Roast/Rojo ya Nyama ya N'gombe. the Malkia Way, utaenjoy sana
Vložit
- čas přidán 27. 12. 2023
- Nyama kg 2
beef masala 1tbsp
chumvi 1tbsp
kitunguu maji 1
Thom na tangawizi 1tbsp
pil pil manga 1/2 tbsp
Nyanya 8 ( blended or grated)
Garam Masala 1tbsp
Maggi star 1
Gilliland kiasi
carrots 2 kubwa
hoho 1+ 1/2
Asante dada yummy ❤
Maashallah. Nice and simple❤
Wat I know good cook cuts carrots,green peppers big size .I like it very nice. Blend tomatoes makes good results I hate cut tomatoes in sauces.
Thank you 😍
Barakiwa pishi liko vizuri
mashaallah umeweza
Ubarikiwe ❤❤❤
Rosti nzuri sana 😋👌
Asante sana
Me nilikuwa sijui kupika asante
Imefanywa vizuri sana
Ubarikiwe ddngu
Ahsante
Nilipika hii na wali nazi weee👌😋
Garama salad
Garamasala
MashaAllah shukran dear
Nakupenda dd naomba nisaidie nipate viungo
Nice one
Thank you so much for the recipe ,I will ask for the link of how to get that cooking pot
Yummy
Hiisiyo supu 🤑🤑🤑💃
Nimzuri my 💞
Yummy yummy
❤❤❤
Kitunguu making sijaona
❤️❤️❤️❤️
Mungu akubariki sana sana ayakumbuke nakuyatimiza mahitaji ya maisha yako Asante kwa elimu
Amina mumy. Amina
Amen
ameeeen dear
❤
Chapati jamani
Hello sorry what company name for the cooking pot you are using???
Afu ni mimi nilisema dada malkia hiko kitochi😅😅😅nilijua kinamulika nyama😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅Daaah we dada nakupenda basi tu umetuinuaaa
Hahahaa. Jamanii. Sante dear
😂😂😂😂😂
Haahhaa.. Asante dear
😊
Mafuta ya kula hujaweka boss
Nimependa mpenzi nitajitaidi nipike ivyo
Barikiwa dear umebadilisha majiko yetu❤
Amina mumy 😍
Sanaaa
Sima Iko wapi,
Tamu saana
Nimependa Sana hiyo malkia
Very simple recipe. .....and adorable
thanks dear
Ndo maana watu magonjwa yamekuwa mengi kizazi hiki mix zinakuwa nyingi kwenye vyakula,kwangu Mimi sikubaliani na mix hizo
Shukrani
Karibu❤
So nice napendaga mboga mboga zilizokatwa hivyo Nene nene
Asante
Mbona haujaweka mafuta?
Kwasabu nyama ilikuwa na mafuta,hata mimi huwa napika kama anavyopika
Kalimao je?😳
Ginger kitungu saum onion magi star beef masala
Asantee
Ubarikiwe sana umenifundisha nashukuru
Umetisha una group ya wtsap
Asante dear
Mafuta uliweka wakati gani?
Sijaweka kabisa kz nyama Ina mafuta
Mungu akutunze dad
Kitunguu kinawekwa wakat gani
Ameweka wkt anaanza kuchemsha
My 2023🏆🤍
Malkiafoods hiyo mboga ujaweka mafuta
Si unaona imejaa mafuta yake dear?
Asante
Dadaaaaaaaaaaaaq ubarikiwe nimepika na me leo mwaka mpya wangu nmekula vzur
Hongera sana love. Enjoy
Inamaana mafuta ya kula sio lazima kutumia
Kama nyama zinafuta huna haja kutumia mafuta ukaongeza fat kwa mwili
Hiyo grinder ya pilipili manga umenunua wapi?
New subscriber, nipitie pia
❤❤❤
❤❤❤
❤❤❤