Kuna kitu nimejifunza aise kupitilia huyu samata Asante sna bado zinachelewa kwa huu umri nilio nao Kwa sasa ubarikiwe mume wangu kwa kuniweka njia nzul nizid kuwa mke bora na sio bora mke kama WAkina furan maisha ya private Mazur sna
In fact, you have said something that the fear of God here has made me think too far. Thank you, brother. May God protect you and guide you in happiness.
Huwez mfananisha smata na Ali kiba wala daimond samata himfananisha na staa wowote Tanzania anajielewa na Juan nini kitakiwa katika mfumo wa dunia na akhera yake big up samata
Daah yaani katika watu hasa vijana wa Leo ambao hawana makuu na wanacho huyu mwamba na respect Sana na namuombea Kwa mwenyeezi MUNGU ampe maisha marefu yenye maraka tele! Tujifunze Sana katika hili✍️
Dah brother allah akufanye uwe na hyo roho
Very humble Guy. Hongera sana Mbwana Ally Samatta.Mungu aendelee kukulinda na kukubariki.
Very interesting interview kwa sisi wapambanaji be humble kwa kile kidogo unachokipata
Mungu kweli fundi, hamjalii mtu kizembe, this is a right one, samata we ni genius
Samatta na ally kiba walitakiwa kuwa ndugu jamn 😊vitu ving wanaendana hasa life style ALLAH AWAHIFADHI
Acha kumfananisha samatta na vitu vya kijinga
Ameen
Mungu akubariki sana Samatta! Una hekima kwa kuwa u mnyenyekevu! Mungu akuzidishie
Hakuna kitu kizur kama kumshukuru Mungu God bless you 🙌mbwana samatta
Samaboy!
Brilliant, very smart and humble!
Wanaopata mali za maagano ndio wanaosumbua watu kama hao wasanii wenu, ila mali halali unakuaga poa sana coz una jua kwamba only God
Mbwana Samatta, hongera sana Mwenyezi Mungu aendelee kukutunza, wewe huna makuu!
Brother allah akufanye uwe na hyo roho dah
Maashaallah ushaahijiii kaka baarakallah fiikum
Mtangazaji smart sana🎤
Samata one❤ MY brother mtoto anabidi aoneshe mfano mzuri wa kutafuta pesa.nimeipenda iyo
Kuna tofauti kubwa kati ya samata na diamond ,Diamond kutw
Kuonesh hela zake mtandaoni
Baarik Allahumma feekum. You're very smart and humble. Even the way you are answering the questions. May Allah protect you.
Kuna kitu nimejifunza aise kupitilia huyu samata Asante sna bado zinachelewa kwa huu umri nilio nao Kwa sasa ubarikiwe mume wangu kwa kuniweka njia nzul nizid kuwa mke bora na sio bora mke kama WAkina furan maisha ya private Mazur sna
DOSARI EP 01 Love Story
czcams.com/video/prIgubBC6uA/video.html
In fact, you have said something that the fear of God here has made me think too far. Thank you, brother. May God protect you and guide you in happiness.
😅😅y4x ģ❤
Nawapenda Saana Samata Na Alikiba Big Up💪💪💪
Kivipi yaani😅😅😮
Naombeni jina la huyu mtangazaji anajua sana maswali hayakeri ni tofauti na watangazaji wengine
Point naomba Mungu utusaidie
Mtangazaji unajua, unajua, unajua saana kuuliza, Big up Samata !
Masha Allah 🍀🍂. Mwenyezi mungu amejali 🙏👏❤️
Big point bro ur bright umeongea vitu ambavyo ni sahihi🙏
Well done dogo samata ,stay blessed
Ayo maneno dawa sio mtoto aseme baba ana mali apambane kwa jasho lake nayeye big up
Samatta you are the legendary uzidishiwe
Safi sana kwa muuliza maswali👏
U know brother.
Contented🔥✅
Safi sana ubarikiwe
Mashaallah kijana mungu akuzidishia usiwe na majivuno
Ata kuongea anaongea kama King Kiba huyu jamaa!
Sindioo
ALLAH akufanyie WEPESI
MashaAllah ALLAH akuzidishie
Huwez mfananisha smata na Ali kiba wala daimond samata himfananisha na staa wowote Tanzania anajielewa na Juan nini kitakiwa katika mfumo wa dunia na akhera yake big up samata
Soo good 👍👍
If humble was a person 🙌🙌
Huyu jamaa anatabia kama za ali kiba,,,,life zao ni password
Yeah kweli kabisa yani same system with Ali Kiba
Kama kiba
Sure kama Alikiba exactly
🤣🤣🤣🤣ally kiba ana nini labda sehemu zake za s.......... Ndio anazo show off kwa wanawake.
@@ahmedysaidy9874eheee kumbe,yani unahisi hana kitu🤣🤣🤣
Mashaa Allah
Sammata akili 🧠 kubwa. Big up bro.
Ukitaka Pesa Idumu Nawewe, Jifanye Huna Hata Kama Unazo. Na Ukijifanya Unazo Kabla Hujazipata Sahau Kuhusu Kukutana Nazo. (Pesa Ina Nidhamu Yake).
Mungu akuzidishie uko vizuri simtu sifa
Busara na nidhamu msingi wa maisha bora Big up
Yaaan samata Ni star mkbwa sna lakin hata ndoa yake tu aliifnya kimyakinya Ila ningekuwa mm duhhh
The truth has been spoken!
Kudos sana,home boy. ✊💪🤝
Mm n
Safi sana Diego
So humble guy.. Mengi ya kujifunza.
Uko vzr sn mbwana kwl kuna watu wanauhitaji wa kitu kdg tu wanakosa we unaomba kununua ndege mungu akufanyie wepes mzee
Ana hheshma sana ,
Mungu azidi kumbariki.
Hahhh nimefurah saana sentensi aliyomalizia tunaambiwaga wengi saana maashaallah
Je salama tz nahodha nakuomba umiliki wa hospital kubwa kama muhimbili urudishe kwa jamii. Ubarikiwe
Saluti bro viva sana kaka
Humble man
Yuko sawa kabisa, Atuache ambao bado tuna uhitaji kwa mungu tuendelee kumwomba! Ni kweli atupe nafasi nasi tupewe!
Hongera sana Mbwana Samatta kwa majibu mazuri na mayo wako wa kutokuwa na tamaa ya vitu
Good and clean Brother
Uko vizuri kijana ubarikiwe
Masikini wengi ndo tuna majigambo waliofanikiwa sana wapo humble sana , Huyu mtu ni bilionea ila see how he is
Baadhi ya maskini wakipata ni kelele Sana
Ila wachache Sana wakipata ndio wanaendelea kuwa wanyenyekevu
Humble guy
Smart indeed
Bwana samatta kaongea vizuri sana hongeraa
Hongera sanaaa mwamba mungu akupe wepesi❤❤❤❤
SAMAKIBA FOUNDATION WAMEFANANA
Nimependa kauli ya ishi maisha yako
Nawapenda sana wewe na mbwana samata na ally kiba mko na moyo Wangu walah💋🙏
Hongera sana Mungu awe na wewe ❤
Ndio life safi
Majibu mazuriiii sna wabongo hatuishiwi maneno
Nakubali sana broo
wa kwanza nipen like zangu..
❤❤❤❤❤❤❤❤ umeongea sawa kaka
Hongera kwa hekima zako.
Nawakubali saana Alikiba na Samata maisha yao yana full password
Respect
Good spetch
👌👌
Mtangazaji ningekua natuzo ningekupa umetisha hatar Yan 🔥
Mungu akubariki sanaaaa
Hofu ya Mungu kui control pesa, daah safi Sana, kijana yuko humble
Salute
Muwe munaangalia mazingira mazuri ya kufanyia interview sio mnahoji watu Inzi nao wanapitapita tu hovyo
Kwer mungu hamtupi mjawake samatta ww ni mtu wa pekee ambae kwenye interview nimekuerewa sana
Alikiba na samatta tabia zao zinaendana sanaa
Man Of The Peoplezzz
Nakubali huyu jamaa anaishi maisha halisi
Good
Ana akili
Fact
Allah ❤️ tu
Akili mingi sana
Daah yaani katika watu hasa vijana wa Leo ambao hawana makuu na wanacho huyu mwamba na respect Sana na namuombea Kwa mwenyeezi MUNGU ampe maisha marefu yenye maraka tele! Tujifunze Sana katika hili✍️
Wanae wanasoma IST Ada mil.70 na ushee huyu Jamaa kiboko na apo aliwapeleka alivyoenda genk tu
Icon
Jamaa Yuko vizuri sana
Huyu dogo anajitambua sana mungu atanfikisha mbali
Samata endelea kuwa wa kawaida itazidi kukusaidia
Kabisa jamani SI wengine wakipanda tu ndege wanaanza kuwakashifu walimu wao...sio vzr kabisa to be humble ni muhimu sana ktk maisha
Angekuwa GOODLOVE 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
Dah yule jamaa hana kityu kabisa na anajisifia sana yule chief godlove 😂
Hahahaaaaa umetisha kaka
Verry humble safi sana
Wow Wow! 🙉