BODABODA WAMTEKA MC MSIBANI ARUSHA, WAMUAMURU AFANYE IBADA YA MAZISHI MAKABURINI, WACHUNGAJI WAZUIWA

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 2. 11. 2022
  • BODABODA WAMTEKA MC MSIBANI ARUSHA, WAMUAMURU AFANYE IBADA YA MAZISHI MAKABURINI, WACHUNGAJI WAZUIWA
    kutokea Mkoani Arusha wilayani Arumeru vijana waendesha pikipiki wamefanya vurugu msibani na kuwazuia ndugu jamaa na marafiki kushiriki kwenye mazishi...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Komentáře • 150

  • @sein.208
    @sein.208 Před rokem +7

    Daah😭
    tunapoelekea ni pabaya" Yaa Allah twakuomba utuongoze vyema waja wako🤲🏼

  • @sudymgeni701
    @sudymgeni701 Před rokem +4

    Vijana wengi arusha madawa yamewathiri sana sana.mana awajali Imani ya dini yoyote.wazazi tunashida kubwa sana

  • @revocatusmalimi4525
    @revocatusmalimi4525 Před rokem +2

    Mtangazaji una fail wapi unazidiwa busara na huyo mzee ambaye ameonesha weledi mkubwa kuhusu busara iliyotumiwa na Polisi kututua kero hiyo na kuepusha madhara zaidi badala yake wewe unalazimisha kutuhumu Polisi kuwa ilikwepa jukumu lake kwa kutotumia nguvu zaidi.Hongera sana mzee umeonesha ukomavu wa hali ya juu kutatua suluhu

  • @sophiemsuya6507
    @sophiemsuya6507 Před rokem +5

    Hilo kundi ni kubwa Sana na halina kazi maalumu. Tuwe makini jamani. Wana nguvu km Timotheo alivyowaandikia. Tuzidi kumwomba Mungu awape hekima. Ni watoto wetu tuliowazaa.

  • @nsiamassawe3075
    @nsiamassawe3075 Před rokem +3

    Hawa jamaa waulize panyaroad walichofanyiwa hapa Dar. Arusha Serikali imewaona na haitavumilia kikundi cha watu flani kiharibu amani ya nchi.

  • @olarivolariv1313
    @olarivolariv1313 Před 10 měsíci +2

    Huyu mzee anayo busara sana.

  • @hanifaomar7438
    @hanifaomar7438 Před rokem +8

    Hawajamfanyia malehemu vizuri kwanini jamani kifo nisherehe ya mwisho lazima mwili uheshimiwe navijana badilikeni angalieni na makundi ya kufatana nayo

  • @cafejohn3582
    @cafejohn3582 Před rokem +1

    Ndo maana mvua haiyeshi maana matukiyo yamekuwa mengi sana mwenyezi mungu tuhurumiye huu wa kwalesima nimwaka watoba

  • @hopesengo6972
    @hopesengo6972 Před rokem +2

    Mwenyekiti unahekima Sana🙏

  • @mcback4384
    @mcback4384 Před rokem +6

    Ipigwe marufuku hakuna msafara wa zaidi ya pikipiki 5 kwenye kusanyiko lolote liwe la msiba au sherehe, huwa wakipiga zile sauti za race akili zao zinazidi kuoza mizuka inawapanda

  • @abdulnaseermrisho4342
    @abdulnaseermrisho4342 Před rokem +1

    Bangi! Bangi!Bangi! Hayo sio maisha,ukiwakuta sasa wanavyo jisifu kwa ujinga,Mungu awaokoe tuu

  • @joslinchuwa1298
    @joslinchuwa1298 Před rokem

    Sheria iko wapi???

  • @adoniemanuel908
    @adoniemanuel908 Před rokem +2

    shida makanisa wachungaji mnazingua imani mnafanya dili mara mkiitwa kuzika mnaringa

  • @allypapa3442
    @allypapa3442 Před rokem +1

    Baba wa mtoto ndo alichangia vurugu kutoka mochwary aligoma kijna asipelekwe alipolelewa na alipofia.ndo ugomvi ulianzia apo

  • @agreysteven
    @agreysteven Před rokem

    Mwenyeketi anahakil sana

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Před rokem +1

    SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ

  • @gililwise
    @gililwise Před rokem +1

    Wamelaaniwa hao vijana.huko Arusha kunahitajika maombi ili kuondoa laana.pia askari walitakiwa wasimamie hao wahuni wanawaogopaje ?

  • @simbawateranga7020
    @simbawateranga7020 Před 10 měsíci

    Hawa vijana wa Arusha wanabembelezwa sana wanajiona kama wapo juu ya Sheria

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 Před rokem +2

    Utafiti ni muhimu tuendako ni majanga watoto wamekengeuka hakuna hofu ya Mungu tena

  • @hisanmwakijungu10
    @hisanmwakijungu10 Před rokem

    Ivi macamera wenu uwa mnawatoa wapi ,, Izo shot zake mmmmmmm

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 Před 6 měsíci

    Mtangazaji Ujui Busala Kabisa Busala Ni Zaid Ya Ngumi Risasi Au Panga Busala Ni Zaidi Kwenye Kujenga Na Kubomoa Polisi Walijua Wakienda Nilazima Watapata Mzuka Wa Kupiga Risasi Lakini Risasi Izo Zinaweza Kuzua Utata Wacha Wazike Na Viongozi Wa Dini Na Wazee Watoe Maneno Kwa Vijana Wajue Kama Walikosea Sana Kwa Mwenzao Na Wajifunze Kwa Ilo Kosa Lao Kwa Mwenzao Uyo Mtangazaji Apo Umezidiwa Busala Na Kibabu Cha Busala

  • @evansonlinetv3052
    @evansonlinetv3052 Před rokem +1

    Umbali mita20😄😄

  • @wardw3022
    @wardw3022 Před rokem +1

    Swali tu huyo mtu aliye fariki alikuwa hana ndugu ampaka kuzikwa kiuni na vijana wauni hapa kuna shida.

  • @nesielias9493
    @nesielias9493 Před 9 měsíci

    Wazazi wa Arusha mnakazi ya ziada kuombea vijana wenu wamelaaniwa

  • @hopesengo6972
    @hopesengo6972 Před rokem +6

    Mtangazaji, wale vijana sio akili zao,bora busara iliyochukuliwa maana ingekuwa hatari zaidi.🙏Arusha inahitaji maombi Sana,yan kila siku matukio😥

    • @noelbryson7840
      @noelbryson7840 Před rokem +1

      Hakuna cha Arusha wala nini, sisi tunaishi Arusha, hawa watu wa bodaboda ni wakuchapwa kichapo kikali wataacha huu upumbavu..Hawa wavuta bangi wachache hawawezi kuleta taharuki kubwa kihasi hiki.. Mi naona jeshi la Polisi hawakupaswa kuondoka haya yasingetokea… Watu wanaachiwa mpaka wanafanya fujo madhabahuni?? Huu ni upumbavu wa hali ya juu sana..

    • @thadeylyimo9772
      @thadeylyimo9772 Před rokem +1

      Mimi naona mtangazaji na wote mnaotoa comment mnawaza njia moja... Haiwezekani vijana wengi hivyo waibuke tu na kufanya hayo bila sababu... Huyo Kijana atakuwa mwenzao.. Pengine kabla ya umauti alipitia wakati mgumu na Ndugu wakamwacha.. baada ya kufa ndo wanajitokeza kuzika kistaarabu kwa Nini vijana wasijawe na hasira... Hapa kuna jambo kubwa limejificha na mtangazaji hata hujauliza... Balance story yako upande wa pili pia..

    • @hopesengo6972
      @hopesengo6972 Před rokem

      @@noelbryson7840 ahsnte,nimekuelewa🙏

    • @hopesengo6972
      @hopesengo6972 Před rokem

      @@thadeylyimo9772 si vibaya kutofautiana kimawazo ndugu yangu,kikubwa kila MTU aheshimu mawazo ya mwenziye🙏
      Ahsnte🙏

    • @madalemagadula4002
      @madalemagadula4002 Před rokem

      Mkusanyiko wa watu huo lazima maafa yangeozeka zaid,mtangazaji unachochoe

  • @ismailchibonda5005
    @ismailchibonda5005 Před rokem +3

    Mtangazaji unazingua.

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 Před rokem +3

    Bora wange enda jeshi jwtz hapo

  • @nipolive..2745
    @nipolive..2745 Před rokem +1

    🤣🤣🤣du hatali sana 😄😄😄

  • @zakhiamsuya4922
    @zakhiamsuya4922 Před rokem +1

    Arusha jaman dah

  • @neemapeter3880
    @neemapeter3880 Před rokem

    Ila sis kule kwetu kijiji Kenya mtu WA bodaboda akifa YY huwa sio WA familia bt anazikwa taratibu, Ila familia nyinyi mtabaki wapenzi watazamaji tu

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 Před rokem

    Arusha Sijui Watu Wanajiongoza Wenyewe Utazani Akuna Viongozi Uko

  • @angelanaftael7965
    @angelanaftael7965 Před rokem

    huu ni uhuni wa hali ya juu na hii inatakiwa kukomeshwa maana ni genge tu la wahalifu kama walivyo panya road na wengineo, tatizo ni kwamba kila kitu kimekuwa siasa hii nchi, wanaogopwa kisa wapiga kura wangu... hili ni tatizo kabs

  • @nasrasway7143
    @nasrasway7143 Před rokem

    Kwann walifanya hivyo

  • @johnfrankmputa9915
    @johnfrankmputa9915 Před rokem +1

    Mwandishi wa habari huyo mzee anastahili pongezi kwa kile ambacho anakisema wametumia busara kuepusha madhara

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 Před rokem +4

    Shida vijana bangi inawasumbua

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 Před rokem

    Arusha, Arusha khaa🤔🤔

  • @nixonjohnson4908
    @nixonjohnson4908 Před rokem

    Kama serikali haitafanya utaratibu kwa hao boda ipo siku wataelewa hawa ni wehu.

  • @rizikahmad6930
    @rizikahmad6930 Před rokem

    Innalillah wainalillah lajuun

  • @ngoniboy1039
    @ngoniboy1039 Před rokem

    Vijana wa Arusha wanajionaga wamepinda kumbe hamnazo yaan mnaonaga mmemaliza Kila kitu kwenye maisha

  • @dicksonmoikan7978
    @dicksonmoikan7978 Před rokem

    Nawe kuwa na fact ktk habari afu unajiita msomi! Km 3o kutoka wapi kwenda wapi??

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 Před rokem

    Boda boda wanaumoja Sana, asa wakigundua kauliwa

  • @abdallahselemani6423
    @abdallahselemani6423 Před rokem

    Huu mkoa huu si Dhani mabinti wa mkoa huu nao kama wamesalimika??

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 Před rokem

    Vijana wa Arusha poeni kidogo, mbona kila siku fujo misibani!?

  • @nasrasway7143
    @nasrasway7143 Před rokem +1

    Kijana aliwafanya nini

  • @davidmwita3008
    @davidmwita3008 Před 6 měsíci

    Ungetafuta sababu ya hao vijana kufanya hivyo ingependeza, alafu ukifa umekufa hayo maombi unayo fanyiwa yafaa nini kwa Mareham? Tujitafakari

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 Před rokem

    Bang sio powa

  • @nkulikandusi5282
    @nkulikandusi5282 Před rokem

    Arusha jamani

  • @ilovejesus666
    @ilovejesus666 Před rokem +1

    Iyo ndo arusha

  • @eliudijustinyindi5939

    Duuuu Arusha arusha

  • @mohamedmdachi8826
    @mohamedmdachi8826 Před rokem

    Mtangazaji hui kuhoji unalazimisha majibu jirekebishe unatukera

  • @gaspercharles2244
    @gaspercharles2244 Před rokem

    Bangi hizo serikali iwachukulie hatua bodaboda wanataka kujifanya wao ni wababe Kuna matukio mengi yanafanywa na bodaboda lzm kama wakikaa kimya Kuna matukio mengi yatakuja polisi fanyeni kazi yenu vzr busara zitakuja kuwacost

  • @neylalyimo2457
    @neylalyimo2457 Před rokem

    Boda boda jmnn kwani mnakwama wapi mbna hamuambiliki nyinyi jmnn , daaah??

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky Před rokem +2

    Mental health jamaaaaani vijana wanahitaji msaada jamaani

  • @luischoma-ww7db
    @luischoma-ww7db Před 10 měsíci

    washamba hata km ni bangi serikali angalieni hili

  • @chazynathan8076
    @chazynathan8076 Před rokem

    Nchi inahudumia vijana wa hovyo...hao ndio taifa la kutegemew? ...natoa pole kubwa kwa wanafamilia....tunalaani

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 Před rokem

    Malezi ya watoto wenu msilalamike

  • @barickkamota5301
    @barickkamota5301 Před rokem

    Vijana wa kimeru wanashida sana

  • @naomicharles5444
    @naomicharles5444 Před rokem

    Yan arusha mna nini, nyie ndo mnavitibwi sku iz,mara mzike mtu futi 11, mara muende msibani mmelew, na saiz ndo naanza kuamin maneno ya Lema kuhusu boda boda akili awana

  • @masoudmasasi1801
    @masoudmasasi1801 Před rokem

    WAHUNI BANA...

  • @mohammedikingazi5109
    @mohammedikingazi5109 Před rokem

    Huko ndio Arusha bhana hatari sana

  • @hassanjoho467
    @hassanjoho467 Před rokem

    Polen

  • @HusseinRj
    @HusseinRj Před rokem

    Mtangazaji analazimiaha polisi waonekane wazembe, Wakati kunawakati busara inatakiwa ichukue nafasi kuliko nguvu.

  • @jenipherjustin7169
    @jenipherjustin7169 Před rokem +8

    Tatizo ni kwamba inasadikika kwamba makanisa ya kkt huwa wanaukumu marehemu kma kanisani huendi jumuiya eti wakati wamsiba wako kuna vitu hutofanyiwa litrugia baadhi ya sala hutofanyiwa hukumu anayetoa ni mungu peke yake kwani kila mtu ataenda kutoa hesabu yake mwenyewe tena hakuna mtu mkamilifu chini ya just . Ukija kwa wenzetu waislamu, na hata makanisa ya kiroho huwa hawana tabia ya kutoa hukumu kwa marehemu kwani wanajua hawana mbingu ya kumpeleka mtu wanajua aliye mkamilifu ni mungu peke yake jamani happy tujitaidi kubadilika tumwachie mungu afanye kazi yake bwana ametoa na beans ametwaaa jina la bwana libarikiwe ameeeeni.

    • @MohammedAli-rh5si
      @MohammedAli-rh5si Před rokem

      Kabisa sio sahihi coz hao viongozi wenyewe sio wasafi hakuna binaadamu msafi sote tuna mapungufu sio sahihi kuhukumu hyo ni kazi ya Allah

    • @emaboytz3039
      @emaboytz3039 Před rokem

      mtu akifa acha afe nazambizake sio uhukumu binadamu mwenzako wakati muna enda haja wote

    • @user-yb8zp4nv9h
      @user-yb8zp4nv9h Před 11 měsíci

      Kabisa mengi wanasababisha viongoz wa kanisa

    • @user-py1cb2sw7i
      @user-py1cb2sw7i Před 9 měsíci

      Kwel

    • @gtwaekweba2080
      @gtwaekweba2080 Před 9 měsíci

      Phfjy

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 Před rokem +1

    Huyu mwnykt mbona kama na mjuwa.

  • @mohamedmdachi8826
    @mohamedmdachi8826 Před rokem

    Polisi busara ZENU ziendelee mmetumia Akili kuliko huyu mtangazaji ovyo anavyotaka hatakuuliza hajui anajijibu mwenyewe

  • @frankbraithon9005
    @frankbraithon9005 Před rokem +1

    Arusha sasa mnatsha kila siku ma2kio badirken jaman

  • @levinamwanakulya9379
    @levinamwanakulya9379 Před rokem

    Kungekua na vifo vingi hapo police walitumia akili

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 Před rokem

    Huyu mtangazaji anaongea kwa chuk na plce

  • @gasperkaaya5769
    @gasperkaaya5769 Před rokem +1

    Tatizo ni vijana wengi kutokua na kazi, hii ni hatari sana

    • @chazynathan8076
      @chazynathan8076 Před rokem +1

      Sahihi...elimu ndogo...uvutaji wa mihadarati na mitindo mibaya ya maisha yamepoteza maadili

  • @sirajikiluvia4575
    @sirajikiluvia4575 Před rokem +1

    Uongozi mbovu

  • @mcback4384
    @mcback4384 Před rokem +1

    Hawa washamba bangi zinawapa Ujasiri sana kwenye upumbavu wao

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 Před rokem

      Ni kweli akili za bangi wanatia hasira

    • @noelbryson7840
      @noelbryson7840 Před rokem

      Huu upumbavu ni sasa hivi wanauleta! Kipindi cha nyuma huu ujinga haukuwepo.. Sasa watu wanaingia mpaka madhabahuni halafu hata jeshi la polisi hawafiki?? . Hawa wavuta bangi kama wataendelea kuachwa hivi tunakoelekea ni kubaya sana !! Me nachojiuliza ni kwamba waliopewa jukumu la kulinda raia na mali zake jukumu lao ni lipi…?

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 Před rokem

      Upuuz

    • @zuleyvendor6577
      @zuleyvendor6577 Před rokem

      Bangi aimfanyi mtu kuwa mpumbavu hao ni wapumbavu tu

  • @abdallahselemani6423
    @abdallahselemani6423 Před rokem

    Huu mkoa wavuta bangi wengi sana nadhani nguvu KAZI ya vijana mkoa huu baada ya miaka 10 itakuwa haipo!! Ni hatari sana vijana wa kike wa mkoa huu itabidi watafute waume Toka mikoa mengine

    • @hildpaul7823
      @hildpaul7823 Před rokem

      tunawapenda wanaume zetu sio wote ni bangi wapo wastaarabu sana hatuahami mkoa kisa vichaa wachache 😂

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si Před rokem

    Muandishi msomi upo juu

  • @tinaminja5500
    @tinaminja5500 Před rokem +1

    Arusha arusha mnanini lakini....

  • @charlesmugisha6529
    @charlesmugisha6529 Před rokem +2

    Tatizo bangi ndo imetawala Sana mkoa uo vijana wamealibika Sana uko na awafai.

    • @samwa9496
      @samwa9496 Před rokem

      sio Arusha tuu Tz yote bhangi vijana wamezidi hata akili zao hazifikirii maisha yajayo bhangi mbaya

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 Před rokem +1

    HIII NCHI KILA MTU ANAFANYA ANAVYOTAKA! YANI WAVUTA BANGI WANALETA TAHARUKI KUBWA KIASI HIKI NA JESHI LETU LIPO? .. HALAFU KINACHONIUMA ZAIDI NI KWAMBA WAVUTA BANGI WANAFANYA VURUGU MADHABAHUNI NA HAKUNA HATUA YOYOTE ITAKAYOCHUKULIWA … HILI NI TUKIO BAYA NA LA AIBU SANA..

  • @henrytimothy3048
    @henrytimothy3048 Před rokem

    Kilometa 20 hapana labda nne tunaishi sekei

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 Před rokem

    Mambo ni mengi muda ni mchache kipindi cha Corona mbona mlishika adabu mi naona mngewaacha tu wakamuaga mpendwa wao kuna mambo mengine muyapuuze wazee wangu hiki ndo kizazi kipya😳🙆🏽‍♂️

    • @tigridamassawe6067
      @tigridamassawe6067 Před rokem

      Kwani unadhani Arusha hakuna police et,,tena hakuna police wanapiga vizuri kama wa hapo Arusha

    • @nyamkamawanjara29
      @nyamkamawanjara29 Před rokem

      lazima wawajibishwe sio kizazi chaleo hawa ni watu wazima kabisa mtu akiendesha pikipiki sio mtoto,wawajibishwe mbwa hao

    • @officiallcoolest_khid3223
      @officiallcoolest_khid3223 Před rokem

      Kuna mambo ya kupuuzia lakini sio haya mtu kazikw bila ata maombi daaah 💔

  • @yasmeenaal4191
    @yasmeenaal4191 Před rokem

    Hiyo ni ndiyo arusha tatu mzuka

  • @nelsonkileo3247
    @nelsonkileo3247 Před rokem

    Bangi

  • @mussakilo4916
    @mussakilo4916 Před rokem

    Mazishi ya kiislam hauwez kuona jambo kama hili hata kdogo sijui wenzet wapi wanakwama

  • @amiribakari2528
    @amiribakari2528 Před rokem

    Simoni hujambo kumbe umekua mwenyekiti siku hizi ...embu tafuta marafiki zako tumekumis

  • @happylemboto9103
    @happylemboto9103 Před rokem +1

    We mtangazaji una maswali ya kijinga sana

  • @marcomuhoja5981
    @marcomuhoja5981 Před rokem

    Huo sio ujanja ni ujingaa

  • @zuenajohn8325
    @zuenajohn8325 Před rokem +1

    Nyie boda hamkumtendea vema mwenzenu

  • @zengomikomangwa9264
    @zengomikomangwa9264 Před rokem

    Mwandishi maswali gani hayo

  • @aishatarimotarimo2689

    Arusha hii ni Somalia ndogo na msikatae

    • @cecygeorge4443
      @cecygeorge4443 Před rokem

      Asha kwakweli Arusha ni Somalia ndogo yaani mpaka nimecheka kwa nguvu kama mazuri poleni wafiwa maana

  • @linuslucas425
    @linuslucas425 Před rokem

    Arusha sina hamu napo mkoa wa kikatili sana

  • @adelinaomani9012
    @adelinaomani9012 Před rokem

    Walimchosha tu marehemkuwa aliwahikuwafanyia vibaya hadiyotehayo yakatokea sasa matusiyalitokawapi

  • @egidiusthadeo5573
    @egidiusthadeo5573 Před rokem

    Mda si mrefu tutawaita Arusha wauni matukio yenu ya ajabu Sana! Mnasingizia kesi watu wema kumbe mnatafuta Uhuru wa kufanya maovu!
    Badilikeni

  • @jumannekingu68
    @jumannekingu68 Před rokem

    Mwandishi msomi

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Před rokem +6

    Wangekua waislam was inge fanya hivyo. Allah ayuongezo Atujaalie mwishomwema 🤲

    • @franktemu510
      @franktemu510 Před rokem +4

      Uislamu umeingiliaje apaa!? Manina zakoo 🖕🖕🖕

    • @veronicasulle1849
      @veronicasulle1849 Před rokem +1

      @@franktemu510 manina zake kabisaaa mbinafsi huyo

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 Před rokem +2

      Walslam huez fanya huu ujinga wanaheshim sana Marehemu, hawa bangi hlf wamezid sasa ifike mahal wapigwe mabomu sasa.

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 Před rokem +2

      @@franktemu510 usimtukane ni kweli wakristo tuna udhaifu sana toka umeona huu upumbavu umeshwah kuona msiba wa kiislam woiii

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 Před rokem +2

      @@franktemu510 unakumbuka msiba wa yule dada juz juz....wa kijenge sijui alifia mererani, muislam hata akivuta bang akiona msiba wao haez fanya haya hii ni karibu mara ya tatu wanafukuza mchungaji kweliiii😭😭😭😭

  • @aggreyissaya4342
    @aggreyissaya4342 Před rokem

    Hawa vijana wasipodhibitiwa kuna siku litaibuka balaa!