NYAVUNI 09/05/2024 | Magoli kumi bora na save tano kali, raundi ya 25 NBC PL

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 10. 05. 2024
  • #NYAVUNI Je, unajua ni goli gani limeongoza katika magoli kumi bora ya #NBCPremierLeague kwenye kipindi cha Nyavuni cha Alhamisi wiki hii (Mei 9, 2024???
    Ni Najimu Magulu, kwenye mchezo kati ya JKT Tanzania vs Geita Gold FC akifuatiwa na Duke Abuya kwenye mchezo wa Ihefu vs Namungo.
    Upande wa save bora, iliyoongoza ni ya Ley Matampi kwenye mchezo wa Coastal Union vs Tanzania Prisons akifuatiwa na Jonathan Nahimana Ihefu vs Namungo.
    Kula vyuma hivyo kutoka kwenye mechi za raundi ya 25 zilizopigwa kati ya Mei 2 hadi Mei 8, 2024.
  • Sport

Komentáře • 25