Simba 1-0 Mbeya Kwanza | Highlights | NBC Premier League 06/02/2022

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 5. 02. 2022
  • Goli pekee la Clatous Chama likiwa ni goli lake la kwanza tangu arejee nchini mwezi Januari mwaka huu limeipa Simba ushindi wa 1-0 dhidi ya Mbeya Kwanza katika mchezo wa #NBCPremierLeague uliochezwa kwenye Dimba la Benjamin Mkapa.....
  • Sport

Komentáře • 74

  • @emmanuelmtalis1590
    @emmanuelmtalis1590 Před 2 lety +3

    Simba wamestahili huu ushindi 💯

  • @marypetermbaga1348
    @marypetermbaga1348 Před 2 lety +6

    SIO OF SAID NI GOLI HALALI HIYO

  • @lucasjkamuli8809
    @lucasjkamuli8809 Před 2 lety +3

    Mdogo mdogo mpaka kieleweke msimu huu Simba sc nguvu moja daima

  • @timothybakampenja7946
    @timothybakampenja7946 Před 2 lety +3

    Simba jana walicheza mpira vizuri sana kiwango chao kinaridhisha sema hawakuwa na bahati ya kufunga magoli mengi ila all in all tunamshukru Mungu kwa kuongeza point tatu muhimu. Na kwa mtazamo wangu naona bado kuna shida kwenye straika za simba kuhusu kuliona lango so benchi la ufundi inabidi waliangalie hilo kwa ajili ya kutengeneza magoli maana inaonekana forward za simba mara nyingi wanakosa nafasi za wazi pamoja na alternative zao kama wafungaji.

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 Před 2 lety +3

    Wallah simba imecheza mpila sana nimipangotu haijakaa sawa

  • @muhammadkipangatv2674
    @muhammadkipangatv2674 Před 2 lety +8

    Jifunze quran kusoma kuandika gusa picha yang hapo kama hautojl

    • @Almisbahy9551
      @Almisbahy9551 Před 2 lety +1

      Unajiskiaje Kuwa Muislamu Ambae Hujui Kusoma Quran!....... Huyu Shekh Anafundisha Vizuri Sana Wallaah Ukifatilia Darsa Zake Lazima Utafaham Kusoma Quran

  • @singoisanare5145
    @singoisanare5145 Před 2 lety +12

    Congrats mnyama

  • @kelvinngenzi8578
    @kelvinngenzi8578 Před 2 lety +1

    Respect kwako Sakho

  • @neemacharles9848
    @neemacharles9848 Před 2 lety +1

    Naipenda simba inanipa raha sana

  • @jubilatemanase9050
    @jubilatemanase9050 Před 2 lety +2

    Mi naona team imeimprove, at least wanaanza kujaribu kupanua uwanja though kuna tatizo kwny utulivu wa kumalizia na ubinafsi kwny nafasi za mwisho,goli ni offside or no tuwaachie mabush referii🙌

  • @timothybakampenja7946
    @timothybakampenja7946 Před 2 lety +1

    Congratulations mnyama

  • @dullahkalanjedullahkalanje1422

    Tanzania ndio nchi pekee duniani marefa awafati sheria za mpira wanafata maelekezo ya TFF

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 Před 2 lety +2

    Kweli Simba wanacheza vizuri sana ila wameingiza tabia ya kutaka kufunga kila mkoja na hiyo ndo inatungim magoli tuliyoyazoea

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 Před 2 lety +1

    Tatizo bado ni kubwa sana, Mfungaji wa mwisho wa Simba hayupo bado, kila mmoja anataka kuwa Mfungaji.

  • @aishasaidi467
    @aishasaidi467 Před 2 lety +4

    Yan tumekosa magori mengi San jmn duuuuh

  • @omarcarlos4595
    @omarcarlos4595 Před 2 lety +3

    Ipo haja ya kujiuliza sana,Tunakosea wapi mbona tunacheza vyema lakini ushindi wetu umekuwa wa tabu sana.

    • @legendjayzan945
      @legendjayzan945 Před 2 lety +1

      Bocco,mugalu, fukuzeni,hakuna wafungaji hapo

    • @dicksonaroka6961
      @dicksonaroka6961 Před 2 lety

      @@legendjayzan945 na ndio tatizo kuu kwa sasa wanaotakiwa kufunga hawafungi kwaiyo wana cost timu tena kwa sana

  • @saidalsalmi9313
    @saidalsalmi9313 Před 2 lety +1

    Mkude nadhani bado haja recover vizuri. Mzamiru ni muhimu kuanza

  • @timothybakampenja7946
    @timothybakampenja7946 Před 2 lety

    One love

  • @footballskills5863
    @footballskills5863 Před 2 lety

    Namba one ✊✊🦁🦁🦁

    • @barakadaniel4022
      @barakadaniel4022 Před 2 lety

      🤣🤣🤣🤣🤣sisi wafrika ni liaza tyu mpira wa miguu tuachie wazungu

  • @BarakaWaya
    @BarakaWaya Před 2 lety +1

    Sakho Chama 💥💥💥

  • @guccij6236
    @guccij6236 Před 2 lety +3

    Goli la mchongo ilo subirini mikoani hamtoboi

  • @emmanuelmasse6219
    @emmanuelmasse6219 Před 2 lety +1

    Umeisikia iyo
    Umeiona iyo
    Ni goli halali Kama hutaki kufa

  • @makameally1962
    @makameally1962 Před 2 lety

    Kinaocho onekana hii sheria ya offside watu wanaipindisha lkn SHERIA ipo wazi
    Delebrate play hapa haipo difender hajakusudia

    • @chrissg4026
      @chrissg4026 Před rokem

      Hakukusudia alikuwa ameblock mawe au mpira🤣

  • @hamzaabdallah9237
    @hamzaabdallah9237 Před 2 lety

    Baraka mpenja acha mapenz ya kipuuzi.

  • @NellyWaKidato
    @NellyWaKidato Před 2 lety +3

    Makolopooooo Bila Mchongo Hawashindi Acha Waende Club bingwa Wakatombeke Ipasavyo Wakirudi Wachengwe Na Geita Gold

    • @saruni5673
      @saruni5673 Před 2 lety

      Matusi si ushabiki kaka pia ushabiki si ugomvi

  • @OMGGZoo
    @OMGGZoo Před 2 lety

    Pmojaa mnyamaa

  • @lovenesskalenge2683
    @lovenesskalenge2683 Před 2 lety +1

    Eti Yanga atisheke na bwa Hawa Bora hata wangekuwa fisi😂😂😂😂😂

  • @nelsoncharles4750
    @nelsoncharles4750 Před 2 lety +1

    Gori la uongo simba kapewa yani kagere alikuwa mbele Na kagusa mpira

  • @salmamustapher5611
    @salmamustapher5611 Před 2 lety +4

    Yaani mbeya kwanza mulichokitaka ndo hiki mulitegemea sisi tufungeje nayinyi mumeng'ang'ania kwenye goli lenu hamtaki kucheza?? Ndomana tumewapelekea Moto hukohuko mbna baada ya hapo mumefunguka na kuanza kusambaa na kucheza mpira vizuri kwann kabla ya gori hamkuwa mnacheza mlikuwa mnalinda point1 sasa imewaghalimu sikunyingine msicheze Tena robo uwanja sawa.

  • @agatonnyjohn6695
    @agatonnyjohn6695 Před 2 lety +1

    Unaumia Ukiwa wapi

  • @009biafra8
    @009biafra8 Před 2 lety

    Mnyama kawasha taa anakuja speed UTOPOLO mavi yanagonga chupi😂😂The Great SIMBA 🦁💪🙏

    • @actormkoma5285
      @actormkoma5285 Před 2 lety

      Speed ya magoli ya offside ahahahaha

    • @asiarashidi1520
      @asiarashidi1520 Před 2 lety

      Speed kwa magoli ya chupli chupli ya kupewa na marefa....njooni tu dhulma kuna siku zitakwisha mtaumbuka mchana kweupee

    • @009biafra8
      @009biafra8 Před 2 lety +1

      @@asiarashidi1520 Simba anatambulika hadi kimataifa kaeni kwa kutuliaaa Mbwa Nyinyi 😷🤣

  • @alinanusweernest8446
    @alinanusweernest8446 Před 2 lety +1

    Mpenja mpenja au sio wewe maana umetudanganya katika ofside

  • @electronicsermon6589
    @electronicsermon6589 Před 2 lety

    Marefa wa michongo b20 kazini Kamati ya Wazee kazini

  • @gaspersiara2226
    @gaspersiara2226 Před 2 lety

    Hii mbona mmewahi kuiweka namna hii

  • @kingofrich6813
    @kingofrich6813 Před 2 lety

    Simba bado hawana striker wa kutia goli uhakika

  • @suleimanrashid3918
    @suleimanrashid3918 Před 2 lety

    Nitaendelea kurudia kusema ivi sima ikiwa wachezaji hawato weza kuacha uchu wa kila mmoja kutaka afunge yeye basi kushinda itakua ni jambo la bahati mbaya unakuta kila mmoja anataka ashinde yeye hii sio simba tulio izoea coach ongea na wachezaji so akishinda mmoja ushindi nikwawote. Sifurahii goal za hivi.zinatwa popo goal.

  • @leverimlaki5667
    @leverimlaki5667 Před 2 lety

    Nadhani Simba ilistahili penalty

  • @thobiaskatoyo8622
    @thobiaskatoyo8622 Před 2 lety +1

    Tatizo wanaingia na vibuyu hawa wapinzani wa simba ipo cku

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 Před 2 lety

      hakuna vibuyu bwalya, sako wachoyo hawatoi pasi.. ! Simba hivi sasa kila mtu anataka kufunga hata akiwa mbali.. hata mwenzie anapokuwa kwenye nafasi nzuri zaidi karibu na goli.. Bokko akienda kwenye impossible angle.. hafikirii kupiga back pass kwa mwenzie.. anang'ang'ana kupiga hivyo hivyo.. ndio tatizo..!

    • @kelvinngenzi8578
      @kelvinngenzi8578 Před 2 lety

      @@josephgomalo41 Tatizo Hilo lipo isipokuwa timu pinzani wanaziba utamu pale kati

  • @issaalfani1030
    @issaalfani1030 Před 2 lety

    Makolo wanajidanganya eti wamepewa na wataendelea kupewa

  • @bakarikivoroa2380
    @bakarikivoroa2380 Před 2 lety

    majiraniiiiiii mavu yana gonga kwenye chpi utatoa hutoi mnyama huyooo anakuja

  • @issaalfani1030
    @issaalfani1030 Před 2 lety +1

    Kichwa kama uvundo wa shimo la taka makolo kolo

  • @doctorngowi4870
    @doctorngowi4870 Před 2 lety

    Mnapack bus mpaka lini hamjui mchezo wa kitaalam muende daraja la pili

  • @robertndebate5462
    @robertndebate5462 Před 2 lety +2

    Marefa mnawavunja nguvu na kuwatoa mchezoni wachezaji kuweni makini jamani mkishakula izo kungu zenu mnataribia mpira tu kila siku

  • @badrumbarouk3377
    @badrumbarouk3377 Před 2 lety

    Wawaangie sana utopolo ndio wanaowaharibia simba yn nafas za magol kabisa kama zinapeperushwa ila bdo zam yao

  • @willymnyaga8131
    @willymnyaga8131 Před 2 lety

    Offside ya wazi kabisa, kinachoharibu mpira wa bongo ni njaa ya hawa waamzi

  • @iraakasubete8287
    @iraakasubete8287 Před 2 lety

    Hivyo Ni offside ya wazi kabisa Kagere kazidi au hawaangalii offside ya twenzetu wa huko mbele no meana Bongo wanasema Simba Na Tanganyika ndio zimeuua Moira wake

  • @marypetermbaga1348
    @marypetermbaga1348 Před 2 lety

    Ww simba timu kubwa kwa sababu kwanza tuna bebeka vzur utopolo hata uwa bebe vp hawakai migongoni wanauma baya haooo mabwege

  • @hamzaabdallah9237
    @hamzaabdallah9237 Před 2 lety +2

    Kiukweli waaamuzi mnakosea sana acheni kuharibu nguvu za watu wanawekeza .sasa hilo goli gani. kama kyombo yupo offside iweje ya kagere alikuwepo amesimama muda mrefu?? TFF mmeanza ujinga ligi hii mtaiua sifa na utamu wake.

  • @hamidayanga8224
    @hamidayanga8224 Před 2 lety

    Anaekumbuka mara ya mwisho makolo kufunga goli 2 ligi kuu anikumbushe mana sikuhz bila kusaidiwa kama hvyo na refa hatupati hata goli moja

    • @allymtungunyu2425
      @allymtungunyu2425 Před 2 lety

      @Hamida na utopolo mwisho kupata gori mbili lini? Halafu jitahidi kuangalia kundule ww bibi.

  • @geoffreynicholaus3912
    @geoffreynicholaus3912 Před 2 lety

    muwe mnawahi kuposti wapuuzi wamoja

  • @mariapialakanje3446
    @mariapialakanje3446 Před 2 lety

    Ule upendo wa kupasiana kipindi cha Akina micquison na chama hakipo tena dah yasni mlikuwa vzuri snanpssi za upendo na magoli ynptokn mengi tu ssda msipojirekebisha hpo yutakuwa tunashinda kwa bhti sna jmn duhu ,Olz cocha ongea na wachezaji warekebishe hilo mmoj akishinda ni wote watazane aliyekatibu apadiwe jmn sio kila mmoja umimi huwiiii haikuwa hivi Simba jmn duhu

    • @josephgomalo41
      @josephgomalo41 Před 2 lety

      nashangaa kwa nini kocha halioni hilo..! hao sako, bwalya wote ni wachoyo wana umimi..

  • @eliyamloy3490
    @eliyamloy3490 Před 2 lety +1

    Yan kuna mtu kama Dilunga, Mzamiru Nyoni Bocco na Mkude hawa wanatakiwa wachezeshwe mechi za mwishoni mwa msimu au waondolewe kabisa Simba, tunashukuru kwa michango yao lkn Simba ya sasa haihitaji huduma kama yao