MKUTANO MKUU YANGA | Serikali yaridhia Yanga kujenga uwanja, yaipa masharti

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 8. 06. 2024
  • MKUTANO MKUU YANGA: “Tumepokea maombi na tumeridhia kuyaingiza katika mpango wa uendelezaji wa eneo hili la Jangwani” maneno ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa akijibu ombi la Yanga SC kuhusu eneo la ujenzi wa uwanja wao.
    Ni Mkutano Mkuu wa Yanga unaofanyika leo kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere, Dar es Salaam.
    #YangaAGM2024 #YangaSC2024 #YangaSC #AGM2024 #MkutanoMkuuYanga #MkutanoMkuuYanga2024
  • Sport

Komentáře • 15

  • @YassinGofrey
    @YassinGofrey Před 19 dny +2

    Hiii Mungu awabark sana serikal

  • @Emmydeo-jm7zy
    @Emmydeo-jm7zy Před 18 dny +1

    Yang yang bingwa tenaa

  • @MwanahamisiShabani-nk7wm

    Mungu awalinde serikali na hongera uongozi wa Yanga

  • @musasaguti4760
    @musasaguti4760 Před 19 dny +1

    Hakika waziri, umesema kweli

  • @AllyKiduka
    @AllyKiduka Před 19 dny +1

    Jemedari ataharisha uchungu

  • @YassinGofrey
    @YassinGofrey Před 19 dny +2

    Yanga SC ni Bingwa tena

  • @harithmsiu8980
    @harithmsiu8980 Před 19 dny

    👏🏽👏🏽good newssss

  • @StanfordMwaipopo
    @StanfordMwaipopo Před 10 dny

    Naitwa Stanford brown mwaipopo wa mbezi malamba ma wiki nataka kujua kama kweli kizumbi amesajiliwa yanga au amesajiliwa na timu gani maana mpaka sasa sirlewi mara amesajiliwa yanga mara timu nyingine naomba ufafanuzi wa kina Mimi ni yanga ya hers said nawathamini wachambuzi wote hongerebi kwa KAZI nzuri na mungu awabariki

  • @H3s4d
    @H3s4d Před 17 dny

    Kwa mfumo huu mashabiki wanatakiwa wawe na kadi ili wachangie timu yetu

  • @user-mm9mu5uw4u
    @user-mm9mu5uw4u Před 19 dny +1

    😊😅

  • @VantinMassawe-dh2xf
    @VantinMassawe-dh2xf Před 18 dny

    Valentin j massawe

  • @hidnakirungi6546
    @hidnakirungi6546 Před 19 dny

    Uyu jamaa ni mtu makin sana lkn km umjui utais km kvuli" pambana kiongoz!

  • @adolfutoyi6677
    @adolfutoyi6677 Před 19 dny

    Kila mtu bingwa

  • @dicksonsimon5734
    @dicksonsimon5734 Před 19 dny

    😅

  • @mushtaqahmedkadiri2575

    Assalaamalaikum mimi naishi Dubai ni Rafiki wa mtangazaji wa kabumbu wa R T D Mr SALIM MBONDE kama kuna mtu anaye mjua huyo rafiki yuko wapi anitumie msg kwenye hiyo e mail yangu na kama Ana namba yake ya mobile tafadhali anytime AHSANTE