Ndo tusistaajabu kwanini Aslay alioza juu ya mama moza. Tessy kakua, katulia kajifunza mengi kwenye changa moto alizopitia sasa kazidi uzuri kawa msichana wakusifika. Mungu akulinde na akutimizie ndoto zako.
Wanadada wa Tanzania si ni warembo, kaumbika kweri. Watanzabia ni wanakaa vizuri sana sana kwa maongeo na tabia. I love u tanzanians. Much love from 254
Daaaaah! Naona kama mtu kapoteza kitu! Sikufahamu Tessy ila tu nimependa majibu yako makini sana. Popote ulipo... Big up! Nimekuelewa vizuri. Kila la heri.
@@preccypressy2226 I LIKE HER. HATA ANAVYO JIELEZA INAONESHA NI MWANAMKE ANAYE JITAMBUA SANA. HAKIKA ANASTAHILI KUWA MKE. MUNGU AMJALIE APATE MUME ATAYE MPA FURAHA MAISHANI MWAKE.
Kweli kulea bila baba hata kama una pesa bado kuna mahali utatamani muwe pamoja ktk malezi na mtoto awe na baba karibu mfn pale mtoto anaugua au sherehe yake nk...na pia aonje upendo wa baba au mama.
ebana itabidi mnigeeee connections za huyu mtoto. first time im hearing about her but,she is so calm and collected . from what im hearing she is a well establisehd young entrepreneur. grown mind in a young soul. she is a visionary
Always mwanamke anayekuzalia mheshimu sana mpe thamani yake hata kama huna hela muonyeshe uwezo wako ngoja mtoto yoyote yule wa mama mkwe aje anizalie 🌚🌚🌚
the attitude is perfect,,, shes kinda like me..always loyalty kweny mahusiano ni kitu kikubwa, money si kitu kila mtu anatafuta kwa urefu wa kamba yake...independence is the key!
Penye miti hakuna wajenzi....Sijajua Aslay alikwama wapi.. Enewei sijui nyuma ya pazia ila kwa intaviu hii ni wazi kwamba Tessy unajielewa..Big up Tessy Chocolate luv you.
No wigi, no makucha bandia, no mkorogo... very beautiful.
This woman is so bright, I like her
Beautiful interview 👌 Tessy uko msupuu pia unaonekana umekua na unabusara mashaallah. Mungu azidi kukubariki mama🙏💕
Ndo tusistaajabu kwanini Aslay alioza juu ya mama moza. Tessy kakua, katulia kajifunza mengi kwenye changa moto alizopitia sasa kazidi uzuri kawa msichana wakusifika. Mungu akulinde na akutimizie ndoto zako.
Tunaoomba warudiane na aslay tuweke👍
Tessy my role model nakupenda dear
Wanadada wa Tanzania si ni warembo, kaumbika kweri. Watanzabia ni wanakaa vizuri sana sana kwa maongeo na tabia. I love u tanzanians. Much love from 254
🤣
@@user-br1mq1ue9b acha kunicheka seriously
😎😎
Ata Kenya pia Kuna warembo jamani na mimi napenda wakenya wanavyoongea kiswahili ila apo kwa mke nyie mnaita bibi huwa inanifurahisha sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Alafu Mombasa wa naongea vizuri kiswahili si kama Nairobi yaan ni tofaut kabisa utafikiri si nchi moja
Tessy nakupenda sana kwanza una hofu ya Mungu pia upo natural
Hakika Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema anijalie mwanamke Kama wewe ntashukuru Sana, inshallah
Amin
Kama uyuu???
Mimi APA nmekuja😂😂😂😂😂
Yuko single
@@zenadaudzena2849 kumbe loooooo vp wewe pia upo single?
Mbona kama viddo umemkubali sana tessy yaan una maswali yeny hisia kama unamlengeshea kwako😹😹
Wangap Tunaangali interview tukimaliza tu naenda kuitafuta nyimbo ya Kaites
Daaaaah! Naona kama mtu kapoteza kitu! Sikufahamu Tessy ila tu nimependa majibu yako makini sana. Popote ulipo... Big up! Nimekuelewa vizuri. Kila la heri.
czcams.com/video/jIKtN6WUSe8/video.html do
Huwa mustaarabu sana na hakuna siku utasikia akiongelea mzazi mwenzake kwa ubaya nampenda sana huyu dada
@@preccypressy2226 I LIKE HER. HATA ANAVYO JIELEZA INAONESHA NI MWANAMKE ANAYE JITAMBUA SANA. HAKIKA ANASTAHILI KUWA MKE. MUNGU AMJALIE APATE MUME ATAYE MPA FURAHA MAISHANI MWAKE.
Daaah aslay angemuoa tuu huyu walahi🙌🏿❤️
Tessy
Niliipenda hiyo nyimbo sanaa
Ilanikama ilifutwa mana ukii search haipatikani
Bt love you guys
ASLAY & KAITESSY
NAIKUMBUKA HIYO NYIMBO TUU
czcams.com/video/jIKtN6WUSe8/video.html F hi
Ipo
@@juliethygerald1150 hapanaa
Waah nitaitafuta tena bax mana nilikua nime give up
Angekua mwingine angesema kaanza na mtaji wa laki na hajawahi kukopa 💝😘ILYSM
😂😂😂😂😂😂😂
Hongera San Tessy ,NAKUPENDA SNA
Jamani huyu dada yelewomiiiee ❤
Waooh she's spk good🥰MashaAllh
Nakupenda Dada tessy 🥰
Huyu binti ,Mungu amfikishe mbali ila kuachana nae na baba Moza kuliniumiza nawapenda sana natamani warudiane hata leo,Mungu awabariki
So composed. Hongera Mrembo
Napenda vile ambavyo unaongea inapo fika sehem anazungumziwa Aslay👍👍
Ako very real,beautiful,smart and well spoken...kazuri
Kweli kulea bila baba hata kama una pesa bado kuna mahali utatamani muwe pamoja ktk malezi na mtoto awe na baba karibu mfn pale mtoto anaugua au sherehe yake nk...na pia aonje upendo wa baba au mama.
Yaan kbsa
Mashaallah wewe ni mwanamke wa shoka
ebana itabidi mnigeeee connections za huyu mtoto. first time im hearing about her but,she is so calm and collected . from what im hearing she is a well establisehd young entrepreneur. grown mind in a young soul. she is a visionary
Hongera sana, ur so smart, wanawake kama wewe mpo wachache sana,
Tessy :Kama nakudate wewe vido niwewe tuu
Vido: I wish
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
So beautiful and i loveu so much tessy chocolate.....mwaaaah
Love u mdada your my role model, Fighter, beautifully
Daaah Anaongea kistaarabu saana Sauti imetulia ❤️❤️❤️
Beautiful
Nimekupenda sana unajibu kiustarabu bila panic mstarabu aiseee big sana
Mtaratibu mpk raha🥰
Yani haka kadada ni kanajielewa sanaa hakuna interview aliyofanyaga akaongea upuuzi any time yuko real nakapenda mnoo wallah🥰
Akili kubwa ❤️
Kwer
💪❤
Mungu akufikishe mwaya dada mzuri. Halafu jina la Kaitesi ni jina kinyarwanda vile nayaelewa majina ya Kule. ♥️♥️Hongera dear.
Mtangazaji bomba masha Allah 💥
Nampenda sn uyu dada💞💞
Niko kenya na kufuatilia uko mwanamuke bomba kabisa hongera sana
This gal is so smart
huyu dada mstaarabu na anajibu kwa akili sana...nimempenda
Very smart
She is so beautiful
Smart minded♥️♥️
Namkubali Tessy Yuko real then napenda sauti yako
Teessy nimwanamke Bora sana ngoja following anahofu ya mungu
Huyu Tessy akili mingi sana. Nimempenda bure angeojiwa nani😅😅 you know nyingiii
czcams.com/video/jIKtN6WUSe8/video.html F G
Angehojiwa giggy😂😂
😂😂😂upo sahihi.
Gigy shishi diva aiseee 🙌
Fayma je no comment 😅😂😂au sitaki kuliongelea 😅😅😂
Always mwanamke anayekuzalia mheshimu sana mpe thamani yake hata kama huna hela muonyeshe uwezo wako ngoja mtoto yoyote yule wa mama mkwe aje anizalie 🌚🌚🌚
the attitude is perfect,,, shes kinda like me..always loyalty kweny mahusiano ni kitu kikubwa, money si kitu kila mtu anatafuta kwa urefu wa kamba yake...independence is the key!
czcams.com/video/jIKtN6WUSe8/video.html F h
Yaaa nimekubali sana ...dada yupo fiti ...pia Kuna media imempost huyu dada wameandika upuuz tofaut na interview ilvo ...wapuuzi sana
Nakupenda Tessy
Hapo kwenye mwanaume usafi hata mm 🏒
Well said binti
Mchumba mkali zana daaa aslay kasinguw Sana mameni
Nna omba namba za mtangazaji Ayo tv please yoyote
I love and and admire the way you wise on love matters
Mungu akujali Ukweli hakika Humweka mtu huru.
HII INTERVIEW NI KUBWA MNO HUYU DADA AISEEE ANA APEARNCE KALII ILA PIA NA AKILI YAKE NI KUBWA MNO
Napenda San Ayo Tv 😘😘👌👌
Penye miti hakuna wajenzi....Sijajua Aslay alikwama wapi.. Enewei sijui nyuma ya pazia ila kwa intaviu hii ni wazi kwamba Tessy unajielewa..Big up Tessy Chocolate luv you.
'Nataka nizae na mwanaume ambaye atakuwa Baba wa watoto wangu wote' Girls take this Point🔥💘
Uko vizuriiiii sana 👏
Nice interview yaan I love u umeongea fact sana
Dada kanyoa lakini mzuriiiii kuliko waliosuka
🤣🤣🤣🤣kabisa
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙏
Dada una akili nyingi sana na unajua kucheza na akili za waandishi, ww ni mwanamke bora sana.
Normal
Wishing angerudiana na aslay they looked good together kaites
Video kaka napenda unavokuwa unauliza maswali kama hutaki NATAKA aiseeee hongera 👊🙏🙏
Asante Beniard
🤝🤝
Pole saaaana
Hongeraaa dada umekomaa...unatosha kuishi mjini
Mashallah, uyu mimi kabisa, ila sijafanikiwa kama wewe Tessy,ila maelezo yako najiona kama mimi kabisa.
Inshaa allah atapata kama kweli anayosema yanatoka miyoni oky ipo siku atapata tu
czcams.com/video/jIKtN6WUSe8/video.html do
Tessy I like your hair style
Daaah uko poa sana Tessy
Hakuna Kitu kinaumiza kama Single Parents, ukishakua Mzazi watoto wanapitia Changamoto nyingi hasa wanapozidi kukua,
Hakika
daaaa kweri kapoteza MTU muhimu sanaaaa🎤ebu Tunga nyimbo nyingine uwenda Akalejea🙄
Huyo mtoto ana sikitisha sana...she's fighting for her life...
Smart enter view ♥️
Ila dada una sauti kama mama p wa rich mitindo
damn cute ...with the short hair
Masha Allah kazuri jamani
Kwel mwanamke kama uyo naweza kuhishi nae naweza kumupenda sana
Hawa madem wanaodate na ma star Wana kasoro Sana hawatulii wanataka kuwa ma star kwenye mapenzi
Yani Giggy money akiiangalia hii atajiona watofauti sana
Yule Ana akili pia sema mlevi tu
@@claudia1500 Sema heshima na baba mtoto wake hana!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
WATU HAWAWEZI FANANA
AKILI MTU WANGU ✊
Uyo dada mtalatibusana
Tessy n mustaarabu nmependa
Yupo smart sana uyu Dada jaman
Hello
Dada mzuri sana huyu
Dada anahekima🥰
kabisa👍
Ok
Nilijua wanawake km huyu mwanamke walishapoteaga duniani ila kumbe bado wapowapo
😂😂😂😂😂😂😂
Ndo uyo apooo 🤣
Mh jamani mh ila mapenzi mahusiano na ndoa mungu pekee ndo ajuwae
Duniani dada hakuna mutu sahihi kwanza heshima ianze kwako wewe je upo sahii
Watanzani ni mtihani sana
dada kaupiga mwingi kuliko mtangazaji
Aslay alipata mwanamke bora xn jmn duuuh!