GHETTO LA KWANZA LA HARMONIZE KIJIJINI KWAO / SIJAZALIWA TAREHE 3 OCTOBER
Vložit
- čas přidán 14. 03. 2019
- @harmonize_tz Akituelezea Safari Nzima ya alivyokuwa akiishi kijiji kwao na nini amepanga kubadilisha kijijini kwao,amepiga story nyingi na @motown_sanya
#wasafi#motown_sanya - Zábava
Real men never FAKE life...ako muwazi na familia yake ameweka ustar kando...mahusiano mazuri na wazazi majirani na marafiki...much love harmonize 😍😍😘😘😗😗😗
XXX video
Hongera sana Konde boy kwa kuenzi maisha ya kijamaa pia kwa kukumbuka nyumbani uliko toka, Hizo ni baraka brother.
Sarah didn't react when Harmonize said I was born here...God bless my brother with a Queen!!!! Melbourne, Australia.
kuonyesha ulimwengu ulikotoka si suala rahisi.........it's grateful to appreciate your background
Nahasa uwe umetokea sehem kama iyo kweli uyukaka kafanya jambo la busara
Bora anapeleka mpenz wake nyumba kwao sio wengine wanaongopa naomben like zen umefanya kitu kizuri
Aaahh umetishaa saanaa ni kwelii kabisa best...
Aziza Mkindi sanaaa
Hajafunga ndoa hivo ni umalaya tu
Sure
Kila laher mfunge ndoaa sio mzin
Nimefurah kuona yupo happy na baba yake km rafiki yake hongera rajabu
Somoe Mmanu @@xo kama bossi wake amby ni kama adui na baba ake
Amshaur na mond amrudie babake
Huyo sio bb yake mzaz
@@navaanyuki4436 uyo baba yake mzazi
R
Tokea Seattle, Washington... bado tuko na wwwe kijijini.. like what you doing bruh.. kipeth real forever.. happy birthday!!
duuh good sanaaaa kaka harmonize Nimeipenda sanaaaa hiyoooo couple....kma na wewe umeipata hiiii gonga like
Mashallaha rajabu🙏🙏mungu azidi kukupa ela usidi kujenga kwenu
Mashallah mungu akubarik uzid kutimiz ndoto zako inshallah
Khadija Qatar konde boi mungu akupe wepesi ktk maisha yako
I really love what you did my brother........so sweet
konde boi you are amazing guy, uko real sana Mungu akubarki
Kitu ambacho nimekipenda huna fake life una really life, huna maisha ya kuigiza ni mkwel na muaz.
Mastaa kbao wanaficha vijiji vyao,
Abasi Makunguru kweli kabisa
Kweli umeongea point
Well said I really like that
Nmemuelewa sana kwa kweli imeondoa fikra tofauti nlikuwa namchukulia
@@eventelias3566 Dah, hata Mimi bro, nilivyokua namchikulia tofaut. Na naamin kafungua milango Kwa wasanii wanao ona haibu kujiweka wazi,wataona kumbe kawaida tu,wataiga
Baku kubali sana harmonize kama na ww upon miongoni mwa watu mnaomkubali tafdhali naomba LIKE yako
Congrats and HAPPY BIRTHDAY my favorite artist
HAMORNIZE uwe na moyo huo hup wa kuthamin wazaz wako muache mond alemee upande mmoja big ap sana kaka Allah atakulipa kheri mbona ukijenga hapo kweni hizo vila swawabu nying sana
Masha shallah rajab ❤👍👍👍
2023 watching this I love you harmonize❤❤❤❤
Yani Harmonize utafika mbali zaidi Mungu hupenda tuwasaidie watu tunapofanikiwa, mpango wa kujenga villa ili ukoo ndugu zako wakae pamoja ni jambo kubwa sana, wasomi wakisoma wanatokomea peke yao ht kwao hawaendi, ninayo mifano take it from me!
Ivi wanaombaga like uwa mnazifanyiaga nini😩😩😩basi na Mimi naombeni like🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😄😄😄
Malaika Izegelle
Zinamaanayake😀😀😀
Mashalla hamonainzi uko vizuri bur
daaaaaaah
Dogo HARMONIZE upo sawa sana nyumbani ndiko kwenye baraka zote na wasanii wengine waonyeshe nyumba walizozaliwa huko vijijini kwao wengi hawawezi maana wanaogopa kudhalilika big up sana dogo
mzee kichwa kinakribia kupasuka doooooh
nice brother
Safa wewe mashallah uko na mapenzi ya kweli yani uko unaosha masufuria ya jiko la kuni mmmh honger
ma sha Allah hongera kaka ang mung akufikishe sana
big up boy, hongera sana kaka, much love for family
Konde boi nashukuru unapenda sana baba yako hapo sawa kwa kumjali baba, bosi wako du !
we ni star wa kweli unakumbuka palipo kukuza big up chaliii
Wow kwni tulisherekea pamoja na ww pia mm bathday yangu ilikua jana,nakukubali kaka yani hauringi kama wengine waaah mungu akujalie mafanikio mema am from 🇰🇪🇰🇪
Konde boy big up I'm one of your supporters from beira mozambique💪💪💪🔥🔥🔥❤❤
OK l
Harmonize may God bless you .
you are a real man
Napenda kiswahili ya konde boy nakupenda....nipee likes Aki leo msininyime
Iyo
duuu uko vizuri km jina lako hongera sana sana
Big up bro..mshauri basi hata na boss wako...we mamako alikosana na babako ukiwa miaka miwili na unamuenzi babako na hizo ndo barraka kakangu vipi mond...mshauri bana aishi Kama wewe
mama nababa kukosana nisiyo wazazi mumusishe mtoto kwenye ugov weni yan ikitokea mzazi mmoja wapo amemusisha mtt kwenye ugovu wawao wazazi bas itakuwa atali mtoto akisha ipokea ile sumu yamaneno yamzazi mmoja wapo ila mama mond amekosea mtoto kumlea kwakisasi chakumlipizia mama yake mzazi mgovi waliokuwa nao wao wawili
Wellington Ndoro bro hilo niwazo nzuri ila inategemeana labda huo mama armo anadini sana nakueshimu allah sana. na yule mama wa mond labda ameshapekekwa na Dunia unakuta c mshauri muzuri kwa mond
MashaaAllah. Raji Umefanya Jambo la mana. Allah Azid kukupa kheir zaid
Acha kutumia maishalah Kwa jambo LA shali mziki ni haram
@@gambagumu6531 kweli kabisa bro
masha Allah unajuamaana yake inavotumik??????
@@mudyiabas4812 labda weye Unajua mana yake. Na ndiye Uliye soma Mpk Ukahitim.
Mashaallah kwa mamb ya kijinga, miziki yao inakufu disha nn Bali inakufundisha kuzini tu na I nashawishi zinas tu
Daaah harmonize big up sana broo kumbe hata mm nawez fanikiwa kua kama ww kweli maisha ni safari ndefu
Baba Harmonize anajiskia kwa vyienye ajatolea jasho😢 Harmonize nakupenda bure coz u are not like vijana wengine baba zao wakiwatelekeza hawaezi msaidia baba
Mzungu kwanza anapenda mazingira ya mwitu mwitu Allah awasimamie..nimempenda huyu baba..sara uvaege nguo ukienda kwa wakwe
Huyu sara ndio nini kuvaa nguo za mjini...
@@lipymuscat4779 yaani....siku.nyengine avae hata dress ya mikono mirefu angalau
Afadhal umeongea😅😅😅😅
Good point
Apo sasa kwani hakuambiwa wa naenda wapi? Ndio avalie nguo unafunia uchi wake
Huyu na shilole hawajivungi wapp social sana, big up home ni home tu
Diamond jee
Hii safi sana Rajabu, na hata wazungu uwa wanapenda ile nature yetu.Sarah ana enjoy
I don't understand anymore but just saying i Love them , Harmonize Lavalava, Rayvann, Diamond, Big up bro's
Kupendwa Raha kweli cheki Sarah 😘😘😘😍
Wewe uja way kupedwa?
Ni kweli wazungu Wa Realy love haswa na popote wao wataishi Alimradi Anakupenda. Ni kweli Raji Ulichokiongea.
Mzungu kampenda hamornize hadi namwonea huruma
Hana makuu. Safi sana
Jamaa yuko simple sana. Nimempenda.
Hahaha Huyo mbongo was lushoto
oman1212 oman1212 Nikweli kabisa
Konde boy I'm appreciate Rajabu and all member from W.C.B ila umenikosha na singenge mzee baba
Allahumma bareek Inshallah
Mkataa kwao mjinga
Home Sweet home
Enjoy 👏👏👏
Amiin
katisha sn mwamba like kma unamkubl @kondeboy
allahumma barik kwenye zinaa
subhana llah ..wew wa wapi
Wow big up hammonize u don’t leave fake life ❤️💕💔💔💔
Safi sana kukaa ukapatana na wazazi wako, wakafurahi hata kama mzazi alikufnyia sivyo, usiweke bifu bora ukanyamza utaonekan bora
hbd Mungu akupe maisha marefu yenye baraka tele
MashaAllah watu tanatoka mbali I say big up Rajab Hammond 🇰🇪❤👆👌
Haaale nmekuwa watono kuko menti naomben like zangu
Mado love Tanzani nc
I like this boy harmonise he is very open with his life he does not care keep it up boy ,diamond jifunze kwa hormo
Mmh hukuona diamond kuna siku alienda home akapea watu zawadi mmm shem on you
Iyo t shet ya baba ulinunulia karriakoo nzr
ila jitahidi uwabadilishie sipendi mutoe misaada kwa watu wakati ndugu zenu wanapata shida
Zumbe Shauri huyu jamaa anasaudia sana ndugu pia tatizo mtwara nyumba zao hawapendi kukarabati nje sababu ya udongo wao na wanapenda still kuwe kam kijijini ile culture isipotee
Kumbuka kasema kuanzia mwakan ataanza kuwajengea ndg zake sa cjui awabadilishe ngoz
Konde boy unatisha saana bro I love it unanipa hamasa 💪💪💪💪🙏
Hamonize umefanya nizid kukupenda yaan dah!!! Mungu akupe maisha maref na mafanikio tele inshaallah
Ndo maana nakukubali mwana harmonize
Team kenya wapi likes za rajab 🙌🙌
Owh sory
Jamn wap apo kw kin harmonez
Wekeni crip ndefu bwana wengine tunajifunza mengi kupitia harmoniz
Loh nawe huwach
Kabisa aisee
True
Jamaa yuko poa.
Ukweli 🙏🙏
That's great Harmonize...being proudly of your village.
mashallah me nakuombea ujenge hizo nyumba lnshallah kumuezi babu yako
Mungu azidi kukubariki hongera Sana hormo
real love forever will stay in hart
Hongera baba kwa kweli umefanya jambo zuri saaana.
Harmonize Chelsea Fun like me...I love your village big up bro
Mashallah safi sana mkataa kwao mtumwa hamonaiz ujakataa kwako very nice ila ujitahisi msaidie uyo mpenzi wako wa zamani
Walikuwepo watu maarufu sana na sasa hawapo
Walikuwepo wenyesifa nasasa hawapo
Dunia inapita kasi
Na wewe utapita tu
Niheri ukayaweka mambo yako sawa maana kuna kiyama
Ila lipo tumaini jipya la maisha baada ya haya
Kuna Mbinguni uzima wa milele au motoni kifo milele
Chagua uzima
Chagua Yesu
Olewake atakaye simama upande wa shetani
Olewake adharauye wokovu
Ghadhabu ya Mungu inakuja
Hakika Ubarikiwe maisha Mali bila wokovu Ni Buree
Daaaa harmo kazi bado unayo bhana kama uliweza kugawa pesa kalia koo jitaid badilisha mazigira ya ukoo wako pia history unaweza kuitunza ila mm naona ndugu zako bado wanaitaji msaada wako ata mpenzi wako wa kwanza msaidie bhana
I very appreciate Harmonize you keep your dad company love you 😘
Mm sio shabiki lkn umenifurahisha but ukienda home kama hivyo mwambie Sara avae dera 🤣🤣🤣🤣
Halima Hassan kabisaa
Da kweli
Kweli kabisa
maisha nisafari
Harmonize you don't fake life....bigup en God bless you
Hi I'm mommy sarah
Very green street pazuri Sana
Nice one
Nimeipenda iyo man upo fresh kabisa
Uyo sara ungempa dera akawa na uwalicya wa nyumbani mashaallah rajab ivyo ndio inatakikana ikujuwa ulikotoka daima utakazana
Mkataa kwao ni mtumwa""" kama umemkbli Harmonise gonga like
Kwel
Hongera cn we ni mwamba,,,kuna wengne hawayakubali maisha yao ya zaman
Yn huyu kaka jmn yuko vzr hanaga majivuno km wasanii wengine, big up nmekupenda bureee
Nice this is documentary
Nice nimeipenda hy
Wallah nimejikuta nafurahi tu Rajabu mungu akuongoze uzidi kunufaika nakuwanufaisha wazazi wako ,,,...eeh mungu nami niongoze niwe na afya nguvu uzima nipambane niwaflaishe wazazi wangu jmn baba Amo anajua kudundika
Dah Harmonize umetisha sana Big up kwa ulichokifanya.
Sarah ana upendo wa kweli kwa Harmonize na yuko naye kila wakati, hakika ni wife material... 🙌
Nani mwingine alivyoona mzee alivyokuwa anadunda kwa mwendo wa kujivunia...😄😄😄😄😄 naona tu coments ila sijaona mnatakia heri ya kuzaliwa HBH2UUUUU\UU
Hahaha
nimemuonaaaa hahaaa then akawa anapiga story na Sarah
Hahahaa dingi na mwendo kabadil chezea ww
Anajivunia huyo
Kwa mara ya kumuona msanii wa bongo akionyesha kwao bila kuona aibu, hongera sana kwa kujiamini,
diamond inabidi ujifunze kutoka kwa harmonize, this guy is super humble and nice, anampenda baba yake sio wewe unayejifanya huwezi kumsamehe baba yako.
hmmm mzungu hacoki kutembeya dah!, hivi kwa kweli Mondi akiona haya haoni kuwa Condeboy amemzidi maarifa 😏
Kama haoni bas hana macho kabisaa..dogo anampa ujumbe amsamehe baba yake.
mimi mimi kabisa
@@nicholausmbilinyi3587 nimeikubali Asili Yako unatakiwa uidumishe Hishima Yako Rajabu
Huyo ndio mume jeshii hajasahau mila za kwao mtu mwema 😍 tembo much lv 😍
Safi Sana Harmonies sio diamond baba yake Amsaidii
if you want to prove real love of white women which is harmo says.......back to the movie of white mmasai to prove it.....love you sarah
The white Masai kweli yako
You have no clue what you're talking about, she is setting her investment that's all
Inapendeza sana mtu akijali kwao
@@mzee82 @@
Happy birthday to you Brother Harmonize♥🙏🙏
Safi bro happy Birthday
Ndo uhalisia wake yeyeanajali sana kwao tafauti nawengine
Never kuficha asiri huuu ni ujasiri sana kwa star kuonesha penye mahara ametoka gud broh konde NAQUBALI mkali wangu .....
Harmonize kitu kizuri unataka kukifanya plz hio micungwa minazi isikatwi iwe sehemu nzuri kabisa weusi hawana love uliongea point
Huyo dadangu anaupendo thabit mana mazngra anayotembezw af haonesh chcht ila mbongo xx nae pangechimbka angeomb kurdshw mjin
He he he
hahaha
Siyo upendo tu,asiri ya wazungu wengi wao wanapenda sana maisha ya uswazi wanakuwa wanajifunza vitu vingi.kwahiyo mm Sara simshangai ndivyo walivyo hawana ubaguzi wa mazingira
mbogo angeact mbele ya kamera
Au angejfanya awez kutembea
Kam umesikia swagger za jonijoo kwa huyu mtangazaji..... Hahahahahaa wahuni si watu wazuri.....
Kama unamwona ba, Harmonize,anaringa na mwanae,nipe likes kama zote ee
Mkalii WAP big up tu xaana brooo
nitakua mchoyo wa comend uko vizuri sana konde boy kitu kilichonivutia uko mkweli sana
uko vizuri harmonize mwambie diamond nae aonyeshe asiri yake
Ssa kakuria dar anaonesha nni tandale hajawai oneshaa
Nilikuwa staki kucoment eneo kubwa kama bahar honger bb harmonize
HARMONiZE wewe ni msani tofauti hakuna kama baba hakuna kama mama llove so much Sarah mabruk enjoy
How are you Harmonize keep the fire burning
How is Da es Salaam today
yooo upo vzr konde boy
yooo upo vzr konde boy
Safi sana,Home sweet Home.
Harmonize uko vizuri Sana kijijini kwenu ahsante kuingezee ujuzi zaidi nimependa Sana unakumbuka kurudi nyumbn kujumuika na familia
Safi congrats
Mashallah jivunie kwenu ni kwenu hata iweje hongera ni vzr kuwa na ukaribu na wazazi wako utazidi kubarikiwa watunze na uwalee
Big up Harmonize......
Umeriturahusha bro love sana nimeipenda hiyo