Interview ni kitu gani kama sio umbea tu. Hamtangazi tukio la roma moja kwa moja mnapitia miziki,maneno mengi, yanini sasa kama sio kula mb zetu mtandaoni?! Radio free africa tulikua tunampenda sana EMANUEL MKUWI kwa habari zake alitrend kwakweli sasa nape kawafungia kwa gharama na sheria haramu za habari...Hawa ccm ni mashetani ndani ya taifa hili, watawezwa na Mungu tu kupìtia manabii wake...
Jama anajua kufanya interview Big UP sana🇨🇩
one of the best rapper ever in Tz 🇹🇿 #Goat #harakati ✊
ROMA ni
Rhymes
Of
Margic
Attraction.
Maambie mzee baba asitupangie jina
Rhymes Of Magic Attraction ❤
kaka Roma ametisha sana albamu nzuri👍👍👍💪😇😇😇
Roma umetisha
Wanachama wa chadema turioko Zambian lusaka 🇿🇲 naomba like zangu
Ukajifunze kuandika wapi uweke ra na wapi iweke la
Tupo pamoja @@OmanOman-dn6dj
@@OmanOman-dn6djsio vibaya
Nipo kabwe hapa
@@OmanOman-dn6dj r or l na sio ra wala la
KWA HIYO ALBAM HUYO HARUDI..NDO ISHATOKA IO
Jamaa ni story teller mzuri
Nomaaaa sana❤
mama anafaa kurudisha mpira kwa kipa kuanza upya sio dhambi
Dah we mtangazaji mikono unaizungusha sana
Viongozi wa Tanzania hawapendi watu wenye akili wanataka wajinga wajinga waowasifia kwa ujinga na mapenzi respect sana mdogo wangu Roma mkato
Kweli kabisa
Really sure
Play hata ngoma moja mnabonga sana 😂😂😂😂
Pamoja sana Roma
Chinsali Zambia
Bonge la Album
Dogo unauwezo mzuri WA kufikir salut pia Roma uko vzur kujb vipengele
🎉🎉
🎉
❤🎉
Yule alie vamia nawingu
Yule aliyefamia mawingu ni clouds ☁️🌨️ 😂😂😂
Roma mkatoriki
Roma kubwa lao
😮mhh kama mwanaume kweli rudi
Ase sas hivi mmeishiwa vitu vya kufanya kamavile redio yakijiji
😂😂 kvp tena boss
Makonda saivi ni msafi sio wa zamani
Rudi nyumbani kamanda Roma
Mtangazaji unanawa sana mikono tuliza hiyo mikono unaboa
Na ww ukitaka nawa mikono mbwa ww,, kwan akinawa husikii kinachoongelewa???
Kaka roma ivi unamuonaje mwakinyo
Suali lakizushi
Ivi hawa mapresenter ukiwafunqa mikono je hawataweza kuonqea.?
Ikiwa jibu ni hapana,kuna ulazima qani wa kuchezesha mikono!
Hii hapa hii nani kaskia
Album ya picha hamna ngoma hapo
Mange kimambi wa kiume Roma
Mkato
Tatzo tunaiskiliza hip hop ni sisi wachovu unafikir mm nikipata mkwanja ntawaskiliza kina fid q tuanze kuumizana vichwa hapo simba la masimba na king
Watu wenye akili lazima wasikilize hiphop
Akili ya kizembe mno hii
@@deblacktz2981 tafuta hela acha kutafuta wazembe
Mwana mkali sana 🎉🎉
Huyu dada kqma alikuwa mbeya access fm hivi
Mwenyewe
Demu wako huku jamaa wanapiga tako sna aisee 😄😄😄
nikweli arafu
Mbn naye alisha mchukua
Nitakusapoti Roma mpaka wakuuwe
😂😂😂
😂😂
why??
Interview ni kitu gani kama sio umbea tu. Hamtangazi tukio la roma moja kwa moja mnapitia miziki,maneno mengi, yanini sasa kama sio kula mb zetu mtandaoni?! Radio free africa tulikua tunampenda sana EMANUEL MKUWI kwa habari zake alitrend kwakweli sasa nape kawafungia kwa gharama na sheria haramu za habari...Hawa ccm ni mashetani ndani ya taifa hili, watawezwa na Mungu tu kupìtia manabii wake...
Upumbavu tu huo Hakuna kitu kbs mmezira ss twala
Me nakutabilia kuchukua nchi ❤❤❤