KATLESI ZA KIRUSI ( MEMOMI KABAB) KUANDAA NA KU FRIZ

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 15. 03. 2023
  • Kipimo kwa Katless 24-26
    Kidari cha kuku kiasi gram 800 /pound 1.7
    Mbata 4 za kiasi 350gms ( Nusu ya kuku )
    Maji vikombe 3
    Kjk 1 cha kulia tangawizi na kitunguu thom cha kusaga
    Pilipili manga ya unga ½ kjk cha chai au zaidi ( kiasi utakachopenda)
    Bizari ya uzile kjk 1 cha chai
    Pilipili nyekundu ya unga kiasi utakachopenda
    Chumvi kiasi chako
    Mboga:
    Vjk 6 vya siagi au mchanganyiko wa sigai na mafuta au mafuta pekee
    Kjk 1 cha chai tangawizi mbichi na kitunguu thom cha kusaga
    Kitunguu mai 1 kikubwa (kata vipande vidogo kwa kutimiza kiasi kikombe na nusu)
    Karoti 3 ( kata vipande vidogo au para kutimiza kiasi kikombe na nusu)
    Pilipili boga 1 au beans za kijani ( kata vipande vidogo kutimiza kikombe na nusu)
    Unga wa ngano vjk vya kulia 3
    Maziwa baridi vjk 3 vya kulia + ½ kikombe supu ya kuku au maiwa pekee au supu pekee
    Majani ya giligilani ( kotmiri/dania ) Vjk 4 vya kulia ( kata vipande vidogo vidogo)
    Majani ya nanaa vjk 2 vikubwa ( kama utapenda)
    THIS RECIPE IN ENGLISH • RUSSIAN CHICKEN CUTLET...
    Aroma of Zanzibar social media
    / fathiya.ismail
    / aromaofzanzibar
    Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas czcams.com/users/results?searc...
    Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
    faroukambok...
    Music courtesy / contemplative-middle-e...
    This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world

Komentáře • 58