KUNUTI NI BIDAA IMECHOMEKWA TU KATIKA DINI "HAYA NI MANENO YA MTUME S.A.W INAFAA KUKUNUTI POPOTE"

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 27. 08. 2024
  • #riyadhTvZnz #zanzibar

Komentáře • 62

  • @mwakoromamwanamgeni5420
    @mwakoromamwanamgeni5420 Před rokem +2

    Swadaqta sheikh umegonga ndipo yani kuna watu wakilala wakiamka stori zao kila kitu bid'a but cha ajabu hawasemi simu ni bidaa wala magari coz mtume hakutumia simu wala gari Ee mcheni Allah twendako siko all the way from Mombasa 🇸🇸🇸🇸

    • @fahadalismailiy
      @fahadalismailiy Před rokem +2

      Samahani kwanza inabidi ujue maana ya bid'ah

    • @mwakoromamwanamgeni5420
      @mwakoromamwanamgeni5420 Před rokem

      @@fahadalismailiy I know very well the meaning of bid a kwa ilmu yangu nliyojaaliwa na Allah (s w)

  • @salimmapande4668
    @salimmapande4668 Před rokem +2

    Hakuna hata mtu mmoja katika watu wa sunnah anayesema hakuna qunuti au qunuti (kiujumla) ni bid'aa hii mafhuum potofu kabisa. Kinachosemwa nikuwa Qunuti huletwa wakati maalum (kuomba dhidi ya sharri au kheri ya jambo maalum). Kuleta qunuti katika swala ya alfajiri bila sababu maalum hiyo bila shaka ni BID'AA kwakuwa haina dalili sahihi na swarih

    • @nurdinmfamau3493
      @nurdinmfamau3493 Před rokem

      Kwanyakati Zetu Kuomba Kheri Nakuomba Kuepushwa Nashari Nazaidi Kwasababu Matatizo Nimengi Nashari Nichache. Mimi Hizi Tungekunuti Kwenye Swala Zote. Sembuse Sikwa Swalat Lfajir Pekeeyake.

  • @mgosilawanukoviri2734
    @mgosilawanukoviri2734 Před rokem +2

    Yani mzima halafu huna la maana la kufundisha wa islamu ila kunuti kwani kunuti ina somwa duwa au Wana tukana kama hawtukani shida nini kwani mtume swalallah

  • @jechasuleiman5532
    @jechasuleiman5532 Před rokem +3

    Kunuti SI bidaa shekh khamis ni kweli maneno Yako ila haikuambiwa isomwe kila swala ya afajir hicho kitendo ni uzushi.wala sio kunuti .

    • @nasibmbuguni5613
      @nasibmbuguni5613 Před rokem

      Allah. Akujalie mwisho mwema elimu na ufafanuzi nimzuri mazingatio ni muhimu

    • @saidyussuf2291
      @saidyussuf2291 Před rokem

      Kasome tena qunut ya alfajiri ni sunna usipinge sunna

    • @mfalmenajjash2128
      @mfalmenajjash2128 Před rokem

      Swadakta kaka nahakuna kitu kibaya kama bidaa inayonana naukweli hilo nijambo bayasana

    • @mfalmenajjash2128
      @mfalmenajjash2128 Před rokem

      @@saidyussuf2291 kwaiyo mtume Muhammad alisuniya kunuti iletwe kwa swalamojatu??? Naomba jibu

  • @yusufntamila541
    @yusufntamila541 Před rokem +3

    Mashaallah kuna yule muuza pweza na wenzake utaona comment zao wanapinga

    • @mahdy011
      @mahdy011 Před rokem

      😂😂 muuza pweza?

    • @niffonlinetz7214
      @niffonlinetz7214 Před rokem

      Allah akuongoze

    • @yusufntamila541
      @yusufntamila541 Před rokem

      @niffonline Tz 😀 kibaraka wa muuza pweza

    • @niffonlinetz7214
      @niffonlinetz7214 Před rokem

      Sawa bana Allah ndo KAPANGA sisi tuuze pweza so tunashukuru ila Allah awaongoze inshallah

    • @yusufntamila541
      @yusufntamila541 Před rokem

      @@niffonlinetz7214 Aanze na nyinyi kuwaongoza kwanza mnaopinga kila kitu kisa hakiko kwenye quran na hadithi

  • @charafimali9731
    @charafimali9731 Před rokem +2

    BAARAKA LLAHU FIIK YAA SHEIKH. tatizo wapingao Qunuut ni wapya ktk dini kilakitu. Na mawazo yao pia ni ya kupandikizwa hayana mbolea ya asili. Mfano hapa shkh ashasema Qunuut ni popote pale na mfano katika. Lakini wapingao wanasema eti tatizo ni kuleta swalamojatu. Sasa ushaambiwa ppt wapi hamjaelewa ? . Au kwenye swala ya alfajiri si pahali sio.

    • @mobilespecialschool4216
      @mobilespecialschool4216 Před rokem

      Hakuna anaesema kunuti haipo, wala anaekataa kunuti kua sehemu yoyote, ila kuifanya kunuti ni sehemu ya swala ya alfajiri iyo ndio kesi ya uzushi. Tuanzie hapo msilete mjadala usiokuapo famasiala nini na dini nyie

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman Před rokem

    Bado hapa hatujafahamu, tunataka hii dua kusomwa asubuhi pekee, na usipoisoma utoe sijdat mbili kabla ya salam hii imekuaje. Dua c unaweza kuisoma muda wwte ndani ya swala na nje ya swala.. tufahamisheni vzr.
    Kisha muukemee ushoga mukimaliza darsa museme kidgo kupinga ubaradhuli

  • @mtoikanyawanah585
    @mtoikanyawanah585 Před rokem +2

    Ni kweli Mtume alileta kunuti wakati wa dharura/shida. Kipindi hiki cha karibu na siku za mwisho mbona shida ni kila siku iwe ya mtu mmoja mmoja, nchi binafsi na hata dunia kwa ujumla wake. Mfano vita, udhalimu wanaofanyiwa waislamu wenzetu wa Palestina na baya zaidi ni hili la LGBTQ. Hamuoni kuwa kunuti ni muhimu kuliko wakati wote wa zama zenu?

    • @ausatmwangi6464
      @ausatmwangi6464 Před rokem

      Basi saij ndio kuna vitimbi vingi na majanga mengi yafaa kuleta kunuti kwa wingi.

  • @jechasuleiman5532
    @jechasuleiman5532 Před rokem +2

    Kumbe shekh kunuti mtume aliisoma wakati wazarura maalum,mbona Kuna mazonge mnatuzonga.

    • @rashidkhamis8282
      @rashidkhamis8282 Před rokem +1

      Mtume Hakuacha kunuti mpaka kufa ukitaka ushahidi nitumie no nikutumie whatsapp

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 Před rokem

    Asalam alykum
    Ukımsıkılıza Shekh MuSSELEM ALLY
    anapoisheheresha AYA hii ya MARIAM kuhuusu AKUNUT
    Shekh asema hapo haina maana y ıle ınayosomwa Ktk SWALA YA AAsBuh
    n unuenyekevu tu kwa Allah SW
    Cıo kunut ile ğnayosemwa Asbuh ...

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 Před rokem +1

    Wapo Watu Kazi Zao Nikama Inzi Kutua Kwenye Vidonda Nauchafu. Katu Hawawi Kama Nyuki Kutoa Asaĺi Kwaajili Yafaida Kwawatu. Nakutua Kwenye Maiwa Na Miti Mizuri. Tusiwe Kama Kilkitu Nzweeeeeeeeee.

  • @mfalmenajjash2128
    @mfalmenajjash2128 Před rokem +4

    Taitizo siyokunuti tatizo niuletaji wakunuti kuiletatu kwenye swala moja tu linawezakuja suala kwanini kunuti inasomwa Alfajir tu nakwanini isisomwe kwaswala zote Adhuhur,laasir,magharib,na Ishai ?

  • @mohamedabdallaali1956

    Kwa kweli sikuwa najuwa kwamba watu wanachukia kunuti kiasi hiki, mpaka wanafikia kutukana mashekh, kwa kweli hizi sasa si ihtilafu bali ni ushabiki,Allah atuoneshe njia kwa uwezo wake

  • @fahmiabdulla7690
    @fahmiabdulla7690 Před rokem

    ALHAMDULILLAH WASTAGHFIRUALLAH LAALIYU L AADHIM(KILA LENYE KHEIR NI VIZURI KUFANYWA KTK MISINGI ILIO BORA , INSHAA ALLA KHEIR

    • @ayauii
      @ayauii Před rokem

      Kama Kila kitu kina faa basi tuengezeni swala tufanye 6 badali ya swala 5 hili ndilo jambo lakheri.tumfuate mtume alilotuamrisha .sio kubadilisha kunut mtume kaswali kwenye witri au kukitokea jambo mbona inmekuwa inaswalia asubihi mbona Muna vituko

  • @jifunzedini3326
    @jifunzedini3326 Před rokem +1

    Kila siku haya haya kila kukicha wenyewe kwa wenyewe.. BADILIKENI MASHEIKH MNACHOSHA.
    YA MSINGI YAPO MENGI ILA MPO KIMYAAA KAMA UGALI WA JANA.

    • @abuushadykichenga1977
      @abuushadykichenga1977 Před rokem

      Nikweli ira kiukweli nasi tulioamini tumezidi, yani kwa sasa adui ya mwislamu kwa mwislamu nimwislam nihatali sanaa. Wakati kunawatu wanakufa bila dini uko, maushoga yanakuwa ivi kweli Mashekh amuoni. Mimi jamani nina ndugu yangu alikuwa mtihani Sana kwaulevi sanaaaaaa tumeangaika mnoooo mnoooo. Akakutana na hawa jamaa wa tabligh wanajua wenyewe walicho mwambia atujaamini akaacha pombe kabisaaa akawa vizurii kabisa akaowa mambo yakawa yanakwenda safiii naakajiuga na awotabligh. Wakaja nduguzetu kutoka tanga wakamuandamaa bwana bidaaa iyooo bidaaa iyooo uwezi amini jamaa amerudi kwenye pombe malambili yakee adi analala kirabuni. Kwaiyo kifupi walinganiaji tuangalie namazingira nawakati tuliopoo

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 Před rokem +2

    Acha upuuzi wako.Saivi waislamu tunatakiwa kuunga na kupinga ushoga.Mambo ikhtilaf tuyawache na kuwe na adabu ya ikhtilaf.
    Usishangae mwanao akaja kuwa shoga usipofanya juhudi kuwa pamoja

    • @fundikirotv
      @fundikirotv Před rokem

      Mpuuzi ww acha maneno machafu iyo darsa ya kawaida kuna ubaya gani

    • @fundikirotv
      @fundikirotv Před rokem

      Kila wakati ndio wazingumzie ao makhanithi mbona nyinyi hamuwafukuzi mitaani kwenu uko na wamejaa tele mitaaani adi wanakera

    • @saidsam3053
      @saidsam3053 Před rokem

      Abu yunus Mohamed mola akusamehe kwa kuwatus wana choun c katik jambo jema km huna la kucoment ulikuw ukae kimy imeniuma sana ALLAH akusamehe maana Hujui kama hujui na hata ukijajua utakuw kushachelewa pole sana

    • @saidyussuf2291
      @saidyussuf2291 Před rokem

      Utauunga peke yko uo ubaradhuli unachosema hukijui

  • @remedymoody
    @remedymoody Před rokem +1

    Jazaka Allah Khair Sheikh.

  • @abdullrahman-sn5tf
    @abdullrahman-sn5tf Před rokem

    Sawa sawa mfalme najash hajafafanua hapo

  • @edhaomar2853
    @edhaomar2853 Před rokem +1

    Jee kunuti mtumi hajawahi leta katika umriI wake wote ikiwa ameleta hata Kwa swala ya sunna ina maana haivunji swala tuacheni لكم دينكم ولي دين

  • @husseinihassani3541
    @husseinihassani3541 Před rokem

    Jee hii kunuti katika zile ahkaamu 5 za kiisilamu inaingia kunuti katika hukumu ya ngapi???

  • @jechasuleiman5532
    @jechasuleiman5532 Před rokem +2

    Sisi tunahitaji dalili wapi ilipothibiti kunuti kwenye swala ya alfajir

    • @arifali3942
      @arifali3942 Před rokem

      Nend kasome almajmuu ya imamu Annawawiy kama utakuwa hujamfahamu imamu Annawawiy basi tafuta darasa ukasome maan imamu annawawiy dalili azijuw kukiko soot tuliopo dunian hiv ss

    • @hashimsaid5546
      @hashimsaid5546 Před rokem

      @@arifali3942 we nae jibu lako kama mlokole sema Hadith no fulani Iko ktk mlango fulani sio nenda kasome , ukitaka kusaidia umma fanya hivyo

  • @abdulhida8291
    @abdulhida8291 Před rokem +1

    Barak Allah feeq

  • @neemafatu471
    @neemafatu471 Před rokem

    Sio kama wanapinga qunut ya Kila asubuhi? Au sijafaham!

  • @salafnungwi5723
    @salafnungwi5723 Před rokem

    Sheikh unakukumbukumbu nzur za wanazuon wa kisunnah walivyo kusomesha ila unautashi kwenye utekelezaji.
    Hii Kunuti ya Alfajiri ni ipi ama n sawa sawa na ile aliyoifanya Mtume mwez mzm.
    Hii kunuti inayosomwa Alfajir ndio kunut ya kuomba kuondoshewa matatizo na majanga?
    Wachanganya kati ya maziwa na tuwi