Haya ndio maisha ya kiuchungaji ya Rev.Dr.Eliona Kimaro
Vložit
- čas přidán 18. 10. 2021
- Usichoke kuleta mawazo mapya kwenye nafasi Mungu aloiyokupatia.
Cha kwanza tafuta 'statement of the problem' jua tatizo liko wapi, fanya utafiti alafu leta wazo lako jipya!
_____________________________________________
Tufuate katika mitandao ya kijamii
Facebook : / kkkt-dmp-usharika-wa-m...
Instagram : / kkkt_mbezibeach
Twitter : / kkkt_mbezibeach
Umetusaidia pakubwa sana mchungaji Mungu akubariki sana
Ahsante baba mchungaji
Hongera Mtumishi wa Bwana hakika wewe ni mbunifu katika kazi yako. Unatubariki katika kazi zako anzia Morning and Evening Glory.
Anayeangalia baaada ya likizo acha like
Tupo sisi
Amina mtumishi, barikiwa
Nimeona mkono wa Mungu kupitia huduma yako na kubarikiwa Sana Mungu atukuzwe Milele na mkono wa Mungu usiondoke milele
Mchungaji wangu usijali ninaamini Mungu anatest zana zake za kukuinua juu ya juu. Mimi ni kiongozi mlei wa Parokia na Jimbo Katoliki huwa natumia sana mafundisho yako kujiimarisha mwenyewe na kuwaimarisha wenzangu waamini walei kutakatifuza malimwengu na kuujenga ufalme wa Mungu duniani.
Uko vizuri bro I love you much mimi siyo mlutheri ila nafuatilia sana masomo yako na nabarikiwa sana Mungu akubariki
MCH.Kimaro Mungu akupe nguvu,,na hekima iendelee kujaa kwa wingi ndani yako
Barikiwa Mtumishi wa Mungu Mchungaji Dr. Eliona Kimaro. Mwenyezi Mungu aendelee kukubariki na kukupa amani na utulivu moyoni mwako.
Neema kubwa hii ,
Mungu amekuwezesha kuifanya idea hii ikue ,
Ubarikiwe sana
Hongera Baba yetu kwa utumiahi Mwema. Umetutoa Mbali sana. hata sasa tunaweza kusimama kiroro kwasababu ya bidii yako. Mungu akubariki
You're the prophet! Huenda likizo yako pia imechangiwa na creativity spirit kwenye nyumba ya Mungu!!
Amen Amen ❤
Mawazo yako, ubunifu wako, na mengine mengi ni mazuri na Mungu akubariki sana, yakufanye uwe mnyenyekevu na nidhamu kwa viongozi wako na kwa Mungu pia ili uinuliwe zaidi, usijikweze na kudharau viongozi wako.
sitawahi choka kukusikiliza mtumishi wa Mungu ......nikiwa hapa Machakos Kenya
Mimi katika wachungaji wa kilutheri ninaowapenda kwasikiliza na ninabarikuqa ni Eliona Kimaro
Amina Mungu akubariki sana mtumishi umetusaidia sana kupitia huduma yako ❤❤❤🙏🙏🙏
Tatizo kumbe lilianzia hapa...lakusimamishwa 2 months inaniumaaaaa I love u kimaro your so clever ubarikiwe.
barikiwa zaidi baba.kwa mtu mmoja tu Mungu anaubariki ulimwengu mzima
Aminaaaa Rev. Dr
Mungu peke yake akutetee Mchungaji..hakika ndoto yako haitakufa
Utukufu wa Mungu ukufunike na kukutia nguvu
Barikiwe pastor. Huwa nakuelewa sana.
Wew ni msema ukwel daima. Mungu akutunze
Mungu atasimama
Asante mtumishi kwa huduma nzuriii Sana songa mbele na YESU ubarikiwe
Hongera Sana wapendwa Mchg Kimaro Kwa huduma na utumishi Mungu ameweka ndani yako nakuombea
Mimi hapa Niko Abha city ,and am listening live .thanks for your new ideas
God bless u Pastor
Inspiring PASTOR DR ELIONA KIMARO. GOD BLESS U ABUNDANTLY.
Rev. E. Kimaro
Usife moyo Mungu yuko na wewe.
Nadhani kanisa la KKKTlimebobea kwa kuanzisha migogoro wameona mgogoro wa Konde umetulia sasa wameanza usharika wa Kijito nyama ole wake yule ambae ambae migogoro ni sehemu ya maisha yenu.
Ubarikiwe Baba
Idea nzuri sana...ndio maana hata sisi tunaweza kuangalia ibada zote kupitia hapa hapa tukiwa hata huku ulaya..Mungu akutetee hata hili litapita
Siyo kwamba ulianzisha wewe ulitumia tu teknolojia iliyokwisha buniwa. Aliyebuni internet asemeje? Uache kujipa utukufu. Injili inahubiriwa kwenye channel nyingi duniani
Mungu akutie nguvu mchungaji Kimaro kwa uthubutu wako kwani kitu kizuri kinapoanza unaweza kustop kwa ajili ya challenge. ILA TUNAMSHUKURU MUNGU INJILI YA KRISTU ISONGE MBELE.
Mmmm Pr anajiinua sana ...hapo ndipo anapokosea...
Hapn yupo saw hajiinui
Thank youu Pastor, unanisaidia mm nilieko mbali na napenda kukusikiliza
Mungu akubaliki
Mungu amtie nguvu mchungaji
Umetuinua baba Mungu aendelee kukupa maono
Mtumishi ungeanzisha tu Taasisi yako Binafsi sisi Tutakufata Aisee!!!
Nice innovation ideas
EK TV, INANIBARIKI KABISA KWANI MUDA WANGU MWINGI NAUTUMIA KWENYE TV HII ZAIDI. ASANTE SANA KWA MAELEZO FASAHA JUU YA CHANEL ZA KIDINI KKKT HASA.
Mungu auguse moyo wako, ufungue kanisa lako
Be blessed
NAMUONA KAMA ndie ASKOFU ajaye mwaka wakibali Cha MUNGU unasogea,utapo balikiwa kuwa askofu naiman maendeleo hapa yalipo fika bas naww utayaongezea zaidi,
Ampe mwingine Kijana si uzee tu
Umepita vita kubwa bbaa na hakuna wakukufikia hakika,huo ni wivu tuu wa maendeleo wee Mungu atashuhulika nao.
Unanibariki Sana nakufutilia nikiwa Arusha
Hakika Utumishi wako ni WA utukufu kwa MUNGU mchungaji. Be blessed. We are also watching out of Dar es Salaam
Haleluya
Genius
🙌👏👏👏👏👏👏👏
Mungu akubariki sana,kwa kule new Ideas ya screen kubwa
Mchungaji 🙌
Nakupata kutoka Southampton UK mchungaji
Alie wa YESU mapito ni hatua ya kuinuliwa..lnjiri unayo hubiri ni Kwa jina la YESU........haya Yusuf alichukiwa na ndugu zake mwisho wake ulimpa MUNGU Utukufu
Kichwa hatr cha mungu ever seen katik kanisa letu la KKKT God bless You Pastor
Mtumishi umesema iliyo kweli lakini baadhi ya Wachungaji hawataki kusikiaukweli vijana wakikristo wamesoma lakini ndio wanao chekelea kupokearushwa na wadokokzi wezi ,MUNGU atusamehe.
Kwel mchungaji
amen amen amen 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Wewe anzisha dhehebu lako bhana,wasikutishie, wewe unatumiwa na Mungu
kwanz uktngenez na fursa ya serikali🙏
Aman mtumishi
Barikiwa mtumishi
Asante,upo vzur ila mbona wamekucmamisha cku 60 katkat y semina
🙋♂️🙋♂️🙋♂️🙋♂️🙋♂️🙋♂️
Nakufuatilia nikiwa Canada
Nikumbuke kwenye maombi ya kufunguliwa
33
Vichwa adimu hakika MUNGU anakusudi kubwa juu yako mbeba maono hafi
😃😄😄😄😄😄😄😅🤣🤣 Jamani unataka kuleta bara
Q
Bora hata ninyi mko mbali kuliko Makanisa mengi ya Kiroho
Idea ya kurusha matangazo na matumizi ya tehama imekuwepo nchi za wenzetu kwa muda mrefu. Tanzania imekuja kwa kuchelewa kulingana na maendeleo...! Si kweli kwamba founder alitokea Tanzania.
Msikilize vzr, hakusema yeye ndio mwanzilishi wa hiyo Idea Duniani? Ila amesema yeye ndiye aliyetoa hiyo idea ndani ya Kanisa la Kitutheri Tanzania na alipata wakati mgumu sana kueleweka. Kiasi ilimbidi aanze kama channel binafsi kwa jina lake (japo maudhuhi ni ya Kanisa).
Na sasa Kanisa lote limeikubali na kuitumia maeneo mbalimbali nchini.
Shalom,Hongera sana sana Bishop kimaro kwa kile unachokifanya,hawataweza kukatiza ndoto ulizo nazo;ni Mungu kakupa ufunuo huu,umewaokoa watu wengi sana sanaaa! Watu wanafunguliwa sana sana nje ya nchi na humu humu nchini
KUWEPO MTANDAONI NI JAMBO JEMA SANA MAANA HATA MIMI HAPA NAKUPATA . NAKULA UPAKO. MUNGU AKUBARIKI PASTOR KIMARO ULINISAIDIA NISIOGOPE KUANZISHA UJENZI ULIPOSEMA KWA PESA MTU ALIYONAYO ANUNUE UWANJA NA AITE FUNDI HATA BILA RAMANI NI KUPIGA HATUA 10*10 HII NI SEBURE NK YALINIINGIA KWELI.
Tushibishe neno Baba mchungaji wengine kazi zetu kila siku jumapili tuna miss ibada kwa u tube tunabarikiwa kupitia humu
Siyo Lutherani tu na Makanisa yoote
SOME WORD YOU TELL US IS VERY CRUICIAL BUT BE AWARE REV WITH TONGUE .ITS SMALL ORGAN BUT MOST DANGEROUS TO DESTROY THE GOOD VALID MESSAGE ,SIFA NA UTUKUFU NI KWA BWANA,WEWE NI MTUMISHI TU USIYE NA FAIDA UMETENDA TU YALE YAKUPASAYO KUTENDA KAMA MTUMWA WAKE.AMEN.
Anasema Ukweli, sometimes ni ngumu Kukubali namna Kazi ilivyoanzishwa
Wengi ni Wabishi
Vijiroho vya unafiki, Uzandiki na chuki vinalikwamisha Kanisa.
Umesema kweli.uwezo anao but kiulimi hicho or kinywa ni shida wakati mwingi watumishi wawe makini,ktk kuongea kwao au kuhubiri kwao cause kosa dogo linahatibu mazuri mengi
Ugombanishi. Kweli hcho ni kibur. Mbona hautaji mishahara unayolipwa unataja kaz inayokufanya ulipwe?
Kupeleka wazo kunahtaj convicing power lkn ukipingwa haimaanshi hawataki. Wanataka udhihirishe itafanikiwaje.
Yan unataja taasisi kuwa ilikataa. Mzee huko ni kupenda sifa na hakuna faida ktk madhabahu ya YESU KRISTU TUNAEMTUMIKIA
🤣🤣🤣🤣😁😁
FOUNDER YUTUBE CHANNEL, kanisa KUBWA, camera, wakfu sema WAZI BABA, flat screen, challenged,.live presentation , ooo cant imagine, people pooling him down to stop him for 2solid months , awenkimya kimyaaaaa oo MUNGU NAOMBA usikie kuomba kwetu , dhoruba hii ya DR.ELIONA KIMARO kkkt KIJITONYAMA kurudi rahani pake eeeh mfalme.
EKTv ni mkombozi WETU kabisa, sharika nyingi, sasaivi zina television zao. KIPAJI CHAKO NI KIKUBWA MNOMNO. NABARIKIWA SAANA. SADAKA ZA ONLINE NI NYINGI KUMBE!!!