millard hongera sana kwa kutupasha habari, kwa team nzima ya AyoTv nawapa hongera. nina ombi moja kwa upande wa mahojiano ya kipindi chenu,uboreshwaji kwa hawa ndugu zetu viziwi kuwawekea mtu atakayewatafria kama tunavyoona baadhi ya vipindi vingi vya Tv.
Hawachelewi WAKENYA kumfanya wao. Nnachowapendea WAKENYA ni kuwa CHOCHOTE kizuri ni chao kama yule Mdada WA KENYA alisema OLDUVAI GORGE IPO KENYA . MLIMA KILIMANJARO UKO KENYA. ASLAY naye kwa sasa ni MKIKUYU😂😂😂😂
Tunajua Hilo ASLAY ni MKIKUYU kwa sasa hivi. Wa kwenu huyo kama ambavyo MLIMA KILIMANJARO UKO KENYA, OLDUVAI GORGE iko KENYA na hata ALI KIBA ni MKENYA WA MOMBASA. KENYA is a GREAT COUNTRY.🙏🙏🙏
Aslay n kijana mkweli Sana muelew ,alaf anaongea ukweli atafika mbali sanaaa na pia ana kumbuka wema alotendewa ,ubarikiwe zaidi Aslay nataman mrudiane na Tessy
Ukumbusho wa kirafiki: Huwezi kujua kitu kipya bila kuwa mwanzilishi kwanza.ASLAY alianzisha kitu chake na alifanikiwa.(MTOTO KUWA MWANAMUZIKI MASHUHURI) Kwa hiyo usiogope kujikwaa, kuhangaika, na kujifunza. Kubali mchakato, kumbatia ukuaji, na ujiangalie ukibadilika kuwa mkubwa wa kweli.(ASLAY AMEWEZA) Ikumbuke sauti yako. Kuna mtu mmoja tu anayesikika kama wewe.(ANACHOKIWEZA HAWEZI KUSHINDWA) Msanii Usiogope kuruhusu ulimwengu kusikia jinsi unavyosikika. Sisi sote hatuwezi kusikika sawa.(HAFANANI NA MTU ASLAY NI MMOJA) #BOKA
Nice interview ,anaongea ukweli kabisaa alioptia , tofaut na wasanii wengne kila ktu wakiulizwa wanakataa tuh na huk nje inajulkana wamefanya. BEST INTERVIEW
Aslay Mdogoangu, Nakubali Sana Mziki Wako, Moja Kati Ya Wasanii Ambao Awana Kiki, Awana Makundi Wala Sio Msanii Wa Kiki, Piga Kazi Mdogoangu, Mw\ Mungu Akujalie Uwe Mkubwa Zaidi Ya Hapo Ulipo🤲
Good vision nimetumia sim ya mke wangu kipenzi ila tunakukubali sana na hata kwa gari yangu ninanyimbo zako kama za ela yote na nimekufuatia toka yamoto band na ninakuombea kwa mungu ufike mbali
Aslay ni msanii wa kipekee anatumia kipaji chake vizuri .Aslay ni lukunga umetulia siku ukiamua kupurura ni moja kwa moja vitu visafi .Aslay akurupuki yuko vizuri tu nampenda sana Aslay anatoa nyimbo za maana .anaimba nyimbo za maana .thibiti ajaimba amapiano ndo mjue akurupuki kufanya mambo ya kisenge kama ameitoa utakuta ni safi tuu🎉🎉🎉🎉🎉Aslay to the world
Dogo anajua sana pia kuna wasanii wakubwa hawajui hata kujitetea yani unajielezea vzr sana hadi huo msemo wako wa hua sishindwi ninachokiweza😂 big up sana bro@aslayshika
Hujawahi kujiharibu hata kidogo kwenye mwili wako, ata uso wako unavutia,ila wengine wasanii Noma Sana kwenye sura zao Hadi ngozi zao, Aslay nikuombe Tu uache kunywa pombe ila utulize akili kisha urejee vyema Sana kabisaa, mahusiano ni shida kubwa mnooo
I really love Aslay’s music…listening to this interview, I can say he’s very wise from the way he is responding. Hana ugomvi na hamzungumzii mtu yeyote in any negative way. Alafu the lady interviewer is so good at interviewing, and her voice 😚 @Aslay tafadhali njooni pamoja kama yamoto band ili mtengeneze ngoma moja tuu jamani ya sisi mashabiki.
In Kenya,Aslay ,Kiba na Nandy wanatamba sana ❤️🇰🇪
Aslay ni mtu poa ana, Mungu aendelee kubariki kazi ya mikono yako.
Thanks Millard Ayo na team yako nzima kwa kazi nzuri, i wish you all the best🎉
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Aslay is very composed, hana mabwebwe, like most bongo artists.
This guy has always believed in himself en that's what I like about him and I have always loved his music since day one✊🇰🇪
🇰🇪
❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
millard hongera sana kwa kutupasha habari, kwa team nzima ya AyoTv nawapa hongera.
nina ombi moja kwa upande wa mahojiano ya kipindi chenu,uboreshwaji kwa hawa ndugu zetu viziwi kuwawekea mtu atakayewatafria kama tunavyoona baadhi ya vipindi vingi vya Tv.
Kenya my country ❤❤ kijana Aslay katajirikia Kenya 💪💪 wapi likes za aslay
Ni mkenya😂😂
Hawachelewi WAKENYA kumfanya wao. Nnachowapendea WAKENYA ni kuwa CHOCHOTE kizuri ni chao kama yule Mdada WA KENYA alisema OLDUVAI GORGE IPO KENYA . MLIMA KILIMANJARO UKO KENYA. ASLAY naye kwa sasa ni MKIKUYU😂😂😂😂
Tunajua Hilo ASLAY ni MKIKUYU kwa sasa hivi. Wa kwenu huyo kama ambavyo MLIMA KILIMANJARO UKO KENYA, OLDUVAI GORGE iko KENYA na hata ALI KIBA ni MKENYA WA MOMBASA. KENYA is a GREAT COUNTRY.🙏🙏🙏
@@DUL69wachocha sana😂😂
Yani mbosso hana hela kabisa mbaka akakae nyumba alo jengewa kwel wasanii hawana hela lebo kubwa wasafi nyumba hawana
Asley ni kijana mtulivu sana pia bado mdogo ngoma alizotoa ni nyimbo za kudumu huu jama nifundi ma studio ❤
A wise young man. You can tell from the way he is responding to the questions. I love him.
Aslay n kijana mkweli Sana muelew ,alaf anaongea ukweli atafika mbali sanaaa na pia ana kumbuka wema alotendewa ,ubarikiwe zaidi Aslay nataman mrudiane na Tessy
Aslay we love you from burundi🇧🇮🇧🇮Kibokooo aiseeeee
Ukumbusho wa kirafiki:
Huwezi kujua kitu kipya bila kuwa mwanzilishi kwanza.ASLAY alianzisha kitu chake na alifanikiwa.(MTOTO KUWA MWANAMUZIKI MASHUHURI)
Kwa hiyo usiogope kujikwaa, kuhangaika, na kujifunza.
Kubali mchakato, kumbatia ukuaji, na ujiangalie ukibadilika kuwa mkubwa wa kweli.(ASLAY AMEWEZA)
Ikumbuke sauti yako.
Kuna mtu mmoja tu anayesikika kama wewe.(ANACHOKIWEZA HAWEZI KUSHINDWA)
Msanii Usiogope kuruhusu ulimwengu kusikia jinsi unavyosikika.
Sisi sote hatuwezi kusikika sawa.(HAFANANI NA MTU ASLAY NI MMOJA)
#BOKA
Mashaallh Allah akuzidishie ktk maisha yko mzaramo mwenzangu❤tunakupenda sana Asly
Dogo ni mkweli kabisa. Zidi kutamba Aslay🔥🔥❤. Millard ayo nawe ubarikiwe sana.
Nice interview ,anaongea ukweli kabisaa alioptia , tofaut na wasanii wengne kila ktu wakiulizwa wanakataa tuh na huk nje inajulkana wamefanya. BEST INTERVIEW
Nawapenda sana Mimi kwangu ni mapacha ASLAY & MBOSO nawapenda sana sana sana..Mungu azidi kuwainua zaidi na zaidi
Millard really knows how to ask gooood questions which are engaging. Ndoto yangu ni kuku interview siku moja😊
Inawezekana
Mwenyez Mungu akujalie mwanang nakupenda sana Huna maringo Wala dharau ubarikiwe sanaa
@@dorisimgeni3936 asante sana 🤗
Aslay Mdogoangu, Nakubali Sana Mziki Wako, Moja Kati Ya Wasanii Ambao Awana Kiki, Awana Makundi Wala Sio Msanii Wa Kiki, Piga Kazi Mdogoangu, Mw\ Mungu Akujalie Uwe Mkubwa Zaidi Ya Hapo Ulipo🤲
Aslay he's my Favorite Artist.. Hata huku Kenya🇰🇪 tuna mkubali sanaa zaidi ya Mondi.. Keep Going bro.. Much love Aslay 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Wewe na nani
Mm na wale tunao mkubali bro sawa...
I have followed Aslsy since day one. I like how he has matured.
Still going strong. Big up mdogo wangu
ASLAY uko vizuri saaana. Unajua kujieleza na uko Muwazi. Big Up.👍👍👍👍
This is the best interview na msanii wa Bongo flavor Big up Aslay. I really enjoyed. Big up Ayo TV Maswali na majibu was perfect.
Aslay 💞💞💞I just like this guy.. he is such a gentle man🥰🥰🥀
Millard nakukubari broo... Unamkenga sana aslay.. Aslay kanenepa jaman.... Njimbo zake ni nzuriiii😍🔥
I just love this guy kutoka nikiwa mtomto tulianza nasema ❤❤
Nice interview Sio haina Mbwembwe Nyinyi Vibe Of The Day *Siwezi Shindwa Kitu Ambacho nakiweza*-(30/09/2023)❤️🇰🇪❤️
Aslay is more mature indeed, good hearted and much obedient...Here in 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 we love you soo much
Nakukubal saaana janja,Aslay Mwenyez Mungu akuinue zaid ,,unajua sanaa zaid ya saaaana
This guy is matured😍😍.🔥🔥
Big up baba.Yani unajibu maswali kiufasaa si mtu wa kukurupuka tu.Allah azidi kukuongoza katika maisha yako
Asley
I loved Aslay since first song,, Nakupenda sana Aslay Mungu akulinde
Nakukubali dogo
Good vision nimetumia sim ya mke wangu kipenzi ila tunakukubali sana na hata kwa gari yangu ninanyimbo zako kama za ela yote na nimekufuatia toka yamoto band na ninakuombea kwa mungu ufike mbali
Aslay mukali sana uku Kenya tunamukubali sana👏👏👏👏👏
Siwezagi kushindwa kwa kitu ambacho nakuweza daah hatari sana nakukubali sana Aslay,,Dany tokea Kenya🔥🔥💯
I also give credit to my mum for where I am right now....blessings to all Mothers,
❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Aslay ni msanii wa kipekee anatumia kipaji chake vizuri .Aslay ni lukunga umetulia siku ukiamua kupurura ni moja kwa moja vitu visafi .Aslay akurupuki yuko vizuri tu nampenda sana Aslay anatoa nyimbo za maana .anaimba nyimbo za maana .thibiti ajaimba amapiano ndo mjue akurupuki kufanya mambo ya kisenge kama ameitoa utakuta ni safi tuu🎉🎉🎉🎉🎉Aslay to the world
My only king of music ❤❤❤❤❤❤❤❤
My favourite of all time. This young boy knows bwana
Na amewapatia mnoo common sense yake ilikuwa kali
Congratulations aslay MUNGU akutangulie ktk maisha yako daima
young legend of all time...GOAT🐐
Millard Ayo & AyoTV. Kings of interview. Big up.sana kwa Aslay
Dogo anajua sana pia kuna wasanii wakubwa hawajui hata kujitetea yani unajielezea vzr sana hadi huo msemo wako wa hua sishindwi ninachokiweza😂 big up sana bro@aslayshika
Love from burundi mzee aslay🤛🇧🇮🇧🇮
I just love Aslay🇰🇪🇰🇪❤❤
He is the best of all the singers
Hongera sana aslay🎉🎉 wwe ni msanii mwenye hofu ya mungu na huna kujigamba mungu akuzidishie kipaji chako🎉🎉❤
The best interview so far
Kajibu maswali vizurii Sana
Take home "siwezagi kushindwa na kitu ninachokiweza"❤
Katika hii interview yoote nimegundua MKUBWA FELLA ni legend asiyeimbwa.
Miradi wewe kichwa sana uwa sichoki kuangalia exclusive zako kama izi una maswali mazuri sana big up sana brooo unyama ni mwingi.
Nakupenda sana aslay l am from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Love Aslay music since Yamoto band bless you so much
My favorite artist of all the time.
Bonge la interview respect kwa milady ayo namkubali dogo,nimeipenda sana(siwezi kushindwa na kitu ambacho nakijua)
Huyu mwamb Yuko powa,,Ana kumbuka alipotoka ,,Na ana heshimu walio MPA Sapport
I love your music Aslay.
Aslay Nakukubali Sana 🇲🇿🇲🇿
Much love from Mombasa 🇰🇪❤️
uko juu sana kakaagu....mwenyezi mungu akuzaidie mashalah
Big up Aslay, thanks Millard Ayo for this show ❤🎉
His a good artist na anajua kuimba sana I like it
Gostei muito das respostas do Aslay. Dá para ver sinceridade e humildade nelas. Mungu azidi kukubariki kijana.
Real talented Aslay! love from Burundi
😂😂 you can tell when Kenyans like someone, they are always in the comment section, just tell me you are Kenyan and you like Aslay without saying it. 😅
Tuko wengi
mwambie nampendaaa sanaaa he is my favorite artist🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Kiranga komo
Hujawahi kujiharibu hata kidogo kwenye mwili wako, ata uso wako unavutia,ila wengine wasanii Noma Sana kwenye sura zao Hadi ngozi zao,
Aslay nikuombe Tu uache kunywa pombe ila utulize akili kisha urejee vyema Sana kabisaa, mahusiano ni shida kubwa mnooo
Kinacho nishawishi upole wako ma heshima Yako 🥰🥰🥰wazazi wangu wamekusifia sana kwa tabia Yako,sula Yako ya upole inanivutia 🥰🥰🥰🥰💕💕💕
Wimbo mzuriiii
Namkubali sana huyu bingwa aslay alafu watu Huwa wanasema tume taka kufanana hvi❤
Essy from kenya Allhamdulillahi you the king of great music I loved you songs since❤
Kijana Mwenyezi Mungu akuongoze zaidi maana una shukrani ya binadamu.
Daaaaah bro unajikubar sana nakubali pia unajua kujibu maswali ya maprisenter respect you my brother
Asley mutu wamaana sana❤
Mungu akulinde maana naona uko mkweli sana❤
pongezi bratha ASLAY, Lodwar, Kenya - Turkana tunakumiss, CONFIRM show huku mwana
Namkubali san aslay M/mungu akuongoze azidi kukusongesha zaidi
❤
Aslay is always too matured
Milard ayo anam zoom sana aslay amemuelewa ni mtu anajitambua sana very charming 😊😊😊
Lot's of love from Kenya 🇰🇪
Aslay namu kubali sana ndiye mungu wangu kwa mziki mimi ni joslay
Family man and out of controversial life.. salute to you, tunakutambua Kenya.
uma das melhores entrevistas
The 🐐 Greatest Of All Time.goat mwenyewe
Aslay uko vizuri endelea kupambana
Unamoyo safi Asley hauna makuu 👍👏👏👏👏
I really love Aslay’s music…listening to this interview, I can say he’s very wise from the way he is responding. Hana ugomvi na hamzungumzii mtu yeyote in any negative way.
Alafu the lady interviewer is so good at interviewing, and her voice 😚
@Aslay tafadhali njooni pamoja kama yamoto band ili mtengeneze ngoma moja tuu jamani ya sisi mashabiki.
He is so humble
I like you bro keep it up
Hongera sana aslay kazana kupambana mungu akupeleke mbali nakukubali sana
This young man is very authentic in whatever he does ❤🔥🔥🔥🔥💪💪💪
Aslay kaza Buti nakukubali sana Mwanangu sijawahi chukia mwimbo wako, na wewe Dada mtangazaji huwa nakufuatilia unaimba vizuri yaani huboi.
Aslay umekua mtu wa kujiaminia Sana zidi kung'aa
Aslay mimi pamoja na wanangu ni wapenzi wa muziki yako Allah akuinue zaidi mwanangu
Siwezi kushindwa wakati kitu nakiweza 🙏🙏
Aslay you talented sana mzee rudi utuburusishe zaidi 🔥🔥🔥💪
Big up kwakukumbuk fadhiraa honger Aslay
Aslay Ni wa motoo asikudaganye mtu💥💥
My favorite,He made me love bongo song's
Pambana Aslay unaongea vizuri hujigambi unajibu Maswali bila wasiwasi na ni mkweli.
So much love for you aslay 🇿🇲🇿🇲🇿🇲
vraiment courage aslay
Full of respect
Nimekubali sana interview hii nakumbuka nilikuwa atumiwa hela ya chakula nailipa show za yamoto bend dah nimekumbuka mbali
Nice interview... never give up just believing
Ila aslay ludi kwenye game bonge la bwana Bado nafasi yako ipo,,ubarikiwe