MHE. RAIS SAMIA NA MHE. RAIS EMBALÓ WAKIZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI IKULU, DAR ES SALAAM

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 21. 06. 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan Akimpokea Rais wa Jamhuri ya Guniea-Bissau Mhe. Umaro Sissoco Embaló leo tarehe 22 Juni, 2024 Ikulu Dar es Salaama, ambae yuko nchini kwa ziara ya kikazi .

Komentáře • 7

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji Před měsícem

    SSH❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @trendings1293
    @trendings1293 Před měsícem

    Mbona kama makamba haelewe utaratibu😂😂😂😂😂

  • @Nedjadist
    @Nedjadist Před měsícem

    Hii Tanzania ingepata 'kichwa' ingekuwa 'anchor state' katika Afrika, taji ambalo Kenya inajaribu kulichukua ingawaje haikutoa mchango wowote katika ukombozi. Ilipoombwa na ANC kutoa msaada, ilitoa Landrover moja!
    Tungeongoza Afrika hata kwa lugha tu. Hivi sasa nchi nyingi Afrika zinataka kuachana na upuuzi wa kutumia lugha za Wazungu kuwasiliana hata wao kwa wao. Sisi ndiyo kwanza twakifagilia Kiingereza na hata Kiswahili chetu si fasihi! Ni vizuri kujifunza Kiingereza vizuri sana, na pia Kiswahili.
    Ila jamani kwa kweli Mwalimu aliona mbali saaana. Hakuna aliyetokea bado, mwenye maonio yake. Hii si kusema hakufanya makosa- hasa ya uchumi, demokrasia- yeye alikuwa binadamu.

  • @niyongabovenant2535
    @niyongabovenant2535 Před měsícem

    Hangariya makosa we mama Suluhu uko unafaniabuko eastern congo, kuwawa watutsi wanaopiganiya kuishi kwa ardhi yawo, mweote muko matapeli, wongo mtupu! Muace ubaguzi wabkisekedi na ndayishimiye, siyo unguana kua tanzaniya ilijulikana kuunga mkono kwawa freedom fighters!

    • @Nedjadist
      @Nedjadist Před měsícem

      Weee! Pumbaf, acha Utusi hapa! Nyie si mlisema Rwannda kuna kabila moja tu la Banyarwanda? Halafu mkaja mkayaita mauaji ya Kimbari kuwa ni 'mauaji ya Watusi' mkisahau mliyoyasema.
      Watusi si kwao DRC. Walikimbilia kule kama Wakimbizi katika vipindi tofauti vya macjhafuko Rwanda.. Sasa Watusi waliokimbilia Uganda, Tanzania wamerudi, kwa nini wa Congo hawarudi nyumbani? Kwa nini mnaidai nchi ya watu? Kama mwataka kukaa kwa amani sawa. Maaana wako Watusi Tanzania, Uganda wamekubali kukaa kwa amani kama raia. Ila nyie wa Congo mwataka muifanye DRC ni Rwanda ndogo. Halikubaliki. Na msifanye watu wajinga.