CHADEMA WAMPA MAKAVU MAKONDA -"HATUKUOGOPI-WAACHE MACHALII na VAIBU LAO -ANZIA NGONGORO KUNA WIZI"..

Sdílet
Vložit
  • čas přidán 6. 04. 2024
  • CHADEMA WAMPA MAKAVU MAKONDA -"HATUKUOGOPI-WAACHE MACHALII na VAIBU LAO -ANZIA NGONGORO KUNA WIZI"..
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Komentáře • 120

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Před 2 měsíci +1

    JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...

  • @frankchaula8674
    @frankchaula8674 Před 2 měsíci +5

    Fanya kazi bhana acheni maneno

  • @Tango696
    @Tango696 Před 2 měsíci +8

    Makonda piga kazi.kwa nini watu mnaanza kuogopa na vitisho..anza na hao mtoto wa Mungu tuko nyuma yako .wenye haki watadumu milele...

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki Před 2 měsíci +4

    Jishauweni mmetumwa mtakimbia kama lema ohooo mkimbizi wa canada

  • @Tango696
    @Tango696 Před 2 měsíci +5

    Muongezee nguvu makonda ...maana vitisho vimekuwa vingi sana ...kiasi cha kuonesha kuna watu wengi ni inaonekana ni waovu

  • @christopheritungi1228
    @christopheritungi1228 Před 2 měsíci +6

    Kwani madini yakiuzwa huko mirerani yanapochimbwa shida ipo wapi?

  • @2003hintay
    @2003hintay Před 2 měsíci +7

    Msubiri aje acha woga wa bangi

  • @nancolower_8032
    @nancolower_8032 Před 2 měsíci +3

    Wameanza kulialia😅😅😅

  • @hanifamziray277
    @hanifamziray277 Před 2 měsíci +4

    Mbona mmeanza kuhanya mapema mmejua achen kutisha w2 banaa hy ndio makonda mlishindwa kumwambia mogela mpk.makonda asingekuja

  • @MarckyCholla
    @MarckyCholla Před 2 měsíci +4

    Ndio maana huwa nasema chadema wanaendesha kimihemko hawana viongozi bali mamluki tuu.sasa huyu anaongea nini badala ya kushauri analeta ubabe

    • @jumamohamed3168
      @jumamohamed3168 Před 2 měsíci

      Wapenzani nchini Tanzania ni wastaarabu sana ,isipokuwa watu wengi hawajui tu.

  • @dianamakyara4210
    @dianamakyara4210 Před 2 měsíci +5

    Ukweli mtupu,tunakuelewa broo

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee Před 2 měsíci +2

    Inaonyesha ni namna gani Makonda alivyo na ushawishi mkubwa nchi hii. Yeye ni mkuu wa mkoa tu na watu wanaweweseka.😂😂😂

  • @wiliampaulo5556
    @wiliampaulo5556 Před 2 měsíci +6

    Hao kina kenyonyo

  • @RwegoshoraPatt-os2ik
    @RwegoshoraPatt-os2ik Před 2 měsíci +6

    Usije lalamika baadae maana lazima akutafute tu

  • @juliuslengai5089
    @juliuslengai5089 Před 2 měsíci +3

    Sema Hawa Jamaa waoga sana 😂😂😂😂

  • @ostenmwakasita6960
    @ostenmwakasita6960 Před 2 měsíci +8

    Hawa majaa ndio Majizi wa Arusha

  • @borysaronge1493
    @borysaronge1493 Před 2 měsíci +3

    Kwani komred makonda amewaambia kuwa mnamwogopa acheni ujinga wenu makonda hakuletwa Kwa ajili yenu ameletwa Arusha Kwa ajili ya maendeleo ya wananchi wa Arusha siyo kuhangaika na nyie msiojielewa Kwa sababu amekuja kiserikali na sio kisiasa

  • @gilbertmathias7594
    @gilbertmathias7594 Před 2 měsíci +8

    Mna akili mbovu alafu mmejipanga kwa shari.

  • @raphaelmatinda1059
    @raphaelmatinda1059 Před 2 měsíci +6

    Madini ya Tanzanite yapo Manyara sio Arusha bro.

    • @memehhhahshshdhdhd
      @memehhhahshshdhdhd Před 2 měsíci

      Uwe unaelewa.kasema soko la madini lililokuwa Arusha lirudishwe .na amesema madini ya Tanzanite yapo Arusha sababu enzi za Hilo soko mkoa WA Manyara ulikuwa NI mojawapo ya wilaya za Arusha.
      Umeelewa?

    • @AbiahKaaya
      @AbiahKaaya Před 2 měsíci

      Huo ni msimamo na mategemeo ya wazawa wa Arusha kwa kiongozi wao mpya. Sina shaka mtakutana katika kwa maslahi ya wazawa na taifa kwa ujumla!

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 Před 2 měsíci +2

    Hongera sana Chadema kuteketea haki ya Wananchi wa Arusha

    • @user-hd5bg8qw1b
      @user-hd5bg8qw1b Před 2 měsíci

      KWA UJAMBAZI,UVUTA BANGI NA ULAJI WA MIRUNGI NDIO UNAWAPONGEZA CDM HUNA AKILI HAYO NDIO MALEZI YENU POLE SANA NAKUCKITIKIA WW NA KIZAZI CHAKO NANI ATAKUFUNZA MAADILI IKIWA MWENYEWE UNAUNGA MKONO VIJANA KUONYWA.😮

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki Před 2 měsíci +2

    Kama Niya cha😢dema weken mkuu wenu wa mkoa kama mnajiwezi atapambana ata nanyie wezi wauza madaw

  • @user-vi4wx7oi7o
    @user-vi4wx7oi7o Před 2 měsíci +5

    Acha kelele wewe SIASA SI CHUKI

  • @adammbuba7230
    @adammbuba7230 Před 2 měsíci +3

    Mnamwogopa makonda et

  • @samsonsombi9854
    @samsonsombi9854 Před 2 měsíci +4

    Jamba tuu ujifurahishe

  • @user-jc8vt7ct9t
    @user-jc8vt7ct9t Před 2 měsíci

    Bigup sana

  • @Jal210
    @Jal210 Před 2 měsíci +4

    Wapumbavu nyie na nina hakika Makonda atawaweka sawa

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 Před 2 měsíci +2

    Sasa mnamtisha? Mbona mnapata mchecheto? Wewe muongeaji hsupo juu ya sheria! Hata wewe utazinguliwa vile vile! Usimpangie Makonda kazi ya kufanya! Kaeni kwa kutulia!😂😂

  • @user-tp2ds4xi2n
    @user-tp2ds4xi2n Před 2 měsíci +2

    Kiwewe hicho mtatulia nahyo chuga

  • @JOHNKKULULINDA-pc6gy
    @JOHNKKULULINDA-pc6gy Před 2 měsíci +6

    KWANI, MAKONDA NI ADUI YENU. AU CCM NDO ADUI YENU. HAKIKA MAKONDA ANATISHA.

    • @leahmgunda4154
      @leahmgunda4154 Před 2 měsíci

      Inaelekea wewe ni mgeni Tz umekuja kutoka Ukreni ulikozaliwa huyo humjui.

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in Před 2 měsíci +2

    Mbona kama umechanganyikiwa na maisha😂😂😂Et chuga! Chuga ndio nn ? Wahun kama hawa unawapa vp nchi

  • @jaberalyafei274
    @jaberalyafei274 Před měsícem

    Sawa kuna mengi na yeye anajua kazi yake vizuri saaana usiwe na waswasi

  • @masumbukosiyougomvi7900
    @masumbukosiyougomvi7900 Před 2 měsíci +2

    Kumbe makonda anaogopeka sana

  • @OnesphoroLema
    @OnesphoroLema Před 2 měsíci +3

    Woga kazi bado ajaanza wasubiri utendaji wake kwanza ndio wakosoe

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 Před 2 měsíci

      hawa ndio wahalifu wa arusha ndugu arusha na wilaya zake ndio stoo za magendo ya wezi wengi wa tanzania kwani unadhani sabaya alikua nakosa basi majizi walikua wanalipa kisasi cha kumbuwa magendo yao hadi kampun yakutengeneza hela bandia zilikua huko arusha mahela yanaibiwa mikoan huko yaenda fichwa arusha na mafisad kwahiyo hawezi mpenda makonda wala sabaya huyu na magenge yao wengine wapo kwenye mfumo bado

  • @user-wh9zj7kf7h
    @user-wh9zj7kf7h Před 2 měsíci +4

    We ni muuza madawa?

    • @user-hd5bg8qw1b
      @user-hd5bg8qw1b Před 2 měsíci

      HAYAKUHUSU KAUZE NA WW WIVU UMEKUJAA UNGEKUWA WW AU MWANAO UNGEYASEMA HAYO KAUZE NA WW

  • @mohammedjuma6736
    @mohammedjuma6736 Před 2 měsíci +2

    Haahahaha et arusha ya wapinzani!!sio ya ccm sasa kwanini wapinzani wasiweke mkuu wakoa wao basi tujue kweli ya wanzani

    • @chire4574
      @chire4574 Před 2 měsíci

      Yuko sahihi....kaskazini ni wapizani ..ila rais ndo anamamlaka wa kuteua wakuu wa mikoa.....

  • @user-ic7oo1vt4v
    @user-ic7oo1vt4v Před 2 měsíci +2

    Umri uwe sehemu ya michango yetu tuanzie 78 vita ya kagera

  • @user-xp4lm9nc8c
    @user-xp4lm9nc8c Před měsícem

    😂😂😂imebidi nicheke tuu

  • @personpeter2221
    @personpeter2221 Před 2 měsíci +1

    Mtatuliatuuuu

  • @JeremiahMwalukosya-eh5nf
    @JeremiahMwalukosya-eh5nf Před 2 měsíci +2

    Lijambazi hili linajihami mapema maana wanamfahamu makonda nikamanda

    • @Jal210
      @Jal210 Před 2 měsíci

      Huyu na Lema wote majambazi hawa walitingisha Arusha kwa wizi na kuua watu

    • @JeremiahMwalukosya-eh5nf
      @JeremiahMwalukosya-eh5nf Před 2 měsíci

      @@Jal210 linaonekana tu sasa anaujua Moto wa makonda naona biashara zao haramu zinaenda kufa

  • @catherinemhule6519
    @catherinemhule6519 Před 2 měsíci +1

    Mimi ningekuwa makonda naanza na wewe maana hata sura yako inaonyesha ww mvuta bangi. Makonda ng'ata huyuu

  • @user-do5by8jl6g
    @user-do5by8jl6g Před 2 měsíci

    Kweli sms send kazi kwake

  • @user-vx9np1zb7z
    @user-vx9np1zb7z Před 2 měsíci

    Tuache maneno mengi kiongoz mwenye macho ataona maovu hayafichiki

  • @catherinemhule6519
    @catherinemhule6519 Před 2 měsíci +1

    Ww ni poyoyo mmoja. Kumbuka mdomo uliponza kichwa

  • @isackkivuyo1980
    @isackkivuyo1980 Před 2 měsíci +1

    Hahaaaa,eti tupo tayri,hahaaaaa angesema yye mwenyewe yupo tayr kupambana na mheshimiwa,aache kusemea wengine,

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz Před 2 měsíci +1

    Hana jipya lubabe ubabe tu,

  • @anaabsaid3544
    @anaabsaid3544 Před 2 měsíci +1

    Kelele mingi lisilokuwa na maana yeyote chuga ndiyo nini? Bangi ya arusha

  • @anytime5685
    @anytime5685 Před 2 měsíci

    Hapa ndio nafaham makonda ni nani; aisee acha kabisa ni hatari

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 Před 2 měsíci

    Anajishua 😂😂

  • @HassanRoshy
    @HassanRoshy Před měsícem

    Dangote aliwashinda itakuwa makonda

  • @user-kg2bg8kp5u
    @user-kg2bg8kp5u Před 2 měsíci +1

    Tupo pamoja makonda uzurumaji uyo

  • @user-wh9zj7kf7h
    @user-wh9zj7kf7h Před 2 měsíci +1

    Hivi mkuu wa mkoa nimmoja tu makonda acheni woga

  • @justice607
    @justice607 Před 2 měsíci +2

    Hii imeendaa

  • @ellydaniely-qw8bf
    @ellydaniely-qw8bf Před 2 měsíci

    Mnaomwombea makonda shetani wa kwanza ni hyu kemea

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 Před 2 měsíci

    Acheni hofu mboyoyo ni w

  • @samsonsombi9854
    @samsonsombi9854 Před 2 měsíci +1

    Wee dunduka kweli unaweza kusindana na serikali wewe au unauza sura tuu mtandaon,kushindana na serikali ni sawa na kupiga ngumi jiwe utaumia wewe tuu ndugu yangu,piaa kwa makonda wewe ni kama sisimizi😅

  • @LukasMolel
    @LukasMolel Před 2 měsíci

    Nahisi huyu jamaa anakula banki

  • @hasani565
    @hasani565 Před 2 měsíci

    ARUSHA Chadema bye bye 😂😂😂

  • @MazikuSaid
    @MazikuSaid Před 2 měsíci

    Kiukweli kwa wenye akili hasa timamu kwa maelezo ya huyo bwana ni dhahiri kabsa ni muovu.mtumishi makonda angalia fisadi huyo halafu namuonea hata huruma kwani anaonyesha jamii kuwa huenda ni fisadi.

  • @ellydaniely-qw8bf
    @ellydaniely-qw8bf Před 2 měsíci

    Chadema hoiii!! Makonda oyeee!!!mwizi wa kwanza ni Huyo mshughulikie!!!Kwa Nini mlishindwa kumwambia aliekuwepo? Msimfundishe mama kazi kamtuma huko anaelewa Kila kitu !!

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 Před 2 měsíci +1

    Mzee mzima ovyo eti Challis wa chuga jiangalie 😲😲😲

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 Před 2 měsíci +1

    Wavuta bangi nishida ila mtashughulikuwa ipasavyo nyau nyie

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 Před 2 měsíci

    Kwaiyo kuusu madawa inaonekana wewe mmja wapo

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 Před 2 měsíci +2

    Kweli Makonda anaogopwa mbona Wakuu wa mikoa wengi wamepita hapa haijawahi kutokea mijadala kama hiyo hakika Makonda ni kiboko yenu

  • @user-hd5bg8qw1b
    @user-hd5bg8qw1b Před 2 měsíci

    AR MAJAMBAZI MENGI HADI KWENYE HICHO CHAMA CHA CDM MUNGU ATAKULINDA MAADUI NI WENGI WENYE AKILI WTAKUELEWA WAJINGA WATABAKI NA UJINGA WAO.😊

  • @user-nr3uw7bq1r
    @user-nr3uw7bq1r Před 2 měsíci +1

    We mkunya njiani unamtishia nani, makonda piga kazi

  • @MarckyCholla
    @MarckyCholla Před 2 měsíci +1

    Mbona na wewe utamuelewa tuu makonda hataki punyenye.we kama huombi basi karudishe basi.yaani kuna watu wakipewa fursa ya kuongea huwa punga kabisa

  • @isackkivuyo1980
    @isackkivuyo1980 Před 2 měsíci +2

    Huyu mchaga kaagiswa,maana ya chuga ninini,mnatuharibia jina Lake mkoa wetu,ni arusha,

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 Před 2 měsíci

    Wanaosema hapa nimegundua wote sio.watu wa Arusha.😂mnalilia nini.wakati yeye ni wa Arusha.huyu mtu ameongea vizuri

  • @ellydaniely-qw8bf
    @ellydaniely-qw8bf Před 2 měsíci

    Nashindwa kuelewa hats nywele zilivyokaa unaomba upewe nchi? Unamwongoza nani? Chadema kazi imewashinda mmemruhusuje huyu kuwatetea mbona ni aibu ya Chama? Wavuta bangi wanaomba nchi!!! 😊😊😊

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 Před 2 měsíci

    Kweli hata adabu hanayo ni chagadema kwanza wewe ni mchaga huna haki ya kuisemea Arusha
    Chuga ni uhuni.

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 Před měsícem

    SASA WEWE UMEAMBIWA UMWOGOPEE?. MBONA MNAKUWA KAMA WAMAMA?. NGOJENI AJE AANZE KAZII , KISHA TUMJAJI.

  • @simonngirisho-yc1qt
    @simonngirisho-yc1qt Před měsícem

    Hoja huna maana makonda anapaswa kuwa Arusha Tena kwa ukali wa moto sio wa mazungumzo mongela alikuwa anambeleza mafisadi hatujitaji viongizi namna hiyo tunataka makonda apitiahe bakora kwa wakuu wa wilaya wote na wakurugenzi ,tarura , tanrodi, na mazingira Arusha manovu hatujitaji utawala wa kubembelezana makonda ni jembe hapo hapo atumbue viongizi wazembe na hatutaki siasa za chadema ,wLa ccm sisi tunamhitaji makonda anyooshe njia maana sisa zimezidi hazina tija ni utapeli tu wa chadema ccm hakuna jipya tunataka muache siasa mchape kazi na makonda chapa kazi achana na wanatafuta majina ya kisiasa

  • @dicksonmwidin7566
    @dicksonmwidin7566 Před 2 měsíci

    ayo maneno unaongea kwakuwa umekula umeshiba, yule teleza aliyekuwa akiwabandua asubuhi na usiku mlishindwa sembuse makonda wote mlijifungua ndani, jiandae kupata ulemavu chonga mdomo utakiona, uso wote umetoka vipele vya bangi

  • @PartySekemi
    @PartySekemi Před 2 měsíci

    Na wewe mbona unaleta mboyoyo kwani tanzanite zinatoka arusha? wana manyara nao wanataka kupata riziki

  • @adammbuba7230
    @adammbuba7230 Před 2 měsíci

    Acheni vitsho, nyie ni watoto wadogo tu

  • @lukongerajab1120
    @lukongerajab1120 Před 2 měsíci

    Dduuuhhh

  • @user-cx1xz2is5d
    @user-cx1xz2is5d Před 2 měsíci

    Tatizo lipo sio bule watu wanajihami chama chake kimemtema nao qanamuogopa ni mtu wa

  • @issamagana9302
    @issamagana9302 Před 2 měsíci +1

    Acha ujinga ww nani ktk nchii hii ww ni sawa mbwa tu huna lolote unaachama tu muuza sura tu

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki Před 2 měsíci

    Rais kashaamua weninani tukusikilize

  • @othmanhamad4626
    @othmanhamad4626 Před 2 měsíci

    Kachane nywele

  • @nr8782
    @nr8782 Před 2 měsíci

    Akileta za kuleta Arusha chuganistan atakaa...Atown sio pakuja kubambikia watu kesi na kuwapoteza...fanya dar arusha atakaaa akijaribu ...kama alivyomfanya tundu

    • @mohamedswaleh6778
      @mohamedswaleh6778 Před 2 měsíci

      Acha kuropoka2 apa subirin aje tuwa one km wanaume yuaja mumewe nu

  • @shinanifikirini803
    @shinanifikirini803 Před 2 měsíci

    Mdomo Uta kuponza uwezi kujifanya mjuwaji utapotea tafuta sifa

    • @shinanifikirini803
      @shinanifikirini803 Před 2 měsíci

      Wenzio wote Wana mkubali wewe ndio una jifanya una weza kushindana na makonda ngoja aje jaribu ujinga wako

  • @hamudzakuwani4149
    @hamudzakuwani4149 Před 2 měsíci

    wewe unaongeya chukii tuuu makondaa azaa nae huyoo

  • @user-dk5kk4rf3v
    @user-dk5kk4rf3v Před 2 měsíci

    Makonda huko umeenda kuanguka .. ooooh😊

  • @yasinkaunda1552
    @yasinkaunda1552 Před 2 měsíci

    Kumbe nyie ndo wa korofi msianze izo fukunyuku zenu

  • @frankmushendwas37
    @frankmushendwas37 Před 2 měsíci

    Mwamba kama mwamba wa chuganistan

  • @umalqasimalhamhami6707
    @umalqasimalhamhami6707 Před 2 měsíci

    We baba falakweli ww

  • @frankchaula8674
    @frankchaula8674 Před 2 měsíci

    Kwani yeye makonda kasema jambo lolote

  • @rennyleo4874
    @rennyleo4874 Před 2 měsíci

    Makonda watu kama hawa ana waweza ukimwa mboga ana mwaga ugali atakufurahisha ataanza na wewe mvuta bangi

  • @ahmadifataha6677
    @ahmadifataha6677 Před 2 měsíci

    Kwanza ww wanaanza na wewe unae piga pang'ang'a hili ukavimbe makende

  • @abdulwadi8667
    @abdulwadi8667 Před 2 měsíci

    Hivi huyu makonda anamjuwa kwel? Au anaongeatuu wacha tuone

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki Před 2 měsíci

    Pelekeni usenge madini yapo manyara siyo arushambona mnaanza kujinyea ndyo wezi nyie makondo fanya kazi

  • @Jal210
    @Jal210 Před 2 měsíci

    Mjinga sana wewe untapika upuuzi wako, eti haki mjinga mmoja wewe

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1pu Před 2 měsíci +1

    Acha maneno wewe makonda ni burdoza

    • @hamidkololeki5009
      @hamidkololeki5009 Před 2 měsíci

      😂atanyooshwa muache azungumze,na itakuwa kashapewa kiroba

  • @jebace
    @jebace Před 2 měsíci

    hizi bangi bwana, anasema madini yarudishwe arusha,hivi mererani ipo tabora au mimi sijui

  • @nyiqatonyiqa7114
    @nyiqatonyiqa7114 Před 2 měsíci +1

    Wee vipi,waongea ovyo tu yaaani nyakati zoote hamkujua hilo wee kama wala Bangi Yako yatakukuta vitisho pumba tu

  • @catherinemhule6519
    @catherinemhule6519 Před 2 měsíci

    Mimi ningekuwa makonda naanza na wewe maana hata sura yako inaonyesha ww mvuta bangi. Makonda ng'ata huyuu