniani ulivyo zailwa acha na mwengine azae na alee kiumbe alichokipewa na muumba wake
Masha allah
MashaAllh 🥰🥰🥰
Hongera tausi munguanikuzie mwanao inshaallah
Hongera my
P, ananidhamu Ma shaa Allah.
Maashalla maashalla
Mashaallah hongera mwaya
Mashaallah jaman
Hbd Mrembo wetu ❤️❤️🙏🙏
Sasa jamani Cha kushangaza nn wakati tunajiwa Kuna mungu?? Sababu hata huyo Tausi Hakuzaliwa na wafupi aAlizaliwa na watu warefu
Katoto kazuri Mash'Allah
Mashaallah🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Tatu mzuri mashallah namwanawe
Cute
I wish you baby girl ❤️💕❤️😘❤️😘❤️ llove so much
Mungu akukuzie Binti yko Tausi happy birthday to you mtoto mzuri Mungu akulinde nakupenda ❤️
Very nice
Happy birthday to you my baby girl 🎉🎂💐♥️♥️
Hatokua Kama mamake😔very sad haezi kutumia lugha nzuri kiasi? kwani what's wrong hata angekua mfupi she is still an angle✌️
Nice
Sio hoja mbona mungu anaumba anavotaka sio kuwa wafupi watoto wafupi au warefu uzae warefu sio hoja
Kazur katto cheke mashaalha usda zimpitiembali
Mungu waajabu sana alizaa bila opareshen
Pongezi Sana tausi
Ee uyu muandishi kama fala anahisi kwann kamkataa vep mungu sindo anapanga mtt afanane na nani ebu msomee uandishi vzr maninaa😏
Hbd baby girl P💝🌹🍎🎂🥤💃
Ogera dada
Mmh mtangazaji bhana!!!
Jamani mutoto watausi nimu zuri kabsaaaa ongera sana
🥰🥰🥰🥰
P Mungu' akutunze🙏
Ama kwa hakika wewe ni mrefu!
Una miaka 3 lakini unalingana urefu na mamayo😂
Hakika Mungu hajawahi kukosea Katika kuumba kwake au kuhtaj msaada WA mawazo kutoka kwa viumbe juu ya viumbe.
Ametukuka Allaah subhaanahuu Wataala mbora WA kila kitu.
Tausi hongera sana kwa malezi mazuri na majibu yako ..eti baba yake anajishughulisha na nini! 🙄
Mmh hizi shule za siku hizi haziekeweki ni shule au vituo vya birthdays
Tausi ongera san
Mna muona mwalim anavyo fanana tukiwa wazima mtafteni baada ya myaka 20 ata kuwa ivo ivo mi sijuwi walim mna tumiya mbinu gani
Mbona kachukua pia kwa mama??
Nimuzuri
Kwanini usiulize wazazi wa Tausi ni wafupi au warefu? Maana maswali yko ni yakipumbavu kiasi fulani, mtu mfupi cio kwamba vizazi vyake vitakuwa vifupi... Wapo warefu wamezaa mbilikimo na wapo mbilikimo wamezaa watoto warefu.
❤️❤️❤️🔥🔥🔥💋💋🥰🥰🥰🙏🙏🙏🙏
Uyu mdada mtangazaji ana sauti nzuri sana
Tena saa nyengine sauti yake uyo mtangazaji inakuja kama ya Zamaradi Mketema kwambaali anasauti nzuri kweli
Huwa nampendaga mtangazaji
Halafu ni mcheshi love you ♥️🥰
Ila anafeli ktk kuhoji umbile la mtu.
Yeyte ana madhaifu yake.
Hakuna aliekamilika
Mrefu ataingia motoni kwa madhambi yake n'a kinyume chake.
Katoto kazuri Sana🙏🙏.Mungu amtunze
Hongereni Baba na Mama P, Nimefurahi Mungu mkuu sana ila Kuna watu tu hawajaelewa ukuu wake
Hiki ki Tausi kina sura nzuri sana. huyo jamaa anatakiwa akikamue kama vitoto kumi hivi chapchap.🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂