MCHAWI WA SOKA ALIYEWEZA KUAMRISHA MPIRA NA MPIRA UKAMTII

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 30. 10. 2023
  • Usiache kuSubscribe na kuweka Notification on ili uwe wa kwanza kupata update za makala
  • Sport

Komentáře • 148

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 Před 8 měsíci +6

    Huyu jamaa mpira ameutia rangi na nakshi uzidi kupendeza, pia amefanya vitu vigumu vionekane ni rahisi na inawezekana.

  • @giant_701
    @giant_701 Před 5 měsíci +1

    He is a very good player I have ever seen in this world

  • @user-ig7yt7bx4l
    @user-ig7yt7bx4l Před 7 měsíci +4

    ronaldinho is a legend in footbal no one like him

  • @shawaynejaphary9926
    @shawaynejaphary9926 Před 4 měsíci +1

    Hakuna Mchezaj Kama Dinho Na Hatotokea... He's One In A Lifetime

  • @shalifmbalale8
    @shalifmbalale8 Před 6 měsíci +2

    Kuna mwalimu mkuu,Dokta mkuu,mwanajeshi mkuu,n.k. Bas Ronaldinho ndio mchezaji mkuu kwenye hii dunia🙌🔥

    • @David-if6nk
      @David-if6nk Před měsícem

      Unaongea utumbo ndizi, Ronaldinho alikuwa ni mchezaji wa kawaida sana na hakuwa na uwezo wa kuibeba timu, ni machachari tu kama Wilfred Zaha.

  • @danndhaya8796
    @danndhaya8796 Před 7 měsíci +3

    what a narration, i love

  • @gwakisamwakambulwe2491
    @gwakisamwakambulwe2491 Před 7 měsíci +4

    Watu wengi sana wameiga skills kutoka kwake........he is the true living legend

    • @Chezalive
      @Chezalive  Před 7 měsíci

      For sure. Jamaa ni inspiration kwa kizazi hiki

    • @ezekielkandonga9238
      @ezekielkandonga9238 Před 7 měsíci

      Alikwisha wai sema nayeye kuwa Role model wake ni JJ Okocha,Sema Mzungu anathamini sana kilicho chake

    • @khalidhashim6082
      @khalidhashim6082 Před 7 měsíci

      @@ezekielkandonga9238 maradona ndiyo role model wake

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 Před 2 dny

      ​@@ezekielkandonga9238kila mchezaji ana role model wake lakini elewa kuna wakati huyo role model anazidiwa.

  • @benancejohn1198
    @benancejohn1198 Před 7 měsíci +3

    Mwamba kabisa 🙌🔥⚽🙌

  • @user-ug8jq1op6g
    @user-ug8jq1op6g Před 6 měsíci +1

    My world soccer legend

  • @GalaxyStar-ix6iy
    @GalaxyStar-ix6iy Před 6 měsíci +1

    Kama Dunia ingempata mchezaji Kama huyu B's angekuwa wa kwanza mpaka sasa

  • @janenjenga5639
    @janenjenga5639 Před 7 měsíci +5

    He was a great player

  • @stephenmwangi6145
    @stephenmwangi6145 Před 7 měsíci +3

    The only wizard when football is concerned in this planet earth ever

  • @abedymtore2707
    @abedymtore2707 Před dnem

    Mwaka 2014 dada yake alihojiwa na gazeti la guardian kuhusu uwezo huo wa mdogo wake akili aikua nguvu za kawaida yaani iyo magic ilikua na yakwer koo uyo n mchawi kama wanga wengene

  • @nathanielneshiez2570
    @nathanielneshiez2570 Před měsícem

    9:01 9:05 if he had scored, this would have been the most iconic goal in football history.

  • @allyndasiwa318
    @allyndasiwa318 Před měsícem

    Huyu Bwana ck atakapotokea mpinzani wake Dunia ituambie ni nani huyo cjui kama atatokea

  • @user-wk1de2se5z
    @user-wk1de2se5z Před 4 měsíci

    Nice wangu

  • @oliverngualo4028
    @oliverngualo4028 Před 7 měsíci +7

    Kizazi cha GAUCHO tumeenjoy sana 😅😅😅😅

    • @Chezalive
      @Chezalive  Před 7 měsíci

      Sana kumuangalia tu ilikuwa burudani

    • @rameckrichard7534
      @rameckrichard7534 Před 7 měsíci +2

      Mpaka najuta kwa nn sikufanikiwa kumuona

    • @CotteBravo-mm5tp
      @CotteBravo-mm5tp Před 7 měsíci

      Kizazi cha messi tumeinjoy sana

    • @Chezalive
      @Chezalive  Před 7 měsíci

      Tafuta clip kama Hizi uangalie, hata wazee wetu hawakumuona Pele ila stori zake wanazo😅

    • @shinipapaya846
      @shinipapaya846 Před 6 měsíci

      ​@@CotteBravo-mm5tphamna kitu hapo ndugu yangu zaidi ya kubebwa na wazungu wezie hasa FIFA ndio waliompa kombe la Dunia kwa kufosi maana ingekuwa aibu isio semekana 🏃 🤣🤣🤣 kacheza mara tano kombe la Dunia wakali wote Duniani wameshinda ndani ya mwaka mmoja au miwili 😆😆🤣🤣

  • @GodeliGogo221
    @GodeliGogo221 Před 8 měsíci +3

    Gooo 1

  • @LinosJohn-dp9xi
    @LinosJohn-dp9xi Před 2 měsíci

    Alikuwa noma saanaaa hakuna kama yeye😂

  • @LugwishaMawede
    @LugwishaMawede Před měsícem

    I have ever seen a player like him

  • @johnmwakasege4581
    @johnmwakasege4581 Před 2 měsíci

    Wa Brazil 🇧🇷 wapo vizuri kwenye chenga

  • @etienneabibu3979
    @etienneabibu3979 Před 7 měsíci +2

    Tokea Dunia iiumbwe hakujawahi kuwa na mchezaji mkuu kama Gauch Ronaldinho nampenda sana jamaa huo. Aa h jamani

  • @Arqammedia931
    @Arqammedia931 Před 3 měsíci

    Kwa kweli ni mchawe😂😂

  • @FaustineMichael-hy8li
    @FaustineMichael-hy8li Před měsícem

    Bado sijaona wa kumfikia gaucho

  • @user-yn4mw3du3i
    @user-yn4mw3du3i Před 4 měsíci

    Samahani broo sikubahatika kumuona, mwamba kwangu ni mbappe

  • @user-sy2rr2jf7v
    @user-sy2rr2jf7v Před 7 měsíci +2

    Yupoo yuleeeeee mnaigeriaaa yuleeeeee okocha. Jay Jay haya ukiachanaa na okocha yupoo yuleeeeee lobincho naeeeee vituu ambavyoo ronadincho allifanyaa naeeeee lobincho aliwezaa kuvifanyaa brother anguuu Kwanii brother napenda Sana kuchambi chambua mipiraaa hiiiiiiiiiiiii bwanaaa brother njoooo wahsapuu tukaeee tuchanbuee

    • @Chezalive
      @Chezalive  Před 7 měsíci

      Umetisha sana, sema Kila Mmoja ana Radha yake kaka

    • @user-go9vp1qy8b
      @user-go9vp1qy8b Před 4 měsíci

      Japokuwa yote hayo Gaucho alikuwa na vingine vitu vyake alikuw akiongezea hadi soccer inanoga kamanda

    • @user-bm1gq2ww6h
      @user-bm1gq2ww6h Před 3 měsíci

      The only legendary made to like football ⚽️ 🙌 👏

  • @leonardlunguya7112
    @leonardlunguya7112 Před 4 měsíci

    Ilikuwa Raha sana kuinjoi kumwangalia Dinho

  • @SaidHassan-pv6kf
    @SaidHassan-pv6kf Před měsícem

    Maisha yote hatotokea Tena katika huu ulimwengu kama huyo jamaa

  • @LovelyForestHills-qe8pe
    @LovelyForestHills-qe8pe Před 4 měsíci

    Mimi mbakaleo huanatakia Manisha mema hakuanakiyongo katika Maisha yake.

  • @AbuubakarJuma-se9cp
    @AbuubakarJuma-se9cp Před 7 měsíci +4

    Hakun aliyewah kucheza mpira km mt huyu🎉🎉🎉🎉

  • @chiefmajai9345
    @chiefmajai9345 Před 26 dny

    Huyu mwamba wa karine

  • @Mohamedibakiri
    @Mohamedibakiri Před 5 měsíci

    Mwanafunzi wa jay jay okocha kakopi kavinogesha ila okocha fundi mno

  • @anganilekajigilikajigili2641
    @anganilekajigilikajigili2641 Před 7 měsíci +3

    Huyu ndio mwamba wa sokaaaa 🫱🏻‍🫲🏽🫱🏻‍🫲🏽👊🏻👊🏻

  • @clementkivegalo2604
    @clementkivegalo2604 Před 6 měsíci

    Hakuna kama Gaucho!

  • @JuniorGaddafi3978
    @JuniorGaddafi3978 Před 7 měsíci +4

    Kwa maisha yangu yote sijapata kumwona mwamba na mchawi wa soka kama Gaucho.
    Wengi mtamsema Cr7 au Messi ila katika kitabu changu cha mastaa wa soka basi Gaucho yupokidedeani.

  • @002RYE
    @002RYE Před 3 měsíci +2

    Kiukweli hakuna aliyefanya kama alivyofanya huyu mwamba

  • @Suzanawilbard
    @Suzanawilbard Před 6 měsíci

    Wapo wengine Jay jay okocha, Robinho,Quaresma ni hatar hao jmaaa na wao

  • @Jacksonkutusha
    @Jacksonkutusha Před 6 měsíci

    Ni mwamba

  • @AllyNdosa
    @AllyNdosa Před 2 měsíci

    Sjui kama atakuja kutokea kama uyu jamaa

  • @user-zn2nf2ui6j
    @user-zn2nf2ui6j Před 6 měsíci

    Mwamba wa ukweli

  • @jaffarmohamed6859
    @jaffarmohamed6859 Před 4 měsíci

    ❤❤

  • @user-df8bv2fq5p
    @user-df8bv2fq5p Před 7 měsíci +2

    hakuna rika la huyu mwamba duniani kwa kusakata soka

  • @manaseliberatus1347
    @manaseliberatus1347 Před 2 měsíci

    MARADONA

  • @amirimohammed2875
    @amirimohammed2875 Před 7 měsíci +1

    Fund mmoja2 gaucho

  • @user-pp5wr3vd1n
    @user-pp5wr3vd1n Před 6 měsíci

    Hats Mimi

  • @rogersiddy
    @rogersiddy Před 7 měsíci +2

    Kifupi ilo halipingiki kbs alikuwa fundi sana kama ulichelewa kuangalia mpila basi vigumu kumuelewa utaishia kusema kila mtu na radha yake hatujakataa ila raha ya mpila kuona vionjo kama vya Dinho hamasa na majadiliano yanakuwa mengi vijiweni na maeneo mbali mbali iyo ndo radha ya mpila

    • @Chezalive
      @Chezalive  Před 7 měsíci

      Dinho sio wa kwanza kaka Wala hatokuwa wa mwisho, endelea kufuatilia ntakuletea Radha tofauti
      Nb: Pengo la mtu haliwezi kuzibika.

    • @rogersiddy
      @rogersiddy Před 7 měsíci +1

      @@Chezalive Elewa mada ya husika tatizo letu sisi wabongo tunachokiamini vichwani mwetu ndo hivyo hivyo tunavipeleka kwenye mada ya mitandaoni haya nikuulize swali wewe mchezaji gan mwingine alietokea katika kipindi chake na baada ya kuustaafu mpila yupi unamfananisha nae mwenye vionjo kama yeye?

    • @khalidhashim6082
      @khalidhashim6082 Před 7 měsíci

      @@Chezalive kama michael jackson saizi wanamuona mwenye makosa ila alikuwa hatari lakini dinho ni hatari sana

  • @user-pi3zt5cr8c
    @user-pi3zt5cr8c Před 17 dny

    Hakiki gaucho alikuwa noma ktk mpira.

  • @allykagawa
    @allykagawa Před 7 měsíci +1

    🙌🙌🙌🙌

  • @kambonamajaliwa5466
    @kambonamajaliwa5466 Před 7 měsíci +18

    Mpaka leo sijaona mwenye uwezo kama wake

    • @Chezalive
      @Chezalive  Před 7 měsíci +1

      Kila Mmoja na Radha yake kaka

    • @kambonamajaliwa5466
      @kambonamajaliwa5466 Před 7 měsíci +1

      We ladha yako iko kwa nani ndugu?

    • @Chezalive
      @Chezalive  Před 7 měsíci

      Hahaa😅 Nakubali Kila mchezaji mzuri, japo wanatofautiana radha

    • @user-xx3bu9uf3g
      @user-xx3bu9uf3g Před 7 měsíci +2

      True my brother 💯✅🙏

    • @Chezalive
      @Chezalive  Před 7 měsíci

      @user-xx3bu9uf3g 🔥🔥👊

  • @Rody450
    @Rody450 Před 7 měsíci +1

    Hio sauti nikama ya Jamal kwani ulitoka wasafi WCB ama nakufananisha

    • @Chezalive
      @Chezalive  Před 7 měsíci

      Hapana kaka unanifananisha, sio Jamal

  • @petermwanyondo5370
    @petermwanyondo5370 Před 6 měsíci

    Sijaona wakumgusa kwamba huyu

  • @user-wy9dx5go4t
    @user-wy9dx5go4t Před 7 měsíci +1

    Huyo mamba akumbukwe daima

  • @David-if6nk
    @David-if6nk Před měsícem

    Hahahahaa, hakika wabongo aliyewaroga kafa, hivi Ronaldinho alikuwa na ubora gani hadi kila kona mnampa sifa ambazo hazistahili, au wengi wenu mnalishwa matango pori kwenye vilabu vya gongo na kuangalia viclip vilivyochambuliwa CZcams ndo mnamuona bora😂, Ronaldinho alikuwa tu machachari kama akina Wilfred Zaha ila hakuwa hatari.

  • @venancerutta6875
    @venancerutta6875 Před 5 měsíci

    Duniani ni wachache

  • @denisdamiani6473
    @denisdamiani6473 Před 6 měsíci

    Mbappe

  • @user-ud2jd2nm7i
    @user-ud2jd2nm7i Před 7 měsíci +1

    Ni, kweri, Mimi kwa, macho yangu ya, nyama,sijamuona mtu, kama, yeye

  • @yahyamlawa2069
    @yahyamlawa2069 Před 7 měsíci +2

    Na hatokei tna mwingine

    • @Chezalive
      @Chezalive  Před 7 měsíci

      Dunia ilimpata mburudishaji

  • @ahmedkhatibu5387
    @ahmedkhatibu5387 Před 7 měsíci +1

    Mpka leo hakuna mchezaji kamu huyu bingwaa

    • @Chezalive
      @Chezalive  Před 7 měsíci

      Inawezekana kabisa, mwamba Alikuwa hatari

  • @EmmanuelNyamuyarula
    @EmmanuelNyamuyarula Před 7 měsíci +1

    Hakika umri ungejirudia gaucho angerudi tena

  • @Jumamustafa-ur7uv
    @Jumamustafa-ur7uv Před 7 měsíci +2

    Mwamba sana huyu

    • @Chezalive
      @Chezalive  Před 7 měsíci

      Mwamba sana jamaa, inasikitisha tulimkosa mapema sana

  • @michaelkitebo9305
    @michaelkitebo9305 Před 7 měsíci +4

    ALIKUA HATARIIII

  • @user-gq6rz9hs5z
    @user-gq6rz9hs5z Před 6 měsíci

    Mimininao

  • @benjaminmwenikahindi5429
    @benjaminmwenikahindi5429 Před 7 měsíci +1

    Uyu nimnomaaaa

  • @ashaalali1221
    @ashaalali1221 Před 7 měsíci +1

    Kkkk unadani mpira ni ukweli kkkk.inaitwa eye tricks.wee jiuliza mpona Africa awashindi world cup? OK mpona mpira iko na stars? Ni wongo.lk movies..wrestling etc .lk acrobat.

  • @user-mc5us4lh1f
    @user-mc5us4lh1f Před 7 měsíci +1

    hatokuja kutokea kama yeye

  • @ibrahimabdullah1887
    @ibrahimabdullah1887 Před 3 měsíci

    Huyu ndio mtu sasa messi mchongo

  • @user-sy2rr2jf7v
    @user-sy2rr2jf7v Před 7 měsíci +1

    LAKINI nyieee acheniiii tuuu lakin wapooo walioo kuwaaa wanafanyaa Kama yeyee jamaniiiiii

  • @francisnduguti7457
    @francisnduguti7457 Před 7 měsíci +3

    He learned his skills from J.J Okocha💪💪

  • @allyjuma107
    @allyjuma107 Před 18 dny

    Kwasasahivi vini Jr. Kidogo ananaweza kufata njiayake