PART 2: RUBANI ASIMULIA jinsi NDEGE YA ATC ILIVYOTEKWA na WATANZANIA WAKITAKA Kupelekwa UINGEREZA!

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 3. 02. 2022
  • PART 2: RUBANI ASIMULIA jinsi NDEGE YA ATC ILIVYOTEKWA na WATANZANIA WAKITAKA Kupelekwa UINGEREZA!
    Hii ni sehemu ya pili ya stori ya kusisimu ya rubani mstaafu wa Air Tanzania, Mzee Galway Galway, aliyezaliwa mwaka 1950, kijijini kabisa mkoani Manyara, kipindi hicho uliitwa Mkoa wa Arusha, akiwa Mtoto kutoka katika familia ya kifugaji. Alienda peku peku shuleni, lengo lake likiwa kuwa rubani tu, wakati watoto wengi walikataa shule na kulilia kwenda kuchunga ng'ombe na mbuzi.
    Hapa anasimulia jinsi ndege ya ATC, Boeing 737, aliyokuwa akiiendesha ilivyotekwa angani na vijana wa Kitanzania wakitaka wapelekwe nchini Uingereza. Unajua nini kilichotokea?... fuatilia....
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Komentáře • 121

  • @hailinhelen4675
    @hailinhelen4675 Před 2 lety +8

    Huyu mtangazaji hajaja hapa kwa ajili ya watizamaji kaja kupiga stori na jamaa tu kwa faida yake

  • @cmsa1r
    @cmsa1r Před 2 lety +8

    Please make a movie out of this… incredible and a heroic story

  • @abrahamnyangwa3298
    @abrahamnyangwa3298 Před 2 lety +10

    Jamaa kazingua kinoma, maswali mengi sana. Mwache dingi afunguke

  • @xyz-tv4om
    @xyz-tv4om Před 2 lety +4

    Mtangazaji ungetulia basi.....

  • @ERICKPM2000
    @ERICKPM2000 Před 2 lety +1

    Story nzuri... mtangazaji anahangaika hangaika hadi anaharibu

  • @sreugenathomas809
    @sreugenathomas809 Před 2 lety +12

    Mwandishi wa habari anaongea mno. Mwache mzee aeleze vinginevyo funga kipindi.

  • @kareisindilo2776
    @kareisindilo2776 Před 2 lety +2

    hii stori nimeisubira sana big up sana lebabaz

  • @andrewkazungu6542
    @andrewkazungu6542 Před rokem +1

    Yes., continue 🇹🇿🎧🎤🌟🎧.

  • @johnbidya119
    @johnbidya119 Před 11 měsíci +1

    Daah mzee wang bado upo hai mungubmkubwa

  • @niyonzimakabwa6996
    @niyonzimakabwa6996 Před 2 lety +3

    Store nzuri sana

  • @peaceisrael8158
    @peaceisrael8158 Před 2 lety

    Proud of you Baba Mungu akuzidishie baraka maana ulijua kuwaingiza Chaka tulivuuuuuu🙏🤗

    • @mossyfimbo3577
      @mossyfimbo3577 Před 2 lety

      Huyo Capt nae alikuwaga muhuni Galloway alikua anaroho nzuri mno subiri Sasa kilichotokea hapo mbona ilibidi wawapeleke watakako falangata lake halikuishia hapo

  • @ommy2525
    @ommy2525 Před 2 lety +2

    Millard ayoo nenda katupe stori movie imeisha bila starting ending

  • @c.bproduction2576
    @c.bproduction2576 Před 2 lety +3

    Mwandishi Msomi....Duh. ....Ivi faida ya usomi Wako kwenye hiki kipindi uko Wapi. ...Unaaribu kazi. ...kumbuka unafanya kazi kwaajili ya Wananchi Sasa Usitake uonekane Unajua saana Mwachie mzee Aelezee. ...Maswali Hapo Nimengi sana. .....Unatuboa. ...Hakuna chausomi Hapo. ...Umefeli Sana. .....Samahani lakini. ...Unafaa Za Mahakamani tu.

    • @stevensteve7519
      @stevensteve7519 Před 26 dny

      Kweli huyu mtangazaji ni zero kabisa. Anamhoji huyu mzee kabla hajamaliza kujibu anauliza swali la kumtoa kwenye mada. Rubbish

  • @titongholo6261
    @titongholo6261 Před 23 dny

    Yaani mtangazaji hajui hata Control tower , duh amazingly sana

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 Před 2 lety +2

    Good story!

  • @mariakibwana3700
    @mariakibwana3700 Před rokem

    Ningepata pressure kupeleka ndege juu mabawa yanapiga kelele. Huyu mzee very genius. Halafu tendo la kuwadanganya watekaji nampa big up.Angekwenda kufundisha mambo ya usalama mbona bado ananguvu.

  • @PlantsForsale-xd3dd
    @PlantsForsale-xd3dd Před 29 dny +1

    Mtangazaji anazingua, maswali Mengi sana

  • @filbertrobert1141
    @filbertrobert1141 Před 2 lety

    Daaah! Mr

  • @salumnassor3857
    @salumnassor3857 Před 8 dny

    Hyu jmaa mshamba sna

  • @mtv574
    @mtv574 Před 2 lety

    Daah interview umeiharibu sana!!!!!!

  • @christinainnocent5971
    @christinainnocent5971 Před 2 lety +4

    Unaboa Sana mtamgazaji

  • @mustahilramadhan5873
    @mustahilramadhan5873 Před 2 lety

    Hiyooo ndegeew ipooo mpakaa leooooo

  • @kihangasper
    @kihangasper Před 2 lety

    Mtangazaji jau..sikiliza zaidi ya kuuliza

  • @jumahamis227
    @jumahamis227 Před 2 lety +1

    Mtangazaji ameshindwa huyu aendelee kuripoti zile kesi 😂 , mahojiano ya ana kwa ana hayawez, anamkatisha sana mhojiwa na kumpoteza kwenye maaudhui husika wakati mwingine, global mfanyie kazi hili.

  • @yusuphkassimu227
    @yusuphkassimu227 Před 2 lety +4

    Mwandishi mwingine akahoji huyu Mzee tutapata story nzuri.

  • @titongholo6261
    @titongholo6261 Před 23 dny

    Watangazaji wa online watanzania ni mbumbumbu sana kwenye hojaji .

  • @erickendrick3330
    @erickendrick3330 Před 2 lety

    Huyu mzee noma

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 Před 2 lety +1

    Oooh imeishia pazuri,muendelezo uko wapi bwana Lebabaz

  • @jazeeraqaita4757
    @jazeeraqaita4757 Před 2 lety +2

    Mtangazaji punguza kuongea shenz😏

  • @martinmayombo7949
    @martinmayombo7949 Před 2 lety

    Jifunze kuhoji. Unaharibi story sana...

  • @sule69UP
    @sule69UP Před 2 lety +3

    Habari za asubuhi bro msomi sasa inakuaje imemalizikia wapi utekaji na umetukatizia utamu badala ya ku land emergence umetupeleka mnana wa tanzanite😂😂

  • @jacobsospeterchannel1658

    Hatujaona mwendelezo pt 3 hatuoni

  • @kipchorngwonektiroto457

    Mtangazaji aliiharibu hii stori!

  • @abdulpires9091
    @abdulpires9091 Před 2 lety +2

    Ww mtangazaji humuhoji uyo mzee ila unapiga nae story tu!

  • @deusoden3614
    @deusoden3614 Před měsícem

    Duh! hili tukio nalikumbuka

  • @hamadwaziri121
    @hamadwaziri121 Před 2 lety +2

    Maswal mengi sana kaka Hadi story instoka kwenye Nia

    • @kasimukigoda8974
      @kasimukigoda8974 Před rokem

      Mwandishi bado anamaswali yasiyona msingi alafu ahoji kama mwandishi yuko kama anapiga story na shoga

  • @fakihisilima3414
    @fakihisilima3414 Před 2 lety

    Hujui kuhoji weeee

  • @mustafaabdulhafidh3257
    @mustafaabdulhafidh3257 Před 2 lety +1

    Mtangazaji una wenge sana mwache mtu amalizie anachokielezea

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 Před 8 měsíci

    Duuuuuh

  • @evancedaniel7322
    @evancedaniel7322 Před 2 lety +2

    Mwandishi anazingua

  • @TheKigosi
    @TheKigosi Před 2 lety

    Story nzuri sana ila mtiririko wa maswali ya "mwandishi msomi" yanayumba sana

  • @idanyahmed8701
    @idanyahmed8701 Před 2 lety +1

    MwandiShi rudi kajifunze kuhoji vizur

    • @sule69UP
      @sule69UP Před 2 lety

      Upo sawa kweli huyu kazoea kesi ya, sabaya

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry Před 27 dny

    Anaerobic hajawahi kuona mdege, uwanja wa ndege wala hana hajui chochote kuhusu ndege na wlimu ya kuhoji hana.

  • @leylaakiba2104
    @leylaakiba2104 Před 2 lety +1

    I doubt if this journalist has been to school. NKT

  • @raysonngowi4679
    @raysonngowi4679 Před 7 dny

    Umechemka kolumba,umeharibu mahojiano

  • @loshiyesindiyo5079
    @loshiyesindiyo5079 Před 2 lety

    Mtangazaji anaboa Sana. Anauliza maswali ya kishamba Sana.

  • @franciskalistus6987
    @franciskalistus6987 Před 2 lety

    Mwandishi punguza maswali kwa mzee bwana. Hili jandishi LA habari LA ovyo sana linamkatisha sana rubani mstaafu. Namchukia sana huyu mwandishi hafai kufanya interview na watu.

  • @emmanuelmasanja6040
    @emmanuelmasanja6040 Před rokem

    nakumbuka Hilo tukio vizuri,nilikuwa kijana ndogo nikiwa mwanza

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry Před 27 dny

    Mtangazaji hujui kuhoji una bour kiherehere

  • @christinainnocent5971
    @christinainnocent5971 Před 2 lety +2

    Mtangazaji uwesikivu tu acha maswali yasio na maana mwache mwenyewe

  • @jacksonpaul3866
    @jacksonpaul3866 Před 2 lety

    Mwandishi dah unakata sana

  • @mamuubuss4236
    @mamuubuss4236 Před 2 lety

    Mtangazaji kiherehere kingi

  • @rashidnkya9602
    @rashidnkya9602 Před 2 lety

    Maswali mengi hata stori hainogi misifa tu

  • @fanikiomisigaronyamuvugwa9937

    Story inasisimua kweli. Part 3 lini?

  • @arafahhh5574
    @arafahhh5574 Před 2 lety +1

    Anakufahanisha habari ya kutekwa unampa maswali mengine mengi

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 Před 2 lety

    Mwandishi msomi unachemsha sana... sijui lengo lako, unarukia vitu visvyohusika wakati mzee anataka kutiririka..

  • @icesue6613
    @icesue6613 Před 2 lety +2

    muache mtu ajielezee kwanza . ili watu wapate madini. maswali mengi unabadilisha muelekeo wa story.

  • @hassankadodo8281
    @hassankadodo8281 Před 2 lety

    Mtangazaji anakela saa nini maana ya part 2

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 Před 2 lety +1

    Mwandish umbwa wew maswali mengiii Hadi kero ingekua ni mm huyo mzee ningeku2x mana humuachii mtu nafax

  • @franciskalistus6987
    @franciskalistus6987 Před 2 lety

    Mwandishi huyo ni wa ovyo sana anamkatisha sana mzee ktk masimulizi yake. Hafai huyu mtangazaji.

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 Před 2 lety

    Nashauri kajifunze vizuri kuhoji then uje kurudia tena story pia yule jamaa aliyeteka hiyo Ndege mwaka huo 88 nafikiri yupo zanzibar njia panda waliwahi kumuhoji ni story nzuri sana ila dogo umeshindwa kumuhoji mzee vzr rudi shule

  • @jessemathew4696
    @jessemathew4696 Před 2 lety

    Mwandishi wa habari hujui hata kuuliza maswali...

  • @franciskalistus6987
    @franciskalistus6987 Před 2 lety

    Global on line TV mbadilisheni huyo mhojaji.

  • @stephensilvester9652
    @stephensilvester9652 Před 2 lety

    Mwandishi rudi shule au nenda milard ayo akufundishe

  • @serafineslaa1082
    @serafineslaa1082 Před 2 lety

    Stori ya a kutekwa hitimisho haeleweki

  • @deogratiussaru3074
    @deogratiussaru3074 Před 2 lety

    Wandishi punguza mdomo aisee umeharibu kipundi

  • @deogratiussaru3074
    @deogratiussaru3074 Před 2 lety

    Mtangazaji unakiherehere

  • @fakihisilima3414
    @fakihisilima3414 Před 2 lety

    Acha kumuingilia???

  • @esaumahundi5647
    @esaumahundi5647 Před 2 lety

    Unataka kujifunza uribani mwandishi?umeacha mada ya utekaji umeingia kwenye mada ya kuendesha ndege?!?!!!!!

  • @othmanally4846
    @othmanally4846 Před 2 lety +1

    Ni pilot ndo anorusha ndege mzee na si captain

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 Před 2 lety

      Captain ni cheo katika urubani pia kutokana na uzoefu kazini na pia na aina ya ndege anayorusha

    • @mbwanakiting7180
      @mbwanakiting7180 Před 2 lety

      Captain no cheo husiwe unakosoa bila kuwa na uhakika.

    • @abdulpires9091
      @abdulpires9091 Před 2 lety

      Kama hujui bora unyamaze tu! Usimkosoe anojua

  • @mjige9088
    @mjige9088 Před 2 lety

    Neno mwandishi msomi Brother ungewacha kusema hivyo - tumia neno mwandishi wenu mflaani basi inatosha.

  • @joanithapeter1301
    @joanithapeter1301 Před 6 měsíci

    Muandish chenga😅

  • @netlity5532
    @netlity5532 Před 2 lety

    Mtangazaji mbona unazingua? Mwache Mzee aeleze mwenyewe

  • @user-us2wx1ji9n
    @user-us2wx1ji9n Před 2 dny

    ASEEE NDO MAHOJIANO GANI HAYA TUNASHINDWA HATA KUPATA CONTENT VIZUR

  • @MaalimEdy
    @MaalimEdy Před 4 dny

    Namkumbuka mtekaji mmoj akiitwa Kisoda sijui sasa yuko wapibaada ya kutumikia adhabu ya kifungo chakei

  • @ericabosco4824
    @ericabosco4824 Před 2 lety

    Lebabaz unaongea xana tunakosa ladha ya stor

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 Před 2 lety

    Mzee usiseme mlitekwa hamjatekwa mlikua na igizo fupi tu

  • @katangaminerals8047
    @katangaminerals8047 Před 2 lety

    Mtangazaje ni mjinga

  • @alexjackson5960
    @alexjackson5960 Před 2 lety

    Jenerali ulimwengu mwandishi nguli fungua chuo fundisha hawa vijani na makofi juu maana huyu Kama hajui hiyo ni shule kwetu yaani anahamisha mtiririko kwa maswali butubutu. Muunganiko kimtiririko tunaukosa

  • @saidomarsaid8203
    @saidomarsaid8203 Před 2 lety

    P Co

  • @dicksonlesijila4542
    @dicksonlesijila4542 Před 2 lety

    Usimhoji mtu ukiwa umelewa

  • @fakihisilima3414
    @fakihisilima3414 Před 2 lety

    Hufawii acha kuharibu ww???

  • @salehkejje8786
    @salehkejje8786 Před 2 lety

    Yani mtangazaji anaboa kweli

  • @abdullahalkindi8900
    @abdullahalkindi8900 Před 2 lety

    mtangazaji hii si kazi yake anajifundisha kaharibu kipindi kizima kwa maswali yake hambayo angemsikiliza pilot anavyo elezea yeye angefaidiaka na sisi tungefaidika.sasa hatukujua mwisho wa story

  • @alphoncenicholaustemba3614

    huyu jamaa mtangazaj hana ujuz anamapepe sana

  • @thomasluhumbika9606
    @thomasluhumbika9606 Před rokem

    Mtangazaji unapoteza radha ya story maana kila wakati unaingiza swali jipya katikati ya maelezo ya captain. Pia unaongea sana, toa muda kwa captain aeleze story yake

  • @dicksonlesijila4542
    @dicksonlesijila4542 Před 2 lety

    Unaehoji hujui kuhoji kwa sababu maelezo unaongea ww mtangazaji Jambo ambalo so kawaida mwache aongee yy

  • @kipigapasilisungu2581
    @kipigapasilisungu2581 Před 2 lety

    Muandishi very poor rudi shule hujuwi kuhoji huna usomi wowote una boa sana,made ana story nzuri sana ila hajapata mtu sahihi wakumuhoji

  • @kivuswahilitv6833
    @kivuswahilitv6833 Před 2 lety +3

    Uyu kijana mtangazaji ni moja ya vijana watangazaji wazuri na wenye kufanya kazi kwa ueledi mkubwa sana namuona kufika mbali sana , namfananisha na millard ayo

  • @hadijamandanje6189
    @hadijamandanje6189 Před 2 lety +1

    Story haina maunganiko vinaingilia na vitu vingi nje ya story

  • @tytohsejoh2943
    @tytohsejoh2943 Před 2 lety

    Tanzania si mko nyuma😂😂😂😂😂sasa huyu ni mtangazaji?😂😂😂

  • @gasperydickson3616
    @gasperydickson3616 Před 2 lety

    Mwandishi very unprofessional

  • @frankmayige2950
    @frankmayige2950 Před 2 lety

    Wewe mtangazaji kwanza huna weledi wa utangazaji, unapokwenda kupata story kwa Source lazima umpe room ya kuongea na kupanga story nzima iwe kwenye maana moja, sasa wewe umeenda ndio unakuwa ka ndio ulikuwa rubani, maneno mengiii hayana mtirirko mzuri unamkatisha mzee wa watu, unaonea mnooo, yaani unaboa kinoma, huo usomi wako uko kwenye nini? kuongea sana au? wewe uliza swali moja mwache mzee wa watu aelezeeee sasa wewe kudakia dakia, hivi hao global hakuna wahiriri habari wakakushauri? habari ni mririko wa matukio lenye maana, sasa wewe kudakia dakia unamtoa kwenye mchezo mzee wa watu ovyo sana, ndo maana Global hamuwezi kuwafikia Ayo TV, unakera sana.

  • @samasob8233
    @samasob8233 Před rokem

    Mbona mnatudanganya hadharani?? Mnasema mwaka 1988 wakati tukio lilitokea wakati Mwl Nyerere akiwa Rais!! Guys get your facts right! Ndege ilitekwa mwaka 1982 kuelekea Jeddah, then onwards to Greece and in the end to London Stanstead Airport!

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 Před 2 lety

    duh mtangazaji ,,,,unaboa Sana 😡

  • @edgarnandonde48
    @edgarnandonde48 Před 2 lety

    huyu mzee ukimpa hizi ndege za kisasa anaweza kusukuma kweli 🤔🤔mtangazaji huko ovyo sana ujui kuhoji mwache mtu aongee mwenyewe 🖕🖕🖕

  • @bosssyedmund8785
    @bosssyedmund8785 Před 2 lety

    Mbona video imepoteza maana tena imekua kma muvie

  • @manallayusuf4951
    @manallayusuf4951 Před 2 lety

    Muandishi unaongea sana muwache aelezee

  • @gasperydickson3616
    @gasperydickson3616 Před 2 lety

    Talking too Much

  • @jexpew3654
    @jexpew3654 Před rokem

    Usimkatishe katishe unapomuhoji mtu. Upo unprofessional sana bro