MBUNGE MUSUKUMA AMWAMBIA WAZIRI "TUTAZINGUANA ACHANA NA MIMI AU HII NCHI NI YA MATAJIRI TU....”

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 8. 11. 2023

Komentáře • 86

  • @ChristerShao
    @ChristerShao Před 6 měsíci +12

    Asante Msukuma kuwasemea wa tanzania.Mungu akupe nguvu.

  • @nasibuahmedy2438
    @nasibuahmedy2438 Před 6 měsíci +1

    Nikimuangalia na kumckiliza Musukuma huwa namuona John Pombe Magufuli anakuja upya Tanzania. Mwenyezi Mungu akubariki na akupe moyo huo huo usije kudanganyika na siasa ukasahau utu wetu

  • @aloycesamba998
    @aloycesamba998 Před 6 měsíci +8

    Msukuma huwa umeongea point sana na nikuhakikishie 2025 hautakuwa na mpinzani kabisa maana wewe kwenye ukweli unaongea ukweli bila kuyumbisha maneno,we Ni 🔥

  • @paulina.baynit7970
    @paulina.baynit7970 Před 6 měsíci +3

    Hongera sana Msukuma, umeongea vizuri sana, na wabunge muwe waastarabu, heshimu mawazo ya wengine, halafu kila muda taarifa! Ya nini? Subirini muda wenu, taarifa.. taarifa mna kera sana. Acheni mbunge amalize kuongea halafu baadaye mtoe hizo taarifa zenu.

  • @user-sv6sd8mo8p
    @user-sv6sd8mo8p Před 6 měsíci +2

    Wana Kanda ya ziwa 2025 pigeni chini wabunge wote abaki musukuma anayetutetea tunawasiwasi na kimya Cha serekali kwenye uwanja huu wa ndege

  • @edwinelias8554
    @edwinelias8554 Před 6 měsíci +2

    😂😂😂Hii ya kanda ya Ziwa hivi mnatuona sisi ni Waganda au 😂😂

  • @user-ui7lb5yc2l
    @user-ui7lb5yc2l Před 6 měsíci +3

    Namkubari Sanaa msukuma, stay blessed my brother

  • @ChristerShao
    @ChristerShao Před 6 měsíci +3

    Msukuma,wenzako wa kanda ya ziwa wanachumia matumbo yao mfano mbunge wa Bukoba vijini hasemagi chochote wananchi wake ni masikini wa kitupwa wakipewa ,2000 imetoka hana cha lujivunia kwenye jimbo lake.

  • @ChristinaKisarika-ju8rt
    @ChristinaKisarika-ju8rt Před 6 měsíci +3

    Wabunge wengine bhana,Taarifa taarifa taarifa ,msikilizeni bhana

  • @davidrulobhavako8551
    @davidrulobhavako8551 Před 6 měsíci +4

    Wazee wa ngada mnasemaje point ya msukuma😮

  • @saimonseleka8792
    @saimonseleka8792 Před 6 měsíci +4

    Nshu ya mahindi ambayo selikari mmekopa kwetu mbona hela zinatoka kwa mawaziri tu! waliojiingiza kwenye biashara ya mahindi, lakini wakulima ambao mvua zimeanza hata kutuongelea bungeni haipo ndio nini!😢😢😢

  • @Gambasingu_Gilitu
    @Gambasingu_Gilitu Před 6 měsíci +7

    King himself proud of you're contributions.🙏

  • @ibrahimkasirye1737
    @ibrahimkasirye1737 Před 6 měsíci +2

    mfalume msukuma nakushukuru sana.tena nakupongeza kwa kututetea na kupeperusha. bendera ya sisi wana kanda ya ziwa

  • @JohnManyilizu-jz2qu
    @JohnManyilizu-jz2qu Před 6 měsíci +1

    Proud of lakezoon

  • @StevenGendo-vx9jo
    @StevenGendo-vx9jo Před 6 měsíci +1

    Mabura yy nimshangiliaji tu hiv ulienda bungen kushangaa viti na mail humo bungen, kisesa mna mbunge ila nyamagana tuna mbung'o

  • @ChristerShao
    @ChristerShao Před 6 měsíci +5

    Hakuna chozi liendalo bure.wabunge muunge mkono Msukuma kwenye mfumo wa gas.

  • @peterkichochi7510
    @peterkichochi7510 Před 6 měsíci +2

    Hapa ndipo najua kusoma SIO AKILI, MSUKIMA WEWE NI PHD. MUNGU AKUSIMAMIE

  • @neemagift4921
    @neemagift4921 Před 6 měsíci

    😅😅😅 Mr Msukuma anaongea point exam wazir wafedha

  • @aaronkilumile2117
    @aaronkilumile2117 Před 6 měsíci +2

    Namkubali sana Mh Msukuma

  • @charlesadolf1062
    @charlesadolf1062 Před 6 měsíci

    Akili kuvwa sana. So critical and minded mind. Truely msukuma you deserved and honoured to be the Doctor

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 Před 6 měsíci

    Msukumaaa love you so much nchi hii ni ya matajiri tu tunateseka mahakama ovyo kabisaaa

  • @greysonantony6431
    @greysonantony6431 Před 6 měsíci

    Mungu akupe maisha marefu msukuma

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq Před 6 měsíci +4

    Hata nyumba za watu zinauzwa hivi hivi mtu anafungua kesi anajifanya anakudai inauzwa nyumba kiujanja ujanja kimya kimya utasikia kulikuwa na mnada wa hazara

  • @whtspp.Fcpe9gp0U6uHPALC6DqXZ8
    @whtspp.Fcpe9gp0U6uHPALC6DqXZ8 Před 6 měsíci +1

    Upo vzr sana kuwasemea watu wa chini, natamani ungetoka jimbo la mwanga - Kilimanjaro

  • @lichilasalumu7983
    @lichilasalumu7983 Před 6 měsíci +4

    Kwa hoja ya gesi nakuunga mkono 👍

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 Před 6 měsíci

      SHIDA YETU SISI NI KUIGA NJE;HATUJUI HAO TUWAIGAO WANAKUA TAYARI NA TEK KWA KILA WAKIFANYAHO;SISI TUNARUKIA THE REASON TUNAFELI KILA KITU

  • @thomastarimo
    @thomastarimo Před 6 měsíci

    yani msukuma mungu amekupa hekima kubwa sana elimu una kubwa laikini hekima mungu amekupa tofauti ni uyo mnyaturu asiyekua na adabu anayelindwa na hawo waliomuweka hapo ila mungu yupo

  • @ghataligetama6369
    @ghataligetama6369 Před 6 měsíci +1

    Big brain

  • @saimonjoseph9470
    @saimonjoseph9470 Před 6 měsíci +2

    Msukuma mimi nakukubali saana .ni shauri.mawazo yako uwe unaweka kwenye vitabu yatauzika saana.kuliko wanavyokudhania

  • @sein.208
    @sein.208 Před 6 měsíci

    Hongera sana Muheshimiwa

  • @johnnkurlu854
    @johnnkurlu854 Před 6 měsíci +2

    Msukuma umenivunja mbavu..... Ngosha michango yako hiiiiiiiii.....

  • @verenabenjamin7893
    @verenabenjamin7893 Před 6 měsíci

    Msukuma ni mtu na nusu,kaka Mungu akusimamie uishi sana utaikoa sana nchi hii wa kanda ya ziwa yunajivunia kuwa mwakilishi wetu makini

  • @willibroadwilliam6798
    @willibroadwilliam6798 Před 6 měsíci

    Nakukubali Musukuma

  • @user-qg1iy5ov3u
    @user-qg1iy5ov3u Před 6 měsíci

    Mheshimiwa Msukuma tusaidie sana wanyama sikuhizi ni Bora kuliko watanzania mbona tanapa inajitapa kama kwamba wao ndio Mungu

  • @mosesdeogratius6482
    @mosesdeogratius6482 Před 6 měsíci

    Tuanze na gali za Mawaziri kweli na wabunge

  • @johnnkurlu854
    @johnnkurlu854 Před 6 měsíci +2

    Hakika ..........Msukuma mwenye kusikia na asikie

  • @russiababawakutokomezaushoga
    @russiababawakutokomezaushoga Před 6 měsíci +2

    Safi sana mkuu

  • @GadaffiGadaffi-gt5iw
    @GadaffiGadaffi-gt5iw Před 6 měsíci

    Msukuma huwa hakosei hata cku moja mungu katubarik sana

  • @husseinjosephitocho6754
    @husseinjosephitocho6754 Před 6 měsíci

    king king viva viva

  • @paolo4584
    @paolo4584 Před 6 měsíci

    Niliwai kujiuliza, mitungi iliyowekwa kwny magari yanayotumia gesi yametengenezwa kwa Carbon fibre... vipi kuhusu uimara wa material ya carbon fibre kwny kuimili pressure ya ile gesi? Kwasbb cases za carbon fibre na pressure zimeripotiwa nying hapa duniani. Ni mawazo yangu tu🙏

  • @mtumishidoublek1504
    @mtumishidoublek1504 Před 6 měsíci +1

    POINT

  • @nayopamlimbatv1382
    @nayopamlimbatv1382 Před 6 měsíci +3

    Kila nikimsikiliza msukuma uwa namuelewa sana uyu baba ana akili kuliko hata ma profesa,Wanasheria na wasomi wote

  • @barakakagoma3212
    @barakakagoma3212 Před 6 měsíci +3

    Dah,huyu jamaa ni jembe aisee

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 Před 6 měsíci

    Wewe ni mbunge wa maisha msukuma asante ntakupigia kura tena.sema nisaidia hata milion nipo hoi

  • @whtspp.Fcpe9gp0U6uHPALC6DqXZ8
    @whtspp.Fcpe9gp0U6uHPALC6DqXZ8 Před 6 měsíci +2

    Hivi mbunge wa Mwanga yupo bungeni kweli, mwambie huku Kuna tembo wanasumbua wananchi, changamoto ya maji, lkn pia jimbo linahitaji kiongozi awe mbunifu kwa kugundua mbinu za kuinua vyanzo vya mapato vitakavyoinua kipato Cha wananchi

  • @mpondamedia2416
    @mpondamedia2416 Před 6 měsíci

    🤣🤣🤣🤣 eti ukija na swaga ahahah

  • @bharwanimohsin
    @bharwanimohsin Před 6 měsíci

    😂😂 Msukuma Huyo 👍🏻

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 Před 6 měsíci

    Kwaili msukuma nimekuelewa sana

  • @salumjrsaidjr7150
    @salumjrsaidjr7150 Před 6 měsíci +2

    Kings Msukuma chukaa Maua yako

  • @Clement-px8eg
    @Clement-px8eg Před 6 měsíci

    Asanteni wabunge tumeiona dhamira yenu nasema ya kutaka kushughulikia ufisadi na mafisadi sasa tusubiri s
    dhamira ya rais

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 Před 6 měsíci

    Hawa ndugu zangu Wamasai wanateseka sana, utafikiri sio Raia wa nchi hii, Ukweli haya machozi ya Wafugaji hayataenda bure, Sio km yale ya Samaki lazima familia zao Mungu awapiganie watoto wa maskini

  • @user-jy7qr6cx1m
    @user-jy7qr6cx1m Před 6 měsíci

    Mungu akufanyie wepes 2 wakushindwe watu wajinga kwa kusema ukwel

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel6153 Před 6 měsíci +1

    Msukuma unaongea vzr lkn nakushangaa kuunga mkono swala la Bandari au kwa vile unamuogopa Rais wk

  • @sundaynurdin2864
    @sundaynurdin2864 Před 6 měsíci

    Ukiwa na pesa unaeza ongea Kwa kujiamin hapo bungen wengine ndo wanaanza Saka maisha inabidi wajifiche fiche

  • @newbornhaule
    @newbornhaule Před 6 měsíci

    Huo mtangi na mm hua nauwazia sana...

  • @uwezokinahi7870
    @uwezokinahi7870 Před 6 měsíci

    Nimemuelewa Msukuma Hakika Wananchi wa Jimbo lake Walifanya maamuzi sahihi.. CCM Hoyeee

  • @abeidathuman9218
    @abeidathuman9218 Před 6 měsíci

    😂😂😂dah huyu jamaa

  • @DavidMollel-jo3ld
    @DavidMollel-jo3ld Před 6 měsíci

    Dalili ya taifa la Tanzania ni hatari zaidi
    Viongozi wamakinike vizuri?

  • @user-qo5vn9xl8v
    @user-qo5vn9xl8v Před 6 měsíci

    Msukuma leo kaongea kwamasrai yawanyonge kweli

  • @ibrahimlukumay8430
    @ibrahimlukumay8430 Před 6 měsíci +1

    Huyu ndio tunasema msomi tengemexi

  • @LuhobeFashion
    @LuhobeFashion Před 6 měsíci

    Kwenye Technologia ya kijiweni nmepapenda sana

  • @thedchannel
    @thedchannel Před 6 měsíci +1

    uchaguzi umekaribia ...wanatuigizia tu

  • @salhachini4296
    @salhachini4296 Před 6 měsíci +1

    Daras la sb nimoto

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 Před 6 měsíci

    Hee ng'ombe chini ya laki moja mhmm ni Tz au nchi gani

  • @issakatoba74
    @issakatoba74 Před 6 měsíci

    Kweli wewe DR KASHEKU

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u Před 6 měsíci

    Niwatendaji waleo wanaofilisiwananchi masikini.wanajiongezeawao niutajiri uliojaalaana.

  • @deusmallya3384
    @deusmallya3384 Před 6 měsíci

    Huyu mwamba ana point sana

  • @alfredgodfrey4930
    @alfredgodfrey4930 Před 6 měsíci +1

    Nataman msukuma ungekiwa mbunge wetu kibamba huku makabe barabara imejengwa kipande hakieleweki kabisa

  • @nurunewz103
    @nurunewz103 Před 6 měsíci

    Msukuma unaona mbali.

  • @dennisnjiro7922
    @dennisnjiro7922 Před 6 měsíci

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 Před 6 měsíci

    MSIDANGANYWE KUWA MSUKUMA HAJASOMA,,,ANAENDELEA KUSOMA,,,WE KAA UONE SHULE HAINA DILI...UAMBULIE ULICHOPANDA.

  • @filbertnyoni2352
    @filbertnyoni2352 Před 6 měsíci +1

    Watu wasipopata posho wanakuwa na akili sanaaa

  • @directorjullypro9891
    @directorjullypro9891 Před 6 měsíci

    Dakika 10 point za muhimu tuuu

  • @happinessmosala2217
    @happinessmosala2217 Před 6 měsíci

    Teknologia za kijueni😂😂😂

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 Před 6 měsíci

    Wafugaji tumeungana kuchangia hela ya kampeni 2025 nchi nzima

  • @michaelerick665
    @michaelerick665 Před 6 měsíci +1

    Kichwa iki, elimu sio akili.

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si Před 6 měsíci

    Wafugaji wapewe maeneo kama swala na nyati wanavyojinafasi

  • @fredyjeb5595
    @fredyjeb5595 Před 6 měsíci

    Tatizo unafki mwingi unaongea kwa uchungu dakika ya mwisho, WANASEMA SIYO 2 WENGINE WOTE ndiyooooooooo. MANINA SIASA

    • @fredyjeb5595
      @fredyjeb5595 Před 6 měsíci

      Brother sukuma simamia unachokiamini hadi mwisho tatizo unajigeuka mwishoni na kukubali kila kitu unachokipinga sasa 😂😂😂😂

  • @godlovephilemon5626
    @godlovephilemon5626 Před 6 měsíci

    Braza tuliza basi....😂😂😂😂🚮

  • @user-ex2lr4py4z
    @user-ex2lr4py4z Před 6 měsíci

    Msukuma uko poa sana nyie BDO saut zetu achA kabisa

  • @king_maik6375
    @king_maik6375 Před 3 měsíci

    😂😂