Professor Jay Feat Walter Chilambo - SIKU 462 ( Official Audio)
Vložit
- čas přidán 10. 12. 2023
- #Caling #ProfessorJay #Alikiba
Callingby Professor Jay Feat Harmonize (C) 2023
Calling OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
BoomPlay: www.boomplaymusic.com/share/ar...
MKITO: mkito.com/artist/1111
iTunes: itunes.apple.com/us/artist/pr...
Spotify: open.spotify.com/artist/1Q5oC...
Dezeer: www.deezer.com/us/artist/4096310
Written & Performed by: Professor Jay
For Bookings: ProfessorJaytz@gmail.com
Follow Professor Jay on:
/ professorjaytz
/ professorjaytz
/ professorjaytz - Hudba
Pole sana Professor Jay Mwenyezi Mungu akuponye urejejee katika hali yako kama zamani. 🙏
Dahhh wimbo unanipa huzuni na hofu.... Tumrudie Mungu na kutenda mema angali tukiwa hai
127 days in ICU..God is really Alive.Nimejifunza kitu kupitia kwako Prof.With God everything is possible
Kumbe Kaka Jay angali mzima. Asante mungu nafurai sana kwa iyi ngoma support zangu zikufikiye Niko Congo Kinshasa 🇨🇩
Hakika mungu muache aitwe mungu
Mwenyezi mungu azidi kuku ponya urudi sawa professor God is good🙏
Mungu anaweza yote big legend professor Jay karibu tena ndani ya bongo fleva
Aseee, Mungu hujibu pale pasipo na majibu na huleta tumaini pale pasipo na tumaini.... live long Prof Jay
In God We Trust Our Legend Lord Protect You Jay , Mungu Akulinde Na Akupe Nguvu Na Akili Nying 🎉🎉🎉🎉
Ukweli daktari kazi yake ni kutibu ila kupona ni kwa nguvu za Mungu🙏🙏Real testimony from our legend be strong professor Jay
🙏🙏Amen 🙏🙏
Asante boss wa hip hop umerudi nakuombea kwa mungu uendelee kulikava haraka,nashukuru sana
In God We Trust Our Legend No One Like You, I'm Proud Of You Kila Atuwa Duwa 🎉🎉🎉🎉🎉
Mungu Akujarie Urudi Katika Hali Yako Uwe Imara✊🔥🙏
Mungu akulinde na kila ubaya wote wa walimwengu bado tunakukubali from Zanzibar visiwani ebhana ee .God bless u
Mungu ni mwema kila wakati hakika mkono wake unaweza kuokoa🙌
Mungu ni mwema kwetu sote ashukuliwe yeye aliye juu kwa kukuponya Kaka🙏🙏
Uweza wa Mungu hauchunguziki "Barikiwa sana professor Jay
Allah Akbar akika allah n muwez w kila jambo kak mung anakupend kakup mke bola angekuw mwingn angixh kukimbia God bless you
Daaaah God is a live utasimama na utatembea tena❤❤❤❤😢😢😢
Tumshukuru Mungu sana kwa kulinda salute kwake sana
Proff mungu yupo, huo ni ushuhuda tosha
Asante mungu kwa upendo wako 🙏🙏🙏
May God continue to protect you, great lord❤❤❤
Mungu ana haja na wewe
God bless you big brother
I lealy love you bro Allah azid kukutunza inshallah
Mdg wako kwenye game la muziki kutoka mbeya vant boy pore sn kk nirikuombeya sn ujumbe mkari sn bira mungu hatuwezi kamwe ipo siku nitakuona kk💓🩸🤍🎙️🎙️♥️
Uyu Mungu mzima mzima
Mungu ni Mungu
Madaktar Wana tibu Mungu ndio Anaponya
Shalom, Shalom big brother,wewe ni mpiganaji , Mwenyezi Mungu akuonekanie bro.Amen and Amen
Acha Mungu aitwe Mungu.
Hakika tuna deni kubwa kwa Mungu kwa mema anauotutendea, je,tumrudishie nini zaidi ya kumtukuza na kumuimbia.
God is Great
Mungu ni mkubwa, qcha mungu aitwe mungu....❤❤🤝👍👌
Pole Sana Kaka,,,
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeen God is Greattttt
My champion professor is back, congratulations sir
I'm happy to see you "grinding" again God is great 🙏🏿
Good song brother Always GOD is great 👍
Jamani hakika ashukuriwe mungu na pole sana mh; Josephu Haule
Godz great 😢😢😢ni ngumuuu
God above all 🤲
Naamin utasimama tena utainuk tena Kwa uwez wa mungu na sautipia itarudi Kwa uwez wake mungu mungu pekee ndio mponyaji wa afya zetu tunafurah kusikia tena
Since drc🇨🇩, love u prof jay may the Lord mighty still to protect u.
omoni eeh
Mungu ni mwema Kila wakati 🙏🙏🙏🙏
Daa😢😢😢 upone2 bro
Big project, shout out
Pole sana
Good music kenya is here
😢😢😢pole sana kaka mungu yupo
🙏
Mungu aitwe Mungu hakuna jambo lolote linashindikana kwa mwenyezi Mungu
Pole sana my brother mungu atakuweka sawa ❤❤❤
Dah nani mwengine alietokwa na chozi 😢
Amini miujiza ya mungu amini kuwa Dua inageuza kadari ya mungu kwani kuna watu wema walikuombea na mungu harudishi maombi yao mungu akujaalie afya professor jay usimame tena
Hakika madaktari wanatibu na Mungu ndiye anaeponya.
Alhamdullillih mwenyezi MUNGU huyu jamaa sauti imeludi vizuli sana kulicon mwanzo MUNGU azidi kukuweca sawa maaana wew NDiyo kioo cha wasani wegine hawa wanajitapa to lakin wew NDiyo 👑 wa mziki MUNGU aendelee kukuweca sawa prof.jei
Mistari
acha MUNGU aitwe MUNGU...AMINA.
Pole sana mungu kakupigania upo hapo ulipo🎉
Always binadamu tumefocus kutafuta pesa na Maisha mazuri ,kumbe vyote sio kitu Mungu tupe mwisho mwema
Mungu anayetujua zaidi ya nguo za miili yetu Aendelee kumpa prof.jay maisha jamani bado Tz inamuhitaji sana
😭😭😭😭 pole sana
Mungu Mwenye huruma na anaye upendo wa dhati atakuimarisha Professor Jay
Legend for life
Hiyo picha sijaielewa sijui inamaanisha nini
Mungu azidi kukupa nguvu.
Me nd Wa kwanza jmn naomb likes zngu 😅
Unacheka nn😮
pole sana kakangu mungu bado anakupenda inauma kiukweli❤❤❤
kuna mengi tunaweza ku jifunza ku pitiya wimbo huyu✔️dunia tunapita
Deus é fiel pra todos 🙏🙏🙏
Professor Jay Germany tuko ndani 🇩🇪
Only uuuu Gof
Mungu azidi kukuponya bado tunakuhitaji tunahitaji elimu yako kupitia mziki.
Mungu yupo anatulinda.
MUNGU NI MKUU
Mwache MUNGU aitwe MUNGU ,,,,God bless you Professor J 🙏
Mungu ni mwema
Man God is great!! Professor jay, wewe ni wa Mungu.
👏👏👏👏
Ee mungu wewe ni mkubwa
Wakwanza like zangu plz!
Nimekufundisha kitu. Kutoka Kwa wimbo Huu wenye majonzi mengi
Pole sana bro,umeugua sana na mwili kudhoofu,but Akili Iko fiti sana.
Mungu ni muweza wa yote
We proud of u sir J ...mungu akunusuru kwa sanaaa your blood I feel that song really....sir j... Mungu akuponye mkakaa😢
🙏🙏🙏🙏
Pole San god bless you 🙏
God i love you yesterday,today,tomorrow for the rest of the day
Kaka J pole kwa magumu uliyo pitia
big tune 🔥🔥🔥🔥🔥
God
Quick recover InshaAllah 🤲🤲
Mungu ni mwema kila wakt 🙏🙏
Mungu akuponye zaidi
Pole sana brother
😭😭😭😭😭😭❤mungu n mwema
inauma sana pole sana kaka angu
Big Up sana
Mungu akulinde mkuu
Asante Mungu
God is Great always, quick recovery broo 🙏
Glory be to God