Nimetembelea hii page baada yakuona sura ya Alikiba baada ya kuimba utu nikajikuta naangalia Hadi mwisho ni zaidi ya UTU na UTULIVU Kati ya Hawa watu wawili🥰🥰🥰🥰🥰🥰🔥🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️
I just love King kiba..his passion in singing and how funny he can be and how if he loves you he cares for you or just immediately if you work with him their's definitely connection there for him..all his collabs he's always happy from the small clips we be seeing and how he sings wholeheartedly..that little kid kiba still there..he does things his way and it's perfect..I love yah king kiba forever a legend ❤
Nandy and alikiba are just like those two favorite siblings of all time👌💯 undugu wao udumu aisee, see how they always joke around 😅 reminds me of my sister and I whenever we together,
Mpaka sasa trending #01 duu hatari sana UTU imeweka uharisia wa mjambo lake Nenga&NANDY Hongereni kwa uamuzi mtukufu #KingKiba kuinogesha haswaaaaa heshima kwake kiba jamani
Mashabiki wa kiba from east Africa mnipe like☺️
Tenaaa
Alikiba nikubwa wa mzuli pale tanzania ulifanya nyimbo ya utu vizuri sana na muma shukurani sana ana baki kuwa mufalm wa tanzania
Kwani.awaolewi.mpaka.wawe.namimba
Nandy and Alikiba have great music chemistry.....they should do another collabo...like if u agree
Nimetembelea hii page baada yakuona sura ya Alikiba baada ya kuimba utu nikajikuta naangalia Hadi mwisho ni zaidi ya UTU na UTULIVU Kati ya Hawa watu wawili🥰🥰🥰🥰🥰🥰🔥🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️
Upo kama mimi2
Daaah wew acha tuh balaaa huu wimbo unanikonka moyo
Nan kasema kiba hajui music nan n mond au konde🤔 nasema ivi KIBA NDO TOP MUSICAL IN TANZANIA 🇹🇿
🎶❤️
Sio swali la kuuliza anaitwa King 👑. Wengine ni Simba Tembo chui wote wapoisituni na misitu ipo chini ya mfalme mwenyewe
@@finestmtotowababa7249 Umenena vyema
King ni habari nyingine
Umenena ndugu
I just love King kiba..his passion in singing and how funny he can be and how if he loves you he cares for you or just immediately if you work with him their's definitely connection there for him..all his collabs he's always happy from the small clips we be seeing and how he sings wholeheartedly..that little kid kiba still there..he does things his way and it's perfect..I love yah king kiba forever a legend ❤
As in you can just tell by how he treats nandy💘
True legend
Absolutely!!!!
@@shirleyvloggs9186g , z
yyyyyygggggy
Salute ...king Alikiba♥💃🙏
Alikiba's songs must be played in my wedding
When??😊
@@omobabaoluwo3003 Cheza chini😂😂😂😂😂
Me too😂
In Sha Allah
THEM;wapi
Me;POPOTEKAMBI😂😂
Sichoki yan I cant tired to watch both of them together with King kibaaaaa... utuuuu 💃🏾💃🏾🤗❤️❤️
Waah same here am watching over and over na siboeki😂😂
Mwwnyewe Kila mara naangalia ,nampenda Sana Kiba kiukweli
I love king Kiba....so humble
Mfalme ni mfalme tu wengine ni vibaraka t fundi ALI KIBA 4real ( UTU)🙏🙏
Only one king 👑. Kenya loves you kiba 🇰🇪
Lakini Ali kiba much love from me ♥️♥️ congrats nandy🇰🇪🇰🇪
this is how legend do it all over the world.Kiba is a legend
Katisha kuliko hiiczcams.com/video/IA0SITxuoto/video.html
Nandy and alikiba are just like those two favorite siblings of all time👌💯 undugu wao udumu aisee, see how they always joke around 😅 reminds me of my sister and I whenever we together,
I'm very happy to see Bwana harusi ana vibe na song ya king
Alikiba is another level, the GOAT without a doubt
U can Say that again
Hakika itakuwa ndoa yenye utu na utulivu Mungu akawape upendo zaidi ya upendo king kiba oyeeeee🔥🔥🔥🔥
Alikiba ulichangamsha sana hao wapolooooooo..BIG UP sana
Namkubali Sana kiba I love you my brother
I aprove this song of kiba to be a wedding song all over Africa
I love how Bilnass vibes and sings with him😍Kiba is a Legend❤congratulations Nandy and Billnas
Congratulations 👏
Nawasalimu kwa jina la la Billnass na Nandy bila kumsahau king kiba I love everybody 🥰
My fav star of all time..King Kiba..All the best Nandera na Nenga..
Only one King utu my favourite song nic King 🤴 nic King 🤴
KIBA namuelewa sana kwa jumbe zake hazina mitusi mitus na kukaa uchi. Hata sisi wa gospel tunasikliza pia
Kabisa ndio mwanaziki Mimi nasikiza
Acheni Ubibi kiba hana chochote uyo
@@abdulmvungi9609 acha ufara umetumwa uje kuandika comments nyooo Kama humpendii wew nyau wew
Kiba Yuko vizur
@@abdulmvungi9609 ww unacho chochote? Acha makasiriko kwa mwanaume mwenzio kuwa busy na kusaka flusi 🤗🤗ht husda utaacha 🚶♀️🚶♀️
I love Nandy, she has sweet voice, congratulations doll much big up from Kenya💕❤️🙏
Pigaaaa keleleeeeeeeeeeeeeeeeee kwa King wa Tanzaniaaaaaaaa 👑
Alikiba huwa nasikia raha sana kukuona tuuu boss😎
King kibaaaaaaa💪💪💪💪
Patamu mno mungu awalinde kwenye ndoa yenu Nandy&Alkiba big up wana music
Wow🤗! ,,, King Kiba,,King Kiba,,,King Kiba hakika umeinogesha sanaaaaa ,,,hiyo shughuli,,,,, Full mautamuuuuuu
Is aunt for me 🤣🤣❤❤❤
Kiba jmn mbn kanyimbo umezidi kukinogesha God job🙌🙌💕💕💕💕
King kiba for life😎😎🤜🤜
Mpaka sasa trending #01 duu hatari sana UTU imeweka uharisia wa mjambo lake Nenga&NANDY Hongereni kwa uamuzi mtukufu #KingKiba kuinogesha haswaaaaa heshima kwake kiba jamani
Wow,,alikiba you are just amazing guy,,I love your support participation in this amazing wedding
Katisha kuzi hii czcams.com/video/IA0SITxuoto/video.html
Now three days on trending my king.
Mashallaah jamn inapendeza mno
Asante saan King Kiba kwa upendo wako kwa wasanii wenzako
Hii ndo ngoma sasa i watch everytime
Kiba kama Kiba👌👌🔥🔥🔥kiboko ya uchafu🔥🔥🔥🤸🤸💃🏿
Bravo King unaonekana umeifurahia kweli harusi hii hongera sana
Dada huyo anaolewa 💕💕
Alikiba salute 💪💪
Huyu jamaa ni next level asee
Hila.kiba masha allah
Wasanii wangu pendwaaaaa🥰🥰🥰🥰
Alikiba😘😘😘
Kingkiba is the mega 🌟
The only one king😍😍😍
Penda sana nyie mungu awasimamie kwenye kila hatua ya maisha yenu amiiiiin 🤲 lnshaalha 🙏 ❤️❤️
Wow,,the way he looked at Nandy n they both burst laughing.... Wow
African princess Na Billnass congratulations...Kiba the King of Bongo
King kiba big brother firee
Kiba bwana huwa yuko relaxed sana kwenye mic he knows what he does. Big up!
Madjlu
Nimeipenda hiyooo Mungu awajalie ndoa njemaaaaa nawapenda sanaaaaa
Alikiba outfit✌️
Msaniiii wa kwanza kuwaweka trending #1 clouds TV tz
Kiba is a happy human being ❤️.❤️
Alikiba 🥰😍😘🥰😍😘🥰😍😘🥰😍😘🥰😍😘🥰😍😘🥰😍
I love Alikiba.
So cute king kiba. Congratulations to Nandy and Billnass
Heeeeee jaman mbona hamsemi Kama ipo on trending number one
Clouds kupitia msanii alikiba amefanya video hii kuwa bora zaidi ongera king kibaaaaa
The King kills
Every drop of
Melody 🔥🔥🔥🔥
Noma kuliko yake czcams.com/video/IA0SITxuoto/video.html
King kiba wewe ndio king music Tz Mungu azidi kukusmamia 🙏🤣🤣🤣
nadhani kwa hii harusi ngoma ya#UTU inaenda kuongeza viewers nani anabisha 😀..... 🇰🇪🇰🇪
Mungu awa simsmie.
Kabisaa🇹🇿
Yebabaaa 😁
Kabisa
No one in tz
#1 on trending jus imagine tuu 😍😍🤎🤎🤎
King kiba wetu...Mashalla
Nyimbo za ali kiba inaweza kupigwa popote na unaweza kusikiliza na yoyote,huwezi kusikia shairi zilichanganyika na lugha isiyofaa
Kabisa
Yes
Nikwe?
Kingkiba🤩😍
Alikiba ni Moto wa kuotea mbali
Uyu kiumbe ana balaaa 🔥🔥🔥
#UTU my king ❤🔥
Alikiba 🔥🔥🔥
Congratulations to you African princess may Allah bless your marriage
Hongera no 1 trendingi
Nakubar mufalume 👑👑👑👑👑❤️
#1 on trending
Alikiba safiiiii
Hizi hit song za kuishi zinaimbwaga na msanii Mmoja tu hapa tanzania ni ali kiba pekeee
Kingkiba
Congrats African Queen God blessed ur marriage n give u children of ur dream we lv u
🔥 King kiba
Nimerudi tenaaaaaaaaa🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Kila wakati hichi kipande nakiangaliaa 💥🔥💥🔥
King Kiba 👑💯🇹🇿🇨🇩🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💓💓💓💓💓💓💓💓🥀
Big up xn 🙏🙏🙏
Ongera San mdogo wangu
Vizur Sana King Wa Mziki Zuri
Utu all time hit 🔥
Big up alikiba
Kaka
Stiven nyerere Mungu akubariki sana kwa Upendo wa Agape.
Numero Uno Song 🔥
Nimefurh sna sna alikiba kwenda jmni💞
Wimbo wa taifa huo Asante sana kingkiba
🔥🔥🔥Only one king
Kingkiba 👑👍
King wetu ali Kiba 💪
Trending no1 ooh my God 😥🙌
Yani naona rahaa kambe mm ndio naimba 💞💞😍😍
Amazing Voice Blessed King Alikiba Nandy and Nenga Most love in Family mumefanya Jambo Nzuri Sana La Ndoa