Jina la Wimbo: Yesu Nakupenda Mtunzi: Swai Tumaini (FM) Waimbaji: Kwaya ya Mt.Cecilia Muriet_Arusha Audio & Video: RAJO Productions Karibuni kusikiliza na Kutazama na Mungu atubariki sote.
Tumsifu Yesu Kristo waamini wa parokia Mt. Yuda Thadei Muriet Jimbo kuu la Arusha. Hongereni wanakwaya wa Mt. Cecilia. Kweli nyie si mchezo. wimbo huu ni mzuri sana, mnamtukuza Mungu kwa roho na kweli. Pia mmependeza sanaaaaaaaa❤
Great composition, excellent picture and sound quality. A combination of Spiritual and Mystical video dynamics with great power for listeners to arrive at the Pearly Gates. TUMAINI SWAI, Job well done!👏👏👏
This song is such a blessing to my soul. May God bless all those who were involved in its production. Mbarikiwe sana na bwana aishi nayi siku zote za maisha yenu.
Hongereni Sana. NI hatua kubwa Sana. NI Jambo la kushukuru Sana. Nakumbuka walikuwa wanasali mlimani sinon parokiani kule TULIKUWA tunaenda kuwinda digidigi na pongo. Leo mmefanya mji mkubwa na kuimba hivi
Huu wimbo hufanya nakua karibu na Mungu zaidi najihisi kweli ni karibu na Yesu wangu❤
Tumaini Swai!!... Kazi safi sana ..maneno ya wimbo huu jamani..naupenda
Hapo ndipo
Tumain Swai, I wish siku moja unipe course ya kinanda
Yesu tuhurumie sisi wote ni wenye dhambi 🙏🏿
Hongereni sana ndugu wapenzi, Mungu azidi kuwabariki❤
Mmeimba vzuri sana jamani nikiusikia naona kama niko mbingu hongereni wanakwaya
Utunzi, uimbaji wa hali ya juu. Mungu Awamiminie baraka,Awajalie
Tumsifu yesu kirstu naweza kupata wimbo wa sema na moyo wangu
Huu wimbo umenifanya niwe Karibu na yesu❤
Yesu nakupenda, NKWAGALA YESU,I LOVE JESUS
Na mm Nishi nawe niwe wako milele amen 🙏🙏❤❤❤❤❤❤
Nabarikiwa kila ninaposikiliza wimbo huu. Naipenda. Upendo kutoka malawi 🇲🇼
…Yesu ingia ndani mwangu unilinde, nijalie Bwana wangu nikupende siku zote …
Wimbo uko vizuri sana, Hongereni sana Wapendwa kwa Utume huo, Mungu Awabariki sana.
Kaka Tumaini Swai (FM) heshima yako👏👏🙌
I'm proud to be Catholic and Christ follower, Christian.
Yesu wangu nakupenda siku zote
Sawa.kabisa.mungu.atuwazia.mema👍
Playing this song for the 15th time today
Wanakwaya wenzangu, tupige injili mpaka mwisho wa nyakati, hakika hata mbinguni tutaimba!
Asante kwa nyimbo hii ambayo ina ongeza imani. tuna hitaji music note ya nyimbo hii DRC mjini Goma
Hongereeen sana wanakwaya wenzangu nabarikiwa sana 💖💖💖💖
hongera sana wimbo huu umenigusa sana moyoni mwangu
Mwalimu tumaini swai at his best much love from kenya
Ongereni sana waimbaji mungu naawambariki sana
Naming nilango sa mungu sitafunguka kuwana iman na moyo
Nimebarikiwa Sana na huu wimbo.
Mbarikiwe pia nyinyi, sana
This song makes me emotional 😢, glory be to God. The message is so strong that I can't keep my eyes open upon listening to it🙏🙏🙏
hii iwe wimbo ya kupokea.iko sawa kabisa
Tumsfu yesu kristu,,, nawezaje kupata wimbo wenu wa Sema na moyo wangu you tube haupo😢
Nyimbo nzuri ya kuabudu. Asateni kwa kzi nzuri ya utunzi
Great one."yesu nakupenda kweli"
Wimbo wa zaman sasa❤
Ubarikiwe sana
Nyimbo nzuri kweli zinanifariji sana hongereni. Mwl naomba kopi na Mimi niwashirikishe wengine
hakika huu wimbo ni mtamu hongereni sana❤❤❤ halafu kuna wimbo ukuu wa mungu ambao nikidhani umaimbwa na hii kwaya na siupati ntafanyaje
Hongera sana Kwa Kaz nzur. Mungu aibariki kazi yenu
❤ congratulations 🎉👏 guys keep it up nice song love it 🌹🙏
Hongereni sana,Wimbo mzurii
Kazi nzuri sana hongereni endeleeni na utumishi uliotukuka
Mungu akutangulia na kazi yako
Mmeimba vizuri sana
Nyimbo nzuri sana mungu awabariki
Asante Kwa wimbo mtamu sana....umenibariki sana
Napenda sana Wimbo huu hongereni
Ee Yesu natamani kuishi nawe siku zote, niimarishe pale ninaporudi nyuma🙏
Tumsifu Yesu Kristo waamini wa parokia Mt. Yuda Thadei Muriet Jimbo kuu la Arusha. Hongereni wanakwaya wa Mt. Cecilia. Kweli nyie si mchezo. wimbo huu ni mzuri sana, mnamtukuza Mungu kwa roho na kweli. Pia mmependeza sanaaaaaaaa❤
I'm proud of you.God bless you.
Mungu ni mwema Jaman haikuwa rahisi
Yesu njoo kaa kwangu Bwana. Mbarikiwe sana kwa huduma yenu ya kumsifu Mungu wetu.
Great composition, excellent picture and sound quality. A combination of Spiritual and Mystical video dynamics with great power for listeners to arrive at the Pearly Gates. TUMAINI SWAI, Job well done!👏👏👏
Nimebarikiwa sana na huu wimbo. Ni Sara nzuri sana
Samahani kama Kuna uwezekano naomba mtutumie ule wimbo uitwao Mungu wa baraka tafadhalini sana
WAooooo cha kwaza saree nzuriii shhhh jamanii wimboo nzuriii sanaaa ❤❤❤
Hongereni MUNGU hupendezwa na wamtukuzao kwa kuimba.
Munawasaidia wengi kuabudu kweli, hivyo mutabarikiwa na Bwana Yesu.
Nawakaribisha sana kigangoni igoji 1 parokia ya chipogoro Jimbo kuu la Dodoma.Hongereni sana Kwa utume
Hongereni sana
Kwaya iko vzr sana🙏
Nijalie bwana nikupende siku zote❤❤🙏
Mungu awabariki sana,mwendeleze wito wa kuinjirisha kwa karama ya kuimba,Ili neno la mungu lisambae duniani kote
Ongeren San wanakwany wetu 🙏🙏🙏🙏
Mungu ni Mwema kila wakati,Asante kwa kazi safi wana Murieti Arusha…Nimebarikiwa
Waoooooh waooooooh mungu andelehe kuwatia nguvu zakumutumikia zaidi
Mungu awabariki sana hongereni Kwa utume mkayaishi mnayoyatamka.....mbarikiwe sana
Hongeleni sana na mungu azidi kuwabariki
This song is such a blessing to my soul. May God bless all those who were involved in its production. Mbarikiwe sana na bwana aishi nayi siku zote za maisha yenu.
😢nimeupenda sna huu wimbo hongereni sanaaaa
Tumsifu Yesu kirsto,, Ongerani sn nyimbo nzuri sn
Wimbo mzuri Sanaa 🔥🔥hongereni Sanaa
Asante kwa kuinjiliaha nyimbo imenigusa sana hiyo wimbo umenibaeiki sana naomba kwa mwenye nota anisaidie aseme bei gani nitampatia
Tumwimbie Bwana, Katika Roho na Ukweli! Hongereni sana wapendwa katika Kristo❤ Nilikuwa nasubiri video hii kabisa.
Nyimbo nzuri jamani
i always feel blessed with this song
Praise God for your prayers and music.
Hongereni sana ni vyema kushukuru Mwenyezi Mungu.
Wow this is a beautiful choir , the song is amazing
Hongera ❤❤
Hongereni sana wenzangu wapendwa,ni wimbo tamu sana.❤
Your the Best keep on Praising our Savior through your Angelic Voices. Your Very Smart too.
Nyimbo tamu sanaa
Barikiweni mzidi vivyo hivi
Hongera sana mmeimba vizuri sana
Mungu awabariki sana
Hongereni kwa utume nzur xn huu jimbo unajua sana kwa kwel
Nimebarikiwa mno,, Mungu awatie nguvu zaidi na zaidi🙏
Pongezi st Cecilia wimbo tamu,I like it
Well done Wana wa Mungu.
Imetukuka Sana na hongereni kwa kazi nzuri hii.
Mungu baliki mzidi kutoa nyimbo nzuri kama ivii🙏🙏
Nice singing,naomba mtunzi wa huu wimbo tafadhali
Kazi safi kabisa! Nawahongera sana Wana-Cecelia
Unajua sanaa swai unanifanya niwe naiman na katoriki sanaa
Hongereni sana
Mungu awabariki
Mubarkiweni sana kwa kwazi ya Bwana yesu❤
Be blessed...GOD is worthy of our praises
Great song☺❤❤❤
❤❤❤❤❤ ongereni sana, Asante mungu
Hongereni Sana. NI hatua kubwa Sana. NI Jambo la kushukuru Sana. Nakumbuka walikuwa wanasali mlimani sinon parokiani kule TULIKUWA tunaenda kuwinda digidigi na pongo. Leo mmefanya mji mkubwa na kuimba hivi
Mko vizur na mmependeza Sana namuona mama yangu mzaz Martha nawapenda sana
❤❤❤
Mbarikiwe na Bwana. Naomba mnitumie namba za shukrani yenu kwa wimbo huu. Bwana akawajalie nakuwajaza
Jamani naombeni kumjua mtunzi wa wimbo huu yesu nakupenda nahitaji nota zake ila sizipati
Maana ni wimbo hatariiii
Hungera wanakwaya.
Nyimbo nzuri.
Asanteni sana wana Mt.Cecilia Muriet . Nimepeza kuutazama na kuusikiliza Huu wimbo siku nyingi. Kazi swari Mwalimu T. Swai.
Hongereni.yafaaa uisikilize kila wakati; naona kama ndio nlikuwepo paska ya kwanza
Nashukuru sana Mungu azidi kuwabariki🎉🎉🎉❤
Halow martini uliomba wimbo huu ulipata nota zake mbn natafuta Swahil music siuoni
Great song guys.....naomba nota za huu wimbo
Katika maisha yetu hatuna mwingine zaid ya mungu tumtukuzen kwa nyimbo tamu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Hongeneni sana ndugu zetu katika kristo